If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 |
Kufungua na kufanya marudio |
||||||||
2 | 1 |
USALAMA NYUMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kufasiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza -kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku -kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini -kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku. |
- kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali
-kusikiliza matini katika vifaa vya kidijitali, kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kueleza uhusiano wa ujumbe wa matini hiyo na maisha ya kila siku -kujadili na wenzake mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini |
1. Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako?
-
-2. Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 75 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Mwalimu |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Maudhui na Dhamira |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza -kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku -kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini -kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku. |
- kushirikiana na mzazi au mlezi kusikiliza na kuchanganua habari katika matini za aina mbalimbali kuhusu suala lengwa
-kutunga sentensi akitumia msamiati aliojifunza kuhusu usalama nyumbani -kuandika muhtasari wa habari aliyosikiliza na kuwawasilishia wenzake |
1. Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako?
-
-2. Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 76 - Vifaa vya kidijitali - Kinasasauti - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 77 - Tamthilia |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
2 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina:
-Tamthilia
-Maudhui na Dhamira
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi ili kuipambanua -kutambua maudhui na dhamira katika tamthilia -kujadili maudhui na dhamira katika tamthilia -kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kujenga misingi ya uchambuzi. |
- kueleza maana ya dhamira katika fasihi
-kutambua dhamira ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kujadili na wenzake dhamira katika tamthilia -kuandika maelezo mafupi kuhusu dhamira ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kuwawasilishia mzazi, mlezi au mwenzake uchambuzi wake kuhusu maudhui na dhamira ili wautolee maoni |
Je, ni mambo gani muhimu yaliyo katika tamthilia ulizosoma?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 78 - Tamthilia - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa tamthilia
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
2 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni:
-Insha ya mdokezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua -kubainisha aina za insha ya mdokezo -kujadili vipengele vya insha ya mdokezo -kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika -kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu. |
- kutambua maana ya insha ya mdokezo
-kujadili vipengele vya insha ya mdokezo atakachosimulia kutokana na mdokezo kwenye matini au kwenye kikundi -kubainisha aina za insha ya mdokezo (kuanzia na kumalizi kwa kujadiliana na wenzake -kusoma kielelezo cha insha kutoka kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali -kueleza vipengele vilivyozingatiwa katika uandishi wa insha ya mdokezo aliyosoma |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 82 - Kielelezo cha insha ya mdokezo - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
-Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
3 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Kubuni:
-Insha ya mdokezo
Vivumishi: -Vivumishi vya Sifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua -kubainisha aina za insha ya mdokezo -kujadili vipengele vya insha ya mdokezo -kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika -kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu. |
- kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha za mdokezo
-kuwasilisha insha yake darasani ili wenzake waitolee maoni -kuwasilishia mzazi au mlezi insha aliyoiandika ili aitolee maoni -kuboresha insha aliyoandika kutokana na maoni ya wenzake na kisha kuiwasilisha tena darasani |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 83 - Kielelezo cha insha ya mdokezo - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 79 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
3 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi:
-Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini -kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini -kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano. |
- kutambua vivumishi viashiria kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno
-kutenga vivumishi viashiria katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali -kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usalama nyumbani -kumsomea mzazi au mlezi kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria alivyotafiti mtandaoni |
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 79 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
3 | 3 |
KUHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUMU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Usikilizaji Husishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha -kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi -kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi -kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine. |
- kueleza maana ya usikilizaji husishi akishirikiana na wenzake
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi -kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa kutoka kwenye vifaa vya kidijitali akizingatia na kutambua vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatiwa -kumsikiliza mwenzake, mwalimu au mgeni mwalikwa akisema kauli au akisoma vifungu vifupi kuhusu suala lengwa na kufasiri hisia zake |
Unaposhiriki katika usikilizaji husishi, utazingatia nini ili kufanikisha usikilizaji?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 86 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Mwalimu |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
3 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Usikilizaji Husishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha -kujadili vipengele vya kuzingatia katik a usikilizaji husishi -kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi -kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine. |
