Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1-2
Kusikiliza na kuzungumza
Kusililiza na kujibu (Mahajiano)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano
- Jutambua vipengele vya Kutambua katika kujibu mahojiano
-Kutambua vipengele vifaavyo katila kusikiliza na kujibu mahojiano
-Kuchangamkia kushiriki mahojiano
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliaza mahojiano
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano
- Kusilikiza mahojiano katika swala lengwa katika kifaa cha kidijitari
- Ashiriki mahojiano kuhusu swala lengwa akiwa na wenzake mzazi au mlezi
Je vipengele vipi vinavyo faa kuzingatiwa katika kusikiliza mahojiano
KLB TOP SCHOLAR KISWAHILI
Gredi ya 8
UK wa:
1-3
Kutambua vipengele katika kusikiliza na kujibu maswali katika swala lengwa
2 3
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu (Kifungu cha simulizi)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari muhimu katika kifungu cha simulizi
-Kupanga matukio Yanavyo fuatana katika kifungu cha simulizi
-Kufanya utabiri na ufasari kutokan na kifungu cha simulizi
- Kuelezea maana ya msmiati katika kifungu cha simulizi
- Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari
-Kusoma kifungu cha simulizi kwenye kitabu au kifaa cha kidijitari
-Kudondo habari mahususi (KV nani? nini? wapi? lini?) katika kifungu cha simulizi
-Kupanga matukio Yanavyo fuatana katika kifungu cha simuliz
-Kufanya utabiri na ufasai kutokana na kifungu cha simulizi alichosoma
-Kutambua msamiati (K.V maneno na nahau) katika kifungu cha simulizi na Kuelezea kwa kutumia kamusi.
-Kusoma vifungu vya simulize mtangaoni au kwenue vitabu kuhusu suala lengwa
-Kutambua na juleleze maana ya msamiati wa usafi wa sehem za umma kulingana na muktadha wa matumizi katika vifungu vya simulize alivyosooma mtandaoni
- Kumsomea mzazi au mlezi sentence kuhusu usafi sehemu za umma kisha wajadiliane umuhimu wa kudumisha usafi wa mazingira ya umma.
-Je tunapata aje habari muhimu -Je, tunapataje mahususi katika kifungu cha simulizi - Je ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha simulizi
KLB TOP SCHOLAR KWAHILI GREDI YA 8
4-7
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu -Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu -Kupanga matukion yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu -Kufanya utabiti na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu
2 4

3 1-2
Kuandika
-Viafikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua matumizi ya Alama ya hisi na Ritifaa kaitak matini
-kutumia Alama ya hisi na Ritifaa ipasavyo katika matini
-Kuonea fahari matumizi yafavyo ya Alama hisi na Ritifaa
- Kutambu Alama ya hisi na Ritifaa katika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwenye matini andishi na za kidijitari
-Kuandika maneno, sentence au vifungu vya maneno kuhusu kwa kutumia lama ya hisi na Ritifaa ipasavyo kwenye kitabu au kifaa cha kidijitari.
-Kuandika kwenye tarakilishi, kifungu kifupi kuhusu kwa kutumia Alama ya hisi na Ritifaa
ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye matandao ili wakutolee maoni
-Kusahihisha kifungu kuhusu suala lengwa ambacho hakijatumia alala ya hisi na Ritifaa ipasavyo
-Kuwasomea wenzake kifungu alichoandika na kuwataka waandkie maneno, sentensi au vifungu vinavyo faa kutumia Alama ya hisi na ritifa
-Kumwonyesha mzazi, mllezi au mwenzake maneno, vifungu vya maneno au sentensi zenye Alama za hisi na Ritifaa alizotunga ilia toe maoni yake
-Je, Alama ya hisi huonyesha hisia zipi? -Je, Alama ya Ritifaa hutumia vii katika maandishi?
KLB TOP SCHOLAR
KISWAHILI
Gredi ya 8
8-10
Tamka maneno Tunga sentensi ukizingatia alama ya hisi maneno matano yaliyo na alama ya ritifaa
3 3
Kusoma
6.2.1 Kusoma kwa kina Tamthilia -Maudhui -Dhamira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi ili kuipambanua
-Kutambua maudhui na dhamira katika tamthilia
-Kujadili maudhui na dhamira katika tamthilia
Mwanafunzi aelekeze
-Kueleza maana ya maudhui katika fasihi
-Kutambua maudhui mbali mbali katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-Kujadili na wensake maudhui ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-Kujaddili na wenzake maudhui ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-Kuwawasilishia wenzake darsani uchambuzi wake kuhusu maudhui.
-Kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-Kueleza maana ya dhamira katika fasihi
-Kutambua dhamira ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-Kujadili na wenzake dhamira katika tamthilia.
-Kuandika maelezo mafupi kuhusu dhamira ya tamthilia iliyoteuliea na mwalimu
-Kuwasilishia mzazi, mlezi, au mwenzake uchambuzi wake kuhusu maudhui na dhamira ili wauttolee maoni.
Je, mambo gani muhimu yaliyo katika tamthilia ulizosoma?
Kifaa cha kidigitali, kinasa sauti
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi 8
UK 63-66
-Kueleza maana ya maudhui -Kujadili -Kuwasilisa -Kueleza -Kutambua dhamira -Kuandika
3 4

