If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Ndege nimpend aye.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutaja majina ya ndege mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kuzungumza kutambua msamiati unaotumiwa katika kutunza ndege ili kuimarisha mawasiliano kutumia majina ya ndege katika sentensi sahihi ili kuwezesha mazungumzo |
Mwanafunzi atazame picha na kuwatambua ndege tofauti tofauti.
Mwanafunzi atunge sentensi sahihi kwa kutumia msamiati kuhusu ndege. Mwanafunzi atoe maana ya msamiati unaotumiwa katika kutunza ndege. |
Ni ndege wepi wanaofugwa?
|
Mwalimu kusikiza wanafunzi wakitaja baadhi ya ndege wanaofungw a.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 113
|
|
2 | 2 |
Ndege nimpend aye.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutumia msamiati wa kutunza ndege katika sentensi ili kuwezesha mazungumzo kusoma maneno na sentensi kuhusu ndege ampendaye ili kujenga usomaji bora |
Mwanafunzi achore
baadhi ya ndege. Mwanafunzi aweza kutazama video ya utunzaji wa ndege. Mwanafunzi atazame michoro na picha za ndege wa nyumbani wakitunzwa. |
Ni ndege
wepi wanaofugwa
|
Mwalimu
kusikiza msamiati wa wanafunzi katika sentensi. |
Mwanafunzi
Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 114
|
|
2 | 3 |

2 | 4 |
Ndege nimpend aye.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuandika maneno na sentensi kuhusu ndege ampendaye ili kujenga uandishi bora Kuthamini utunzaji WA ndege ampendaye. |
Mwanafunzi asome maneno na sentensi katika kadi na chati kuhusu ndege.
Mwanafunzi aandike majina na sentensi kuhusu ndege. |
Unamtunzaje ndege umpendaye?
|
Mwalimu aangalie maneno na sentensi ambayo wanafunzi wanaandika ili kujenga uandishi bora.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 114
|
|
3 | 1 |
Kusikili za na Kuzung umza:
|
Masimulizi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutaja aina za ndege wa nyumbani anaowajua ili kujenga stadi ya kuzungumza kumtambua ndege ampendaye ili kujenga stadi ya kuzungumza kusimulia kuhusu ndege ampendaye ili kujenga stadi ya kuzungumza |
Mwanafunzi ataje aina za ndege anaowajua.
Mwanafunzi atambue ndege ampendaye. Mwanafunzi asimulie kuhusu ndege ampendaye katika darasa zima, wakiwa wawili wawili na katika vikundi. Mwanafunzi atazame picha za ndege mbalimbali wa nyumbani ili awatambue. |
Ni ndege gani umpendaye?
Kwa nini unampenda ndege huyo?
|
Mwalimu awasikilize wanafunzi wanapotaja aina za ndege wanaojua.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 108-109
|
|
3 | 2 |
Kusikili za na Kuzung umza:
|
Masimulizi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusimulia kuhusu jinsi ndege ampendaye anavyotunzwa ili kujenga stadi ya kuzungumza kusikiliza kwa makini masimulizi kuhusu utunzaji wa ndege wa nyumbani ili kujenga usikivu kuthamini ndege wa nyumbani. |
Mwanafunzi aweza kutazama video na picha zinazoashiria utunzaji wa ndege mbalimbali.
Mwanafunzi asimulie jinsi ya kutunza ndege kupitia kwa mgeni mwalikwa. Mwanafunzi ashiriki katika mjadala kuhusu jinsi ndege ampendaye anavyotunzwa. |
Unamtunzaje ndege umpendaye?
|
Mwalimu asikilize wanafunzi wanapoeleze a wanachokion a katika vitabu zao.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 116-117
|
|
3 | 3 |

3 | 4 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi aliyosoma au kusomewa ili kuimarisha ufahamu kusoma hadithi zinazohusu ndege wa nyumbani ili kujenga usomaji bora |
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi. Wanafunzi washiriki katika kusoma darasani, wakiwa wawili na baadaye asome peke yake. Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ya mwalimu au hadithi iliyorekodiwa. |
Ni nini unachokiona katika picha?
Unafikiri ni nini kitakachotoke a katika hadithi?
|
Mwalimu asikilize wanafunzi wakieleza nini wanachokion a katika picha.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 117-118
|
|
4 | 1 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza hadithi zinazohusu ndege wa nyumbani zikisomwa ili kujenga usikivu kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa kuhusu ndege wanaofugwa ili kupata ujumbe Kuchangamkia kusoma hadithi ili kuendeleza ari ya kusoma zaidi. |
Wanafunzi waweza kusomeana hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi.
Wanafunzi waweza kusoma hadithi kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia k.v. tarakilishi na projekta. Mwanafunzi atunge sentensi akitumia msamiati uliotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi anakili majina na sentensi zinazojumuisha majina ndege wa nyumbani. Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kwa kutumia jitabu mbele ya darasa. |
Unakumbuka nini kutokana na hadithi uliyosoma?
Ni kwa nini unampenda ndege wako?
|
Mwalimu awasikilize wanafunzi wakisoma wakitumia vifaa vya teknolojia.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 118-119
|
|
4 | 2 |
Kuandik
a.
|
Kusikiliza na
kuzungumza.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi. |
Mwanafunzi apewe
hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka. |
Je ni mambo
yapi
yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
|
Mwalimu
asikilize wanafunzi wakisoma darasani. |
Mwanafunzi
Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 121
|
|
4 | 3 |

