Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
USALAMA NYUMBANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza
-kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku
-kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini
-kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku.
- kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali
-kusikiliza matini katika vifaa vya kidijitali, kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kueleza uhusiano wa ujumbe wa matini hiyo na maisha ya kila siku
-kujadili na wenzake mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini
1. Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako? - -2. Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 75
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Mwalimu
- uk. 76
- Kinasasauti
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Mijadala -Mazungumzo
2 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Maudhui na Dhamira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi ili kuipambanua
-kutambua maudhui na dhamira katika tamthilia
-kujadili maudhui na dhamira katika tamthilia
-kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kujenga misingi ya uchambuzi.
- kueleza maana ya maudhui katika fasihi
-kutambua maudhui mbalimbali katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kujadili na wenzake maudhui ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu maudhui
-kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
Je, ni mambo gani muhimu yaliyo katika tamthilia ulizosoma?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 77
- Tamthilia
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 78
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa tamthilia -Kusoma kwa sauti
2 3
Kuandika
Insha za Kubuni: -Insha ya mdokezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua
-kubainisha aina za insha ya mdokezo
-kujadili vipengele vya insha ya mdokezo
-kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika
-kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu.
- kutambua maana ya insha ya mdokezo
-kujadili vipengele vya insha ya mdokezo atakachosimulia kutokana na mdokezo kwenye matini au kwenye kikundi
-kubainisha aina za insha ya mdokezo (kuanzia na kumalizi kwa kujadiliana na wenzake
-kusoma kielelezo cha insha kutoka kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali
-kueleza vipengele vilivyozingatiwa katika uandishi wa insha ya mdokezo aliyosoma
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 82
- Kielelezo cha insha ya mdokezo
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara -Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
2 4
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni: -Insha ya mdokezo
Vivumishi: -Vivumishi vya Sifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua
-kubainisha aina za insha ya mdokezo
-kujadili vipengele vya insha ya mdokezo
-kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika
-kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu.
- kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha za mdokezo
-kuwasilisha insha yake darasani ili wenzake waitolee maoni
-kuwasilishia mzazi au mlezi insha aliyoiandika ili aitolee maoni
-kuboresha insha aliyoandika kutokana na maoni ya wenzake na kisha kuiwasilisha tena darasani
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 83
- Kielelezo cha insha ya mdokezo
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 79
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara
3 1
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Vivumishi: -Vivumishi Viashiria
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini
-kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano.
- kutambua vivumishi viashiria kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno
-kutenga vivumishi viashiria katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali
-kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usalama nyumbani
-kumsomea mzazi au mlezi kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria alivyotafiti mtandaoni
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 79
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 86
- Mgeni mwalikwa
- Mwalimu
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
3 2
KUHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUMU

Kusikiliza na Kuzungumza
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha
-kujadili vipengele vya kuzingatia katik a usikilizaji husishi
-kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine.
- kuigiza kikao cha utoaji nasaha akishirikiana na wenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-kushiriki mazungumzo kuhusu suala lengwa na mzazi, mlezi au mwenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-kueleza jinsi vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatiwa katika mazungumzo
Unaposhiriki katika usikilizaji husishi, utazingatia nini ili kufanikisha usikilizaji?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 87
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Maigizo -Mazungumzo
3 3
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua
-kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu
-kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho
-kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi.
- kueleza maana ya ufupisho akishirikiana na wenzake
-kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu akiwa na wenzake
-kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akishirikiana na wenzake
-kutambua kwenye matini andishi au ya kidijitali habari za kimsingi katika makala na kuzieleza kwa usahihi kwa kuzingatia mtazamo wa matini katika matini ya kufupishwa
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 92
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kinasasauti
- Rununu
- Projekta
- Kamusi mbalimbali
- uk. 93
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa ufahamu -Wanafunzi kufanyiana tathmini
3 4
Kuandika
Insha za Kubuni: -Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo
-kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri
-kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri.
- kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika vielelezo vya insha za maelezo (k.v. tashbihi, sitiari, uhaishaji na tanakali sauti)
-kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezo cha insha ya maelezo zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake
-kupigia mstari tamathali mbalimbali zilizotumiwa kwenye kifungu na kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 90
- Kielelezo cha insha ya maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara -Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
4 1
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni: -Insha ya Maelezo
Vivumishi: -Vivumishi Vimilikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo
-kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri
-kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri.
- kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni
-kujadiliana na wenzake kuhusu namna ambavyo tamathali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 91
- Kielelezo cha insha ya maelezo
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Vifaa vya kidijitali
- uk. 98
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara
4 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Vivumishi: -Vivumishi vya Idadi
Aina za Uzungumzaji: -Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini
-kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano.
- kutambua vivumishi vya idadi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake
-kutenga vivumishi vya idadi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi
-kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kuhudumia wenye mahitaji maalum
-kumtajia mzazi au mlezi sentensi zenye vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mazingira ya nyumbani
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 98
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 99
- Mgeni mwalikwa
- Picha
- Mwalimu
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
4 3
UHALIFU WA MTANDAONI

