If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
OPENER ASSESSMENT |
||||||||
2 | 1 |
NDEGE NIMPENDAYE
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zenye sauti lengwa (/mbw/, /nd/, /ny/) katika matini. - Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa kwa ufasaha. - Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano. - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. |
- Kutambua silabi zenye sauti lengwa (/mbw/, /nd/, /ny/) katika kadi maneno, chati, mti maneno, au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. - Kusikiliza maneno yenye silabi zenye sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali. - Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa; atamke na mwalimu na mwishowe atamke akiwa na wenzake. |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 112
Kadi maneno Picha za ndege Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 113 Picha zenye maneno ya sauti lengwa |
- Kutambua silabi zenye sauti lengwa katika maneno
- Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa kwa usahihi
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika sentensi
|
|
2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zenye sauti lengwa (/mbw/, /nd/, /ny/) katika matini. - Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa kwa ufasaha. - Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano. - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. |
- Kusikiliza kifungu na kutambua sauti lengwa akiwa na wenzake. - Kusoma kwa sauti kifungu kifupi "Ndege Nimpendaye" kilicho na sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. - Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa akisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi. |
Je, unazingatia nini unapotamka maneno?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 114
Kifungu cha hadithi Vifaa vya kurekodi Video za kusaidia matamshi Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 115 Kifungu cha hadithi kuhusu ndege Picha za ndege Vifaa vya kidijitali |
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa kutunga sentensi
- Kutambua makosa katika matamshi ya sauti lengwa
- Kusoma kifungu kwa matamshi sahihi
|
|
2 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akiwa na wenzake. - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo. - Kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu na kuyaorodhesha. |
Je, ishara zifaazo wakati wa kusoma zina umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 116
Kifungu kuhusu "Viumbe wa Mungu" Orodha ya maneno yenye sauti lengwa Vifaa vya kidijitali |
- Kusoma kifungu kwa kutumia ishara zinazofaa
- Kuorodhesha maneno yenye sauti lengwa
- Kutumia ishara za mikono na uso wakati wa kusoma
|
|
2 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Tahajia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kusoma kifungu mara kadhaa ili kuboresha kasi ya usomaji. - Kufanya mazoezi ya kutumia ishara za mikono na uso wakati wa kusoma. - Kujipima idadi ya maneno anayoweza kusoma kwa dakika moja. - Kubaini makosa ya usomaji na kuyasahihisha. |
Je, usomaji mzuri wa kifungu una sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 117
Hadithi fupi kuhusu ndege Saa ya kupima muda Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 118 Orodha ya maneno Kifaa cha kidijitali Mifano ya herufi |
- Kusoma kwa kasi inayofaa
- Kuheshimu alama za uakifishaji
- Kujisahihisha wakati wa kusoma
- Kuongeza kasi ya usomaji
|
|
3 | 1 |
Kuandika
|
Tahajia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha. - Kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno. - Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi. |
- Kutambua tahajia sahihi za maneno yanayohusu ndege katika kifungu mfano. - Kuchagua neno lililoandikwa vizuri kati ya maneno mawili yanayokaribiana kwa matamshi. - Kuandika maneno yenye tahajia sahihi kwa herufi nadhifu katika daftari lake. |
Je, unafanya nini kuepuka makosa ya tahajia katika maandishi yako?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 119
Kifungu cha maneno Chati ya maneno Picha za ndege |
- Kuchagua neno lenye tahajia sahihi
- Kuandika maneno kwa tahajia sahihi
- Kutofautisha maneno yenye tahajia zinazofanana
|
|
3 | 2 |
Kuandika
Sarufi |
Tahajia
Matumizi ya neno hili na haya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha. - Kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno. - Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi. |
- Kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno katika uandishi. - Kurekebisha insha akizingatia tahajia za maneno. - Kumsomea mzazi au mlezi insha aliyoiandika kwa kuzingatia tahajia za maneno. |
Je, tahajia sahihi husaidia vipi katika mawasiliano andishi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 120
Mifano ya insha Vifaa vya kuandikia Kamusi ndogo Vifaa vya kidijitali Picha za vifaa Chati ya maneno |
- Kuandika insha kwa kutumia tahajia sahihi
- Kurekebisha makosa ya tahajia
- Kutambua umuhimu wa tahajia sahihi
|
|
