If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
3 | 3 |
SHAMBANI
Kuandika Kuandika Kuandika |
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua herufi kubwa katika matini - Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo - Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano |
- Kutazama mfano wa uendelezaji ufaao wa maumbo ya herufi kubwa kwenye kifaa cha kidijitali - Kutambua herufi kubwa katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake - Kunakili kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa - Kuandika kifungu chenye maneno 25-30 akizingatia maumbo ya herufi kubwa ifaavyo akizingatia hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake - Kumwonyesha mzazi au mlezi kifungu alichokiandika akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa ili akitolee maoni |
Kwa nini tunatumia hati nadhifu katika uandishi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 27
- Chati zenye mifano ya herufi kubwa - Vifaa vya kidijitali - Mifano ya vifungu vyenye herufi kubwa - Matini ya mwalimu - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 28 - Chati ya alfabeti ya Kiswahili - Kadi za herufi kubwa na ndogo - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 29 - Picha ya shamba - Karatasi za kuandikia |
- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kunakili kifungu kwa kuzingatia mpangilio wa herufi kubwa
- Kuandika kifungu akizingatia maumbo ya herufi kubwa ifaavyo
- Kutofautisha herufi kubwa na ndogo
|
Your Name Comes Here