Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 2
UZALENDO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maamkuzi mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kutumia ipasavyo maamkuzi mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kuthamini matumizi ya maamkuzi katika mawasiliano ya kila siku
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi (k.v. Umeamkaje? Umeshindaje? Safiri salama, mchana mwema, usiku mwema) kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi
- Kuigiza maamkuzi ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya
- Kujadiliana na mzazi au mlezi wake maamkuzi kutoka kwa jamii yake
Je, unajua maamkuzi na maagano yapi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 1
- Chati
- Kadi maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Picha
- Mentor Kielekezi cha uk. 2
- Vifaa vya kidijitali
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
1 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Maamkuzi na Maagano
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kutumia ipasavyo maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii
- Kuthamini matumizi ya maagano katika mawasiliano ya kila siku
- Kutazama picha zinazoonyesha vitendo vya maagano
- Kutambua maagano katika picha hizo
- Kuigiza maagano hayo
- Kutambua maagano kutoka kwenye kadi za maneno
- Kuigiza maagano aliyotambua
- Kutoa majibu ya maagano
- Kuambatanisha maagano na majibu yake
Je, unajua maamkuzi na maagano yapi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 3
- Picha
- Kadi maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha uk. 10
- Kifungu cha hadithi
- Chati
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Igizo
1 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua msamiati kuhusu uzalendo katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
- Kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake
- Kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu uzalendo ili amtolee maoni
Je, unaweza kujifunza nini kutokana na hadithi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 11
- Kifungu cha hadithi
- Picha
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha uk. 12
- Orodha ya msamiati
- Madaftari
- Maswali ya ufahamu - Kutabiri na kuthibitisha - Kueleza mafunzo
2 1
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu
- Kuandika kwa kuzingatia mambo yanayofanikisha hati nadhifu
- Kuchangamkia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano
- Kutambua mambo mbalimbali yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu (k.v. muundo wa herufi, nafasi ifaayo kati ya maneno, nafasi zifaazo pambizoni, kutenganisha sentensi ifaavyo, usafi wa nakala) kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kujadili na wenzake umuhimu wa kuandika kwa hati nadhifu
- Kunakili kifungu kwa hati nadhifu
Unazingatia mambo gani unapoandika kifungu?
- Mentor Kielekezi cha uk. 12
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Madaftari
- Mentor Kielekezi cha uk. 13
- Vifungu vya kunakili
- Madaftari
- Chati
- Uchunguzi - Kazi ya kuandika - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
2 2
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu
- Kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu
- Kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 30 akizingatia hatua za uandishi (k.v. maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake
- Kuwasilisha kazi yake kwa mwalimu kwa ajili ya tathmini
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichoandika
Unazingatia mambo gani unapoandika kifungu?
- Mentor Kielekezi cha uk. 13
- Madaftari
- Miongozo ya uandishi
- Kazi ya kuandika - Usomaji kwa sauti - Tathmini ya mwalimu
2 3
Sarufi
Matumizi ya yeye na wao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi
- Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi
- Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano
- Kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu yeye na wao kutoka kwa mwalimu au kifaa cha kidijitali
- Kutambua neno yeye na wao kutoka kifungu alichokisikiliza
- Kusoma vifungu na kutambua neno yeye na wao akiwa na wenzake au katika kikundi
Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 14
- Vifaa vya kidijitali
- Vifungu vyenye maneno yeye na wao
- Picha
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Zoezi la kupiga mstari
2 4
Sarufi
Matumizi ya yeye na wao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi
- Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi
- Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano
- Kujaza mapengo kwa kutumia yeye na wao
- Kutumia yeye na wao katika kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi k.v. Yeye anasoma - wao wanasoma
- Kutunga sentensi akitumia yeye na wao
Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 15
- Zoezi la kujaza mapengo
- Mifano ya sentensi
- Picha
- Zoezi la kuandika - Igizo - Kutunga sentensi
3 1
Sarufi
Matumizi ya yeye na wao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi
- Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi
- Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano
- Kusoma kifungu chenye matumizi ya yeye na wao
- Kuandika sentensi akitumia yeye na wao
- Kusahihisha sentensi zilizo na matumizi yasiyofaa ya yeye na wao
- Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotumia yeye na wao
Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 16
- Kifungu cha kusoma
- Madaftari
- Michoro/picha
- Kazi ya kuandika - Kusahihisha makosa - Tathmini ya mwalimu
3 2
SHAMBANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Vokali na Konsonanti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini
- Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano
- Kutazama na kutambua herufi za vokali (a, e, i, o, u) kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali
- Kupiga mstari vokali katika herufi zilizoandikwa
- Kutamka vokali kwa ufasaha
- Kusikiliza mwalimu akitamka vokali na kurudia baada yake
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
- Mentor Kielekezi cha uk. 18
- Chati ya herufi
- Kadi za vokali
- Vifaa vya kidijitali
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Utamkaji wa vokali
3 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Vokali na Konsonanti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano
- Kutazama herufi za konsonanti (b, ch, d, dh, f, g, gh, h, j, k, l, m, n, p, r, s, sh, t, th, v, w, y, z) kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali
- Kupiga mstari konsonanti katika herufi zilizoandikwa
- Kutamka konsonanti kwa ufasaha
- Kusikiliza mwalimu akitamka konsonanti na kurudia baada yake
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
- Mentor Kielekezi cha uk. 19
- Chati ya herufi
- Kadi za konsonanti
- Vifaa vya kidijitali
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Utamkaji wa konsonanti
3 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Vokali na Konsonanti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua vokali na konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo vokali na konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano
- Kusikiliza kifungu kisomwacho na mwalimu na kutambua vokali na konsonanti
- Kutamka maneno yenye vokali na konsonanti kwa ufasaha
- Kusoma sentensi zilizoandikwa kwa kuzingatia matamshi bora ya vokali na konsonanti
- Kujirekodi akitamka maneno na sentensi na kusikiliza jinsi alivyotamka
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
- Mentor Kielekezi cha uk. 20-21
- Kifungu cha kusoma
- Vifaa vya kurekodi
- Vifaa vya kidijitali
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Kusoma kwa sauti
4 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua sauti lengwa (/bw/, /fy/, /kw/) katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
- Kusoma kifungu "Shamba la Bwana Talwa"
- Kutamka maneno yote vizuri
- Kutambua maneno yenye sauti lengwa /bw/, /fy/ na /kw/ katika kifungu
- Kuorodhesha maneno yenye sauti hizo
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 22
- Kifungu cha hadithi
- Orodha ya maneno yenye sauti lengwa
- Vifaa vya kidijitali
- Usomaji wa kifungu - Utambuzi wa maneno - Orodha ya maneno
4 2