3 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno hili na haya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua matumizi ya neno haya katika sentensi. - Kutumia neno haya ipasavyo katika sentensi. - Kuchangamkia matumizi ya neno haya katika mawasiliano. |
- Kutambua neno haya katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. - Kunakili kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa na matumizi ya neno haya. - Kuandika kifungu chenye maneno 25-30 akizingatia matumizi ya neno haya ipasavyo na kuwasomea wenzake. |
Je, neno "haya" hutumiwa kurejelea nini?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 122
Picha za vitu vingi Chati ya sentensi zenye neno "haya" Kadi maneno Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 124 Mazoezi ya kuambatanisha Picha za vitu katika umoja na wingi Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua matumizi ya neno "haya" katika mawasiliano
- Kutumia neno "haya" ipasavyo katika sentensi
- Kutunga sentensi zenye neno "haya"
|
|
3 | 4 |
SOKONI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua suala lengwa linalozungumziwa. - Kuzingatia matamshi bora katika mazungumzo. - Kujieleza kwa ufasaha kuhusu suala lengwa. - Kutumia ishara zifaazo katika mazungumzo. - Kuchangamkia mazungumzo katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua suala lengwa linalozungumziwa kupitia kwa picha kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali pamoja na wenzake. - Kuchukua muda wa kufikiri kuhusu suala la kuzungumzia. - Kupanga mawazo yake kuhusu suala lengwa na kuandaa hoja za kuzungumzia. |
Je, unazingatia nini unapozungumza kuhusu masuala mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 127
Picha za sokoni Vifaa vya kidijitali Chati za mazungumzo |
- Kutambua mada ya mazungumzo
- Kupanga mawazo katika mazungumzo
- Kuzungumza kwa kutumia ishara zifaazo
|
|
4 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua suala lengwa linalozungumziwa. - Kuzingatia matamshi bora katika mazungumzo. - Kujieleza kwa ufasaha kuhusu suala lengwa. - Kutumia ishara zifaazo katika mazungumzo. - Kuchangamkia mazungumzo katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutamka maneno kwa kuzingatia matamshi yafaayo ya sauti mbalimbali. - Kueleza habari ambayo zinaleta maana na zenye kufuatana vizuri. - Kupandisha na kushusha sauti panapohitajika. - Kutumia ishara mbalimbali zinazohusiana na maelezo yake kuhusu suala lengwa. |
Je, ni nini kitatokea usipotumia ishara zifaazo wakati wa mazungumzo?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 128
Mifano ya mazungumzo Picha za sokoni Video za mazungumzo Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 129 Hadithi kuhusu soko Picha za muuzaji na mnunuzi Vifaa vya kidijitali |
- Kuzingatia matamshi bora katika mazungumzo
- Kutumia ishara zinazofaa katika mazungumzo
- Kufuata miundo ya mazungumzo
|
|
4 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi kutoka kwenye chati, kadi maneno, mti maneno au kifaa cha kidijitali. - Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha akiwa na wenzake. |
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 129
Kifungu cha hadithi kuhusu soko Picha za shughuli za sokoni Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 130 Kitabu cha hadithi Chati ya msamiati |
- Kutambua msamiati wa suala lengwa
- Kutabiri matukio katika kifungu
- Kueleza ujumbe wa kifungu
|
|
4 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kuhakiki majibu yake kwa kulinganisha utabiri aliokuwa amefanya na kifungu alichokisoma. - Kuandika maneno matano yanayohusu soko ambayo yametumika katika kifungu. - Kutunga sentensi kwa kutumia maneno hayo. - Kutaja mafunzo mbalimbali yanayotokana na kifungu alichosoma. |
Unafanya nini ili kulielewa vyema kifungu unachokisoma?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 131
Kadi za msamiati wa sokoni Picha za bidhaa za sokoni Daftari la kuandikia |
- Kutambua maneno yanayohusiana na soko
- Kutunga sentensi kwa kutumia maneno yanayohusiana na soko
- Kutambua mafunzo katika kifungu
|
|
4 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi. - Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho. - Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika. - Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao. |
- Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi. - Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi na kufafanua ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho. - Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye matini za aina mbalimbali na kufafanua ujumbe kupitia kwa wahusika. |
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 132
Mifano ya insha za masimulizi Picha Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 133 Chati ya wahusika |
- Kutambua vipengele vya insha ya masimulizi
- Kufafanua ujumbe wa insha kupitia utangulizi, kiini na hitimisho
- Kuandika mwongozo wa kutunga insha ya masimulizi
|
|
5 |
MID -TERM ASSESSMENT |
||||||||
