If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
USALAMA NYUMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kufasiri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza -kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku -kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini -kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku. |
- kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali
-kusikiliza matini katika vifaa vya kidijitali, kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kueleza uhusiano wa ujumbe wa matini hiyo na maisha ya kila siku -kujadili na wenzake mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini |
1. Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako?
-
-2. Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 75 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Mwalimu - uk. 76 - Kinasasauti - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina:
-Tamthilia
-Maudhui na Dhamira
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi ili kuipambanua -kutambua maudhui na dhamira katika tamthilia -kujadili maudhui na dhamira katika tamthilia -kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kujenga misingi ya uchambuzi. |
- kueleza maana ya maudhui katika fasihi
-kutambua maudhui mbalimbali katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kujadili na wenzake maudhui ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu maudhui -kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu |
Je, ni mambo gani muhimu yaliyo katika tamthilia ulizosoma?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 77 - Tamthilia - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa tamthilia
-Kusoma kwa sauti
|
|
2 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Kina:
-Tamthilia
-Maudhui na Dhamira
Insha za Kubuni: -Insha ya mdokezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi ili kuipambanua -kutambua maudhui na dhamira katika tamthilia -kujadili maudhui na dhamira katika tamthilia -kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi ili kujenga misingi ya uchambuzi. |
- kueleza maana ya dhamira katika fasihi
-kutambua dhamira ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kujadili na wenzake dhamira katika tamthilia -kuandika maelezo mafupi kuhusu dhamira ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kuwawasilishia mzazi, mlezi au mwenzake uchambuzi wake kuhusu maudhui na dhamira ili wautolee maoni |
Je, ni mambo gani muhimu yaliyo katika tamthilia ulizosoma?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 78 - Tamthilia - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 82 - Kielelezo cha insha ya mdokezo |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa tamthilia
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
2 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Kubuni:
-Insha ya mdokezo
Vivumishi: -Vivumishi vya Sifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua -kubainisha aina za insha ya mdokezo -kujadili vipengele vya insha ya mdokezo -kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika -kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu. |
- kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha za mdokezo
-kuwasilisha insha yake darasani ili wenzake waitolee maoni -kuwasilishia mzazi au mlezi insha aliyoiandika ili aitolee maoni -kuboresha insha aliyoandika kutokana na maoni ya wenzake na kisha kuiwasilisha tena darasani |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 83 - Kielelezo cha insha ya mdokezo - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 79 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
3 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi:
-Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini -kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini -kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano. |
- kutambua vivumishi viashiria kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno
-kutenga vivumishi viashiria katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali -kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usalama nyumbani -kumsomea mzazi au mlezi kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria alivyotafiti mtandaoni |
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 79 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
3 | 2 |
KUHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUMU
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Usikilizaji Husishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha -kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi -kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi -kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine. |
- kueleza maana ya usikilizaji husishi akishirikiana na wenzake
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi -kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa kutoka kwenye vifaa vya kidijitali akizingatia na kutambua vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatiwa -kumsikiliza mwenzake, mwalimu au mgeni mwalikwa akisema kauli au akisoma vifungu vifupi kuhusu suala lengwa na kufasiri hisia zake |
Unaposhiriki katika usikilizaji husishi, utazingatia nini ili kufanikisha usikilizaji?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 86 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Mwalimu - uk. 87 |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
3 | 3 |
Kusoma
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua -kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu -kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho -kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi. |
- kueleza maana ya ufupisho akishirikiana na wenzake
-kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu akiwa na wenzake -kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akishirikiana na wenzake -kutambua kwenye matini andishi au ya kidijitali habari za kimsingi katika makala na kuzieleza kwa usahihi kwa kuzingatia mtazamo wa matini katika matini ya kufupishwa |
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 92 - Tarakilishi/vipakatalishi - Kinasasauti - Rununu - Projekta - Kamusi mbalimbali |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa ufahamu
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
3 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Ufupisho
Insha za Kubuni: -Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua -kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu -kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho -kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi. |
