Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2025
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
4 4
Shambani
Sauti mbili tofauti zinazota mkwa pamoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a)

Mwanafunzi atambue sauti bw, fy na
kw katika maneno.
ilabi za sauti lengwa ikitamkwa na mwalimu kisha atamke pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa.Mifano ya silabi hizi ni: bwa, bwe; fya, fye; kwa, kwe, kwi n.k.

teknolojia (papaya) kusikiliza sauti lengwa ikitamkwa.

mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.

kutumia silabi k.v. silabi bwana, bweka, fyata, fyeka, kwao, kwea na kwekwe.

alizosoma hewani na vitabuni pamoja na maneno yanayojumuisha sauti hizo.
maneno yaliyo na herufi za sauti lengwa na kuyaandika kupitia kwa mwalimu au vifaa vya teknolojia
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: a)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
5 1
Shambani
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a)

Mwanafunzi asome msamiati wa shambani kama vile jembe, shoka, upanga, kifyekeo, plau, trekta, lima, fyeka, panda na kwekwe katika kadi na chati.

halisi, picha au michoro anavyoonyeshwa.

shambani hivyo kwenye tarakilishi au tabuleti vikifanya kazi.

vifaa vinavyotumika shambani.
e kadi za maneno na vifaa halisi wakiwa katika vikundi.
katika nyimbo na mashairi kuhusu shambani.
vifaa vinavyotumika shambani.
sentensi akitumia
msamiati wa shambani
1)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
5 2
Shambani
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Masimuli zi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
",
a)
"Mwanafunzi kusimulia kuhusu shambani.
Mwanafunzi ashiriki katika mjadala kuhusu vifaa vinavyotumika shambani kama vile; jembe, shoka, upanga, kifyekeo, plau, trekta, lima,
fyeka na panda akionyeshwa vifaa
"
halisi, picha au michoro.

vifaa vinavyotumika shambani.

katika nyimbo au mashairi kuhusu vifaa vinavyotumika shambani.

katika kuigiza vitendo vinavyofanywa shambani

Mwanafunzi aweza kutazama video inayoonyesha jinsi vifaa mbalimbali vinavyotumika shambani

tarakilishi kutambua vifaa mbalimbali kwa majina vilivyo
"Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: a)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
5 3
Shambani
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Masimuli zi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
",
a)
"Mwanafunzi kusimulia kuhusu shambani.
Mwanafunzi ashiriki katika mjadala kuhusu vifaa vinavyotumika shambani kama vile; jembe, shoka, upanga, kifyekeo, plau, trekta, lima,
fyeka na panda akionyeshwa vifaa
"
halisi, picha au michoro.

vifaa vinavyotumika shambani.

katika nyimbo au mashairi kuhusu vifaa vinavyotumika shambani.

katika kuigiza vitendo vinavyofanywa shambani

Mwanafunzi aweza kutazama video inayoonyesha jinsi vifaa mbalimbali vinavyotumika shambani

tarakilishi kutambua vifaa mbalimbali kwa majina vilivyo
"Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: a)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
5 4
Shambani
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a)
"
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.

kwenye hadithi.

msamiati uliotumika kwenye hadithi.
e darasani, wakiwa wawili na baadaye asome peke yake.

hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi.

kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia
k.m. tarakilishi na projekta.
ma hadithi kwa kutumia jitabu mbele ya darasa.
"
baada ya kusoma hadithi. hadithi aliyosoma.
maswali kuhusu hadithi aliyosoma.
1)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
6 1
Shambani
Kuandika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a)
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka mwingine.

muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.
kisa kilichoandikwa na mwanafunzi. kifupi wakiwa wawili wawili.
kifupi
kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji
1)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
6 2
Shambani
Sarufi: Nafsi ya tatu wakati ujao- umoja na wingi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
"Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka mwingine.

muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.
kisa kilichoandikwa na mwanafunzi. kifupi wakiwa wawili wawili.
kifupi
kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji
"
ili kujenga usomaji
d) kuandika vifungu vilivyo na nafsi ya tatu, wakati ujao kwa umoja na wingi ili kujenga uandishi bora




"Mwanafunzi atumie nafsi ya tatu wakati ujao hali ya umoja na wingi katika mazungumzo.

wakati ujao hali ya umoja na wingi katika sentensi.

mapengo kwa kutumia nafsi ya tatu wakati ujao hali ya umoja na wingi.

sentensi zinazojumuisha nafsi na
"
nyakati mbalimbali wazitambue katika vikundi.
a zoezi katika tarakilishi ili atumie mbinu ya kuburura na kutia kapuni.

kuashiria nafsi ya kwanza, ya pili na ya tatu huku akitunga sentensi.

ufafanuzi wa nafsi kwa kutumia vibonzo katika tarakilishi.
"1)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
6 3
Uzalendo
Sauti mbili tofauti zinazota mkwa pamoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a)