6 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi. - Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho. - Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika. - Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao. - Kufurahia kufafanua ujumbe wa insha ya kusimulia ili kufanikisha maelezo. |
- Kuandika insha ya masimulizi kuhusu "Safari yangu ya kwenda sokoni" akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini, hitimisho na wahusika. - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni. - Kurekebisha insha yake kwa kuzingatia maoni ya wenzake. - Kuwasilisha insha iliyorekebishwa kwa mwalimu kwa tathmini. |
Je, insha nzuri ya masimulizi ina sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 134
Vifaa vya kuandikia Picha za sokoni Mwongozo wa kutunga insha |
- Kuandika insha ya masimulizi kuhusu safari ya kwenda sokoni
- Kurekebisha makosa katika insha
- Kuwasilisha insha iliyorekebishwa
|
|
6 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi ya juu ya, ndani ya na mbele ya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua matumizi ya juu ya katika kifungu. - Kutumia juu ya ipasavyo katika kifungu. - Kuchangamkia matumizi ya juu ya katika tungo za kawaida. |
- Kutambua matumizi ya juu ya kutoka kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na mwenzake. - Kutunga sentensi akitumia juu ya. |
Je, neno "juu ya" hutumiwa vipi katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 134
Picha za vitu juu ya vingine Vifaa vya kidijitali Chati ya sentensi Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 136 Picha za vitu ndani ya vingine |
- Kutambua maneno yenye "juu ya" katika kifungu
- Kujaza pengo kwa kutumia "juu ya"
- Kutunga sentensi kwa kutumia "juu ya"
|
|
6 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matumizi ya juu ya, ndani ya na mbele ya
Matamshi Bora: Sauti mb, nz na tw |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua matumizi ya mbele ya katika kifungu. - Kutumia mbele ya ipasavyo katika kifungu. - Kuchangamkia matumizi ya mbele ya katika tungo za kawaida. |
- Kutambua matumizi ya mbele ya katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. - Kusoma sentensi zenye matumizi ya mbele ya akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi zenye matumizi ya mbele ya akiwa na wenzake. - Kutunga sentensi akitumia mbele ya. |
Je, maneno "juu ya", "ndani ya" na "mbele ya" hutumiwa vipi katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 139
Picha za vitu mbele ya vingine Vifaa vya kidijitali Chati ya sentensi Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 143 Kadi maneno Chati Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua tofauti kati ya "juu ya", "ndani ya" na "mbele ya"
- Kujaza pengo kwa kutumia "mbele ya"
- Kutunga sentensi kwa kutumia "mbele ya"
|
|
6 | 4 |
TEKNOLOJIA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti mb, nz na tw
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno na kifungu. - Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora. - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. |
- Kusikiliza kwa makini sentensi zenye maneno yenye silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka kwenye kifaa cha kidijitali. - Kusikiliza kifungu na kutambua sauti lengwa akiwa na wenzake. - Kusoma kwa sauti kifungu kifupi kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. |
Je, kwa nini ni muhimu kutamka maneno kwa ufasaha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 144
Kadi za sentensi Vifaa vya kidijitali Kifungu chenye sauti lengwa |
Kutamka silabi zenye sauti mb, nz na tw
Kutambua sauti lengwa katika kifungu
Kusoma kifungu kilicho na sauti lengwa
|
|
7 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora: Sauti mb, nz na tw
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa ili kufanikisha mawasiliano. - Kujirekodi akisoma matini yenye sauti lengwa. - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. |
- Kujirekodi akisoma kifungu kilicho na maneno yaliyo na sauti lengwa. - Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi. - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kifupi kwa kuzingatia silabi za sauti lengwa kwa matamshi bora. |
Je, ni kwa nini tunatumia matamshi bora tunapozungumza?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 145
Vifaa vya kidijitali Kifungu cha "Twiga na Nyani" Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 146 Picha za watu wanatumia vifaa vya kiteknolojia Kifungu cha "Vifaa vya kiteknolojia" |
Kujirekodi na kujisikiliza akisoma kifungu
Kusahihisha makosa ya matamshi
Kutumia kiimbo kinachofaa
|
|
7 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 55 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi). - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akiwa na wenzake. - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa. |
Kwa nini ni muhimu kusoma kifungu kwa ufasaha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 147
Kifungu cha "Vifaa vya kiteknolojia" Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 148 Hadithi ya "Twiga nyuma ya mti" Kifaa cha kupima muda |
Kusoma kwa kasi ifaayo
Kusoma kwa kuzingatia ishara zifaazo
Kusoma kifungu chenye sauti lengwa
|
|