4 1-2
Kuandika
6.3.1 Insha ya kubuni (Insha ya mdokezo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambuanua
-kubainisha aina ya insha ya mdokezo
-Kujadili vipengele vya insah ya mdokezo
-Kuandika insha ya mdokezo kuzingaatia vipengel vya uandishi husika
-Kufurahia Kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu
-Kutambua maana ya insha ya mdokezo
-Kujadili vipengele vya insha ya mdokezo kwenye matini au kwenye kikundi
-kubainisha aina ya insha ya mdokezo (Kwanzia na kumalizia) kwa kujadiliana na wenzake
-Kusoma kielelezo cha insah kutoka kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali
-Kueleza vipengle vilivyo zingatiwa katika uandishi wa insha ya mdokezo aliyosoma
-Kuandika insha ya mdokezo kuzinatia vipengele vya uandishi wa insha za mdokezo
-Kuwasilisha insha yake darasani ili wenzake waitolee maoni
-Kuwasilishia mzazi au mlezi insah aliyoiandika ili aitolee maoni
Je, ni vigezo vipi vinavyo tumika katika kuandkika insha za mdokezo
Vifaa vy kidijitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 66 - 68
-Kutambua maan -Kujadili vipengle -Kusoma kielelezo -Kueleza vielelezo
4 3
Sarufi
6.4.1 -Vivumish vya sifa -Vivumishi viashiri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vivumishi vya sifa/vionyeshi katika matini
-Kuhimia vivumishi vya sifa na viahiri/vionyeshi ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano
Mwanafunzi alekezwe;
-Kutambua vivumishi vya sifa na viashiria kwenye chati, kadi maneno a kapu maneno
-Kutinga vivumishi vya sifa na viashiria katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kupigia mstari au kuvikoleza wino katika matini za kidijitali
--Kumtajia mwenzake vivumishi vya sifa na viashiria katika mzingira ya shuleni nay a nyumbani
-Kutafiti mtandaoni kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria
Kujaza nafasi katika sentence au vifungu kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akizingatia masaulu mtambuko mbali mbali likiwemo suala la usalama nyumbani
-Kumsomea mzazi au mlezi kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria alivyofafiti mtandaoni
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria
Kapu maneno, chati, kifaa cha kidijitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 68 - 71
-Kutambua vivumishi -Kutengeneza vivumishi -Kumtajia mwenzake -Kujaza nafasi -Kutunga sentensi
4 4

