If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 2 |
UWEKEZAJI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika |
Kutoa Masimulizi
Kusoma kwa Ufasaha Ukanushaji: Nafsi na Wakati Ukanushaji: Nafsi na Wakati Ukanushaji: Nafsi na Wakati Ukubwa na udogo wa nomino Baruapepe Kutoa Masimulizi Kusoma kwa Ufasaha Ukubwa na udogo wa nomino Ukubwa na udogo wa nomino Ukubwa na udogo wa nomino Baruapepe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusimulia tungo mbele ya wenzake kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lugha - Kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake - Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza masimulizi yakitolewa na mwalimu au mgeni mwalikwa - Kujadiliana na wenzake kuhusu masimulizi waliyosikiliza - Kutambua maudhui ya masimulizi - Kutambua wahusika katika masimulizi - Kutambua ishara za mwili zinazotumika katika masimulizi |
Je, ni nini unachozingatia katika kutoa masimulizi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 167
Mifano ya masimulizi Vifaa vya kidijitali Picha Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 169 Picha ya mtu akisoma Chati ya mambo ya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 174 Picha na sentensi Chati ya viambishi vya nafsi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 177 Michoro/picha Tarakilishi/vipakatalishi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 178 Kadi za sentensi zenye viambishi vya wakati Chati ya viambishi vya wakati Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 181 Picha za nomino Chati ya nomino zinazoanza kwa herufi m Kapu la maneno Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 172 Mfano wa baruapepe Chati ya muundo wa baruapepe Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 168 Picha mbalimbali Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 170 Kifungu cha habari "Bidii ya Marimari" Saa ya kupimia muda Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 184 Picha za nomino katika hali ya wastani na udogo Chati ya nomino zinazoanza kwa herufi m katika hali ya udogo Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 188 Picha za nomino zinazoanza kwa herufi n Chati ya nomino katika hali ya wastani na ukubwa Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 192 Chati ya nomino zinazoanza kwa herufi n katika hali ya udogo Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 173 Tarakilishi/vipakatalishi Mtandao |
Kutoa masimulizi
Kutumia ishara za mwili
Kusimulia kwa ufasaha
|
Your Name Comes Here