7 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vinavyozingatiwa katika uandishi wa insha ya maelezo. - Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo. - Kutambua anwani, utangulizi, mwili na hitimisho katika insha ya maelezo. |
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha ya maelezo (k.v. wahusika, ujumbe, muundo) kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. - Kusoma kielelezo cha insha ya maelezo kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. - Kuonyesha anwani, utangulizi, mwili na hitimisho katika insha ya maelezo aliyosoma. |
Je, unatumia maneno ya aina gani unapotoa maelezo kuhusu kitu?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 149
Kielelezo cha insha ya "Kompyuta ya Kazuri" Chati ya muundo wa insha ya maelezo |
Kutambua vipengele vya insha ya maelezo
Kutaja anwani, utangulizi, mwili na hitimisho katika kielelezo cha insha
Kueleza ujumbe wa insha
|
|
7 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika insha ya maelezo kati ya maneno 85-90 akizingatia kanuni za uandishi. - Kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha ya maelezo. - Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo ipasavyo ili kuimarisha mawasiliano. |
- Kutazama picha ya kompyuta na kueleza mambo ambayo anayajua kuhusu kifaa hicho. - Kutambua kanuni za uandishi wa insha ya maelezo (k.v. mwandiko nadhifu, mtiririko). - Kuandika insha ya maelezo kuhusu kompyuta kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha ya maelezo. |
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 150
Picha ya kompyuta Chati ya vipengele vya insha ya maelezo Karatasi za kuandikia Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 151 Kielelezo cha hatua za uandishi wa insha Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha ya maelezo
Kuzingatia muundo sahihi wa insha ya maelezo
Kusoma insha aliyoandika
|
|
8 | 1 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vinyume vya vitendo katika matini. - Kutamka vinyume vya vitendo kwa usahihi. - Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua vinyume vya vitendo (k.v. fungua-funga, keti-simama, twika-tua) kwenye chati, kitabu au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kusikiliza kifungu chenye vinyume vya vitendo kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kusoma vinyume vya vitendo katika kifungu akiwa na wenzake. |
Je, unajua vinyume vipi vya vitendo?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 152
Picha zinazoonyesha vinyume vya vitendo Chati mbalimbali Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vinyume vya vitendo katika sentensi
Kutaja vinyume vya vitendo mbalimbali
Kuambatanisha vitendo na vinyume vyake
|
|
8 | 2 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vinyume vya vitendo katika matini. - Kutamka vinyume vya vitendo kwa usahihi. - Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua vinyume vya vitendo (k.v. fungua-funga, keti-simama, twika-tua) kwenye chati, kitabu au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kusikiliza kifungu chenye vinyume vya vitendo kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kusoma vinyume vya vitendo katika kifungu akiwa na wenzake. |
Je, unajua vinyume vipi vya vitendo?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 152
Picha zinazoonyesha vinyume vya vitendo Chati mbalimbali Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vinyume vya vitendo katika sentensi
Kutaja vinyume vya vitendo mbalimbali
Kuambatanisha vitendo na vinyume vyake
|
|
8 | 3 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutumia vinyume vya vitendo ipasavyo katika matini. - Kuongoza mchezo wa kutaja vinyume vya vitendo. - Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kukamilisha sentensi akitumia vinyume vya vitendo akiwa na wenzake. - Kutunga sentensi akitumia vinyume vya vitendo na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni. - Kuigiza vinyume vya vitendo vilivyotumiwa kwenye kifungu akiwa na wenzake. |
Unatumikaje vinyume vya vitendo katika mawasiliano ya kila siku?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 153-154
Karatasi za kujaza nafasi Kadi za vitendo Kadi za vinyume vya vitendo |
Kujaza nafasi kwa vinyume vya vitendo
Kutunga sentensi zenye vinyume vya vitendo
Kuigiza vitendo na vinyume vyake
|
|
8 | 4 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutafuta vinyume vya vitendo katika kifungu. - Kuandika vinyume vya vitendo mbalimbali. - Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kusoma kifungu chenye vinyume vya vitendo. - Kutafuta vinyume vya maneno katika kifungu alichosoma. - Kumtajia mzazi au mlezi vinyume vya maneno alivyojifunza darasani. |
Je, vinyume vya vitendo huchangia vipi katika utajiri wa lugha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 155
Kifungu cha "Umuhimu wa simu" Karatasi za kuorodhesha vinyume Karatasi za kutunga sentensi |
Kutafuta vinyume vya vitendo katika kifungu
Kuandika vinyume vya vitendo mbalimbali
Kutunga sentensi zenye vinyume vya vitendo
|
|
9 |
END OF YEAR ASSESSMENT |
Your Name Comes Here