5 1-2
Kusikiliza na Kuzungumuza
7.1.1 Usikilizaji husisha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya usikilizaji husisha ili Kubanisha
-Kujadili vipengel vya kuzingatia katika usikilizaji husishi
-Kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-Kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine
Mwanafunzi aelekezwe
-Kueleza maana ya usikilizaji husisha akishirikiana na wenzake
-Kujadili vipengelee vy kuzingatia katika usikilizaji husisha
-Kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa kutoka kwenye vifaa vya kidijitali akizingatia na kutambua vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatia usikilizaji husishi vilivyo zingatiwa
-Kumsikiliza mwenzake mwalimu au mgeni mwalimu akisema kauli au akisoma vifungu vifupi kuhusu sual lengwa na kufasir hisia zake
-Kuingiza kikao cha utoaji nasah akiishirikan na wenzake huku akizingatia vipengle vya usikilizaji husisha
-Kushiriki mazungumzo kuhusu sauala lengwa na mzazi, mlezi au mwenzake huku akizingatia vipenele vya usikilizaji husishi
-Unapo shiriki katika usikilizaji husishi ukizingatia nini ili kufanikisha usikilizaji
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 72 - 75
-Kueleza maana -Kujadili vipengele -kusikiliza mazungumzo -Kuigiza
5 3
Kusoma
7.2.1 Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua
-Kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu
-Kufupisha kifungu akizingatia vipengle vya ufupisho
-kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi
Mwanafuzi aelekekwe:
-Kueleza maana ya ufupisho akishirikian na wenzake
-Kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akishirikiana na wenzake
-Kutambua kwenye matini andishi au ya kidijitali habari za kimsingi katika Makala na kuzingatia mtazamo wa matini katika matini ya kufupishwa
-Kueleza kwa maneno yake habarimuhimu katika kifngu alichosoma
-kufupisha kifungu alichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini akishivikiean na wenzake
-Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni
-Kumweleza mzazi au mlezi namna ya kufupisha kifungu kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini
Unazingatia nini unapofupisha kifungu
Vifaa vya kidijitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 75 - 78
-Kueleza maana -Kusoma kifungu -Kutambua -Kuelezea -Kufupisha vifungu -Kuwasilisha wenzake
5 4

6 1-2
Kuandika
7.3.1 Insha ya kubuni Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua tamathali mbali mbali za lugha katika insha ya maelezo
-Kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-Kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbali mbali za lugha ili kujenha picha dhahiri
-Kufurahia Kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbali mbali za lugha ili kujenga picha dhahiri
Mwanafunzi aelekezwe;
-Kutambua tamathali mbali mbali z lugha katika vielelezo vya insha za maelezo (K.V tashbihi, sitiari, uhaishaji na tanakali sauti)
-Kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezo cha insha ya maelezo zinavyo changia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake
-Kupigia mstari tamathali mbalimbali zilisotumiwa kwenue kifungu na kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akishirikishana na wenzake
-Kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-Kuswasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili
Kifua cha kidigitali na
KLB TOP SCHOLAR Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 78-80
-Kutambua tamathali -Kupiga mistari -Kuandika insha -Kuwasomea wenzako
6 3
Sarufi
7.4.1 Vivumishi -Vivumishi vimilikishi -Vivumishi vya idai
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vivumish vimilikishi na vya idadi katika matini
-Kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vy idadi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vivumishi vimilishi, na vya idadi kwenye chati, kadi maneo au kapu maneno akishirikiana na wenzake
-Kutenga vivumishi vimilikishi na vya idadi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kw kuzipigia mistari au kuzikolezea wino katika mathini za kikidijitari au za kimandishi
-Kumtajia mwenzake vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mazingira ya shulen-Kujaza nafasi katika sentence au vifungu kwa kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vimilikishi na vy idai akizingatia masual mtambuko mbali mbali likiwemosuala lalkuhudumia wenye mahitaji maalum
-Kumtajia mzazi au mlezi sentensi zenye vivumishi vimilishi na vya idadi katka mazingira ya nyumbani
Je kna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
Kfaa cha kidigitali, kapu maneno,
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahli
Gredi ya 8
UK: 80-88
-Kutambua -Kutenga -Kujaza nafasi -Kutunga sentesi -Kumtajia mzazi
6 4

7 1-2
Kusikiliza na Kuzungumza
8.1.1 Uzungumzaji wa papo kwa hapo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuelezea maona ya uzungumzaji wa papo kwahao ili kuupambanua
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengle vifaavyo vya uzungumzaji
-Kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake
-Kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa
papo kwa hapo
-Kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapokuhusu swala lengwa yakitolewa na mwalimu,wenzake, mgeni, mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika
-Kushiriki katika uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vifaavyo n kuwawasilishia wenzake ili wautathmini
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
-Kifaa cha kidijitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK 84-85
-kubainisha -kusikiliza -Kutathmini -kubuni -kushiriki katika uzungumzaji
7 3
Kusoma
8.2.1 Kusoma kwa kina-Tamthilia -Mandhari -Ploti -
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua mandhari nap ploti katika tamthila.
-Kueleza umuhimu wa mandhari nap loti ili kuubainisha
-Kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma
-Kuchangamkia nafasi ya mandhari nap loti katika tamthiliaa
-Kutambua mandhari mbali mbali katika tamthilia akishirikiana na wenzake.
-Kueleza umuhimu wa mandhari katika tamthilia askishirikiana na wenzake
-Kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-Kuwawasilisha wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari
-Kusoma chapisho la tamthilia au kutoka mtandaoni na Kutambua mandhari yake
-Kutambua ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu au na wenzake
-Kuandaa muhtasari kuhusu ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-Kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu ploti ya tamthilia aliyosoma
Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma? -Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
Kinasa sauti
Vifaa vya kidigitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Grdi ya 8
UK: 86-88
-Kutambua mandhari -Kueleza -kuandkika -Kuwawasilisha -Kusoma -Kutambua -Kujadili -Kuandaa
7 4

