Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 2
USAFI WA MAZINGIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua silabi zenye sauti lengwa (/dh/, /th/, /ch/) katika matini.
- Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa kwa ufasaha.
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano.
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano.

- Kutambua silabi zenye sauti lengwa (/dh/, /th/ na /ch/) katika kadi maneno, chati, mti maneno, au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake.
- Kusikiliza maneno yenye silabi zenye sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali.
- Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa; atamke na mwalimu na mwishowe atamke akiwa na wenzake.
- Kusikiliza sentensi zenye maneno yenye sauti lengwa kutoka kwa mwalimu au vifaa vya kidijitali na kutambua sauti lengwa.
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 82
Kadi maneno
Chati
Mti maneno
Vifaa vya kidijitali
- Kutambua silabi zenye sauti lengwa katika maneno - Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa kwa usahihi - Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika sentensi
1 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua silabi zenye sauti lengwa (/dh/, /th/, /ch/) katika matini.
- Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa kwa ufasaha.
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano.
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano.

- Kusikiliza kifungu na kutambua sauti lengwa akiwa na wenzake.
- Kusoma kwa sauti kifungu kifupi kilicho na sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa akisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi.
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kifupi kwa kuzingatia matamshi bora.
Je, matamshi bora hufanikisha vipi mawasiliano?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 83
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 84
Video za kidijitali
Chati za maneno
Mashairi na nyimbo
- Kutambua maneno yenye sauti lengwa katika matini - Kutamka maneno yenye sauti lengwa kwa usahihi - Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika maongezi
1 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.

- Kutambua sauti lengwa (/dh/, /th/ na /ch/) katika kifungu chepesi kuhusu usafi wa mazingira akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika.
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 51 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi).
- Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo.
Je, utafanya nini ili kusikika vizuri unaposoma?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 85
Matini ya usafi wa mazingira
Vifaa vya kidijitali
Kifungu chenye sauti lengwa
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 86
Hadithi fupi
Vitabu vyenye hadithi
- Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti lengwa kwa usahihi - Kusoma kwa sauti inayosikika vizuri - Kusoma kwa kuzingatia kasi inayofaa - Kusoma kwa kutumia ishara zinazofaa
2 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Imla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.

- Kujirekodi akisoma kifungu na kusikiliza kutathmini usomaji wake.
- Kusikiliza na kusoma pamoja na mwenzake kifungu kwa kuzingatia ufasaha.
- Kumsomea mwalimu kifungu mfupi kwa kuzingatia yote aliyojifunza.
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi, sauti inayosikika, kasi na ishara zifaazo.
Je, ni vipi unaweza kuboresha usomaji wako?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 87
Rekoda za sauti
Vifaa vya kurekodia
Kifungu chenye sauti lengwa
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 88
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Chati na kadi maneno
- Kujirekodi na kujisahihisha - Kusoma kwa ufasaha akiwa na mwenzake - Kusoma kifungu kizima kwa kufuata maagizo
2 2
Kuandika
Imla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo.
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo.
- Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi.

- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yatakayotamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akizingatia kanuni za uandishi (k.v matumizi ya herufi kubwa na ndogo, tahajia, nafasi baina ya maneno).
- Kujadili na wenzake kifungu alichokiandika ili kukitathmini.
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika akizingatia kanuni za uandishi zifaazo.
Je, ni kanuni zipi za uandishi unazozingatia katika imla?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 89
Matini ya mwalimu
Kiungo cha kusikiliza
Imla iliyoandikwa
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 90
Karatasi ya kuandikia
Matini ya imla
Orodha ya maneno yenye sauti lengwa
- Kuandika kifungu cha imla kikamilifu - Kuzingatia kanuni za uandishi katika imla - Kusahihisha makosa katika imla aliyoandika
2 3
Sarufi
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano.
- Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kufurahia kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku.

- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu kwa kurejelea vitu halisi katika mazingira yake, kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake.
- Kusikiliza maelezo kuhusu matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali.
- Kutunga sentensi akitumia maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu akiwa na wenzake.
Je, vitu katika mazingira yako yana rangi gani?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 91
Vitu vya rangi mbalimbali
Picha na chati za rangi
Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 92
Kadi maneno
Matini ya mwalimu
Sentensi zenye maneno husika
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi - Kutumia maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi - Kujaza pengo kwa -eupe, -eusi, -ekundu
2 4
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano.
- Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kufurahia kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku.

