If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
UZALENDO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi na maagano. - Kuigiza maamkuzi na maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya. |
Unajua maamkuzi gani?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 2
Picha za maamkuzi Chati za maamkuzi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua maamkuzi mbalimbali
Kuigiza maamkuzi
Kutumia maamkuzi ipasavyo
|
|
2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maagano (k.v. Safiri salama, mchana mwema, usiku mwema) kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro. - Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maagano. - Kuigiza maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya. |
Unajua maagano gani?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 4
Picha za maagano Chati za maagano Vifaa vya kidijitali |
Kutambua maagano mbalimbali
Kuigiza maagano
Kutumia maagano ipasavyo
|
|
2 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii. - Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kusikiliza maamkuzi na maagano kutoka kwenye kifaa cha kidijitali. - Mtajie mwenzako maamkuzi na maagano uliyosikiliza. - Kujadiliana na mzazi au mlezi wake maamkuzi na maagano kutoka kwa jamii yake. |
Ni maamkuzi na maagano gani yanayotumika katika jamii yako?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 5
Vifaa vya kidijitali Chati za maamkuzi na maagano |
Kuweza kutaja maamkuzi na maagano mbalimbali
Kuweza kufananisha maamkuzi na maagano mbalimbali
|
|
2 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno 51-54 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. uzalendo, umoja, undugu, ushirikiano, upendo) akiwa na wenzake. - Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akishirikiana na wenzake. |
Je, unapenda kusoma hadithi za aina gani?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 7
Picha Vifaa vya kidijitali Hadithi ya "Uzalendo Wetu" |
Kutambua msamiati wa uzalendo
Kueleza ujumbe wa hadithi
Kujibu maswali kutoka kwa hadithi
|
|
3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake. - Kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma. - Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano. |
Je, ni mambo gani unayoweza kujifunza kutokana na hadithi?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 8
Hadithi ya "Neema na wavulana wawili" Picha Vifaa vya kidijitali |
Kutabiri matukio katika hadithi
Kuthibitisha utabiri wa hadithi
Kueleza mafunzo kutoka kwa hadithi
|
|
3 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake. - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu suala lengwa. - Tumia kifaa cha kidijitali kusoma hadithi inayohusu uzalendo. |
Umejifunza nini kutokana na hadithi ya uzalendo?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 9
Vifaa vya kidijitali Hadithi za uzalendo |
Kueleza mafunzo kutoka kwa hadithi
Kusoma kwa ufasaha
Kuwasilisha mawazo kwa umakinifu
|
|
3 | 3 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu. - Kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu. - Kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kutambua mambo mbalimbali yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu (k.v. muundo wa herufi, nafasi ifaayo kati ya maneno, nafasi zifaazo pambizoni, kutenganisha sentensi ifaavyo, usafi wa nakala) kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kunakili kifungu cha maneno yasiyozidi 30 kwa hati nadhifu kutoka kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali. |
Unazingatia mambo gani unapoandika kifungu?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 10
Chati ya hati nadhifu Vifaa vya kidijitali Kifungu cha "Kijiji changu" |
Kunakili kifungu kwa hati nadhifu
Kuzingatia nafasi kati ya maneno
Kuzingatia usafi wa nakala
|
|
3 | 4 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu. - Kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu. - Kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 30 akizingatia hatua za uandishi (k.v. maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake. - Piga chapa kifungu ulichoandika kwenye daftari lako ukitumia kifaa cha kidijitali. |
Kwa nini ni vizuri kuandika kwa hati nadhifu?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 11
Vifaa vya kidijitali |
Kuandika kifungu kwa hati nadhifu
Kufuata hatua za uandishi
Kuwasomea wenzake
|
|
4 | 1 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu. - Kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu. - Kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano. |
- Andika kifungu cha maneno 30 kuhusu uzalendo. Fuata hatua hizi wakati wa kuandika. - Tayarisha mambo ambayo utaandika. - Andika nakala ya kwanza. - Soma kifungu ulichoandika. - Rekebisha makosa katika kifungu chako. - Andika nakala safi kwa hati nadhifu. |
Unaandika kuhusu nini katika uzalendo?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 12
Vifaa vya kidijitali |
Kupanga maudhui ya kuandika
Kufuata hatua za uandishi
Kurekebisha makosa
Kuandika nakala safi
|
|
4 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi ya yeye na wao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi. - Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi. - Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano. |
- Kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu yeye na wao kutoka kwa mwalimu au kifaa cha kidijitali. - Kutambua neno yeye na wao kutoka kifungu alichokisikiliza. - Kusoma vifungu na kutambua neno yeye na wao akiwa na wenzake au katika kikundi. |
Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 14
Picha zinazoonyesha yeye na wao Vifaa vya kidijitali |
Kutambua maneno yeye na wao
Kutaja sentensi zenye yeye na wao
Kutofautisha yeye na wao
|
|
4 | 3 |

