If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 3 |
SHAMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi Sarufi |
Matamshi Bora: Vokali
Matamshi Bora: Konsonanti Matamshi Bora: Vokali na Konsonanti Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha Hati Nadhifu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Umoja na Wingi wa Sentensi: Umoja wa Sentensi Umoja na Wingi wa Sentensi: Wingi wa Sentensi Umoja na Wingi wa Sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini - Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi |
- Kutambua vokali za Kiswahili (a, e, i, o, u) katika matini ya kutamkwa au kuandikwa - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili - Kusikiliza vokali za Kiswahili zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali - Kutambua vokali za Kiswahili katika kifungu kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwenye vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kutamka vokali za Kiswahili ipasavyo na wenzake |
Je, kwa nini ni muhimu kutambua sauti za lugha fulani?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 20
- Chati za herufi - Kadi za vokali - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 21 - Kadi za konsonanti - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 24 - Alfabeti ya Kiswahili - Picha za vifaa vya shambani - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 25 - Chati - Vifungu vya kusoma - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 26 - Kifungu "Shamba letu" - Saa ya kupimia muda - Kadi za maneno yenye sauti lengwa - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 27 - Kifungu "Kazi ya shambani" - Orodha hakiki ya vipengele vya kuzingatia wakati wa kusoma - Chati zenye mifano ya herufi kubwa - Mifano ya vifungu vyenye herufi kubwa - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 28 - Chati ya alfabeti ya Kiswahili - Kadi za herufi kubwa na ndogo - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 29 - Picha ya shamba - Karatasi za kuandikia - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 30 - Chati zenye sentensi katika umoja - Picha za vitu katika hali ya umoja - Kadi za maneno - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 32 - Chati zenye sentensi katika wingi - Picha za vitu katika hali ya wingi - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 34 - Jedwali la kulinganisha sentensi katika umoja na wingi - Kadi za sentensi - Picha za vitu katika umoja na wingi |
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili
- Kutofautisha vokali za Kiswahili
- Kusikiliza na kutambua vokali
|
Your Name Comes Here