Kusikiliza na Kuzungumza
Aina za Uzungumzaji: -Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo
-kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji
-kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano.
- kushiriki katika uzungumzaji wa papo kwa hapo akizingatia vipengele vifaavyo
-kubuni uzungumzaji mwepesi wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vifaavyo na kuwawasilishia wenzake ili wautathmini
-kujadiliana na wenzake kuhusu namna ambavyo uzungumzaji wa papo kwa hapo umeusaidia kuzielewa mbinu za kuchambua masimulizi
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 100
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Picha
- Mwalimu
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Maigizo -Mijadala -Mazungumzo
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Mandhari
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Ploti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua mandhari na ploti katika tamthilia
-kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha
-kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma
-kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia.
- kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kueleza umuhimu wa mandhari katika katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari
1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma? - -2. Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 102
- Tamthilia
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 103
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa tamthilia -Kusoma kwa sauti
5 1
Kuandika
Viakifishi: -Alama za Mtajo
Viakifishi: -Mshazari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini
-kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini
-kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo na mshazari katika matini.
- kutambua matumizi ya alama za mtajo kwenye matini andishi au za kidijitali
-kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mtajo ipasavyo
-kuandika kwenye kifaa cha kidijitali kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama za mtajo ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili wakitolee maoni
1. Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi? - -2. Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 104
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya matini zenye alama za uakifishi
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 105
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara
5 2
Sarufi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: -Ngeli ya I-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi
-kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini
-kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano.
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI
-kuchopoa nomino za ngeli I-ZI kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
-kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI? - -2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 108
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
5 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: -Ngeli ya I-I
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi
-kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini
-kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano.
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-I katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-I
-kuchopoa nomino za ngeli I-I kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
-kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-I
-kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la uhalifu wa mtandaoni
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI? - -2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 109
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
Kielekezi cha Kiswahili uk. 114
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
5 4
MAJUKUMU YA MNUNUZI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutofautisha sauti /ch/ na /sh/ kimatamshi katika mazungumzo.
-Kutumia maneno yenye sauti /ch/ na /sh/ ipasavyo katika mawasiliano.
-Kuridhia matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/ ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kumwasilishia mzazi au mlezi mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/.
-Kujadili na wenzake matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/.
-Kuandaa mazungumzo mafupi kuhusu majukumu ya mnunuzi akitumia maneno yenye sauti /ch/ na /sh/.
-Kufanya mazoezi ya kutamka vitanza ndimi vyenye sauti /ch/ na /sh/.
Ni mambo gani unayoyazingatia utamkapo sauti /ch/ na /sh/?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 115
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 116
-Matini za ufahamu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maigizo
6 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kueleza mbinu za ushawishi zinazotumika katika kifungu.
-Kuchanganua ushawishi katika kifungu cha ufahamu.
-Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu shawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake.
-Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni.
-Kusakura mtandaoni ili kupata kifungu cha ufahamu cha kushawishi zaidi kuhusu majukumu ya mnunuzi na kukisoma.
-Kutambua mbinu za ushawishi zinazotumika katika vifungu alivyosoma.
Ni mambo gani yanayoweza kukushawishi kununua bidhaa fulani?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 117-119
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Matini za ufahamu
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
6 2
Kuandika
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kueleza vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi.
-Kutambua ukuzaji wa wazo katika aya za insha ya masimulizi.
-Kuonelea fahari insha zenye ukuzaji wa mawazo yaliyopangwa vizuri.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (k.v. mada, utangulizi, kati, hitimisho) katika insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi na za kidijitali.
-Kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidijitali.
-Kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi.
-Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo.
Je, unawezaje kulikuza wazo vizuri katika insha ya masimulizi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 120
-Matini za kielelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
-Vidokezo vya insha
Uangalizi -Insha iliyoandikwa -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maswali ya mdomo
6 3
Sarufi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-U
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli U-U katika sentensi.
-Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli U-U na upatanisho wake ufaao.
-Kudumisha matumizi bora ya nomino za ngeli U-U katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-U katika sentensi na mafungu ya maneno.
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-U.
-Kuchopoa nomino za ngeli U-U kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi.
-Kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-U.
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-U?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 123-124
-Chati
-Kadi maneno
-Kapu maneno
-Tarakilishi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
6 4
