Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
USALAMA NYUMBANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza
-kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku
-kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini
-kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku.
- kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali
-kusikiliza matini katika vifaa vya kidijitali, kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kueleza uhusiano wa ujumbe wa matini hiyo na maisha ya kila siku
-kujadili na wenzake mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini
1. Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako? - -2. Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 75
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Mwalimu
- uk. 76
- Kinasasauti
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Mijadala -Mazungumzo
2 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Maudhui na Dhamira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi ili kuipambanua
-kutambua maudhui na dhamira katika tamthilia
-kujadili maudhui na dhamira katika tamthilia
-kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kujenga misingi ya uchambuzi.
- kueleza maana ya maudhui katika fasihi
-kutambua maudhui mbalimbali katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kujadili na wenzake maudhui ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu maudhui
-kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
Je, ni mambo gani muhimu yaliyo katika tamthilia ulizosoma?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 77
- Tamthilia
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 78
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa tamthilia -Kusoma kwa sauti
2 3
Kuandika
Insha za Kubuni: -Insha ya mdokezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua
-kubainisha aina za insha ya mdokezo
-kujadili vipengele vya insha ya mdokezo
-kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika
-kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu.
- kutambua maana ya insha ya mdokezo
-kujadili vipengele vya insha ya mdokezo atakachosimulia kutokana na mdokezo kwenye matini au kwenye kikundi
-kubainisha aina za insha ya mdokezo (kuanzia na kumalizi kwa kujadiliana na wenzake
-kusoma kielelezo cha insha kutoka kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali
-kueleza vipengele vilivyozingatiwa katika uandishi wa insha ya mdokezo aliyosoma
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 82
- Kielelezo cha insha ya mdokezo
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 83
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara -Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
2 4
Sarufi
Vivumishi: -Vivumishi vya Sifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini
-kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano.
- kutambua vivumishi vya sifa kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno
-kutenga vivumishi vya sifa katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali
-kumtajia mwenzake vivumishi vya sifa katika mazingira ya shuleni na ya nyumbani
-kutafiti mtandaoni kuhusu vivumishi vya sifa
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vivumishi vya sifa ipasavyo
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 79
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
3 1
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Vivumishi: -Vivumishi Viashiria
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini
-kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano.
- kutambua vivumishi viashiria kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno
-kutenga vivumishi viashiria katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali
-kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usalama nyumbani
-kumsomea mzazi au mlezi kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria alivyotafiti mtandaoni
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 79
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 86
- Mgeni mwalikwa
- Mwalimu
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
3 2
KUHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUMU

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Usikilizaji Husishi
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha
-kujadili vipengele vya kuzingatia katik a usikilizaji husishi
-kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine.
- kuigiza kikao cha utoaji nasaha akishirikiana na wenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-kushiriki mazungumzo kuhusu suala lengwa na mzazi, mlezi au mwenzake huku akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-kueleza jinsi vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatiwa katika mazungumzo
Unaposhiriki katika usikilizaji husishi, utazingatia nini ili kufanikisha usikilizaji?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 87
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- uk. 92
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kinasasauti
- Rununu
- Projekta
- Kamusi mbalimbali
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Maigizo -Mazungumzo
3 3
Kusoma
Kuandika
Ufupisho
Insha za Kubuni: -Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua
-kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu
-kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho
-kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi.
- kueleza kwa maneno yake habari muhimu katika kifungu alichosoma
-kufupisha kifungu alichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini akishirikiana na wenzake
-kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni
-kumweleza mzazi au mlezi namna ya kufupisha kifungu kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 93
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kinasasauti
- Rununu
- Kamusi mbalimbali
- uk. 90
- Kielelezo cha insha ya maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kutoa muhtasari wa ufahamu -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio
3 4
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni: -Insha ya Maelezo
Vivumishi: -Vivumishi Vimilikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo
-kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri
-kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri.
- kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni
-kujadiliana na wenzake kuhusu namna ambavyo tamathali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 91
- Kielelezo cha insha ya maelezo
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Vifaa vya kidijitali
- uk. 98
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara
4 1
Sarufi
Vivumishi: -Vivumishi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini
-kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano.
- kutambua vivumishi vya idadi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake
-kutenga vivumishi vya idadi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi
-kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kuhudumia wenye mahitaji maalum
-kumtajia mzazi au mlezi sentensi zenye vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mazingira ya nyumbani
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 98
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
4 2
UHALIFU WA MTANDAONI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Aina za Uzungumzaji: -Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo
-kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji
-kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano.
- kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake
-kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo
-kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa yakitolewa na mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 99
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Picha
- Mwalimu
- uk. 100
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Maigizo -Mijadala -Mazungumzo
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Mandhari
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Ploti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua mandhari na ploti katika tamthilia
-kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha
-kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma
-kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia.
- kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kueleza umuhimu wa mandhari katika katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari
1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma? - -2. Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 102
- Tamthilia
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 103
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa tamthilia -Kusoma kwa sauti
4 4
Kuandika
Viakifishi: -Alama za Mtajo
Viakifishi: -Mshazari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini
-kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini
-kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo na mshazari katika matini.
- kutambua matumizi ya alama za mtajo kwenye matini andishi au za kidijitali
-kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mtajo ipasavyo
-kuandika kwenye kifaa cha kidijitali kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama za mtajo ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili wakitolee maoni
1. Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi? - -2. Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 104
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya matini zenye alama za uakifishi
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 105
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara
5 1
Sarufi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: -Ngeli ya I-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi
-kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini
-kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano.
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI
-kuchopoa nomino za ngeli I-ZI kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
-kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI? - -2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 108
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
5 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: -Ngeli ya I-I
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi
-kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini
-kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano.
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-I katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-I
-kuchopoa nomino za ngeli I-I kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
-kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-I
-kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la uhalifu wa mtandaoni
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI? - -2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 109
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
Kielekezi cha Kiswahili uk. 114
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
5 3
MAJUKUMU YA MNUNUZI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutofautisha sauti /ch/ na /sh/ kimatamshi katika mazungumzo.
-Kutumia maneno yenye sauti /ch/ na /sh/ ipasavyo katika mawasiliano.
-Kuridhia matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/ ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kumwasilishia mzazi au mlezi mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/.
-Kujadili na wenzake matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/.
-Kuandaa mazungumzo mafupi kuhusu majukumu ya mnunuzi akitumia maneno yenye sauti /ch/ na /sh/.
-Kufanya mazoezi ya kutamka vitanza ndimi vyenye sauti /ch/ na /sh/.
Ni mambo gani unayoyazingatia utamkapo sauti /ch/ na /sh/?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 115
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 116
-Matini za ufahamu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maigizo
5 4
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kueleza mbinu za ushawishi zinazotumika katika kifungu.
-Kuchanganua ushawishi katika kifungu cha ufahamu.
-Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu shawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake.
-Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni.
-Kusakura mtandaoni ili kupata kifungu cha ufahamu cha kushawishi zaidi kuhusu majukumu ya mnunuzi na kukisoma.
-Kutambua mbinu za ushawishi zinazotumika katika vifungu alivyosoma.
Ni mambo gani yanayoweza kukushawishi kununua bidhaa fulani?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 117-119
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Matini za ufahamu
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 120
-Matini za kielelezo
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
6 1
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-U
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kupanga vidokezo vya insha ya masimulizi kwa utaratibu ufaao.
-Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika kila aya.
-Kufurahia kuandika insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa mawazo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya.
-Kuandika insha ya masimulizi akizingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya na vipengele vinavyojenga mawazo hayo.
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
-Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo aliyoandika kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya.
Je, ni vigezo vipi unavyozingatia katika kuandika insha ya masimulizi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
-Matini za kielelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Vidokezo vya insha
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 123-124
-Chati
-Kadi maneno
-Kapu maneno
-Tarakilishi
Uangalizi -Insha iliyoandikwa -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Uwasilishaji wa insha
6 2
Sarufi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua nomino za ngeli ya U-YA katika matini.
-Kutumia nomino za ngeli ya U-YA kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi.
-Kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-YA ipasavyo katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-YA katika sentensi na vifungu vya maneno.
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-YA.
-Kuchopoa nomino za ngeli ya U-YA kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi.
-Kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-YA.
-Kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA akitumia nomino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani.
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-127
-Chati
-Kadi maneno
-Kapu maneno
-Tarakilishi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
6 3
KUKABILIANA NA HISIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Hurafa
Hadithi: Hekaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kueleza dhana ya hurafa na sifa zake.
-Kutambua ujumbe katika hurafa aliyosikiliza.
-Kuthamini hurafa kama kipera cha fasihi simulizi katika jamii.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza kielelezo cha hadithi ya hurafa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali.
-Kueleza maana ya hurafa ili kuibainisha akishirikiana na wenzake.
-Kueleza ujumbe katika hurafa.
-Kujadili na mwenzake vipengele vya uwasilishaji wa hurafa.
Je, hadithi ambayo umewahi kusikiliza ilihusu wanyama gani?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 129-130
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
-Mgeni mwalikwa
Kielekezi cha Kiswahili uk. 131-133
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
6 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua wahusika mbalimbali katika tamthilia.
-Kuchambua sifa za wahusika katika tamthilia.
-Kuthamini mchango wa wahusika katika kujenga maudhui ya tamthilia.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua wahusika katika tamthilia aliyoisoma.
-Kujadili na wenzake sifa za wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
-Kuigiza wahusika katika tamthilia akiwa na wenzake ili kukuza uelewa wa sifa zao.
-Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
Je, ni mambo yapi yanayokuelekeza kuwaelewa wahusika katika tamthilia?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
-Video
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maigizo
7