4 | 4 |

- Kujaza mapengo kwa kutumia yeye na wao. - Kutumia yeye na wao katika kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi k.m. Yeye anasoma - wao wanasoma. - Kusoma sentensi sahihi zenye maneno yeye na wao. |
Unaweza kutunga sentensi gani ukitumia maneno yeye na wao?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 15
Picha Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye maneno yeye na wao
Kujaza mapengo kwa maneno yeye na wao
Kuigiza mazungumzo
|
|
5 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya yeye na wao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi. - Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi. - Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano. |
- Shirikiana na wenzako kutunga sentensi mkitumia neno yeye au wao kueleza kuhusu picha. - Ukiwa na mwenzako, igizeni mazungumzo mkitumia maneno yeye na wao. - Kuandika sentensi na kujaza pengo kwa maneno yeye na wao. |
Unaweza kutofautisha vipi matumizi ya yeye na wao?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 16
Picha mbalimbali Matini ya mwalimu |
Kutunga sentensi sahihi
Kujaza mapengo kwa usahihi
Kuigiza mazungumzo kwa ufasaha
|
|
5 | 2 |

5 | 3 |

5 | 4 |
SHAMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini. - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini. - Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini. - Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini. - Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi. |
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini ya kutamkwa au kuandikwa. - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili. - Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini ya kutamkwa au kuandikwa. - Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili. |
Je, kwa nini ni muhimu kutambua sauti za lugha fulani?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 18
Chati ya vokali Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vokali za Kiswahili
Kutamka vokali ipasavyo
Kutofautisha kati ya vokali na konsonanti
|
|
6 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini. - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini. - Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini. - Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini. - Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi. |
- Kusikiliza vokali za Kiswahili (a, e, i, o, u) zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kutambua vokali. - Kutambua vokali za Kiswahili katika kifungu kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwenye vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kutamka maneno, sentensi au kifungu chenye sauti za Kiswahili akiwa na wenzake. |
Je, unajua kutamka sauti gani za Kiswahili?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 19
Chati ya konsonanti Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutamka vokali na maneno zenye vokali
Kubaini vokali katika maneno
Kutamka sentensi zenye vokali mbalimbali
|
|
6 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini. - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini. - Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini. - Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini. - Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi. |
- Kusikiliza konsonanti za Kiswahili (b, ch, d, dh, f, g, gh, h, j, k, l, m, n, ng', ny, p, r, s, sh, t, th, v, w, y, z) zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kutambua konsonanti. - Kujirekodi akitamka sauti za Kiswahili akitumia vifaa vya kidijitali na kujitathmini pamoja au kutathminiwa na wenzake. - Kutamka sauti za Kiswahili ipasavyo naye mzazi au mlezi ampe maoni yake. |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 21
Vifaa vya kidijitali Chati za sauti za Kiswahili |
Kutamka konsonanti kwa usahihi
Kutambua konsonanti katika maneno
Kujirekodi akitamka sauti za Kiswahili
|
|
6 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kutambua sauti lengwa (/bw/, /fy/, /kw/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake. - Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. - Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika akiwa na wenzake. |
Je, utafanya mambo gani unaposoma ili uweze kusikika vizuri?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 23
Vitabu vya hadithi Chati za silabi na maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutamka silabi za sauti lengwa
Kusoma maneno kwa ufasaha
Kutambua sauti lengwa katika maneno
|
|
6 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 47 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) akiwa na wenzake. - Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akiwa na wenzake. - Kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali, n.k. akiwa na wenzake akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo na ishara zifaazo. |
Je, kwa nini ni muhimu kusoma kwa ufasaha?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 24
Hadithi ya "Bwana Komu" Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kwa kasi inayofaa
Kuzingatia viakifishi