- kueleza kwa maneno yake habari muhimu katika kifungu alichosoma
-kufupisha kifungu alichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini akishirikiana na wenzake -kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni -kumweleza mzazi au mlezi namna ya kufupisha kifungu kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini |
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 93 - Tarakilishi/vipakatalishi - Kinasasauti - Rununu - Kamusi mbalimbali - uk. 90 - Kielelezo cha insha ya maelezo - Vifaa vya kidijitali |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kutoa muhtasari wa ufahamu
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
|
|
4 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Kubuni:
-Insha ya Maelezo
Vivumishi: -Vivumishi Vimilikishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo -kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo -kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri -kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri. |
- kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni -kujadiliana na wenzake kuhusu namna ambavyo tamathali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa |
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 91 - Kielelezo cha insha ya maelezo - Tarakilishi/vipakatalishi - Vifaa vya kidijitali - uk. 98 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
4 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi:
-Vivumishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini -kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini -kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano. |
- kutambua vivumishi vya idadi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake
-kutenga vivumishi vya idadi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi -kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kuhudumia wenye mahitaji maalum -kumtajia mzazi au mlezi sentensi zenye vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mazingira ya nyumbani |
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 98 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
4 | 3 |
UHALIFU WA MTANDAONI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Aina za Uzungumzaji:
-Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua -kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo -kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji -kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano. |
- kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake
-kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo -kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa yakitolewa na mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika |
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 99 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Picha - Mwalimu - uk. 100 |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina:
-Tamthilia
-Mandhari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua mandhari na ploti katika tamthilia -kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha -kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma -kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia. |
- kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kueleza umuhimu wa mandhari katika katika tamthilia akishirikiana na wenzake -kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari |
1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma?
-
-2. Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 102 - Tamthilia - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa tamthilia
-Kusoma kwa sauti
|
|
5 | 1 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Kina:
-Tamthilia
-Ploti
Viakifishi: -Alama za Mtajo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua mandhari na ploti katika tamthilia -kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha -kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma -kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia. |
- kutambua ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu au kwa kushirikiana na wenzake
-kujadili umuhimu wa ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu au na wenzake -kuandaa muhtasari kuhusu ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu -kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu ploti ya tamthilia aliyosoma |
1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma?
-
-2. Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 103 - Tamthilia - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 104 - Mifano ya matini zenye alama za uakifishi |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa tamthilia
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
5 | 2 |
Kuandika
Sarufi |
Viakifishi:
-Mshazari
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: -Ngeli ya I-ZI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini -kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini -kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo na mshazari katika matini. |
- kutambua matumizi ya alama za mshazari kwenye matini andishi au za kidijitali
-kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mshazari ipasavyo -kushirikiana na wenzake kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo -kuwasomea wenzake kifungu alichoandika na kuwataka waandike maneno, sentensi au vifungu vinavyostahili kuwa na alama za mtajo na mshazari |
1. Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi?
-
-2. Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 105 - Vifaa vya kidijitali - Mifano ya matini zenye alama za uakifishi - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 108 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
5 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi:
-Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi -kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini -kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi -kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano. |
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-I katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-I -kuchopoa nomino za ngeli I-I kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi -kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-I -kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la uhalifu wa mtandaoni |
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI?
