If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 5 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kutambua msamiati unaohusiana na shughuli za sokoni ili kuimarisha mawasiliano. Kusoma msamiati wa sokoni ili kujenga usomaji bora. |
Mwanafunzi asome maneno kuhusu soko kwenye kadi na chati. Mwanafunzi afafanue maana ya msamiati wa sokoni
k.v mkokoteni, vibanda, ratili, bidhaa, risiti, dalali, mnunuzi, muuzaji na mchuuzi). Mwanafunzi achore vitu vipatikanavyo sokoni |
Ni maneno yapi au msamiati upi unaotumika sokoni?
|
Mwalimu asikilize msamiati unaopatikana sokioni kuyoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 126-127
|
|
3 | 1 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kufahamu maana ya msamiati unaotumiwa sokoni ili kuwezesha mawasiliano kutunga sentensi akitumia msamiati wa sokoni ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aweza
kutazama picha au video za vitu vya sokoni zikiambatanishwa na sauti na maneno. Mwanafunzi aambatanishe majina na vitu vipatikanavyo sokoni. Mwanafunzi aweza kujaza nafasi katika sentensi kwa maneno yanayotumiwa sokoni. |
Ni maneno
yapi au msamiati upi unaotumika sokoni?
|
Mwalimu
asikilize maana ya msamiati kutoka kwa wanafunzi. |
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 128
|
|
3 | 2 |

3 | 3 |

3 | 4 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuandika maneno na sentensi akitumia msamiati wa sokoni ili kuimarisha stadi ya Kuandika. Kuthamini shughuli za sokoni. |
Mwanafunzi anakili msamiati kuhusu shughuli za sokoni.
Mwanafunzi atunge sentensi akitumia msamiati kuhusu shughuli za sokoni. |
Je, unaweza kuchora bidhaa gani zinazopatikan a sokoni?
|
Mwalimu atazame maneno na sentensi za wanafunzi kuhusu msamiati sokoni.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 129
|
|
3 | 5 |

4 | 1 |
Kusikili za na kuzungu mza:
|
Masimulizi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kutaja vitu vinavyopatikana sokoni katika kuendeleza mazungumzo. Kutaja watu wanaopatikana sokoni katika kuendeleza mazungumzo. kusikiliza maelezo kuhusu sokoni ili kujenga usikivu |
Mwanafunzi ataje vitu vipatikanavyo sokoni k.v mkokoteni, vibanda, ratili, bidhaa na risiti.
Mwanafunzi ataje watu wanaopatikana sokoni kama vile dalali, mnunuzi, muuzaji na mchuuzi. Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza michezo kuhusu shughuli zinazoendeshwa sokoni. Mwanafunzi ashiriki katika kujadili kuhusu shughuli za sokoni. |
Ni watu wepi wanaopatikan a sokoni?
Ni vitu gani vinavyopatika na sokoni?
|
Mwalimu asikilize maoni ya wanafunzi kuhusu vitu vinavyopatik ana sokoni.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 130
|
|
4 | 2 |

4 | 3 |

4 | 4 |

, Kueleza shughuli zinazoendeshwa sokoni ili kuimarisha stadi ya kuzungumza. Kueleza umuhimu wa soko ili kujenga stadi ya kuzungumza. Kuthamini shughuli za sokoni kama njia moja ya kujipatia riziki. |
Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu shughuli za sokoni.
Mwanafunzi aweza kutazama video na picha kuhusu shughuli za sokoni. Mwanafunzi asimulie kisa chochote alichoshuhudia kuhusu sokoni pekee, akiwa katika kikundi au wakiwa wawili. |
Soko lina umuhimu gani?
|
Mwalimu asikilize shughli zinazoendesh wa sokoni kutoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 131
|
|
4 | 5 |

5 | 1 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi ili kuwezesha ufahamu kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu kuhusu sokoni ili kujenga usikivu |
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi. Mwanafunzi ashiriki kusoma darasani, wakiwa wawili na baadaye asome peke yake |
Ni watu wepi wametajwa katika hadithi?
|
Mwalimu asikize mjadala wa wam Nafunzi kuhusu msamiati uliotumika.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 133
|
|
5 | 2 |

5 | 3 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma hadithi kuhusu sokoni ili kuimarisha stadi ya kusoma Kufahamu hadithi aliyoisoma au kusomewa kuhusu sokoni ili kupata ujumbe. |
Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.
Mwanafunzi asikilize mwalimu akisoma hadithi. Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kupitia vifaa vya kiteknolojia huku mwanafunzi akikumbushwa kusikiliza kwa makini. Wanafunzi waweza kusomeana hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi |
Ni watu wepi wametajwa katika hadithi?
|
Mwalimu awasikize wanafunzi wakisoma hadithi.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 134
|
|
5 | 4 |

5 | 5 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuchangamkia kusoma hadithi ili kujenga ari ya kuendeleza ujifunzaji. |
Wanafunzi waweza kushirikishwa kupanga upya
sentensi zilizoparaganywa zinazohusu sokoni katika vikundi. Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kwa kutumia jitabu mbele ya darasa Mwanafunzi atoe muhtasari wa hadithi aliyoisoma |
Ni vitu gani vimetajwa katika hadithi?
|
Mwalimu asikie maoni ya wanafunzi
kuhusu hadithi. |
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 135
|
|
6 | 1 |
Kuandik a.
|
Kusikiliza.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi. |
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.
Mwanafunzi aeleze mambo yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k. Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa na mwalimu. |
Je, ni mambo yapi unayofaa kuzingatia unapoandika kisa?
|
Mwalimu atazame kazi ya wanafunzi wanapoandik a kwa hati nadhifu.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 136
|
|
6 | 2 |

6 | 3 |

6 | 4 |

6 | 5 |
Kuandik a
|
Kusikiliza.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi. |
Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili.
Mwanafunzi aandike kisa kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji. |
Je, unaweza kuandika kisa kipi kinachohusian a na mada ya
sokoni?
|
Mwalimu kusahihisha kazi ya wanafunzi.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi
ya tatu uk, 136
|
|
7 | 1 |
Sarufi:
|
Matumizi ya ndani ya na nje ya.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha mawasiliano kutumia ndani ya na nje ya katika sentensi kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano kusoma sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi asome sentensi zinazodhihirisha matumizi ndani ya na nje ya.
Mwanafunzi atunge sentensi zinazorejelea vitu halisi darasani k.m. kitabu kimo ndani ya kabati; Mwanafunzi yupo nje ya darasa; katika vikundi. Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza vitendo vinavyoonyesha ndani ya na nje ya. |
Je, ni nini kinyume cha ndani ya?
|
Mwalimu kusikiza matumizi ya ndani nan je kutoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 137
|
|
7 | 2 |

7 | 3 |

7 | 4 |

, kuandika sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha stadi ya kuandika kuchangamkia matumizi ya ndani ya na nje ya katika maawasiliano |
Mwanafunzi aweza kukamilisha sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya kwa kurejelea michoro tofauti tofauti akiwa peke yake au katika
kikundi. Mwanafunzi aweza kufanya mazoezi ya kutumia ndani ya na nje ya kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia. |
Je, ni nini kinyume cha ndani ya?
|
Mwalimu asikize majibu ya kinyume kutoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Kiswahili Angaza Gradi ya tatu uk, 138
|
|
7 | 5 |

Your Name Comes Here