Kutumia ishara mwafaka unaposoma
|
|
7 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo. - Tumia kifaa cha kidijitali kuwasomea wenzako kifungu kuhusu shambani. Zingatia mambo haya: sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo, ishara zifaazo. - Waombe wenzako watoe maoni kuhusu jinsi ulivyowasomea. |
Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 25
Vifaa vya kidijitali Hadithi kuhusu shambani |
Kusoma kwa ufasaha
Kuzingatia vigezo vyote vya usomaji bora
Kuitikia maoni ya wenzake
|
|
7 | 2 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua herufi kubwa katika matini. - Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo. - Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano. |
- Kutazama mfano wa uendelezaji ufaao wa maumbo ya herufi kubwa kwenye kifaa cha kidijitali. - Kutambua herufi kubwa katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. - Kunakili kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa. |
Kwa nini tunatumia hati nadhifu kati uandishi?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 26
Chati za herufi kubwa Vifaa vya kidijitali Kifungu cha "Pato na Kaleki" Stadi za Kiswahili Moran, uk. 28 Kifungu cha "Reki ya jirani" |
Kutambua herufi kubwa katika kifungu
Kunakili kifungu kwa kuzingatia herufi kubwa
Kutofautisha matumizi ya herufi kubwa na ndogo
|
|
7 | 3 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua herufi kubwa katika matini. - Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo. - Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano. |
- Andika kifungu cha hadithi cha maneno thelathini. Tumia maumbo ya herufi kubwa ifaavyo katika hadithi yako. Fuata hatua hizi: - Tayarisha mambo ambayo utaandika. - Andika nakala ya kwanza. - Soma kifungu chako na urekebishe makosa. - Andika nakala safi. |
Ni mahali gani unapotumia herufi kubwa?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 29
Karatasi ya kuandikia Vifaa vya kidijitali |
Kutumia herufi kubwa ipasavyo
Andika hadithi kwa kuzingatia herufi kubwa
Kufuata hatua zote za uandishi
|
|
7 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi. - Kutunga sentensi katika umoja na wingi. - Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi. |
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake (k.v. mimi ninapanda mti - sisi tunapanda miti, mimi ninapenda kulima - sisi tunapenda kulima). - Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake. |
Je, kwa nini unahitaji kutaja vitu katika hali ya umoja na wingi?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 30
Picha zinazoonyesha umoja na wingi Chati za sentensi katika umoja na wingi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua sentensi katika umoja na wingi
Kujaza pengo kwa maneno ya umoja au wingi
Kutunga sentensi katika umoja na wingi
|
|
8 | 1 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi. - Kutunga sentensi katika umoja na wingi. - Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi. |
- Aambatanishe umoja na wingi wa sentensi alizopewa kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali, n.k. akiwa na wenzake. - Kuigiza michezo inayohusisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake. - Kutunga sentensi katika umoja na wingi wa sentensi akiwa na wenzake. |
Utajuaje kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 32
Kadi zenye sentensi za umoja na wingi Vifaa vya kidijitali |
Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi
Kucheza mchezo wa sentensi za umoja na wingi
Kutunga sentensi katika umoja na wingi
|
|
8 | 2 |

8 | 3 |

8 | 4 |

- Kuwasiliana na mzazi au mlezi akitumia sentensi katika hali ya umoja na wingi ipasavyo. - Shirikiana na wenzako kutunga sentensi katika umoja na wingi. - Msomee mzazi au mlezi wako sentensi ambazo uliandika katika umoja na wingi. |
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno mimi na sisi?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 33
Karatasi za kuandikia Vifaa vya kidijitali |
Kutumia umoja na wingi wa sentensi katika mawasiliano
Kutunga sentensi kwa kuzingatia umoja na wingi
Kusahihisha makosa katika sentensi
|
|
9 | 1 |
MIEZI YA MWAKA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maneno ya Heshima na Adabu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno ya heshima na adabu katika matini. - Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano. - Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano. |
- Kutazama michoro, picha au video inayowasilisha vitendo vya heshima na adabu akiwa na wenzake. - Kutambua maneno ya adabu na heshima kutoka kwa michoro, picha au video aliyotazama (tasfida) k.v. kwenda msalani, haja kubwa, haja ndogo, kuendesha. - Kuigiza mazungumzo yanayoonyesha matumizi ya maneno ya heshima na adabu akishirikiana na wenzake. |
Je, ni kwa nini tunatumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 34
Picha za matumizi ya maneno ya heshima na adabu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua maneno ya heshima na adabu
Kutumia maneno ya heshima na adabu
Kuigiza mazungumzo yanayoonyesha adabu
|
|
9 | 2 |