4 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
- Kujadili umuhimu wa kusoma kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu "Shamba la Bwana Talwa" kwa sauti inayosikika
- Kusomeana kifungu na kutoleana maoni kuhusu sauti na kasi ya usomaji
- Kusoma kifungu "Shamba Letu" kwa kasi inayofaa (maneno 47 kwa dakika)
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 23
- Kifungu cha hadithi
- Saa/kifaa cha kupima muda
- Uchunguzi wa usomaji - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi - Usomaji wa kifungu kwa dakika moja
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano
- Kujadili na kuonyesha ishara mbalimbali zinazotumiwa wakati wa kusoma na kuzungumza
- Kusoma kifungu "Shamba Letu" kwa kutumia ishara za uso na mikono
- Kutoleana maoni kuhusu matumizi ya ishara wakati wa kusoma
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 24
- Kifungu cha hadithi
- Picha zinazoonyesha ishara mbalimbali
- Usomaji wa kifungu - Matumizi ya ishara - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
5 1
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kuandika herufi kubwa ipasavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano
- Kutazama herufi mbalimbali na kupiga mstari herufi kubwa
- Kuandika herufi kubwa katika madaftari
- Kusoma kifungu na kupiga mstari herufi kubwa
- Kujadili ni wakati gani tunatumia herufi kubwa
Kwa nini ni muhimu kuandika herufi kubwa ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 26
- Chati ya herufi
- Kifungu chenye herufi kubwa
- Madaftari
- Kupiga mstari herufi kubwa - Kuandika herufi kubwa - Maswali ya mdomo
5 2
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kuandika maneno na sentensi akitumia herufi kubwa ifaavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano
- Kuandika herufi kubwa katika madaftari
- Kuandika maneno kama "Januari", "Nairobi", "Disemba", "Petero" kwa kutumia herufi kubwa ipasavyo
- Kuandika sentensi kama "Mkulima analima", "Mbegu imeota", "Toni amenunua fyekeo" kwa kutumia herufi kubwa ipasavyo
Kwa nini ni muhimu kuandika herufi kubwa ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 27
- Kadi za maneno
- Sentensi zenye herufi kubwa
- Madaftari
- Kuandika maneno - Kuandika sentensi - Uchunguzi
5 3
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano
- Kunakili kifungu chenye herufi kubwa kutoka kitabuni
- Kuandika kifungu kifupi kwa kutumia herufi kubwa ifaavyo
- Kusoma na kusahihisha kifungu alichoandika
- Kuonyesha na kuwasilisha kifungu chake kwa mwenzake ili akitolee maoni
Kwa nini ni muhimu kuandika herufi kubwa ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 28
- Kifungu cha kunakili
- Madaftari
- Vifaa vya kidijitali
- Kunakili kifungu - Kuandika kifungu - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
5 4
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutofautisha kati ya sentensi za umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi
- Kutazama picha zinazoonyesha vitendo katika umoja na wingi
- Kusoma sentensi zilizo chini ya picha hizo
- Kuchagua sentensi zilizo katika umoja
- Kuchagua sentensi zilizo katika wingi
- Kujadili tofauti kati ya sentensi za umoja na wingi
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 29
- Picha za vitendo
- Sentensi katika umoja na wingi
- Chati
- Uchunguzi - Utambuzi wa sentensi - Maswali ya mdomo
6 1
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi
- Kusoma sentensi na kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi katika umoja na wingi
- Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi aliyopewa
- Kushiriki katika mchezo wa kusoma sentensi katika umoja na mwenzake
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 30
- Sentensi katika umoja na wingi
- Zoezi la kukamilisha sentensi
- Zoezi la kuambatanisha
- Zoezi la kuandika - Mchezo wa kusoma - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
6 2
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kusomeana sentensi hizo
- Kutoleana maoni kuhusu sentensi walizotunga
- Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga katika umoja na wingi
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
- Mentor Kielekezi cha uk. 31
- Madaftari
- Kadi za maneno
- Mifano ya sentensi
- Kutunga sentensi - Kusoma kwa sauti - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
6 3

