Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
MAJUKUMU YA KIJINSIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua maagizo katika miktadha mbalimbali
-kueleza maana ya maagizo ili kuyapambanua
-kujadili sifa za kimsingi za maagizo yafaayo
-kutoa na kupokea maagizo ipasavyo
-kuchangamkia kutoa na kufuata maagizo ifaavyo katika miktadha mbalimbali.
- kueleza maana ya maagizo ili kuipambanua
-kubainisha maagizo miongoni mwa kauli zilizoandikwa katika kadi, kapu maneno au vifaa vya kidijitali
-kutambua maagizo kutoka kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali
-kujadili na wenzake sifa za kimsingi za maagizo yafaayo
-kutafiti maktabani au mtandaoni kuhusu sifa za maagizo na kuwawasilishia wenzake darasani wazitathmini
-kuigiza utoaji na uitikiaji wa maagizo mbalimbali kwa uwazi
-kujadiliana na wenzake kuhusu aina mbalimbali za maagizo kulingana na miktadha ya jamii zao
1. Je, kwa nini mtu hupewa maagizo? - -2. Maagizo ambayo umewahi kupewa yalikusaidia vipi?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 61
- Chati
- Kadi maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kapu maneno
- uk. 62
- Mgeni mwalikwa
- Vitu halisi
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Maigizo -Mijadala -Mazungumzo
2 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
-kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu
-kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari.
- kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali
-kueleza habari za kifungu kwa ufupi
-kuchopoa msamiati wa suala lengwa na kuutia kwenye kapu la maneno
-kueleza maana za maneno kulingana na muktadha wa matumizi katika matini
-kusakura vifungu vya ufahamu kuhusu suala lengwa kwenye vifaa vya kidijitali
Ni kwa njia gani tunaweza kudondoa habari mahususi kutokana na kifungu cha ufahamu?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 64
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kinasasauti
- Projekta
- Kamusi mbalimbali
- uk. 65
- Vifaa vya kidijitali
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa -Kusoma kwa sauti
2 3
Kuandika
Insha ya Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua insha ya maelekezo katika matini
-kujadili sifa za insha ya maelekezo
-kuandika insha ya maelekezo akizingatia anwani na mpangilio ufaao
-kufurahia kuandika insha za maelekezo maishani.
- kutafiti na kueleza maana ya insha ya maelekezo
-kusoma kwenye kamusi au kifaa cha kidijitali maana ya insha ya maelekezo
-kutambua aina za insha za maelekezo kwenye maandishi au vifaa vya kidijitali
-kubainisha sifa za insha ya maelekezo kwa kuzingatia vielelezo vya insha kwenye matini za kimaandishi au za kidijitali
-kushiriki kuandaa mpangilio ufaao wa hatua za insha ya maelekezo
Je, ni mambo gani unayozingatia unapoandika insha ya maelekezo?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 67
- Kielelezo cha insha ya maelekezo
- Kamusi
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 68
- Vifaa vya kidijitali
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara -Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
2 4
Sarufi
Nyakati na Hali: -Wakati uliopita hali timilifu
Nyakati na Hali: -Wakati ujao hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ili kuzipambanua
-kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu katika matini
-kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo katika matini
-kuchangamkia kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano.
- kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu
-silabi zilizopigiwa mstari katika sentensi hizo ni viambishi vya wakati na hali gani?
-tambueni kwa kupigia mstari viambishi vya wakati uliopita hali timilifu kwenye sentensi
-chagueni vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali timilifu kutoka kwenye orodha
-elezeni sababu ya kuchagua vitenzi hivyo
Kwa nini ni muhimu kujifunza nyakati na hali?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 69
- Chati
- Kadi maneno
- Picha za vitu mbalimbali
- Miti maneno
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 71
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
3 1
USALAMA NYUMBANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza
-kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku
-kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini
-kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku.
- kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali
-kusikiliza matini katika vifaa vya kidijitali, kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kueleza uhusiano wa ujumbe wa matini hiyo na maisha ya kila siku
-kujadili na wenzake mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini
1. Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako? - -2. Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 75
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Mwalimu
- uk. 76
- Kinasasauti
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Mijadala -Mazungumzo
3 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Maudhui na Dhamira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi ili kuipambanua
-kutambua maudhui na dhamira katika tamthilia
-kujadili maudhui na dhamira katika tamthilia
-kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kujenga misingi ya uchambuzi.