9 | 3 |

- Tumia kifaa cha kidijitali kutazama picha ambazo zinaonyesha vitendo vya heshima na adabu. Shirikiana na wenzako kufanya hivyo. - Ni maneno gani ya heshima na adabu yanayoweza kutumiwa kueleza picha mlizotazama? Watajie. - Shirikiana na mwenzako kuigiza mazungumzo yanayoonyesha matumizi ya maneno ya heshima na adabu. |
Ni maneno gani yanayoonyesha heshima na adabu?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 36
Vifaa vya kidijitali Picha za heshima na adabu |
Kutambua na kutumia maneno ya heshima na adabu
Kuigiza mazungumzo ya kiheshima
Kueleza picha kwa kutumia maneno ya heshima
|
|
9 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maneno ya Heshima na Adabu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno ya heshima na adabu katika matini. - Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano. - Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano. |
- Shirikiana na mwenzako kukamilisha sentensi za maneno ya heshima na adabu. - Watungie wenzako sentensi sahihi ukitumia maneno ya heshima na adabu. - Kujadiliana na mzazi au mlezi maneno ya heshima na adabu katika jamii yake. |
Ni maneno gani ya heshima na adabu yanayotumika katika jamii yako?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 37
Kadi za maneno ya heshima na adabu Sentensi za kukamilisha |
Kutumia maneno ya heshima na adabu katika sentensi
Kukamilisha sentensi kwa usahihi
Kutambua maneno ya heshima kutoka katika jamii
|
|
10 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kusikiliza au kutazama nyimbo kuhusu majina ya miezi ya mwaka kwenye kifaa cha kidijitali. - Kutaja majina ya miezi ya mwaka akiwa na wenzake. - Kuimba nyimbo kuhusu majina ya miezi akiwa na wenzake. - Kusoma kifungu chepesi cha maneno 55-60 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. Januari, Februari, Machi, Aprili, Mei, Juni, Julai, Agosti, Septemba, Novemba, Disemba) akiwa na wenzake. |
Je, ni mambo yapi unaweza kujifunza kutokana na unachokisoma?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 38
Vifaa vya kidijitali Wimbo wa miezi ya mwaka Kifungu cha "Miezi kumi na miwili" |
Kutaja majina ya miezi ya mwaka
Kutambua msamiati kuhusu miezi ya mwaka
Kuimba nyimbo kuhusu miezi
|
|
10 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake. - Kushirikiana na wenzake kufanya maigizo kuhusu majina ya miezi ya mwaka. - Kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake. - Kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu. |
Je, unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 39
Picha za kupendekeza hadithi Vifaa vya kidijitali Kifungu cha "Shamba letu" |
Kueleza ujumbe wa kifungu
Kutabiri matukio kutokana na picha
Kusoma na kueleza kifungu kwa ufasaha
|
|
10 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma. - Kufafanua mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kumsomea mzazi au mlezi majina ya miezi ya mwaka aliyojifunza ili amtolee maoni. |
Umejifunza nini kutokana na kifungu cha Shamba letu?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 40
Vifaa vya kidijitali Kifungu cha "Shamba letu" |
Kuthibitisha utabiri wa hadithi
Kueleza mafunzo kutoka kwa hadithi
Kumsomea mzazi majina ya miezi
|
|
10 | 4 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu. - Kuandika kifungu akitumia herufi ndogo ifaavyo. - Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi ndogo ifaavyo. |
- Kutazama mfano wa uendelezaji ufaao wa maumbo ya herufi ndogo kwenye kifaa cha kidijitali. - Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ifaavyo katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali n.k. akiwa na wenzake. - Kunakili kifungu akizingatia mwendelezo ufaao wa herufi ndogo. |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika herufi ndogo ifaavyo?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 42
Chati ya herufi ndogo Vifaa vya kidijitali Kifungu cha "Sherehe za Jamhuri" |
Kutambua herufi ndogo katika kifungu
Kunakili kifungu kwa mwendelezo ufaao wa herufi ndogo
Kutofautisha herufi ndogo na herufi kubwa
|
|
11 | 1 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu. - Kuandika kifungu akitumia herufi ndogo ifaavyo. - Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi ndogo ifaavyo. |
- Kuandika kifungu chenye maneno 55-60 akizingatia maumbo ya herufi ndogo ifaavyo akizingatia hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake. - Kushirikiana na wenzake kuandika kifungu kifupi akizingatia mwendelezo ufaao wa herufi ndogo. |
Je, ni wapi herufi ndogo hutumiwa katika uandishi?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 44
Vifaa vya kidijitali Kifungu cha "JANUARI HADI JULAI" |
Kuandika kifungu chenye herufi ndogo kwa usahihi
Kufuata hatua za uandishi
Kushirikiana na wenzake kuandika
|
|
11 | 2 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu. - Kuandika kifungu akitumia herufi ndogo ifaavyo. - Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi ndogo ifaavyo. |
- Kuwaonyesha wenzake kifungu alichoandika akizingatia maumbo ya herufi ndogo ili waitolee maoni. - Andika daftarini kifungu kifupi kuhusu miezi ya mwaka. Pia, unaweza kutumia kifaa cha kidijitali kuandika. Fuata hatua hizi: - Tayarisha mambo ambayo utaandika. - Andika nakala ya kwanza. - Soma kifungu chako na urekebishe makosa. - Andika nakala safi. |
Utaandika kuhusu nini katika miezi ya mwaka?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 45
Vifaa vya kidijitali Karatasi za kuandikia |
Kuandika na kusoma kifungu kwa hati nadhifu
Kuzingatia matumizi ya herufi ndogo
Kufuata hatua zote za uandishi
|
|
11 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno yule na wale
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua matumizi ya neno yule na wale katika kifungu. - Kutumia neno yule na wale katika sentensi. - Kuchangamkia matumizi ya neno yule na wale katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua matumizi ya neno yule na wale kutoka kwenye chati, kitabu, vyombo vya kidijitali nk. akiwa na wenzake. - Kusilikiliza kifungu au wimbo kuhusu matumizi ya neno yule na wale kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kujadili matumizi yake akiwa na wenzake. - Kusoma sentensi zilizotumia neno yule na wale kutoka kwenye chati, kitabu, vifaa vya kidijitali akiwa akiwa na wenzake. |
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno yule na wale?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 46
Picha zinazoonyesha yule na wale Kifungu kinachotumia yule na wale Vifaa vya kidijitali |
Kutambua maneno yule na wale
Kusoma sentensi zinazotumia yule na wale
Kueleza matumizi ya yule na wale
|
|
11 | 4 |