Mwanafunzi atambue sauti mw, nd
na pw katika maneno.

akizitamka silabi zinazotokana na sauti lengwa kisha atamke pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa pekee, wawili na darasa zima k.m mwa, mwe, mwi na mwo.

teknolojia kama vile papaya, tarakilishi, projekta na kipaza sauti kumsaidia kuimarisha matamshi yake.

mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.

alizosoma katika maneno kwa mfano
k. m mwana, mwananchi, ndoo, ndizi, uzalendo, pwani, pweza na pweke
1)
Vifaa harisi charti
6 4
Uzalendo
Sauti mbili tofauti zinazota mkwa pamoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a)

Mwanafunzi atambue sauti mw, nd
na pw katika maneno.

akizitamka silabi zinazotokana na sauti lengwa kisha atamke pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa pekee, wawili na darasa zima k.m mwa, mwe, mwi na mwo.

teknolojia kama vile papaya, tarakilishi, projekta na kipaza sauti kumsaidia kuimarisha matamshi yake.

mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.

alizosoma katika maneno kwa mfano
k. m mwana, mwananchi, ndoo, ndizi, uzalendo, pwani, pweza na pweke
1)
Vifaa harisi charti
7 1
Uzalendo
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a)
"Mwanafunzi asome maneno yanayohusiana na uzalendo kama vile; umoja, amani, upendo, bendera, taifa, nchi, raia, gwaride, rangi za bendera kwa kutumia kadi za maneno.

msamiati wa uzalendo.

mjadala kuhusu maana za maneno yanayohusiana na uzalendo

kwa kutumia msamiati wa uzalendo.

vitendo vya kizalendo k.m. mashujaa wa nchi.

picha inayolenga maana za maneno
"
kuhusu uzalendo.

umuhimu wa uzalendo wakiwa kwenye vikundi.
1)
Maswali mepesi ya kauli
7 2
Uzalendo
Kusikiliz a na Kuzungu mza:Mas imulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a)
Mwanafunzi aeleze baadhi ya mambo yanayoweza kuimarisha uzalendo katika nchi yake kwa kutumia mgeni mwalikwa.

vinavyojumuisha mambo yanayoweza kuimarisha uzalendo kama vile amani, umoja, upendo na bendera ya Kenya.

hadithi anazosimuliwa.

video inayoonyesha vitendo vya kizalendo.

uzalendo katika makundi.

na kujadili maana ya baadhi ya maneno ya kizalendo katika wimbo huo.

kuhusu baadhi ya mambo yanayohusu uzalendo.
aje baadhi ya sifa za mzalendo kama vile kupenda nchi yake, amani na umoja
1) Je, ni nini maana ya uzalendo? 2) Uzalendo una umuhimu gani? 3)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
7 3
Uzalendo
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a) kutambua rangi za bendera ili
kuimarisha uzalendo
b)
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.

kwenye hadithi.

wake baada ya kusoma hadithi.

msamiati uliotumika kwenye hadithi kama vile amani, umoja, upendo, nchi, taifa, raia, bendera na wimbo wa taifa.

katika darasa, wakiwa wawili, kwenye vikundi au asome peke yake.

Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi husika ikisomwa kupitia kinasasauti.
kutazama video ya mtu au mtoto akisoma hadithi husika kwa ufasaha kisha aige usomi ule.

maswali kutokana na hadithi aliyosoma au kusomewa
1) Je, unajua nini kuhusu uzalendo? 2)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
7 4
Uzalendo
Kuandika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
a)
"Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.

muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.
kisa kilichoandikwa na mwanafunzi. kifupi wakiwa wawili wawili.
"

kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji.