Exam

8

Mid term

9 1
Kuandika
Barua ya Kuomba Msaada
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua muundo wa barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada ikizingatia vipengele muhimu.
-Kuthamini umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msaada katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kuhusu masuala mbalimbali na kuwasomea wenzake darasani ili waitolee maoni.
Je ni mambo gani yanayoweza kukufanya kuomba msaada?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 137-138
-Kielelezo cha barua
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 138
Uangalizi -Barua iliyoandikwa -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maswali ya mdomo
9 2
Sarufi
Vinyume vya Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua maana ya kinyume katika vitenzi.
-Kutumia vinyume vya vitenzi katika sentensi na vifungu.
-Kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili maana ya kinyume akiwa na mwenzake.
-Kutambua vinyume vya vitenzi kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno.
-Kutambua vinyume vya vitenzi katika matini (k.v. orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno).
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati.
Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 139-140
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
-Chati
-Tarakilishi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
9 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Vinyume vya Vielezi
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua vinyume vya vielezi mbalimbali.
-Kutumia vinyume vya vielezi kwa usahihi katika mawasiliano.
-Kuthamini umuhimu wa vinyume vya vielezi katika kuendeleza lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo.
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi akitumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kukabiliana na hisia.
-Kusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi.
-Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vielezi.
Je, unajua vinyume gani vya vielezi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 141-143
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maelezo
-Chati
-Kanuni za darasa
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
9 4
HAKI ZA WATOTO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutoa mazungumzo kwa kutumia vidokezo ifaavyo.
-Kujenga mazoea ya kutumia vidokezo katika mazungumzo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza au kutazama aina mbalimbali za mazungumzo kutoka kwenye vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake na kubainisha vipengele vilivyozingatiwa.
-Kuandaa vidokezo kuhusu suala lengwa.
-Kuwawasilishia wenzake mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kutumia vidokezo alivyoandaa ili wayatolee maoni.
-Kumwasilishia mzazi au mlezi vidokezo vya mazungumzo kuhusu suala lengwa ili atoe maoni yake.
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maelezo
-Chati
-Kanuni za darasa
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vitabu vya kusoma
-Rasilimali za mtandaoni
-Vitabu vya marejeleo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
10 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia.
-Kutumia msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
-Kuthamini umuhimu wa kusoma makala mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma.
-Kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome.
-Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni.
1. Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia? -2. Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Vitabu vya kusoma
-Rasilimali za mtandaoni
-Vitabu vya marejeleo
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Kumbukumbu za usomaji -Vigezo vya tathmini -Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi
10 2
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatia vipengele vyake muhimu.
-Kutumia lugha ifaayo katika kuandika insha ya maelezo.
-Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
-Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo.
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Insha zilizoandikwa -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Orodha hakiki -Vigezo vya tathmini
10 3
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo katika matini.
-Kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda.
-Kuthamini matumizi ya kauli mbalimbali za vitenzi ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo.
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la haki za watoto.
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
10 4
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza habari katika matini ya kusikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
-Kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza matini kutoka kifaa cha kidijitali au mwalimu wake.
-Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake.
-Kueleza hoja muhimu aliyotambua kutoka matini aliyosikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza.
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 157
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maneno
-Chati
-Kanuni za darasa
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
11 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuvibainisha.
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora.
-Kufurahia usomaji wa kifungu kwa ufasaha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha (matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ifaayo, ishara zifaazo).
-Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala (k.v. hotuba, taarifa ya habari).
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 105 kwa dakika).
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Vitabu vya kusoma
-Video za mifano ya usomaji
-Maelezo ya kifungu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
11 2
Kuandika
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kutambua hotuba ya kutoa ufafanuzi katika matini.
-Kuona umuhimu wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe (unaolenga kinachotolewa ufafanuzi), lugha (nyepesi inayoelewek na muundo ufaao wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake miktadha inayochochea hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160
-Mifano ya hotuba za ufafanuzi
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
11 3
Sarufi
Aina za Sentensi: Sentensi changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza maana ya sentensi changamano ili kuipambanua.
-Kutambua sentensi changamano katika matini.
-Kuthamini matumizi ya sentensi changamano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya sentensi changamano.
-Kutenga sentensi changamano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino.
-Kubainisha sentensi changamano zinazojitokeza katika matini.
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
11 4
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Aina za Sentensi: Sentensi changamano
Hadithi: Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutumia sentensi changamano ipasavyo katika matini.
-Kutunga sentensi changamano sahihi.
-Kuonea fahari matumizi ya sentensi changamano katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi changamano ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yasiyoambukizwa.
-Kuwawasilishia wenzake darasani sentensi changamano alizotunga ili wazitathmini.
-Kumtungia mzazi au mlezi sentensi changamano zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani.
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 166
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Hadithi za kusoma
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
12 1
HESHIMA KWA TAMADUNI ZA WENGINE