12 | 1 |

- Kuigiza vitendo vya kuwaashiria watu mbalimbali kwa kutumia neno yule na wale akiwa na wenzake. - Kuandika sentensi akitumia yule na wale (k.v Mtoto yule anacheza - watoto wale wanacheza) na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni. - Kujaza nafasi ili akamilishe sentensi akitumia yule na wale. |
Ni maneno gani mengine yanayotumika kama yule na wale?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 47
Picha za watu na vitu mbalimbali Vifaa vya kidijitali Kadi maneno |
Kuigiza matumizi ya yule na wale
Kuandika sentensi zenye yule na wale
Kujaza nafasi kwa maneno yule na wale
|
|
12 | 2 |

12 | 3 |

- Kumsomea mzazi au mlezi kazi aliyoandika kuhusu matumizi ya yule na wale. - Tumia majina ya watu na vitu kutunga sentensi zenye neno yule au wale. - Jaza nafasi wazi katika sentensi kwa kutumia neno yule au wale. |
Unaweza kutofautisha vipi matumizi ya yule na wale?
|
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 48
Kadi zenye majina ya watu na vitu Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi kuhusu miezi ya mwaka kwa kutumia yule na wale
Kujaza pengo kwa maneno yule na wale
Kutofautisha matumizi ya yule na wale
|
|
12 | 4 |

Your Name Comes Here