If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
MAGONJWA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Sarufi Sarufi |
Mazungumzo ya Kimuktadha: Miktadha Rasmi
Kusoma kwa Mapana: Matini Kusoma kwa Mapana: Matini Vinyume vya Vitenzi Vinyume vya Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua miktadha mbalimbali kunakotumiwa lugha rasmi ili kukuza mawasiliano - kutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasiliano - kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kutazama picha zinazoonyesha watu katika miktadha rasmi (k.v. hospitalini, ofisini, mahakamani, bungeni) - kueleza mahali ambako watu wapo katika picha hizo - kueleza kama mazingira hayo ni rasmi au sio rasmi - kuchagua miktadha rasmi kutoka kwa orodha iliyopeanwa - kutaja mahali pengine ambapo lugha rasmi inaweza kutumiwa |
Tunaitumia lugha rasmi wakati gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 138
Picha za watu katika miktadha mbalimbali Orodha ya miktadha rasmi na yasiyo rasmi Chati ya miktadha rasmi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 141 Majarida, vitabu na magazeti Jedwali la matini mbalimbali Mtandao salama Matini alizochagua mwanafunzi Daftari la mwanafunzi Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 145 Picha zinazoonyesha vitendo kinyume Jedwali la vitenzi na vinyume vyake Chati ya maneno mbalimbali Sentensi zenye vitenzi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 146 Picha za shangazi akianika na kuanua nguo Sentensi zenye vitenzi vilivyopigiwa mstari Sentensi zenye nafasi za kujaza Orodha ya vitenzi |
Kutambua miktadha rasmi
Kutofautisha miktadha rasmi na yasiyo rasmi
Kutaja mahali ambapo lugha rasmi hutumiwa
Kueleza sababu za kutumia lugha rasmi
|
|
1 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika |
Insha za Maelezo
Mazungumzo ya Kimuktadha: Miktadha Rasmi Kusoma kwa Mapana: Matini Vinyume vya Vitenzi Insha za Maelezo Tashbihi: Tashbihi za Tabia Matini ya Kidijitali Nyakati na Hali: Hali ya Mazoea Nyakati na Hali: Hali ya Mazoea Insha ya Masimulizi Tashbihi: Tashbihi za Tabia Matini ya Kidijitali Nyakati na Hali: Hali Timilifu Nyakati na Hali: Hali Timilifu Insha ya Masimulizi Kutoa Masimulizi Kusoma kwa Ufasaha Ukanushaji: Nafsi na Wakati Ukanushaji: Nafsi na Wakati Ukanushaji: Nafsi na Wakati Ukubwa na udogo wa nomino Baruapepe Kutoa Masimulizi Kusoma kwa Ufasaha Ukubwa na udogo wa nomino Ukubwa na udogo wa nomino Ukubwa na udogo wa nomino Baruapepe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali - kuandika insha ya maelezo kwa kufuata mtindo na muundo ufaao - kuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- kusoma insha ya maelezo kuhusu jinsi ya kudhibiti magonjwa - kutaja mada ya insha hiyo - kujadili ujumbe wa insha hiyo - kutambua muundo wa insha hiyo (kichwa, utangulizi, mwili, hitimisho) - kueleza sifa za insha ya maelezo - kubainisha vipengele muhimu katika insha ya maelezo |
1. Je, umewahi kuandika insha ya maelezo?
2. Uliandika insha ya maelezo kuhusu mada gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 142
Insha ya maelezo kuhusu jinsi ya kudhibiti magonjwa Chati ya muundo wa insha ya maelezo Orodha ya sifa za insha ya maelezo Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 139 Mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa Vifaa vya kidijitali kwa maigizo Chati ya sifa za lugha rasmi Mtandao salama Matini mbalimbali za kidijitali Kamusi ya Kiswahili Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 147 Jedwali la vitenzi na vinyume vyake Sentensi zenye vitenzi Orodha ya miktadha Daftari la mwanafunzi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 143 Vidokezo vya kuandaa insha Kalamu na penseli Mifano ya insha za maelezo Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 150 Picha za tashbihi za tabia Vifaa vya kidijitali Chati zenye tashbihi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 154 Picha za vifaa vya kidijitali Tarakilishi/vipakatalishi Orodha ya hatua za kiusalama Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 159 Kapu maneno Sentensi zenye vitenzi katika hali ya mazoea Picha zinazoonyesha vitendo vya kila siku Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 161 Kapu la vitenzi Sentensi zenye vitenzi katika hali ya mazoea Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 156 Mfano wa insha ya masimulizi "SHEREHE NILIYOHUDHURIA" Chati ya muundo wa insha ya masimulizi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 151 Kifungu cha habari "Kijiji cha ltikadi" Kapu la tashbihi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 155 Mtandao Faili zenye vifungu vya kusoma Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 162 Picha zinazoonyesha vitendo vilivyokamilika Kapu la vitenzi katika hali timilifu Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 163 Kadi za sentensi zenye vitenzi katika hali timilifu Orodha ya vitenzi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 158 Orodha ya mada za insha Tarakilishi/vipakatalishi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 167 Mifano ya masimulizi Picha Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 169 Picha ya mtu akisoma Chati ya mambo ya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 174 Picha na sentensi Chati ya viambishi vya nafsi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 177 Michoro/picha Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 178 Kadi za sentensi zenye viambishi vya wakati Chati ya viambishi vya wakati Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 181 Picha za nomino Chati ya nomino zinazoanza kwa herufi m Kapu la maneno Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 172 Mfano wa baruapepe Chati ya muundo wa baruapepe Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 168 Picha mbalimbali Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 170 Kifungu cha habari "Bidii ya Marimari" Saa ya kupimia muda Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 184 Picha za nomino katika hali ya wastani na udogo Chati ya nomino zinazoanza kwa herufi m katika hali ya udogo Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 188 Picha za nomino zinazoanza kwa herufi n Chati ya nomino katika hali ya wastani na ukubwa Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 192 Chati ya nomino zinazoanza kwa herufi n katika hali ya udogo Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 173 Mtandao |
Kutambua vipengele vya insha ya maelezo
Kubainisha utangulizi, mwili na hitimisho wa insha
Kueleza ujumbe wa insha ya maelezo
Kueleza sifa za insha ya maelezo
|
Your Name Comes Here