- Kuandika sentensi kuhusu usafi wa mazingira akitumia maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu.
- Kufanya zoezi la kuambatanisha vitu na rangi zake kwa kutumia maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu.
- Kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi alizotunga kwa kutumia maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu.
Je, unaweza kutaja vitu vyenye rangi nyeupe, nyeusi na nyekundu?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 93
Picha za vitu vya rangi mbalimbali
Mazoezi ya kuandika
Maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 97
Picha zenye maagizo
Chati ya maagizo
Vifaa vya kidijitali
- Kuandika sentensi sahihi kwa kutumia maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu - Kuambatanisha vitu na rangi zake sahihi - Kutumia maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano
3 1
DUKANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua maagizo mepesi yanayotolewa darasani.
- Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani.
- Kufurahia kuzingatia maagizo katika maisha ya kila siku.

- Kushiriki katika mjadala wa maagizo yafaayo na yasiyofaa kufuatwa akiwa na wenzake.
- Kuimba nyimbo na kukariri mashairi mepesi yanayohusu maagizo akiwa na wenzake.
- Kuigiza maagizo mepesi akiwa na wenzake.
Je, unazingatia nini ukitoa maagizo?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 98
Nyimbo na mashairi ya maagizo
Picha zenye maagizo
Vifaa vya kuigiza
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 99
Miundo mbalimbali ya maagizo
Chati ya mchezo wa maagizo
Wimbo wa maagizo
- Kutofautisha maagizo yafaayo na yasiyofaa - Kufuata maagizo kwa makini - Kuigiza utoaji wa maagizo
3 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.

- Kutambua msamiati unaohusiana na duka katika kifungu chepesi cha maneno.
- Kutazama picha inayohusiana na kifungu cha ufahamu na kutabiri kilichomo katika kifungu.
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno 65-70 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. duka, bidhaa, pesa, uza, nunua, chenji, mteja, muuzaji) akiwa na wenzake.
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake.
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 100
Kifungu cha ufahamu
Picha zenye shughuli za dukani
Kadi za msamiati wa dukani
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 101
Chati
Picha
Vifaa vya kidijitali
- Kutambua msamiati wa suala lengwa - Kueleza ujumbe wa kifungu kikamilifu - Kutabiri kitakachotokea kutokana na picha
3 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu
Uandishi wa Insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.

- Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano.
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake.
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati wa duka.
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu duka liliyosomwa darasani.
Unafanya nini ili kulielewa vyema kifungu unachokisoma?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 102
Vitabu vya hadithi fupi
Vifaa vya kidijitali
Picha zenye msamiati wa dukani
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 103
Chati ya vipengele vya insha
Kielelezo cha insha
- Kutumia msamiati wa duka katika sentensi - Kueleza mafunzo ya kifungu kwa usahihi - Kutunga sentensi sahihi kutokana na msamiati wa duka
3 4
Kuandika
Uandishi wa Insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha.
- Kuandika kisa cha kati ya maneno 85-90 kuhusu suala lengwa akizingatia kanuni za uandishi.
- Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi.

- Kutambua kanuni muhimu za uandishi (k.v. hati nadhifu, maudhui, mtiririko).
- Kuandika kisa kifupi kuhusu suala lengwa na kujadili na wenzake; kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi na kuwasomea wenzake.
- Kumsomea kifungu kisha amwonyeshe mzazi au mlezi.
Je, insha inayoeleweka vizuri ina sifa gani?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 104
Vipengele vya insha
Vifaa vya kuandikia
Mifano ya insha
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 105
Karatasi ya kuandikia
Vitabu vya kusomea
Marejeleo ya msamiati
- Kuandika kisa kifupi kwa kuzingatia hatua tano za uandishi - Kutumia msamiati wa dukani katika insha - Kuandika kwa mtiririko unaoeleweka
4 1
Sarufi
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi.
- Kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi kwa usahihi.
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika mawasiliano ya kila siku.

- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja katika sentensi kama "Yeye haendi dukani" kutoka kwenye kitabu, picha, chati au kifaa cha kidijitali.
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja katika sentensi kwa kukipigia mstari.
- Kujaza nafasi kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja panapohitajika.
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno haendi, hajafika, hajafagia?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 106
Vifaa vya kidijitali
Kadi za sentensi
Picha zenye vitendo
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 107
Mifano ya sentensi
Kadi za mchezo wa kuambatanisha
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja katika sentensi - Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja - Kujaza pengo kwa ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja
4 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi.
- Kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi kwa usahihi.
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika mawasiliano ya kila siku.

- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi katika sentensi kama "Wao hawaendi dukani" kutoka kwenye kitabu, picha, chati au kifaa cha kidijitali.
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi katika sentensi kwa kukipigia mstari.
- Kujaza nafasi kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi panapohitajika.
- Kutunga sentensi na vifungu kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi ipasavyo kuhusu suala la dukani.
Je, ukanushaji wa nafsi ya tatu, wingi hutumiwa vipi katika maongezi ya kila siku?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 109
Kitabu cha mwanafunzi
Mifano ya ukanushaji
Kadi za sentensi
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 112
Kadi maneno
Picha za ndege
Vifaa vya kidijitali
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi katika sentensi - Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi - Kutambua tofauti kati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi
4 3
NDEGE NIMPENDAYE

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua silabi zenye sauti lengwa (/mbw/, /nd/, /ny/) katika matini.
- Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa kwa ufasaha.
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano.
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano.

- Kusikiliza sentensi zenye maneno yenye sauti lengwa (/mbw/, /nd/, /ny/) kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali na kutambua sauti lengwa akishirikiana na wenzake.
- Kutamka maneno yanayofuata baada ya mwalimu: mbweha, punda, sindano, ndege, nyuma, nyoka, mtumbwi, lumbwi.
- Kutamka silabi zenye sauti mbw, nd na ny katika maneno hayo.
Je, kutamka maneno yenye sauti /mbw/, /nd/ na /ny/ ipasavyo kuna umuhimu gani?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 113
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Picha zenye maneno ya sauti lengwa
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 114
Kifungu cha hadithi
Vifaa vya kurekodi
Video za kusaidia matamshi
- Kutambua silabi zenye sauti lengwa katika sentensi - Kutamka silabi zenye sauti lengwa ipasavyo - Kutamka maneno yenye sauti lengwa kwa usahihi
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.

- Kutambua sauti lengwa (/mbw/, /nd/, /ny/) katika kifungu chepesi kuhusu ndege akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 53 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi).
Je, utafanya nini ili kusikika vizuri unaposoma?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 115
Kifungu cha hadithi kuhusu ndege
Picha za ndege
Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 116
Kifungu kuhusu "Viumbe wa Mungu"
Orodha ya maneno yenye sauti lengwa
- Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti lengwa kwa usahihi - Kusoma kwa sauti inayosikika vizuri - Kusoma kwa kuzingatia kasi inayofaa
5 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Tahajia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.

- Kusoma kifungu mara kadhaa ili kuboresha kasi ya usomaji.
- Kufanya mazoezi ya kutumia ishara za mikono na uso wakati wa kusoma.
- Kujipima idadi ya maneno anayoweza kusoma kwa dakika moja.
- Kubaini makosa ya usomaji na kuyasahihisha.
Je, usomaji mzuri wa kifungu una sifa gani?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 117
Hadithi fupi kuhusu ndege
Saa ya kupima muda
Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 118
Orodha ya maneno
Kifaa cha kidijitali
Mifano ya herufi
- Kusoma kwa kasi inayofaa - Kuheshimu alama za uakifishaji - Kujisahihisha wakati wa kusoma - Kuongeza kasi ya usomaji
5 2
Kuandika
Tahajia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha.
- Kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno.
- Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi.