6 4
MIEZI YA MWAKA

Kusikiliza na Kuzungumza
Maneno ya Heshima na Adabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maneno ya heshima na adabu katika matini
- Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano
- Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano
- Kutazama michoro, picha au video inayowasilisha vitendo vya heshima na adabu akiwa na wenzake
- Kutambua maneno ya adabu na heshima kutoka kwa michoro, picha au video aliyotazama (tasfida) k.v. kwenda msalani, haja kubwa, haja ndogo, kuendesha
- Kujadili na wenzake matumizi ya maneno ya heshima na adabu
Je, ni kwa nini tunatumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano?
- Mentor Kielekezi cha uk. 34
- Picha
- Michoro
- Video
- Vifaa vya kidijitali
- Uchunguzi - Maswali ya mdomo - Utambuzi wa maneno ya heshima na adabu
7 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Maneno ya Heshima na Adabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maneno ya heshima na adabu katika matini
- Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano
- Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano
- Kuigiza mazungumzo yanayoonyesha matumizi ya maneno ya heshima na adabu akishirikiana na wenzake
- Kujadili na wenzake kwa nini ni muhimu kutumia maneno ya heshima na adabu
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia maneno ya heshima na adabu
Je, ni kwa nini tunatumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano?
- Mentor Kielekezi cha uk. 35
- Maigizo
- Zoezi la kujaza nafasi
- Picha
- Igizo - Zoezi la kuandika - Maswali ya mdomo
7 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Maneno ya Heshima na Adabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maneno ya heshima na adabu katika matini
- Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano
- Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano
- Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano ya kila siku darasani
- Kujadiliana na mzazi au mlezi maneno ya heshima na adabu katika jamii yake
- Kufanya zoezi la kujaza maneno ya heshima na adabu kwenye sentensi
Je, ni kwa nini tunatumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano?
- Mentor Kielekezi cha uk. 36
- Zoezi la kujaza nafasi
- Orodha ya maneno ya heshima na adabu
- Picha
- Uchunguzi - Zoezi la kuandika - Mawasiliano darasani
7 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua msamiati kuhusu miezi ya mwaka katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
- Kusikiliza au kutazama nyimbo kuhusu majina ya miezi ya mwaka kwenye kifaa cha kidijitali
- Kutaja majina ya miezi ya mwaka akiwa na wenzake
- Kuimba nyimbo kuhusu majina ya miezi akiwa na wenzake
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno 55-60 na kutambua msamiati wa miezi ya mwaka (k.v. Januari, Februari, Machi, Aprili, Mei, Juni, Julai, Agosti, Septemba, Oktoba, Novemba, Disemba)
Je, ni mambo yapi unaweza kujifunza kutokana na unachokisoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 37
- Nyimbo za miezi ya mwaka
- Vifaa vya kidijitali
- Kifungu cha ufahamu
- Uchunguzi - Utambuzi wa msamiati - Maswali ya mdomo
7 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua msamiati kuhusu miezi ya mwaka katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
- Kusoma kifungu chepesi "Mbuzi Wetu"
- Kutambua miezi ya mwaka yaliyotajwa katika kifungu hicho
- Kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake
- Kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu
Je, ni mambo yapi unaweza kujifunza kutokana na unachokisoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 38
- Kifungu cha hadithi
- Picha
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Kusoma kwa sauti - Utambuzi wa miezi - Kutabiri kitakachotokea
8