"1)
Vifaa harisi charti
Maswali mepesi ya kauli
8 1
Miezi ya Mwaka
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua sauti mbili zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha matamshi bora
Mwanafunzi atambue sauti mb, nj na ng katika maneno.
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 2
Miezi ya Mwaka
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamo
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma silabi za sauti lengwa ili kuimarisha usomaji
Mwanafunzi aweza kutumia vifaa vya ki teknolojia kama vile papaya, tarakilishi, projekta na kipazasauti katika kuimarisha matamshi yake
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 3
Miezi ya Mwaka
Msamiati
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma majina ya miezi ya mwaka ili kuimarisha usomaji bora
Wanafunzi waweza kukariri mashairi yanayohusu miezi ya mwaka.
Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo zinazohusu miezi ya mwaka
Je, unajua majina yapi ya miezi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 4
Miezi ya Mwaka
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutaja miezi ya mwaka kwa Kiswahili ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi aweza kuelezea mambo yanayofanyika miezi fulani kv kufungua shule mwezi wa Januari, kufunga shule mwezi wa Aprili.
Mwanafunzi asimulie kuhusu matukio katika miezi mbalimbali k.v. kuzaliwa, shehere za kidini na kitaifa.
Unajua miezi gani ya mwaka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
9 1
Miezi ya Mwaka
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza hadithi ikisomwa na mwalimu inayojumuisha miezi ili kuimarisha stadi za kusikiliza na kusoma
Mwanafunzi asikilize mwalimu akisoma hadithi.
Mwanafunzi asome hadithi peke yake. Wanafunzi wasomeane hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi
Je, ni hadithi gani uliyofurahia ukisomewa
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
9 2
Miezi ya Mwaka
Kuandika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
aweze: kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka
Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
9 3
Miezi ya Mwaka
Tarakim u
Tarakim u
Kuandika
Msamiati Tarakimu 51-100
Msamiati Tarakimu 51-100
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi
Mwanafunzi aandike kisa kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
9 4
Tarakim u
Msamiati Tarakimu 51-100
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kuandika nambari 51-
100 kwa maneno ili kuimarisha uandishi bora
Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa.
Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi
wakiwa wawili wawili
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
10 1
Tarakim u
Msamiati Tarakimu 51-100
Sarufi: Matumizi ya Kikomo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma nambari 51-100 kwa maneno ili kuimarisha usomaji bora
Wanafunzi waweza kupatiwa kadi za nambari 51-100 na majina yake ili kuziambatanisha katika makundi.
Mwanafunzi aandike nambari 51-100.
Unaweza kuandika nambari zipi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
10 2
Tarakim u
Sarufi: Matumizi ya Kikomo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuakifisha sentensi kwa kutumia kikomo(.) katika kuimarisha uandishi bora
Mwanafunzi aakifishe sentensi fupi kwa kutumia kikomo (.).
Unajua alama zipi za kuakifisha
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
10 3
Ndege nimpend aye.
Msamiati.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutaja majina ya ndege mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kuzungumza kutambua msamiati unaotumiwa katika kutunza ndege ili kuimarisha mawasiliano kutumia majina ya ndege katika sentensi sahihi ili kuwezesha mazungumzo
Mwanafunzi atazame picha na kuwatambua ndege tofauti tofauti.



Mwanafunzi atunge sentensi sahihi kwa kutumia msamiati kuhusu ndege.
Mwanafunzi atoe maana ya msamiati unaotumiwa katika kutunza ndege.
Ni ndege wepi wanaofugwa?
Mwalimu kusikiza wanafunzi wakitaja baadhi ya ndege wanaofungw a.
Mwalimu
kusikiza msamiati wa wanafunzi katika sentensi.
Mwalimu aangalie maneno na sentensi ambayo wanafunzi wanaandika ili kujenga uandishi bora.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 113
10 4
Kusikili za na Kuzung umza:
Masimulizi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutaja aina za

ndege wa nyumbani anaowajua ili kujenga stadi ya kuzungumza kumtambua ndege ampendaye ili kujenga stadi ya kuzungumza kusimulia kuhusu ndege ampendaye ili kujenga stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi ataje aina za ndege anaowajua.



Mwanafunzi atambue ndege ampendaye.



Mwanafunzi asimulie kuhusu ndege ampendaye katika darasa zima, wakiwa wawili wawili na katika vikundi.

Mwanafunzi atazame picha za ndege
mbalimbali wa nyumbani ili awatambue.
Ni ndege gani umpendaye? Kwa nini unampenda ndege huyo?
Mwalimu awasikilize wanafunzi wanapotaja aina za ndege wanaojua.
Mwalimu asikilize wanafunzi wanapoeleze a wanachokion a katika vitabu zao.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 108-109
11 1
Kusoma :
Kuandik a.
Hadithi.
Kusikiliza na kuzungumza.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi aliyosoma au kusomewa ili kuimarisha ufahamu

kusoma hadithi zinazohusu ndege wa nyumbani ili kujenga usomaji bora
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.



Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.



Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi.



Wanafunzi washiriki katika kusoma darasani, wakiwa
wawili na baadaye asome peke yake.



Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ya

mwalimu au hadithi iliyorekodiwa.
Ni nini unachokiona katika picha? Unafikiri ni nini kitakachotoke a katika hadithi?
Mwalimu asikilize wanafunzi wakieleza nini wanachokion a katika picha.
Mwalimu awasikilize wanafunzi wakisoma wakitumia vifaa vya teknolojia.
Mwalimu
asikilize
wanafunzi wakisoma darasani.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 117-118
11 2
Kuandik a
Kusikiliza na kuzungumza.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi.
Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi kama vile mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.
Je ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
Mwalimu kusikiliza wanafunzi wakitaja baadhi ya mambo wanayozingat ia wanapoandik a kisa.
Mwalimu kusikiliza wanafunzi wakitaja kisa walicho husudia.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 122
11 3
Sarufi.
Matumizi ya juu ya na chini ya.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanafunzi aweza kukamilisha sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya kwa kurejelea michoro tofauti tofauti akiwa peke yake au katika
kikundi.