- kuigiza kikao cha utoaji nasaha akishirikiana na wenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-kushiriki mazungumzo kuhusu suala lengwa na mzazi, mlezi au mwenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi -kueleza jinsi vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatiwa katika mazungumzo |
Unaposhiriki katika usikilizaji husishi, utazingatia nini ili kufanikisha usikilizaji?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 87 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mazungumzo
|
|
4 | 1 |
Kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua -kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu -kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho -kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi. |
- kueleza maana ya ufupisho akishirikiana na wenzake
-kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu akiwa na wenzake -kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akishirikiana na wenzake -kutambua kwenye matini andishi au ya kidijitali habari za kimsingi katika makala na kuzieleza kwa usahihi kwa kuzingatia mtazamo wa matini katika matini ya kufupishwa |
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 92 - Tarakilishi/vipakatalishi - Kinasasauti - Rununu - Projekta - Kamusi mbalimbali - uk. 93 |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa ufahamu
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
4 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni:
-Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo -kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo -kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri -kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri. |
- kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika vielelezo vya insha za maelezo (k.v. tashbihi, sitiari, uhaishaji na tanakali sauti)
-kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezo cha insha ya maelezo zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake -kupigia mstari tamathali mbalimbali zilizotumiwa kwenye kifungu na kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake |
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 90 - Kielelezo cha insha ya maelezo - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
-Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
4 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni:
-Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo -kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo -kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri -kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri. |
- kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni -kujadiliana na wenzake kuhusu namna ambavyo tamathali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa |
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 91 - Kielelezo cha insha ya maelezo - Tarakilishi/vipakatalishi - Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
4 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi:
-Vivumishi Vimilikishi
Vivumishi: -Vivumishi vya Idadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini -kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini -kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano. |
- kutambua vivumishi vimilikishi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake
-kutenga vivumishi vimilikishi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi -kumtajia mwenzake vivumishi vimilikishi katika mazingira ya shuleni -kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vivumishi vimilikishi ipasavyo |
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 98 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
5 |
Kuthamini wanafunzi |
||||||||
6 | 1 |
UHALIFU WA MTANDAONI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Aina za Uzungumzaji:
-Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua -kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo -kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji -kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano. |
- kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake
-kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo -kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa yakitolewa na mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika |
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 99 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Picha - Mwalimu |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
6 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Aina za Uzungumzaji:
-Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua -kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo -kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji -kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano. |
- kushiriki katika uzungumzaji wa papo kwa hapo akizingatia vipengele vifaavyo
-kubuni uzungumzaji mwepesi wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vifaavyo na kuwawasilishia wenzake ili wautathmini -kujadiliana na wenzake kuhusu namna ambavyo uzungumzaji wa papo kwa hapo umeusaidia kuzielewa mbinu za kuchambua masimulizi |
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 100 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Picha - Mwalimu |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
6 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina:
-Tamthilia
-Mandhari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua mandhari na ploti katika tamthilia -kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha -kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma -kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia. |
- kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kueleza umuhimu wa mandhari katika katika tamthilia akishirikiana na wenzake -kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari |
1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma?
-
-2. Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 102 - Tamthilia - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa tamthilia
-Kusoma kwa sauti
|
|
6 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Kina:
-Tamthilia
-Ploti
Viakifishi: -Alama za Mtajo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua mandhari na ploti katika tamthilia -kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha -kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma -kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia. |
- kutambua ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu au kwa kushirikiana na wenzake
-kujadili umuhimu wa ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu au na wenzake -kuandaa muhtasari kuhusu ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu ploti ya tamthilia aliyosoma |
1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma?