8 1-2
Kuandika
8.8.1 Viakilishi -Alama za mtajo -Mshazari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua matumizi ya Alama za mtajo na mshazari katika matini
-kutumia Alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini
-Kufurahia matumizi yafaayo ya Alama za mtajjo na mshazari katika matini
Mwanfunzi aelekezwe;
-Kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari kwenye matini andishi au za kidijitali
-Kuandika maneno sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo
-Kuandika kwenye kifaa cha kidijitali kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili wakutolee maoni
-Kushirikian na wenzake kusahihi sha kifungu ambach hakijatuma alama za mtajo namshazari ipasavyo
-Kuwasomea wenzake kifung alichoandika nakuwataka waandkie maneno, sentensi au vifungu vinavyostahili kuwa na alama za mtajo na mshazari
-Kushirikiana na mzazi au mlezi, kutafiti mtandaoni au kwenyevitaabu vya ziada kuhusu matumizi ya alama za mtajo na mshazari
-Je, Alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi? -Je Alama ya mshazari
Kifaa cha kidijitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
-Kutambua matumizi -Kuandika maneno, sentensi -Kushirikiana na wenzake -Kuwasomea wenzake
8 3
Sarufi
8.4.1 Ngeli Na upatanisho wa kisarufi Ngeli ya I –Zi Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Tambua viambishi vya upatanishowa kisarufi vya ngeli I -Zi na I - I
katika sentensi
-Kutambua nomino za ngeli ya I – Zi na I – I katika matini
-kutumia nomino za ngeli I – Zi na I – I katika mitini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
-Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I – Zi na I – I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya Ngeli ya I – Zi na I – I katika sentensi na mafungu ya maneno
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifunguau kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa Ngeli I – Zi na I –I kwenye chati, kadi msneno kapu au katika tarakilishi
-Kutaja makina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-Zi na I_I
-Kutenga nomino za ngeli ya I – Zi na 1- 1 katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
-Kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanishoufaao wa kisarufi kwa kutumia nomino za ngeli ya I – Zi na I – I akizingatia masual mtambulo mbalimbali likiwemo suala la uhalifu wa mtandaoni
-Kutunga sentence zenya upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya I- Zi and I – I akituia nonino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani, na kumsomea mzazi au mlezi wake ili amtolee maoni
-ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-Zi? - ni, majina yapi unayojua ya ngeli ya I- I?
Vifaa vya kidijitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 90 - 94
-Kutambua viambishi -Kujaza nafasi -Kuchapa nomino -kutaja majina -Kutenga nomino -Kutunga sentensi au vifungu
8 4

9 1-2
Kusikiliza na kuzungumza
9.1.1 Kusikiliza kwa kina -Sauti (ch) -Sauti (sh)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua sauti (ch) na (sh) katika silabi na maneno
-Kutamka sauti (ch) na (sh) katika silabi na maneno
-kutumia maneno yenye sauti (ch) na (sh) ipasavyo katika matini ili kuyatofuatisha kimatamshi
-Kuchangamkia matamshi bora ya sauti (ch) na (sh) katika mazungumzo ya kawaida ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua sauti (ch) na (sh) katika maneno na silabi akishirikiana na wenzake
-Kutambua maneno yenye sauti (ch) na (sh) katika matini andishi au za kidijitali na kuyatamka ipasavyo
-Kutunga vitanzandimi vyenye maana akitumia sauti (ch) na (sh) and kujirekodi kwa kutmia kifaa cha kidijitali
-kisikiliza na wenzake vitanza ndimi alivyo virekodi ili kuvitathmini
-Kumwashilishia mzazi au mlezi mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti (ch) na (sh)
-Ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti 9ch) na (sh)Kinasa sauti, vifaa vya kidijitali, KLB TOP SCHOLAR Kiswahili Gredi ya 8 UK: 95 - 96
Kutambua sauti (ch) na (sh)
-Kutambua maneno
-Kutunga
-Kusikiliza