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-YA
Hadithi: Hurafa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua nomino za ngeli ya U-YA katika matini.
-Kutumia nomino za ngeli ya U-YA kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi.
-Kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-YA ipasavyo katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-YA katika sentensi na vifungu vya maneno.
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-YA.
-Kuchopoa nomino za ngeli ya U-YA kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi.
-Kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-YA.
-Kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA akitumia nomino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani.
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-127
-Chati
-Kadi maneno
-Kapu maneno
-Tarakilishi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 129-130
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
-Mgeni mwalikwa
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
7 1
KUKABILIANA NA HISIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Hadithi: Hekaya
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kueleza dhana ya hekaya na sifa zake.
-Kusimulia hekaya akizingatia vipengele vya uwasilishaji.
-Kufurahia utambaji wa hekaya kama sehemu ya fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusimulia hurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji.
-Kujirekodi akitamba hurafa na hekaya kwa kutumia vifaa vya kidijitali na kusikiliza.
-Kushirikiana na mzazi au mlezi kutambua hurafa na hekaya kutoka kwa jamii yake na kujadili ujumbe unaojitokeza katika hadithi hizo.
-Kuwasilisha hurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji.
Je, hurafa na hekaya hutofautianaje?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 131-133
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
-Mgeni mwalikwa
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Utambaji wa hadithi
7 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kuchanganua mafunzo yanayopatikana kutokana na wahusika katika tamthilia.
-Kutambua mahusiano ya wahusika katika tamthilia.
-Kuridhia usomaji wa kazi za fasihi kwa ajili ya burudani na kujielimisha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutazama video kuhusu wahusika katika tamthilia aliyosoma.
-Kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama.
-Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika akishirikiana na wenzake.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa sifa za wahusika katika tamthilia aliyosoma.
Je, ni mambo gani tunayoweza kujifunza kutokana na wahusika wa tamthilia?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia
-Video
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Uwasilishaji wa muhtasari
7 3
Kuandika
Barua ya Kuomba Msaada
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua muundo wa barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada ikizingatia vipengele muhimu.
-Kuthamini umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msaada katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kuhusu masuala mbalimbali na kuwasomea wenzake darasani ili waitolee maoni.
Je ni mambo gani yanayoweza kukufanya kuomba msaada?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 137-138
-Kielelezo cha barua
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 138
Uangalizi -Barua iliyoandikwa -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maswali ya mdomo
7 4
Sarufi
Vinyume vya Vitenzi
Vinyume vya Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua maana ya kinyume katika vitenzi.
-Kutumia vinyume vya vitenzi katika sentensi na vifungu.
-Kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili maana ya kinyume akiwa na mwenzake.
-Kutambua vinyume vya vitenzi kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno.
-Kutambua vinyume vya vitenzi katika matini (k.v. orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno).
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati.
Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 139-140
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
-Chati
-Tarakilishi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 141-143
-Vifaa vya kidijitali
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
8 1
HAKI ZA WATOTO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutambua miktadha katika jamii ambapo kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja hufanywa.
-Kuchangamkia kushiriki katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kujadili na wenzake umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutambua miktadha katika jamii yake ambamo anahitaji kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maelezo
-Chati
-Kanuni za darasa
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
8 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutoa mazungumzo kwa kutumia vidokezo ifaavyo.
-Kujenga mazoea ya kutumia vidokezo katika mazungumzo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza au kutazama aina mbalimbali za mazungumzo kutoka kwenye vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake na kubainisha vipengele vilivyozingatiwa.
-Kuandaa vidokezo kuhusu suala lengwa.
-Kuwawasilishia wenzake mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kutumia vidokezo alivyoandaa ili wayatolee maoni.
-Kumwasilishia mzazi au mlezi vidokezo vya mazungumzo kuhusu suala lengwa ili atoe maoni yake.
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maelezo
-Chati
-Kanuni za darasa
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vitabu vya kusoma
-Rasilimali za mtandaoni
-Vitabu vya marejeleo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
8 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia.
-Kutumia msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
-Kuthamini umuhimu wa kusoma makala mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma.
-Kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome.
-Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni.
1. Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia? -2. Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Vitabu vya kusoma
-Rasilimali za mtandaoni
-Vitabu vya marejeleo
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Kumbukumbu za usomaji -Vigezo vya tathmini -Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi
8 4
Kuandika
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatia vipengele vyake muhimu.
-Kutumia lugha ifaayo katika kuandika insha ya maelezo.
-Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
-Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo.
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Insha zilizoandikwa -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Orodha hakiki -Vigezo vya tathmini
9 1
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika vitenzi.
-Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo katika matini.
-Kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda mtawalia.
-Kuteua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda mtawalia, kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi.
-Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari.
-Kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda.
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
9-10