-
-2. Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 103 - Tamthilia - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 104 - Mifano ya matini zenye alama za uakifishi |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa tamthilia
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
7 | 1 |
Kuandika
|
Viakifishi:
-Mshazari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini -kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini -kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo na mshazari katika matini. |
- kutambua matumizi ya alama za mshazari kwenye matini andishi au za kidijitali
-kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mshazari ipasavyo -kushirikiana na wenzake kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo -kuwasomea wenzake kifungu alichoandika na kuwataka waandike maneno, sentensi au vifungu vinavyostahili kuwa na alama za mtajo na mshazari |
1. Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi?
-
-2. Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 105 - Vifaa vya kidijitali - Mifano ya matini zenye alama za uakifishi - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
7 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi:
-Ngeli ya I-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi -kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini -kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi -kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano. |
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI -kuchopoa nomino za ngeli I-ZI kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi -kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI |
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI?
-
-2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 108 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
7 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi:
-Ngeli ya I-I
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi -kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini -kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi -kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano. |
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-I katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-I -kuchopoa nomino za ngeli I-I kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi -kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-I -kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la uhalifu wa mtandaoni |
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI?
-
-2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 109 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi Kielekezi cha Kiswahili uk. 114 -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
7 | 4 |
MAJUKUMU YA MNUNUZI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutofautisha sauti /ch/ na /sh/ kimatamshi katika mazungumzo. -Kutumia maneno yenye sauti /ch/ na /sh/ ipasavyo katika mawasiliano. -Kuridhia matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/ ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kumwasilishia mzazi au mlezi mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/. -Kujadili na wenzake matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/. -Kuandaa mazungumzo mafupi kuhusu majukumu ya mnunuzi akitumia maneno yenye sauti /ch/ na /sh/. -Kufanya mazoezi ya kutamka vitanza ndimi vyenye sauti /ch/ na /sh/. |
Ni mambo gani unayoyazingatia utamkapo sauti /ch/ na /sh/?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 115
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Maigizo
|
|
8 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi. -Kufasiri ujumbe katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi. -Kuthamini kusoma vifungu vya ufahamu kwa ajili ya kujielimisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini). -Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi akishirikiana na wenzake. -Kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake. |
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 116
-Kamusi -Matini za ufahamu -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
8 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza mbinu za ushawishi zinazotumika katika kifungu. -Kuchanganua ushawishi katika kifungu cha ufahamu. -Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu shawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake. -Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni. -Kusakura mtandaoni ili kupata kifungu cha ufahamu cha kushawishi zaidi kuhusu majukumu ya mnunuzi na kukisoma. -Kutambua mbinu za ushawishi zinazotumika katika vifungu alivyosoma. |
Ni mambo gani yanayoweza kukushawishi kununua bidhaa fulani?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 117-119
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Matini za ufahamu -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 120 -Matini za kielelezo |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
8 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kupanga vidokezo vya insha ya masimulizi kwa utaratibu ufaao. -Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika kila aya. -Kufurahia kuandika insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa mawazo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya. -Kuandika insha ya masimulizi akizingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya na vipengele vinavyojenga mawazo hayo. -Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni. -Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo aliyoandika kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya. |
Je, ni vigezo vipi unavyozingatia katika kuandika insha ya masimulizi?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
-Matini za kielelezo -Vifaa vya kidijitali -Vidokezo vya insha -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Insha iliyoandikwa
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Uwasilishaji wa insha
|
|
8 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-U
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli U-U katika sentensi. -Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli U-U na upatanisho wake ufaao. -Kudumisha matumizi bora ya nomino za ngeli U-U katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-U katika sentensi na mafungu ya maneno. -Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-U. -Kuchopoa nomino za ngeli U-U kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi. -Kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-U. |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-U?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 123-124