9 3
Kusoma
9.2.1 Kusoma kwa ufahamu -Kifungu cha kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi
-Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamy cha kishawishi
-Kueleza maana ya msamiati na vifungu vya maneno kaitka kifungu cha ufahamu cha kushawishi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi
-Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi ili kutuza hamu ya ujifuzaji
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali au kudondoa habari mahususi (K.V, nani, nini, wapi, lini)
-Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi akishirikiana na wenzake
-Kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (K.V maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na akuueleza kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake
-Kuwawasilisha wenzake kazi yake ili wamtolee maoni
Ni kwa njia gai tunawea kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
-Tarakilishi vipakatalishi vifaa vya kidijitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 96-98
-Kusoma ufahamu -Kutabiri matukio -Kueleza maana -Kujadili ushawishi
9 4

10 1-2
Kuandika
9.3.1 Insha za kubuni Insha ya msimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vanavyozingatiwa kujenga wazo katika insha za masimulizi
-Kujadili vipengele vanavyo jenga wazo katika insha za masimulizi
Kujadili vipengele vinavyo jenga wazo katika aya kuhusu insah ya msimulizi
-Kuandika insha ya maimulizi akikuza katika aya ipasavyo
-Kufurahia utunzi wa insha za masimulizi zenye mapngilio mzuri wa wazo
Mwanafunzia aelekezwe:
-Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (K.V mada, utangulizi, kati hitimisho) katika insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi na za kidijitali
-Kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidigitali
-Kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi (K.V kila wazo kuu kuwa katika aya yake kutoamaelezo toshelevu kwa kila hoja kuu katika aya yake., kuepuka urudiaji au uchanganyaji wa hoja katika aya
-Kushirkana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo
-Kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia ukuzaji wa waso katika kila aya
-Kuandika insha ya masimulizi akizingatia ukuzaji wa wazo kaitka kila aya ya vipengele vnavyojenga mawazo hayo.
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
-Kushirikiana na wenzake kusahihisha insah ya maielezo aliyoandika kuhusu saual lengwa kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya
Je unawezaje kulikuza wazo vizuri katika insha ya masimulizi
Vifaa vya Kidigitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK 98 - 100
-Kutambua vipengele -Kutambua ukuzaji -Kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa
10 3
Sarufi
9.4.1 Ngeli na upatanisho wa kisarufi -Ngeli ya u-u -Ngeli ya u-ya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya u-u na u-ya katika sentensi
-Kutambua nomino za ngeli ya u-u na u-ya katika matini
-kutumia nomino za ngeli ya u-u na u-ya katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
Mwanafunzi aelekekwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya u-u na u-ya katika sentensi na vifungu vya mneno
-Kujaza nafasi katika sentensi au kifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya u-u na u-ya
-Kuchopoa nomino za ngeli ya u-u na u-ya kwenye chati, kadi, maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
-Kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya u-u na u-ya
-Kutenga nomino za ngeli ya u-u na na u-ya katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chat kwa kuzipigia mstari
-Kutunga sentence au vifungu vifupi vyenye upatanisho ufaao wa ngeli ya u-u na u-ya akizingatia masuala tambulo mbalimbali likiwemo sualal la majukumu ya mnunuzi
-Kuwasilisha kazi yake darasani au kuwasambazia wenakae mtandaoni ili waitolee maoni
-Kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya u-u na u-ya akitumia nomino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani, na kumsomea mzazi au mlezi wake ili amtolee maoni
Ni vitu gaani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya u-u? Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
Kwenye chati, kadi, kapu maneno tarakilishi vifaa vya kidijitali
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili Gredi ya 8
UK: 100-105
-Kutambua viambishi -Kujaza nafsi -kuchopoa nomino kutaja majina -Kutunga sentensi -Kutenga nomino
10 4