Midterm 3

10 3
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza habari katika matini ya kusikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
-Kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza matini kutoka kifaa cha kidijitali au mwalimu wake.
-Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake.
-Kueleza hoja muhimu aliyotambua kutoka matini aliyosikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza.
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 157
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maneno
-Chati
-Kanuni za darasa
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
10 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuvibainisha.
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora.
-Kufurahia usomaji wa kifungu kwa ufasaha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha (matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ifaayo, ishara zifaazo).
-Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala (k.v. hotuba, taarifa ya habari).
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 105 kwa dakika).
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Vitabu vya kusoma
-Video za mifano ya usomaji
-Maelezo ya kifungu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
11 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo.
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo.
-Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo).
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono).
-Kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni.
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Vitabu vya kusoma
-Video za mifano ya usomaji
-Maelezo ya kifungu
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160
-Mifano ya hotuba za ufafanuzi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
11 2
Kuandika
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kujadili ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kwa kuzingatia vipengele vyake.
-Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kutoa ufafanuzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu suala lengwa akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao kisha awasambazie wenzake mtandaoni au kuwasomea darasani ili waitolee maoni.
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu suala linaloathiri jamii yao kisha amsomee mzazi au mlezi ili aitolee maoni.
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160
-Mifano ya hotuba za ufafanuzi
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
11 3
Sarufi
Aina za Sentensi: Sentensi changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza maana ya sentensi changamano ili kuipambanua.
-Kutambua sentensi changamano katika matini.
-Kuthamini matumizi ya sentensi changamano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya sentensi changamano.
-Kutenga sentensi changamano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino.
-Kubainisha sentensi changamano zinazojitokeza katika matini.
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
11 4
HESHIMA KWA TAMADUNI ZA WENGINE

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua wahusika katika hadithi.
-Kuchambua sifa za wahusika katika hadithi.
-Kuona umuhimu wa wahusika katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua washiriki katika hadithi inayosimuliwa (k.v. fanani, hadhira).
-Kutambua wahusika katika hadithi inayosimuliwa.
-Kutambua sifa za wahusika katika hadithi aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali.
-Kuchambua wahusika katika hadithi aliyosikiliza.
Je, hadithi uliyowahi kusimuliwa ilikuwa na wahusika gani?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 166
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Hadithi za kusoma
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
12 1
Kusoma
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
-Kuthamini matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mbinu za lugha kwenye tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
-Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu mbinu za lugha katika tamthilia na kuutolea maoni.
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha? -2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Vifaa vya kidijitali
-Tamthilia iliyoteuliwa
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
12 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kulinganisha mbinu za lugha mbalimbali katika tamthilia.
-Kutumia mbinu za lugha aliozijifunza katika masimulizi yake.
-Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia aliyosoma.
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha? -2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Vifaa vya kidijitali
-Tamthilia iliyoteuliwa
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
12 3
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mahali.
-Kutumia lugha inayojenga picha dhahiri ya mahali.
-Kuonea fahari utoaji wa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali akizingatia muundo ufaao na inayohusisha suala lengwa kisha awasomee wenzake darasani.
-Kubuni insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali kisha awasambazie wenzake mtandaoni ili waitolee maoni.
-Kutolea insha za wenzake maoni kwa upendo.
-Kumsomea mzazi au mlezi insha ya kubuni aliyoandika ili aitolee maoni.
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
12 4
Sarufi
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kukanusha sentensi kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu.
-Kutunga sentensi zilizokanushwa kwa usahihi.
-Kuchangamkia kukanusha sentensi katika hali ya mazoea na timilifu ili kukuza mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la heshima kwa tamaduni za wengine.
-Kukanusha sentensi au vifungu alivyotunga kisha awatumie wenzake kupitia vifaa vya kidijitali au kuwasomea darasani ili wazitolee maoni.
1. Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini? -2. Je, ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu hutofautianaje?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi

Your Name Comes Here


Download

Feedback