- kueleza maana ya maudhui katika fasihi
-kutambua maudhui mbalimbali katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kujadili na wenzake maudhui ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu maudhui
-kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
Je, ni mambo gani muhimu yaliyo katika tamthilia ulizosoma?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 77
- Tamthilia
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 78
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa tamthilia -Kusoma kwa sauti
3 3
Kuandika
Insha za Kubuni: -Insha ya mdokezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua
-kubainisha aina za insha ya mdokezo
-kujadili vipengele vya insha ya mdokezo
-kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika
-kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu.
- kutambua maana ya insha ya mdokezo
-kujadili vipengele vya insha ya mdokezo atakachosimulia kutokana na mdokezo kwenye matini au kwenye kikundi
-kubainisha aina za insha ya mdokezo (kuanzia na kumalizi kwa kujadiliana na wenzake
-kusoma kielelezo cha insha kutoka kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali
-kueleza vipengele vilivyozingatiwa katika uandishi wa insha ya mdokezo aliyosoma
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 82
- Kielelezo cha insha ya mdokezo
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 83
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara -Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
3 4
Sarufi
Vivumishi: -Vivumishi vya Sifa
Vivumishi: -Vivumishi Viashiria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini
-kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano.
- kutambua vivumishi vya sifa kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno
-kutenga vivumishi vya sifa katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali
-kumtajia mwenzake vivumishi vya sifa katika mazingira ya shuleni na ya nyumbani
-kutafiti mtandaoni kuhusu vivumishi vya sifa
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vivumishi vya sifa ipasavyo
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 79
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
4 1
KUHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUMU

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi
-kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine.
- kueleza maana ya usikilizaji husishi akishirikiana na wenzake
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi
-kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa kutoka kwenye vifaa vya kidijitali akizingatia na kutambua vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatiwa
-kumsikiliza mwenzake, mwalimu au mgeni mwalikwa akisema kauli au akisoma vifungu vifupi kuhusu suala lengwa na kufasiri hisia zake
Unaposhiriki katika usikilizaji husishi, utazingatia nini ili kufanikisha usikilizaji?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 86
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Mwalimu
- uk. 87
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Mijadala -Mazungumzo
4 2
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua
-kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu
-kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho
-kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi.
- kueleza maana ya ufupisho akishirikiana na wenzake
-kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu akiwa na wenzake
-kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akishirikiana na wenzake
-kutambua kwenye matini andishi au ya kidijitali habari za kimsingi katika makala na kuzieleza kwa usahihi kwa kuzingatia mtazamo wa matini katika matini ya kufupishwa
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 92
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kinasasauti
- Rununu
- Projekta
- Kamusi mbalimbali
- uk. 93
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa ufahamu -Wanafunzi kufanyiana tathmini
4 3
Kuandika
Insha za Kubuni: -Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo
-kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri
-kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri.
- kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika vielelezo vya insha za maelezo (k.v. tashbihi, sitiari, uhaishaji na tanakali sauti)
-kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezo cha insha ya maelezo zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake
-kupigia mstari tamathali mbalimbali zilizotumiwa kwenye kifungu na kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 90
- Kielelezo cha insha ya maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 91
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara -Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
4 4
Sarufi
Vivumishi: -Vivumishi Vimilikishi
Vivumishi: -Vivumishi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini
-kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano.
- kutambua vivumishi vimilikishi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake
-kutenga vivumishi vimilikishi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi
-kumtajia mwenzake vivumishi vimilikishi katika mazingira ya shuleni
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vivumishi vimilikishi ipasavyo
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 98
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
5 1
UHALIFU WA MTANDAONI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Aina za Uzungumzaji: -Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo
-kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji
-kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano.
- kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake
-kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo
-kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa yakitolewa na mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 99
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Picha
- Mwalimu
- uk. 100
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Maigizo -Mijadala -Mazungumzo
5 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Mandhari
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Ploti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua mandhari na ploti katika tamthilia
-kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha
-kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma
-kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia.
- kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kueleza umuhimu wa mandhari katika katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari
1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma? - -2. Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 102
- Tamthilia
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 103
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa tamthilia -Kusoma kwa sauti
5 3
Kuandika
Viakifishi: -Alama za Mtajo
Viakifishi: -Mshazari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini
-kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini
-kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo na mshazari katika matini.
- kutambua matumizi ya alama za mtajo kwenye matini andishi au za kidijitali
-kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mtajo ipasavyo
-kuandika kwenye kifaa cha kidijitali kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama za mtajo ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili wakitolee maoni
1. Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi? - -2. Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 104
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya matini zenye alama za uakifishi
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 105
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara
5 4
Sarufi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: -Ngeli ya I-ZI
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: -Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi
-kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini
-kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano.