- Kutambua tahajia sahihi za maneno yanayohusu ndege katika kifungu mfano.
- Kuchagua neno lililoandikwa vizuri kati ya maneno mawili yanayokaribiana kwa matamshi.
- Kuandika maneno yenye tahajia sahihi kwa herufi nadhifu katika daftari lake.
Je, unafanya nini kuepuka makosa ya tahajia katika maandishi yako?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 119
Kifungu cha maneno
Chati ya maneno
Picha za ndege
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 120
Mifano ya insha
Vifaa vya kuandikia
Kamusi ndogo
- Kuchagua neno lenye tahajia sahihi - Kuandika maneno kwa tahajia sahihi - Kutofautisha maneno yenye tahajia zinazofanana
5 3
Sarufi
Matumizi ya neno hili na haya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua matumizi ya neno hili katika sentensi.
- Kutumia neno hili ipasavyo katika sentensi.
- Kuchangamkia matumizi ya neno hili katika mawasiliano.

- Kutambua neno hili katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake.
- Kunakili kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa na matumizi ya neno hili.
- Kuandika kifungu chenye maneno 25-30 akizingatia matumizi ya neno hili ipasavyo na kuwasomea wenzake.
Je, neno "hili" hutumiwa vipi katika mawasiliano?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 120
Vifaa vya kidijitali
Picha za vifaa
Chati ya maneno
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 122
Picha za vitu vingi
Chati ya sentensi zenye neno "haya"
Kadi maneno
- Kutambua matumizi ya neno "hili" katika mawasiliano - Kutumia neno "hili" ipasavyo katika sentensi - Kutunga sentensi zenye neno "hili"
5 4
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya neno hili na haya
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua matumizi ya neno hili na haya katika sentensi.
- Kutumia neno hili na haya ipasavyo katika sentensi.
- Kuchangamkia matumizi ya neno hili na haya katika mawasiliano.

- Kutofautisha matumizi ya neno hili na haya katika sentensi.
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia neno hili au haya ipasavyo.
- Kutunga kifungu kifupi ukitumia maneno hili na haya.
- Kulinganisha umoja na wingi wa sentensi zenye maneno hili na haya.
Je, ni kwa nini ni muhimu kutofautisha maneno "hili" na "haya" katika mawasiliano?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 124
Mazoezi ya kuambatanisha
Picha za vitu katika umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 127
Picha za sokoni
Chati za mazungumzo
- Kutofautisha matumizi ya neno "hili" na "haya" - Kujaza pengo kwa neno sahihi kati ya "hili" na "haya" - Kutunga kifungu kwa kutumia neno "hili" na "haya" ipasavyo
6 1
SOKONI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua suala lengwa linalozungumziwa.
- Kuzingatia matamshi bora katika mazungumzo.
- Kujieleza kwa ufasaha kuhusu suala lengwa.
- Kutumia ishara zifaazo katika mazungumzo.
- Kuchangamkia mazungumzo katika mawasiliano ya kila siku.

- Kutamka maneno kwa kuzingatia matamshi yafaayo ya sauti mbalimbali.
- Kueleza habari ambayo zinaleta maana na zenye kufuatana vizuri.
- Kupandisha na kushusha sauti panapohitajika.
- Kutumia ishara mbalimbali zinazohusiana na maelezo yake kuhusu suala lengwa.
Je, ni nini kitatokea usipotumia ishara zifaazo wakati wa mazungumzo?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 128
Mifano ya mazungumzo
Picha za sokoni
Video za mazungumzo
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 129
Hadithi kuhusu soko
Picha za muuzaji na mnunuzi
Vifaa vya kidijitali
- Kuzingatia matamshi bora katika mazungumzo - Kutumia ishara zinazofaa katika mazungumzo - Kufuata miundo ya mazungumzo
6 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.

- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi kutoka kwenye chati, kadi maneno, mti maneno au kifaa cha kidijitali.
- Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano.
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha akiwa na wenzake.
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 129
Kifungu cha hadithi kuhusu soko
Picha za shughuli za sokoni
Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 130
Kitabu cha hadithi
Chati ya msamiati
- Kutambua msamiati wa suala lengwa - Kutabiri matukio katika kifungu - Kueleza ujumbe wa kifungu
6 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.