4 | 4 |
Kuandik a
|
Kusikiliza na kuzungumza.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi. |
Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi kama vile mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.
|
Je ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
|
Mwalimu kusikiliza wanafunzi wakitaja baadhi ya mambo wanayozingat ia wanapoandik a kisa.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 122
|
|
5 | 1 |
Kuandik a
|
Kusikiliza na kuzungumza.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi. |
Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa.
Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili. |
Je, unaweza kuandika kisa gani kinachohusian a na ndege
|
Mwalimu kusikiliza wanafunzi wakitaja kisa walicho husudia.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 121
|
|
5 | 2 |
Sarufi.
|
Matumizi ya juu ya na chini ya.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanafunzi aweza kukamilisha sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya kwa kurejelea michoro tofauti tofauti akiwa peke yake au katika kikundi. Mwanafunzi aweza kufanya mazoezi ya kutumia ndani ya na nje ya kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia. |
Mwanafunzi asome sentensi zinazodhihirisha matumizi ya juu ya na chini ya.
Wanafunzi watunge sentensi zinazorejelea vitu halisi darasani k.m. kitabu kipo juu ya meza wakiwa katika vikundi. Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza vitendo vinavyoonyesha juu ya na chini ya. |
Je, ni maneno yapi unayoweza kutumia kurejelea kitu kutegemea mahali kilipo?
|
Mwalimu asikie matumizi ya silabi kutoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 122
|
|
5 | 3 |

5 | 4 |
Sarufi.
|
Matumizi ya juu ya na chini ya.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuandika sentensi zinazodhihirisha matumizi ya juu ya na chini ya ili kuimarisha uandishi bora Kuchangamkia matumizi ya juu ya na chini ya katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweza kukamilisha sentensi zinazodhihirisha matumizi ya juu ya na chini ya kwa kurejelea michoro tofauti tofauti akiwa peke yake au katika kikundi.
Mwanafunzi aweza kutumia tarakilishi kufanyia mazoezi ya matumizi ya juu ya na chini ya. |
Je, ni maneno yapi unayoweza kutumia kurejelea kitu kutegemea mahali kilipo?
|
Mwalimu asome sentensi za wanafunzi wanapoziandi ka.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 123
|
|
6 | 1 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kutambua msamiati unaohusiana na shughuli za sokoni ili kuimarisha mawasiliano. Kusoma msamiati wa sokoni ili kujenga usomaji bora. |
Mwanafunzi asome maneno kuhusu soko kwenye kadi na chati. Mwanafunzi afafanue maana ya msamiati wa sokoni
k.v mkokoteni, vibanda, ratili, bidhaa, risiti, dalali, mnunuzi, muuzaji na mchuuzi). Mwanafunzi achore vitu vipatikanavyo sokoni |
Ni maneno yapi au msamiati upi unaotumika sokoni?
|
Mwalimu asikilize msamiati unaopatikana sokioni kuyoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 126-127
|
|
6 | 2 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kufahamu maana ya msamiati unaotumiwa sokoni ili kuwezesha mawasiliano kutunga sentensi akitumia msamiati wa sokoni ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aweza
kutazama picha au video za vitu vya sokoni zikiambatanishwa na sauti na maneno. Mwanafunzi aambatanishe majina na vitu vipatikanavyo sokoni. Mwanafunzi aweza kujaza nafasi katika sentensi kwa maneno yanayotumiwa sokoni. |
Ni maneno
yapi au msamiati upi unaotumika sokoni?
|
Mwalimu
asikilize maana ya msamiati kutoka kwa wanafunzi. |
Mwanafunzi
Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 128
|
|
6 | 3 |