11 1-2
Kusikiliza na kuzungumza
10.1.1 -Hurafa -Hekaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuelekeza maana ya hurafa na hekaya ili kuzibainisha.
-Kueleza ujumbe katika hurafa na hekaya
-Kujadili vipengele vya uwasilishaji wa hurafa na hekaya
-Kusimulia hurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
-Kufurahia hurafa na hekaya kama vipera vya fisihi simulizi
Mwanafunzi aelekekwe
-Kusikiliza kielelezo cha hadithi ya hurafa na hekaya kutoka kwa mwaliu, mgeni, mwalikwa au kifaa cha kidijitali
-Kueleza maana ya hahurafa na hekagya ili kuzibainisha akiishirikiana na wenzake
-Kueleza ujumbe katika hurafa na hekaya
-Kujadili na wenzake vipengele vya uwasilishaji wa hurafa na hekaya
-Kuwasilisha hurafa na hkeya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji (Kiini cha hadithi, kiwango cha lugha, mpangilio wa matukio, sauti, ishara za mwili)
-Kujirekodi akitambua hurafa na hekaya kwa kutumia vifaa vya kidijitali na kusikiliza
-Kisjorolama mazazi au mlezi kutambua harafa na hekaya kutoka kwa jamii yake na kujadili ujumbe unaojitokeza katika hadithi hizo
-Je, hadithi ambayo umewahi kusikiliza ilihusu wanaya gani? -Je, hurafa na hekaya hutofautiana aje?
Vifaa vya kidijitali,
Kinasa sauti
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 106 - 111
-Kusikiliza -Kueleza maana -Kuwasilisha hurafa na hekaya -Kujirekodi -Kujadili
11 3
Kusoma
10.2.1 Kusoma kwa wahusika katika tamthlia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua wahusika katika tamthlia aliyosoma
-Kujadili sifa za wahusika katika tamthilia
-Kudadili mafunzo yanayotokana na wahusika katika tamthilia
-kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kukuza hamu ya usifunzaji
Mwnafunzi alelekezwe:
-Kutambua wahusika katika tamthilia aliyosoma
-Kujadili na wenzako sifa za wahusika katika tamthilia akiwa na wenzake ili kukuzauelewa wa sifa zao
-Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-Kutazama video kuhusu wahusika katika tamthilia aliyosoma
-Kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama
-Kujadili mafunzo yanayo tokan an matendo ya wahukis akishirikiana na wenzake
-ni mambo yapi yanayo Kuelekeza kiwaelewa wahusika katika tamthilia? -Je, ni mambo gani tunayoweza kujifunza kutokana na wahusika wa tamthilia?
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK; 111 - 112
-Kutambua wahusika -Kujadili -Kuigiza -Kueleza -Kuandaa
11 4

12 1-2
Kuandika
10.3.1 Barua ya kuomba msaada
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada
-Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msaada
-Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia ujumbe, muundo na lugha
-Kufurahia kujieleza ifaavyo kwa njia ya barua
Mwanafuznzi aelekezwe:
-Kujadili vipengele vy kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada
-kutambua ujumbe unanoafikiana barua rasmi ya kuomba msaada
-Kujadili na wenzake kuhusu lugha inayo faa katika uadndish wa barua rasmi ya kuomba msaada
-Kuandika barua rasmi ya kuomba masaada kuhusu maulala mbalimbali na kwasoomea wenzake darasani ili waitolee maoni
-Kuandika barua ya kuomba msaada katika kifaa cha kidijitali na kwasambazia wenzake kupitia mtandao ili watolee maoni
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya kuomba msaada? -Je, ni vipengele vipi unazingatia wakati unnapoandika barua kuomba msaada?
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 113 - 115
-Kujadili vipengele -Kutambua jujumbe -Kujadkili -Kuandika
12 3
Sarufi
10.4.1 Vinyume vya vitenzi na vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya kinyume ili kibabanisha
-Kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili maana ya kinyume akiwa na mwenzake
-Kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini (K.V orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno)
-Kuchagua sentensi zinatoachiria matumizi ya Vinyume vya vitenzi na vielezi kutoka kwa sentensi mbali mbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavy-Kutunga sentensi au vifungu vifupi akiltumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo akizingatia masual matambuko mbali mbali likiwemo suala la kukabiliana na hisia
-Kusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi
-Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vilezi
Kadi maneno, Kapu maneno, Mti maneno, chati maneno,
Talakilishi
KLB TOP
SCHOLAR
Kiswahili
Gredi ya 8
UK: 115-119
-Kujadili maana -Kutambua vinyume -Kuchagua sentansi -Kujaza nafasi
12 4

Your Name Comes Here

Download

Feedback