- Kuhakiki majibu yake kwa kulinganisha utabiri aliokuwa amefanya na kifungu alichokisoma.
- Kuandika maneno matano yanayohusu soko ambayo yametumika katika kifungu.
- Kutunga sentensi kwa kutumia maneno hayo.
- Kutaja mafunzo mbalimbali yanayotokana na kifungu alichosoma.
Unafanya nini ili kulielewa vyema kifungu unachokisoma?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 131
Kadi za msamiati wa sokoni
Picha za bidhaa za sokoni
Daftari la kuandikia
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 132
Mifano ya insha za masimulizi
Picha
Vifaa vya kidijitali
- Kutambua maneno yanayohusiana na soko - Kutunga sentensi kwa kutumia maneno yanayohusiana na soko - Kutambua mafunzo katika kifungu
6 4
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi.
- Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho.
- Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika.
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao.

- Kujadili vigezo vya kutathmini insha ya masimulizi.
- Kutambua wahusika katika insha na jinsi wanavyosaidia kuendeleza masimulizi.
- Kutambua matumizi ya alama za uakifishaji katika insha ya masimulizi.
- Kutambua jinsi mwandishi anavyotumia lugha ya masimulizi kufikisha ujumbe.
Je, wahusika katika insha ya masimulizi wana umuhimu gani?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 133
Mifano ya insha za masimulizi
Chati ya wahusika
Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 134
Vifaa vya kuandikia
Picha za sokoni
Mwongozo wa kutunga insha
- Kutambua wahusika katika insha ya masimulizi - Kutambua alama za uakifishaji katika insha - Kutambua lugha inayotumika katika insha ya masimulizi
7 1
Sarufi
Matumizi ya juu ya, ndani ya na mbele ya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua matumizi ya juu ya katika kifungu.
- Kutumia juu ya ipasavyo katika kifungu.
- Kuchangamkia matumizi ya juu ya katika tungo za kawaida.

- Kutambua matumizi ya juu ya kutoka kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake.
- Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake.
- Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na mwenzake.
- Kutunga sentensi akitumia juu ya.
Je, neno "juu ya" hutumiwa vipi katika mawasiliano?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 134
Picha za vitu juu ya vingine
Vifaa vya kidijitali
Chati ya sentensi
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 136
Picha za vitu ndani ya vingine
- Kutambua maneno yenye "juu ya" katika kifungu - Kujaza pengo kwa kutumia "juu ya" - Kutunga sentensi kwa kutumia "juu ya"
7 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya juu ya, ndani ya na mbele ya
Matamshi Bora: Sauti mb, nz na tw
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua matumizi ya mbele ya katika kifungu.
- Kutumia mbele ya ipasavyo katika kifungu.
- Kuchangamkia matumizi ya mbele ya katika tungo za kawaida.

- Kutambua matumizi ya mbele ya katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake.
- Kusoma sentensi zenye matumizi ya mbele ya akiwa na wenzake.
- Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi zenye matumizi ya mbele ya akiwa na wenzake.
- Kutunga sentensi akitumia mbele ya.
Je, maneno "juu ya", "ndani ya" na "mbele ya" hutumiwa vipi katika mawasiliano?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 139
Picha za vitu mbele ya vingine
Vifaa vya kidijitali
Chati ya sentensi
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 143
Kadi maneno
Chati
Mti maneno
Vifaa vya kidijitali
- Kutambua tofauti kati ya "juu ya", "ndani ya" na "mbele ya" - Kujaza pengo kwa kutumia "mbele ya" - Kutunga sentensi kwa kutumia "mbele ya"
7 3
TEKNOLOJIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti mb, nz na tw
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno na kifungu.
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano.

- Kusikiliza kwa makini sentensi zenye maneno yenye silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka kwenye kifaa cha kidijitali.
- Kusikiliza kifungu na kutambua sauti lengwa akiwa na wenzake.
- Kusoma kwa sauti kifungu kifupi kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake.
Je, kwa nini ni muhimu kutamka maneno kwa ufasaha?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 144
Kadi za sentensi
Vifaa vya kidijitali
Kifungu chenye sauti lengwa
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 145
Kifungu cha "Twiga na Nyani"
Kutamka silabi zenye sauti mb, nz na tw Kutambua sauti lengwa katika kifungu Kusoma kifungu kilicho na sauti lengwa
7 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika.