Midterm break

9 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua msamiati kuhusu miezi ya mwaka katika kifungu chepesi cha ufahamu
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake
- Kushirikiana na wenzake kufanya maigizo kuhusu majina ya miezi ya mwaka
- Kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu
- Kumsomea mzazi au mlezi majina ya miezi ya mwaka aliyojifunza
Je, ni mambo yapi unaweza kujifunza kutokana na unachokisoma?
- Mentor Kielekezi cha uk. 39
- Kifungu cha hadithi
- Maigizo
- Orodha ya miezi ya mwaka
- Kueleza ujumbe - Maigizo - Kueleza mafunzo
9 2
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Ndogo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu
- Kuandika herufi ndogo ipasavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi ndogo ifaavyo
- Kutazama mfano wa uendelezaji ufaao wa maumbo ya herufi ndogo kwenye kifaa cha kidijitali
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ifaavyo katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali n.k. akiwa na wenzake
- Kupiga mstari herufi ndogo kwenye kifungu kilichotolewa
- Kuandika herufi ndogo mbalimbali katika madaftari
Je, unazingatia mambo gani unapoandika herufi ndogo ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 40
- Chati ya herufi ndogo
- Kifungu chenye herufi ndogo
- Vifaa vya kidijitali
- Kupiga mstari herufi ndogo - Kuandika herufi ndogo - Uchunguzi
9 3
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Ndogo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu
- Kuandika maneno akitumia herufi ndogo ifaavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi ndogo ifaavyo
- Kuandika herufi ndogo mbalimbali katika madaftari
- Kuandika maneno yaliyoandikwa kwa herufi kubwa kwa kutumia herufi ndogo (k.v. JANUARI, FEBRUARI, MACHI, APRILI, MEI, JUNI)
- Kuandika sentensi kwa kutumia herufi ndogo ipasavyo
Je, unazingatia mambo gani unapoandika herufi ndogo ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 41
- Orodha ya maneno
- Sentensi za kuandika
- Madaftari
- Kuandika maneno - Kuandika sentensi - Uchunguzi
9 4
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Ndogo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu
- Kuandika kifungu akitumia herufi ndogo ifaavyo
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi ndogo ifaavyo
- Kunakili kifungu akizingatia mwendelezo ufaao wa herufi ndogo
- Kuandika kifungu chenye maneno 55-60 akizingatia maumbo ya herufi ndogo ifaavyo akizingatia hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake
- Kushirikiana na wenzake kuandika kifungu kifupi akizingatia mwendelezo ufaao wa herufi ndogo
- Kuwaonyesha wenzake kifungu alichoandika
Je, unazingatia mambo gani unapoandika herufi ndogo ifaavyo?
- Mentor Kielekezi cha uk. 42
- Kifungu cha kunakili
- Mwongozo wa hatua za uandishi
- Madaftari
- Kunakili kifungu - Kuandika kifungu - Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
10 1
Sarufi
Matumizi ya yule na wale
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua matumizi ya neno yule na wale katika kifungu
- Kutumia neno yule na wale katika sentensi
- Kuchangamkia matumizi ya yule na wale katika mawasiliano
- Kutazama picha zinazoonyesha matumizi ya yule na wale
- Kusoma sentensi zilizo chini ya picha hizo
- Kupiga mstari neno yule katika picha ya kwanza
- Kupiga mstari neno wale katika picha ya pili
- Kujadili matumizi ya maneno yule na wale katika sentensi
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno yule na wale?
- Mentor Kielekezi cha uk. 43
- Picha
- Sentensi zenye maneno yule na wale
- Chati