-Chati -Kadi maneno -Kapu maneno -Tarakilishi -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Zoezi la sentensi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
9-10 |
Likizo fupi |
||||||||
10 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua nomino za ngeli ya U-YA katika matini. -Kutumia nomino za ngeli ya U-YA kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi. -Kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-YA ipasavyo katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-YA katika sentensi na vifungu vya maneno. -Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-YA. -Kuchopoa nomino za ngeli ya U-YA kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi. -Kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-YA. -Kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA akitumia nomino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani. |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-127
-Chati -Kadi maneno -Kapu maneno -Tarakilishi -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Zoezi la sentensi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
10 | 3 |
KUKABILIANA NA HISIA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Hadithi: Hurafa
Hadithi: Hekaya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza dhana ya hurafa na sifa zake. -Kutambua ujumbe katika hurafa aliyosikiliza. -Kuthamini hurafa kama kipera cha fasihi simulizi katika jamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza kielelezo cha hadithi ya hurafa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali. -Kueleza maana ya hurafa ili kuibainisha akishirikiana na wenzake. -Kueleza ujumbe katika hurafa. -Kujadili na mwenzake vipengele vya uwasilishaji wa hurafa. |
Je, hadithi ambayo umewahi kusikiliza ilihusu wanyama gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 129-130
-Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu -Mgeni mwalikwa Kielekezi cha Kiswahili uk. 131-133 |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
10 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua wahusika mbalimbali katika tamthilia. -Kuchambua sifa za wahusika katika tamthilia. -Kuthamini mchango wa wahusika katika kujenga maudhui ya tamthilia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua wahusika katika tamthilia aliyoisoma. -Kujadili na wenzake sifa za wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu. -Kuigiza wahusika katika tamthilia akiwa na wenzake ili kukuza uelewa wa sifa zao. -Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu. |
Je, ni mambo yapi yanayokuelekeza kuwaelewa wahusika katika tamthilia?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Maigizo
|
|
11 |
Kuthamini wanafunzi |
||||||||
12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kuchanganua mafunzo yanayopatikana kutokana na wahusika katika tamthilia. -Kutambua mahusiano ya wahusika katika tamthilia. -Kuridhia usomaji wa kazi za fasihi kwa ajili ya burudani na kujielimisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutazama video kuhusu wahusika katika tamthilia aliyosoma. -Kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama. -Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika akishirikiana na wenzake. -Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa sifa za wahusika katika tamthilia aliyosoma. |
Je, ni mambo gani tunayoweza kujifunza kutokana na wahusika wa tamthilia?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia -Video -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Uwasilishaji wa muhtasari
|
|
12 | 2 |
Kuandika
|
Barua ya Kuomba Msaada
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua muundo wa barua rasmi ya kuomba msaada. -Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada ikizingatia vipengele muhimu. -Kuthamini umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msaada katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada. -Kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba msaada. -Kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa barua rasmi ya kuomba msaada. -Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kuhusu masuala mbalimbali na kuwasomea wenzake darasani ili waitolee maoni. |
Je ni mambo gani yanayoweza kukufanya kuomba msaada?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 137-138
-Kielelezo cha barua -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 138 |
Uangalizi
-Barua iliyoandikwa
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Maswali ya mdomo
|
|
12 | 3 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua maana ya kinyume katika vitenzi. -Kutumia vinyume vya vitenzi katika sentensi na vifungu. -Kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili maana ya kinyume akiwa na mwenzake. -Kutambua vinyume vya vitenzi kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno. -Kutambua vinyume vya vitenzi katika matini (k.v. orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno). -Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati. |
Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 139-140
-Kadi maneno -Mti maneno -Kapu maneno -Chati -Tarakilishi -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Zoezi la sentensi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
12 | 4 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua vinyume vya vielezi mbalimbali. -Kutumia vinyume vya vielezi kwa usahihi katika mawasiliano. -Kuthamini umuhimu wa vinyume vya vielezi katika kuendeleza lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo. -Kutunga sentensi au vifungu vifupi akitumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kukabiliana na hisia. -Kusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi. -Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vielezi. |
Je, unajua vinyume gani vya vielezi?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 141-143
-Kadi maneno -Mti maneno -Kapu maneno -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Zoezi la sentensi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
13 |
Mtihani wa mwisho wa muhula |
||||||||
14 |
Kusahihisha na kufunga |
Your Name Comes Here