6 | 4 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuandika maneno na sentensi akitumia msamiati wa sokoni ili kuimarisha stadi ya Kuandika. Kuthamini shughuli za sokoni. |
Mwanafunzi anakili msamiati kuhusu shughuli za sokoni.
Mwanafunzi atunge sentensi akitumia msamiati kuhusu shughuli za sokoni. |
Je, unaweza kuchora bidhaa gani zinazopatikan a sokoni?
|
Mwalimu atazame maneno na sentensi za wanafunzi kuhusu msamiati sokoni.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 129
|
|
7 | 1 |
Kusikili za na kuzungu mza:
|
Masimulizi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kutaja vitu vinavyopatikana sokoni katika kuendeleza mazungumzo. Kutaja watu wanaopatikana sokoni katika kuendeleza mazungumzo. kusikiliza maelezo kuhusu sokoni ili kujenga usikivu |
Mwanafunzi ataje vitu vipatikanavyo sokoni k.v mkokoteni, vibanda, ratili, bidhaa na risiti.
Mwanafunzi ataje watu wanaopatikana sokoni kama vile dalali, mnunuzi, muuzaji na mchuuzi. Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza michezo kuhusu shughuli zinazoendeshwa sokoni. Mwanafunzi ashiriki katika kujadili kuhusu shughuli za sokoni. |
Ni watu wepi wanaopatikan a sokoni?
Ni vitu gani vinavyopatika na sokoni?
|
Mwalimu asikilize maoni ya wanafunzi kuhusu vitu vinavyopatik ana sokoni.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 130
|
|
7 | 2 |
Kusikili za na kuzungu mza:
|
Masimulizi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kueleza shughuli zinazoendeshwa sokoni ili kuimarisha stadi ya kuzungumza. Kueleza umuhimu wa soko ili kujenga stadi ya kuzungumza. Kuthamini shughuli za sokoni kama njia moja ya kujipatia riziki. |
Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu shughuli za sokoni.
Mwanafunzi aweza kutazama video na picha kuhusu shughuli za sokoni. Mwanafunzi asimulie kisa chochote alichoshuhudia kuhusu sokoni pekee, akiwa katika kikundi au wakiwa wawili. |
Soko lina umuhimu gani?
|
Mwalimu asikilize shughli zinazoendesh wa sokoni kutoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 131
|
|
7 | 3 |

7 | 4 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi ili kuwezesha ufahamu kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu kuhusu sokoni ili kujenga usikivu |
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi. Mwanafunzi ashiriki kusoma darasani, wakiwa wawili na baadaye asome peke yake |
Ni watu wepi wametajwa katika hadithi?
|
Mwalimu asikize mjadala wa wam Nafunzi kuhusu msamiati uliotumika.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 133
|
|
8 | 1 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma hadithi kuhusu sokoni ili kuimarisha stadi ya kusoma Kufahamu hadithi aliyoisoma au kusomewa kuhusu sokoni ili kupata ujumbe. |
Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.
Mwanafunzi asikilize mwalimu akisoma hadithi. Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kupitia vifaa vya kiteknolojia huku mwanafunzi akikumbushwa kusikiliza kwa makini. Wanafunzi waweza kusomeana hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi |
Ni watu wepi wametajwa katika hadithi?
|
Mwalimu awasikize wanafunzi wakisoma hadithi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 134
|
|
8 | 2 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuchangamkia kusoma hadithi ili kujenga ari ya kuendeleza ujifunzaji. |
Wanafunzi waweza kushirikishwa kupanga upya
sentensi zilizoparaganywa zinazohusu sokoni katika vikundi. Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kwa kutumia jitabu mbele ya darasa Mwanafunzi atoe muhtasari wa hadithi aliyoisoma |
Ni vitu gani vimetajwa katika hadithi?
|
Mwalimu asikie maoni ya wanafunzi
kuhusu hadithi. |
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 135
|
|
8 | 3 |

8 | 4 |
Kuandik a.
|
Kusikiliza.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi. |
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka.
Mwanafunzi aeleze mambo yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k. Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa na mwalimu. |
Je, ni mambo yapi unayofaa kuzingatia unapoandika kisa?
|
Mwalimu atazame kazi ya wanafunzi wanapoandik a kwa hati nadhifu.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 136
|
|
9 | 1 |
Kuandik a
|
Kusikiliza.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi. |
Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi wakiwa wawili wawili.
Mwanafunzi aandike kisa kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji. |
Je, unaweza kuandika kisa kipi kinachohusian a na mada ya
sokoni?
|
Mwalimu kusahihisha kazi ya wanafunzi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi
ya tatu uk, 136
|
|
9 | 2 |
Sarufi:
|
Matumizi ya ndani ya na nje ya.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha mawasiliano kutumia ndani ya na nje ya katika sentensi kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano kusoma sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi asome sentensi zinazodhihirisha matumizi ndani ya na nje ya.
Mwanafunzi atunge sentensi zinazorejelea vitu halisi darasani k.m. kitabu kimo ndani ya kabati; Mwanafunzi yupo nje ya darasa; katika vikundi. Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza vitendo vinavyoonyesha ndani ya na nje ya. |
Je, ni nini kinyume cha ndani ya?
|
Mwalimu kusikiza matumizi ya ndani nan je kutoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 137
|
|
9 | 3 |

9 | 4 |
Sarufi:
|
Matumizi ya ndani ya na nje ya.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuandika sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha stadi ya kuandika kuchangamkia matumizi ya ndani ya na nje ya katika maawasiliano |
Mwanafunzi aweza kukamilisha sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya kwa kurejelea michoro tofauti tofauti akiwa peke yake au katika
kikundi. Mwanafunzi aweza kufanya mazoezi ya kutumia ndani ya na nje ya kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia. |
Je, ni nini kinyume cha ndani ya?
|
Mwalimu asikize majibu ya kinyume kutoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 138
|
Your Name Comes Here