- Upigaji mstari maneno yule na wale - Maswali ya mdomo - Uchunguzi
10 2

10 3

- Kutambua matumizi ya yule na wale kutoka kwenye chati, kitabu, vyombo vya kidijitali nk. akiwa na wenzake
- Kusilikiliza kifungu au wimbo kuhusu matumizi ya neno yule na wale kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kujadili matumizi yake akiwa na wenzake
- Kusoma sentensi zilizotumia neno yule na wale kutoka kwenye chati, kitabu, vifaa vya kidijitali
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno yule na wale?
- Mentor Kielekezi cha uk. 44
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Kifungu au wimbo
- Sentensi zenye maneno yule na wale
- Uchunguzi - Utambuzi wa maneno yule na wale - Maswali ya mdomo
10 4
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya yule na wale
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua matumizi ya neno yule na wale katika kifungu
- Kutumia neno yule na wale katika sentensi
- Kuchangamkia matumizi ya yule na wale katika mawasiliano
- Kuigiza vitendo vya kuwaashiria watu mbalimbali kwa kutumia neno yule na wale akiwa na wenzake
- Kuandika sentensi akitumia yule na wale (k.v Mtoto yule anacheza - watoto wale wanacheza) na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni
- Kujaza nafasi ili akamilishe sentensi akitumia yule na wale
- Kumsomea mzazi au mlezi kazi aliyoandika kuhusu matumizi ya yule na wale
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno yule na wale?
- Mentor Kielekezi cha uk. 45-46
- Maigizo
- Zoezi la kujaza nafasi
- Madaftari
Mentor uk. 48
Kifaa cha kidijitali
Kadi maneno
Chati
Mti maneno
- Maigizo - Kuandika sentensi - Zoezi la kujaza nafasi
11 1
KAZI MBALIMBALI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa katika matini
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutambua silabi za sauti py, vy na sh katika maneno kutoka kifungu
- Kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua maneno yenye sauti lengwa
- Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa
- Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
Mentor uk. 50
Sauti za kurekodi
Vifaa vya kidijitali
Kadi maneno
Picha
Mentor uk. 52
Kifaa cha kidijitali
Matini
Kupigia mstari silabi za sauti py, vy na sh katika maneno Kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh Kuunda vitanzandimi vyenye sauti py, vy na sh
11 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kutambua sauti py, vy na sh katika kifungu chepesi kuhusu kazi mbalimbali
- Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 49 kwa dakika)
- Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
Je, utafanya mambo gani unaposoma ili uweze kusikika vizuri?
Mentor uk. 54
Vifaa vya kidijitali
Chati
Matini ya mwalimu
Mentor uk. 55
Picha
Kutambua sauti py, vy na sh katika maneno Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kusoma kwa sauti inayosikika Kusoma kwa kasi ifaayo Kusoma kwa kuzingatia ishara
11 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti py, vy na sh kwa ufasaha
- Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha
- Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake
- Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
Je, ni mambo gani unayozingatia unaposoma kifungu?
Mentor uk. 56
Kifaa cha kidijitali
Matini ya mwalimu
Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma Kusoma kwa kasi ifaayo
11 4
Kuandika
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nafasi ya pambizo na aya katika uandishi
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya
- Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya

- Kutambua nafasi ya pambizo na aya katika uandishi
- Kusoma vifungu na kutambua nafasi ya pambizo na aya
- Kuandika kifungu akizingatia nafasi ya pambizo na aya
- Kuwasiliana na wenzake kuhusu kifungu alichoandika ili kutathmini matumizi ya pambizo na aya
Je, kwa nini tunafaa kuzingatia nafasi ya pambizo tunapoandika?
Mentor uk. 56
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Chati
Kadi
Mentor uk. 57
Vifungu mbalimbali
Kutambua nafasi ya pambizo na aya Kuandika kifungu akizingatia nafasi ya pambizo na aya
12 1
Kuandika
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nafasi ya pambizo na aya katika uandishi
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya
- Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya

- Kushirikiana na wenzake kuandika kifungu kifupi akizingatia aya na pambizo
- Kuandika na kumuonyesha mzazi au mlezi kifungu alichoandika akizingatia aya na pambizo ili ampe maoni yake
- Kurekebisha kifungu chake kutokana na maoni ya wenzake na mzazi au mlezi
Unawaza matumizi ya pambizo na aya yanasaidia vipi katika uandishi?
Mentor uk. 59
Vitabu vyenye vifungu
Matini ya mwalimu
Karatasi
Kuandika kifungu akizingatia matumizi ya pambizo na aya Kurekebisha kazi yake kutokana na maoni ya wenzake
12 2
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
Je, kwa nini unahitaji kutaja vitu katika hali ya umoja na wingi?
Mentor uk. 59
Chati yenye sentensi za umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua sentensi katika umoja na wingi Kujaza nafasi kwa kutumia umoja au wingi wa sentensi
12 3
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi

- Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi alizopewa kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kuigiza michezo inayohusisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi wa sentensi akiwa na wenzake
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
Mentor uk. 60
Kadi za sentensi za umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kuambatanisha sentensi za umoja na wingi Kutunga sentensi katika umoja na wingi
12 4
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi

- Kuchagua neno sahihi katika mabano kujazia sentensi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi kuhusu kazi mbalimbali
- Kuwasiliana na mzazi au mlezi akitumia sentensi katika hali ya umoja na wingi ipasavyo
Taja tofauti kati ya sentensi za umoja na wingi
Mentor uk. 61
Vifaa vya kidijitali
Kadi zenye sentensi za umoja na wingi
Picha
Kuchagua umoja au wingi wa neno sahihi Kuandika sentensi katika umoja na wingi Kutofautisha kati ya sentensi za umoja na wingi

Your Name Comes Here

Download

Feedback