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI
-kuchopoa nomino za ngeli I-ZI kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
-kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI? - -2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 108
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 109
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
6 1
MAJUKUMU YA MNUNUZI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua sauti /ch/ na /sh/ katika silabi na maneno.
-Kutamka sauti /ch/ na /sh/ ipasavyo katika silabi na maneno.
-Kuchangamkia matumizi ya sauti /ch/ na /sh/ katika mazungumzo ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua sauti /ch/ na /sh/ katika maneno na silabi akishirikiana na wenzake.
-Kutambua maneno yenye sauti /ch/ na /sh/ katika matini andishi au za kidijitali na kuyatamka ipasavyo.
-Kutunga vitanzandimi vyenye maana akitumia sauti /ch/ na /sh/ na kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali.
-Kusikiliza na wenzake vitanzandimi alivyovirekodi ili kuvitathmini.
Ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti /ch/ na /sh/?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 114
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 115
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Tathmini ya rekodi
6 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi.
-Kufasiri ujumbe katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi.
-Kuthamini kusoma vifungu vya ufahamu kwa ajili ya kujielimisha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini).
-Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi akishirikiana na wenzake.
-Kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake.
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 116
-Kamusi
-Matini za ufahamu
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 117-119
-Vifaa vya kidijitali
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
6 3
Kuandika
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kueleza vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi.
-Kutambua ukuzaji wa wazo katika aya za insha ya masimulizi.
-Kuonelea fahari insha zenye ukuzaji wa mawazo yaliyopangwa vizuri.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (k.v. mada, utangulizi, kati, hitimisho) katika insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi na za kidijitali.
-Kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidijitali.
-Kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi.
-Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo.
Je, unawezaje kulikuza wazo vizuri katika insha ya masimulizi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 120
-Matini za kielelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
-Vidokezo vya insha
Uangalizi -Insha iliyoandikwa -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maswali ya mdomo
6 4
Sarufi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-U
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli U-U katika sentensi.
-Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli U-U na upatanisho wake ufaao.
-Kudumisha matumizi bora ya nomino za ngeli U-U katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-U katika sentensi na mafungu ya maneno.
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-U.
-Kuchopoa nomino za ngeli U-U kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi.
-Kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-U.
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-U?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 123-124
-Chati
-Kadi maneno
-Kapu maneno
-Tarakilishi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-127
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
7 1
KUKABILIANA NA HISIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Hurafa
Hadithi: Hekaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kueleza dhana ya hurafa na sifa zake.
-Kutambua ujumbe katika hurafa aliyosikiliza.
-Kuthamini hurafa kama kipera cha fasihi simulizi katika jamii.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza kielelezo cha hadithi ya hurafa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali.
-Kueleza maana ya hurafa ili kuibainisha akishirikiana na wenzake.
-Kueleza ujumbe katika hurafa.
-Kujadili na mwenzake vipengele vya uwasilishaji wa hurafa.
Je, hadithi ambayo umewahi kusikiliza ilihusu wanyama gani?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 129-130
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
-Mgeni mwalikwa
Kielekezi cha Kiswahili uk. 131-133
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
7 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua wahusika mbalimbali katika tamthilia.
-Kuchambua sifa za wahusika katika tamthilia.
-Kuthamini mchango wa wahusika katika kujenga maudhui ya tamthilia.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua wahusika katika tamthilia aliyoisoma.
-Kujadili na wenzake sifa za wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
-Kuigiza wahusika katika tamthilia akiwa na wenzake ili kukuza uelewa wa sifa zao.
-Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
Je, ni mambo yapi yanayokuelekeza kuwaelewa wahusika katika tamthilia?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
-Video
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maigizo
7 3
Kuandika
Barua ya Kuomba Msaada
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua muundo wa barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada ikizingatia vipengele muhimu.
-Kuthamini umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msaada katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kuhusu masuala mbalimbali na kuwasomea wenzake darasani ili waitolee maoni.
Je ni mambo gani yanayoweza kukufanya kuomba msaada?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 137-138
-Kielelezo cha barua
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 138
Uangalizi -Barua iliyoandikwa -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maswali ya mdomo
7 4
Sarufi
Vinyume vya Vitenzi
Vinyume vya Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua maana ya kinyume katika vitenzi.
-Kutumia vinyume vya vitenzi katika sentensi na vifungu.
-Kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili maana ya kinyume akiwa na mwenzake.
-Kutambua vinyume vya vitenzi kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno.
-Kutambua vinyume vya vitenzi katika matini (k.v. orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno).
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati.
Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 139-140
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
-Chati
-Tarakilishi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 141-143
-Vifaa vya kidijitali
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
8 1
HAKI ZA WATOTO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutambua miktadha katika jamii ambapo kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja hufanywa.
-Kuchangamkia kushiriki katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kujadili na wenzake umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutambua miktadha katika jamii yake ambamo anahitaji kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maelezo
-Chati
-Kanuni za darasa
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
8 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kuteua matini ifaayo ya kujisomea.
-Kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia.
-Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuteua matini ifaayo ya kujisomea.
-Kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyoisoma.
-Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
-Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua.
-Kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu.
1. Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia? -2. Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Vitabu vya kusoma
-Rasilimali za mtandaoni
-Vitabu vya marejeleo
Kumbukumbu za usomaji -Vigezo vya tathmini -Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi
8 3
Kuandika
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo.
-Kujadili vipengele vya insha ya maelezo.
-Kuonea fahari uandishi wa insha za maelezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya insha ya maelezo kwa kurejelea matini mbalimbali.
-Kutafiti maktabani au mtandaoni vipengele vya insha ya maelezo.
-Kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo alivyotafiti mtandaoni.
-Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Insha zilizoandikwa -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Orodha hakiki -Vigezo vya tathmini
8 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika vitenzi.
-Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo katika matini.
-Kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda mtawalia.
-Kuteua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda mtawalia, kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi.
-Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari.
-Kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda.
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
9

Midterm

10 1
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza habari katika matini ya kusikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
-Kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza matini kutoka kifaa cha kidijitali au mwalimu wake.
-Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake.
-Kueleza hoja muhimu aliyotambua kutoka matini aliyosikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza.
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 157
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maneno
-Chati
-Kanuni za darasa
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
10 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuvibainisha.
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora.
-Kufurahia usomaji wa kifungu kwa ufasaha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha (matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ifaayo, ishara zifaazo).
-Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala (k.v. hotuba, taarifa ya habari).
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 105 kwa dakika).
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Vitabu vya kusoma
-Video za mifano ya usomaji
-Maelezo ya kifungu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
10 3
Kuandika
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kutambua hotuba ya kutoa ufafanuzi katika matini.
-Kuona umuhimu wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe (unaolenga kinachotolewa ufafanuzi), lugha (nyepesi inayoelewek na muundo ufaao wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake miktadha inayochochea hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160
-Mifano ya hotuba za ufafanuzi
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
10 4
Sarufi
Aina za Sentensi: Sentensi changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza maana ya sentensi changamano ili kuipambanua.
-Kutambua sentensi changamano katika matini.
-Kuthamini matumizi ya sentensi changamano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya sentensi changamano.
-Kutenga sentensi changamano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino.
-Kubainisha sentensi changamano zinazojitokeza katika matini.
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
11 1
HESHIMA KWA TAMADUNI ZA WENGINE

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua wahusika katika hadithi.
-Kuchambua sifa za wahusika katika hadithi.
-Kuona umuhimu wa wahusika katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua washiriki katika hadithi inayosimuliwa (k.v. fanani, hadhira).
-Kutambua wahusika katika hadithi inayosimuliwa.
-Kutambua sifa za wahusika katika hadithi aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali.
-Kuchambua wahusika katika hadithi aliyosikiliza.
Je, hadithi uliyowahi kusimuliwa ilikuwa na wahusika gani?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 166
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Hadithi za kusoma
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
11 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
-Kuthamini matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mbinu za lugha kwenye tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
-Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu mbinu za lugha katika tamthilia na kuutolea maoni.
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha? -2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Vifaa vya kidijitali
-Tamthilia iliyoteuliwa
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
11 3
Kuandika
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali.
-Kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali.
-Kuthamini umuhimu wa kutoa maelezo ya kujenga picha dhahiri.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vigezo vya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo.
-Kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo kutokana na kielelezo cha insha.
-Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu mahali panapolengwa katika insha ya maelezo.
-Kutumia lugha inayojenga picha ya kinachoelezewa.
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
11 4
Sarufi
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza maana ya ukanushaji ili kuupambanua.
-Kutambua ukanushaji kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu katika matini.
-Kuona umuhimu wa kuelewa njia mbalimbali za kukanusha sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua hali ya mazoea na timilifu kutoka kwenye chati, mti maneno, vitabu au vifaa vya kidijitali.
-Kutambua ukanushaji wa sentensi katika hali ya mazoea na timilifu.
-Kuchagua sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu kutoka kwenye mchanganyiko wa sentensi kutoka kwenye vitabu, tarakilishi au chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari.
1. Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini? -2. Je, ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu hutofautianaje?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
12 1
KUWEKA AKIBA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya mbinu za lugha katika hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi.
- Kueleza umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi.
- Kuchangamkia matumizi ya vipengele vya lugha katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha ya mzee anayesimulia hadithi na kueleza shughuli inayofanyika.
- Kusikiliza hadithi inayosimuliwa na mwalimu au mwanafunzi mwingine.
- Kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika katika hadithi hiyo (urudiaji, nahau, methali, tanakali za sauti, tashbihi).
- Kujadili umuhimu wa vipengele hivyo vya lugha katika hadithi.
- Kushiriki katika makundi kusimulia hadithi tofauti kuhusu kuweka akiba huku wakitumia vipengele vya lugha.
1. Matumizi ya mbinu za lugha katika hadithi yana umuhimu gani? - -2. Vipengele gani vya lugha vinatumika katika hadithi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 177
-Vifaa vya kidijitali
-Rekodi za sauti
-Picha
-Chati
Kielekezi cha Kiswahili uk. 179
-Kifaa cha kidijitali
-Video
-https://tinyurl.com/mwat3knv
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Majadiliano -Tathmini ya wenzake
12 2
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu: kifungu cha mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kutambua habari mahususi katika kifungu cha mjadala.
- Kueleza maana ya msamiati uliotumika katika kifungu cha mjadala.
- Kuchambua kifungu cha mjadala ili kupata ujumbe wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala kuhusu kuweka akiba.
- Kujadili na kumpa kifungu hicho mada mwafaka.
- Kutambua hadhira inayolengwa na kifungu hicho na mahali na wakati matukio yanafanyika.
- Kutaja maneno na nahau asizojua maana zake zilizotumika katika kifungu.
- Kutumia kamusi kueleza maana za maneno na nahau hizo.
- Kujadili habari mahususi zinazopatikana katika kifungu.
1. Utawezaje kutambua habari mahususi katika hadithi unayoisoma? - -2. Je, unazingatia nini unaposoma vifungu vya ufahamu?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 180
-Kamusi
-Kifungu cha mjadala
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili uk. 182
-Majarida
Kujibu maswali -Maswali ya mdomo -Majadiliano -Zoezi la uandishi
12 3
Kuandika
Insha ya maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kutambua vipengele vya insha ya maelekezo.
- Kujadili muundo wa insha ya maelekezo.
- Kuthamini umuhimu wa mpangilio mzuri wa maelekezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za msichana anayeosha nguo na kujadili jinsi ya kumwelekeza kufua nguo zenye rangi tofauti.
- Kusoma kielelezo cha insha ya maelekezo kilichotolewa (Jinsi ya Kufika Benki ya Akiba).
- Kutambua na kujadili anwani na muundo wa insha hiyo.
- Kujadili sifa za insha ya maelekezo kama vile matumizi ya lugha, mpangilio wa maelekezo, na mpangilio sahihi wa hatua.
- Kujadili maneno mwafaka na vipengele vya kimuundo vya insha ya maelekezo.
1. Je, unapoandika insha ya maelekezo unazingatia mambo gani? - -2. Kwa nini mpangilio wa hatua ni muhimu katika insha ya maelekezo?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 183
-Picha
-Kielelezo cha insha ya maelekezo
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili uk. 184
-Kamusi
-Mifano ya insha za maelekezo
Majadiliano -Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake
12 4
Sarufi
Udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kutambua nomino zilizo katika hali ya udogo.
- Kubadilisha nomino kutoka katika hali ya wastani hadi hali ya udogo.
- Kubaini viambishi vinavyoashiria udogo wa nomino.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zinazobainisha tofauti kati ya vitu katika hali ya wastani na hali ya udogo.
- Kuandika maneno yanayorejelea udogo wa nomino katika picha hizo.
- Kupiga mstari viambishi vinavyoashiria udogo wa nomino.
- Kuorodhesha nomino za hali ya udogo kutoka kwenye kadi maneno zilizotolewa.
- Kugundua kwamba nomino zote za hali ya udogo huanza na kiambishi 'ki-' au 'vi-'.
1. Je, ni mambo gani tunayozingatia tunapotumia nomino katika udogo? - -2. Taja mifano ya nomino za kawaida na udogo wake.
Kielekezi cha Kiswahili uk. 186
-Picha
-Kadi maneno
-Chati
-Kamusi
Kielekezi cha Kiswahili uk. 188
Kutambua viambishi -Kubadilisha nomino -Maswali ya mdomo -Mazoezi ya maandishi

Your Name Comes Here


Download

Feedback