Mwanafunzi aweza kufanya mazoezi ya kutumia ndani ya na nje ya kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia.
Mwanafunzi asome sentensi zinazodhihirisha matumizi ya juu ya na chini ya.



Wanafunzi watunge sentensi zinazorejelea vitu halisi darasani

k.m. kitabu kipo juu ya meza wakiwa katika vikundi.
Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza vitendo vinavyoonyesha juu ya na chini ya.
Je, ni maneno yapi unayoweza kutumia kurejelea kitu kutegemea mahali kilipo?
Mwalimu asikie matumizi ya silabi kutoka kwa wanafunzi.
Mwalimu asome sentensi za wanafunzi wanapoziandi ka.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 122
11 4
Sokoni.
Msamiati.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

Kutambua msamiati unaohusiana na shughuli za sokoni ili kuimarisha mawasiliano.

Kusoma msamiati wa sokoni ili kujenga usomaji bora.
Mwanafunzi asome maneno kuhusu soko kwenye kadi na chati. Mwanafunzi afafanue maana ya msamiati wa sokoni

k.v mkokoteni, vibanda, ratili, bidhaa, risiti, dalali, mnunuzi, muuzaji na mchuuzi).



Mwanafunzi achore vitu vipatikanavyo sokoni
Ni maneno yapi au msamiati upi unaotumika sokoni?
Mwalimu asikilize msamiati unaopatikana sokioni kuyoka kwa wanafunzi.
Mwalimu
asikilize maana ya msamiati kutoka kwa wanafunzi.
Mwalimu atazame maneno na sentensi za wanafunzi kuhusu msamiati sokoni.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 126-127
12 1
Kusikili za na kuzungu mza:
Masimulizi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

Kutaja vitu vinavyopatikana sokoni katika kuendeleza mazungumzo.

Kutaja watu wanaopatikana sokoni katika
kuendeleza mazungumzo. kusikiliza maelezo kuhusu sokoni ili kujenga usikivu
Mwanafunzi ataje vitu vipatikanavyo sokoni k.v mkokoteni, vibanda, ratili, bidhaa na risiti.



Mwanafunzi ataje watu wanaopatikana sokoni kama vile dalali, mnunuzi,
muuzaji na mchuuzi.



Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza michezo kuhusu shughuli zinazoendeshwa sokoni.



Mwanafunzi ashiriki

katika kujadili kuhusu shughuli za sokoni.
Ni watu wepi wanaopatikan a sokoni? Ni vitu gani vinavyopatika na sokoni?
Mwalimu asikilize maoni ya wanafunzi kuhusu vitu vinavyopatik ana sokoni.
Mwalimu asikilize shughli zinazoendesh wa sokoni kutoka kwa wanafunzi.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 130
12 2
Kusoma :
Hadithi.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi ili kuwezesha ufahamu
kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu kuhusu sokoni ili kujenga usikivu
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.



Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.


Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi.



Mwanafunzi ashiriki kusoma darasani, wakiwa wawili na baadaye asome peke

yake
Ni watu wepi wametajwa katika hadithi?
Mwalimu asikize mjadala wa wam Nafunzi kuhusu msamiati uliotumika.
Mwalimu awasikize wanafunzi wakisoma hadithi.
Mwalimu asikie maoni ya wanafunzi
kuhusu hadithi.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 133
12 3
Kuandik a.
Kuandik a
Kusikiliza.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

Kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi.
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.



Mwanafunzi aeleze mambo yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.



Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa na mwalimu.
Je, ni mambo yapi unayofaa kuzingatia unapoandika kisa?
Mwalimu atazame kazi ya wanafunzi wanapoandik a kwa hati nadhifu.
Mwalimu kusahihisha kazi ya wanafunzi.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 136
12 4
Sarufi:
Matumizi ya ndani ya na nje ya.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutambua matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha mawasiliano kutumia ndani ya na nje ya katika sentensi kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano kusoma sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi asome sentensi zinazodhihirisha matumizi ndani ya na nje ya.



Mwanafunzi atunge sentensi zinazorejelea vitu halisi darasani

k.m. kitabu kimo ndani ya kabati; Mwanafunzi yupo nje ya darasa; katika vikundi.



Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza vitendo vinavyoonyesha ndani ya na nje ya.
Je, ni nini kinyume cha ndani ya?
Mwalimu kusikiza matumizi ya ndani nan je kutoka kwa wanafunzi.
Mwalimu asikize majibu ya kinyume kutoka kwa wanafunzi.
Mwanafunzi Tarakilishi Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 137

Your Name Comes Here


Download

Feedback