- Kutambua sauti lengwa (/mb/, /nz/, /tw/) katika kifungu chepesi kuhusu teknolojia akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye maneno ya sauti lengwa kwa sauti inayosikika akiwa na wenzake.
Je, unahakikishaje umesoma kifungu kwa ufasaha?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 146
Picha za watu wanatumia vifaa vya kiteknolojia
Kifungu cha "Vifaa vya kiteknolojia"
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 147
Vifaa vya kidijitali
Kutambua sauti lengwa katika kifungu Kusoma kwa matamshi bora Kusoma kwa sauti inayosikika
8 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa ufasaha.
- Kutambua idadi ya maneno anayoweza kusoma kwa usahihi kwa dakika moja.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.

- Kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo na ishara zifaazo.
- Kujua idadi ya maneno aliyosoma kwa dakika moja kwa kutumia kifaa cha kupima muda.
- Kujaribu kusoma maneno zaidi kwa dakika moja.
Je, unafanya nini ili kuboresha kasi ya kusoma kwako?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 148
Hadithi ya "Twiga nyuma ya mti"
Kifaa cha kupima muda
Vifaa vya kidijitali
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 149
Kielelezo cha insha ya "Kompyuta ya Kazuri"
Chati ya muundo wa insha ya maelezo
Kusoma kifungu kwa ufasaha Kubaini idadi ya maneno anayosoma kwa dakika moja Kupima ufasaha wa usomaji
8 2
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya maelezo kati ya maneno 85-90 akizingatia kanuni za uandishi.
- Kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha ya maelezo.
- Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo ipasavyo ili kuimarisha mawasiliano.

- Kutazama picha ya kompyuta na kueleza mambo ambayo anayajua kuhusu kifaa hicho.
- Kutambua kanuni za uandishi wa insha ya maelezo (k.v. mwandiko nadhifu, mtiririko).
- Kuandika insha ya maelezo kuhusu kompyuta kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha ya maelezo.
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 150
Picha ya kompyuta
Chati ya vipengele vya insha ya maelezo
Karatasi za kuandikia
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 151
Kielelezo cha hatua za uandishi wa insha
Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha ya maelezo Kuzingatia muundo sahihi wa insha ya maelezo Kusoma insha aliyoandika
8 3
Sarufi
Vinyume vya Vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vinyume vya vitendo katika matini.
- Kutamka vinyume vya vitendo kwa usahihi.
- Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku.

- Kutambua vinyume vya vitendo (k.v. fungua-funga, keti-simama, twika-tua) kwenye chati, kitabu au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake.
- Kusikiliza kifungu chenye vinyume vya vitendo kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake.
- Kusoma vinyume vya vitendo katika kifungu akiwa na wenzake.
Je, unajua vinyume vipi vya vitendo?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 152
Picha zinazoonyesha vinyume vya vitendo
Chati mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vinyume vya vitendo katika sentensi Kutaja vinyume vya vitendo mbalimbali Kuambatanisha vitendo na vinyume vyake
8 4
Sarufi
Vinyume vya Vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutumia vinyume vya vitendo ipasavyo katika matini.
- Kuongoza mchezo wa kutaja vinyume vya vitendo.
- Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku.

- Kukamilisha sentensi akitumia vinyume vya vitendo akiwa na wenzake.
- Kutunga sentensi akitumia vinyume vya vitendo na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni.
- Kuigiza vinyume vya vitendo vilivyotumiwa kwenye kifungu akiwa na wenzake.
Unatumikaje vinyume vya vitendo katika mawasiliano ya kila siku?
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 153-154
Karatasi za kujaza nafasi
Kadi za vitendo
Kadi za vinyume vya vitendo
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 155
Kifungu cha "Umuhimu wa simu"
Karatasi za kuorodhesha vinyume
Karatasi za kutunga sentensi
Kujaza nafasi kwa vinyume vya vitendo Kutunga sentensi zenye vinyume vya vitendo Kuigiza vitendo na vinyume vyake
9

END TERM ASSESSMENT AND CLOSING


Your Name Comes Here


Download

Feedback