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Hadithi: Wahusika
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika hadithi.
-Kutamba hadithi akizingatia wahusika.
-Kufurahia kushiriki katika uchambuzi wa wahusika katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika hadithi.
-Kutamba hadithi akiwa na wenzake huku wakichukua majukumu mbalimbali (k.v. fanani, hadhira).
-Kutunga hadithi fupi ambayo ina wahusika wanyama kuhusu suala lengwa na kuwawasilishia wenzake darasani ili wachambue wahusika.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa sifa za wahusika katika hadithi aliyosikiliza.
Je, hadithi uliyowahi kusimuliwa ilikuwa na wahusika gani?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 166
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Hadithi za kusoma
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Tamthilia iliyoteuliwa
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
12 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kulinganisha mbinu za lugha mbalimbali katika tamthilia.
-Kutumia mbinu za lugha aliozijifunza katika masimulizi yake.
-Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia aliyosoma.
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha? -2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Vifaa vya kidijitali
-Tamthilia iliyoteuliwa
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
12 3
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mahali.
-Kutumia lugha inayojenga picha dhahiri ya mahali.
-Kuonea fahari utoaji wa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali akizingatia muundo ufaao na inayohusisha suala lengwa kisha awasomee wenzake darasani.
-Kubuni insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali kisha awasambazie wenzake mtandaoni ili waitolee maoni.
-Kutolea insha za wenzake maoni kwa upendo.
-Kumsomea mzazi au mlezi insha ya kubuni aliyoandika ili aitolee maoni.
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
12 4
Sarufi
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kukanusha sentensi kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu.
-Kutunga sentensi zilizokanushwa kwa usahihi.
-Kuchangamkia kukanusha sentensi katika hali ya mazoea na timilifu ili kukuza mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la heshima kwa tamaduni za wengine.
-Kukanusha sentensi au vifungu alivyotunga kisha awatumie wenzake kupitia vifaa vya kidijitali au kuwasomea darasani ili wazitolee maoni.
1. Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini? -2. Je, ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu hutofautianaje?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi

Your Name Comes Here


Download

Feedback