-
-2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 109 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
5 | 4 |
MAJUKUMU YA MNUNUZI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua sauti /ch/ na /sh/ katika silabi na maneno. -Kutamka sauti /ch/ na /sh/ ipasavyo katika silabi na maneno. -Kuchangamkia matumizi ya sauti /ch/ na /sh/ katika mazungumzo ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua sauti /ch/ na /sh/ katika maneno na silabi akishirikiana na wenzake. -Kutambua maneno yenye sauti /ch/ na /sh/ katika matini andishi au za kidijitali na kuyatamka ipasavyo. -Kutunga vitanzandimi vyenye maana akitumia sauti /ch/ na /sh/ na kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali. -Kusikiliza na wenzake vitanzandimi alivyovirekodi ili kuvitathmini. |
Ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti /ch/ na /sh/?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 114
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 115 |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Tathmini ya rekodi
|
|
6 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi. -Kufasiri ujumbe katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi. -Kuthamini kusoma vifungu vya ufahamu kwa ajili ya kujielimisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini). -Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi akishirikiana na wenzake. -Kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake. |
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 116
-Kamusi -Matini za ufahamu -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
6 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza mbinu za ushawishi zinazotumika katika kifungu. -Kuchanganua ushawishi katika kifungu cha ufahamu. -Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu shawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake. -Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni. -Kusakura mtandaoni ili kupata kifungu cha ufahamu cha kushawishi zaidi kuhusu majukumu ya mnunuzi na kukisoma. -Kutambua mbinu za ushawishi zinazotumika katika vifungu alivyosoma. |
Ni mambo gani yanayoweza kukushawishi kununua bidhaa fulani?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 117-119
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Matini za ufahamu -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 120 -Matini za kielelezo |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
6 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-U |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kupanga vidokezo vya insha ya masimulizi kwa utaratibu ufaao. -Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika kila aya. -Kufurahia kuandika insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa mawazo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya. -Kuandika insha ya masimulizi akizingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya na vipengele vinavyojenga mawazo hayo. -Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni. -Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo aliyoandika kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya. |
Je, ni vigezo vipi unavyozingatia katika kuandika insha ya masimulizi?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
-Matini za kielelezo -Vifaa vya kidijitali -Vidokezo vya insha -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 123-124 -Chati -Kadi maneno -Kapu maneno -Tarakilishi |
Uangalizi
-Insha iliyoandikwa
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Uwasilishaji wa insha
|
|
6 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua nomino za ngeli ya U-YA katika matini. -Kutumia nomino za ngeli ya U-YA kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi. -Kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-YA ipasavyo katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-YA katika sentensi na vifungu vya maneno. -Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-YA. -Kuchopoa nomino za ngeli ya U-YA kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi. -Kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-YA. -Kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA akitumia nomino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani. |
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-127
-Chati -Kadi maneno -Kapu maneno -Tarakilishi -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Zoezi la sentensi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
7 | 1 |
KUKABILIANA NA HISIA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Hadithi: Hurafa
Hadithi: Hekaya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza dhana ya hurafa na sifa zake. -Kutambua ujumbe katika hurafa aliyosikiliza. -Kuthamini hurafa kama kipera cha fasihi simulizi katika jamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza kielelezo cha hadithi ya hurafa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali. -Kueleza maana ya hurafa ili kuibainisha akishirikiana na wenzake. -Kueleza ujumbe katika hurafa. -Kujadili na mwenzake vipengele vya uwasilishaji wa hurafa. |
Je, hadithi ambayo umewahi kusikiliza ilihusu wanyama gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 129-130
-Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu -Mgeni mwalikwa Kielekezi cha Kiswahili uk. 131-133 |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
7 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua wahusika mbalimbali katika tamthilia. -Kuchambua sifa za wahusika katika tamthilia. -Kuthamini mchango wa wahusika katika kujenga maudhui ya tamthilia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua wahusika katika tamthilia aliyoisoma. -Kujadili na wenzake sifa za wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu. -Kuigiza wahusika katika tamthilia akiwa na wenzake ili kukuza uelewa wa sifa zao. -Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu. |
Je, ni mambo yapi yanayokuelekeza kuwaelewa wahusika katika tamthilia?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Maigizo
|
|
7 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
Barua ya Kuomba Msaada |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kuchanganua mafunzo yanayopatikana kutokana na wahusika katika tamthilia. -Kutambua mahusiano ya wahusika katika tamthilia. -Kuridhia usomaji wa kazi za fasihi kwa ajili ya burudani na kujielimisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutazama video kuhusu wahusika katika tamthilia aliyosoma. -Kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama. -Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika akishirikiana na wenzake. -Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa sifa za wahusika katika tamthilia aliyosoma. |
Je, ni mambo gani tunayoweza kujifunza kutokana na wahusika wa tamthilia?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia -Video -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 137-138 -Kielelezo cha barua |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Uwasilishaji wa muhtasari
|
|
7 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Barua ya Kuomba Msaada
Vinyume vya Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia lugha ifaayo katika barua rasmi ya kuomba msaada. -Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia mpangilio ufaao. -Kufurahia kujieleza ifaavyo kwa njia ya barua rasmi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika barua ya kuomba msaada katika kifaa cha kidijitali na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao ili waitolee maoni. -Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia ujumbe, muundo na lugha ifaayo. -Kumsomea mzazi au mlezi barua aliyoiandika ili aitolee maoni. |
Je, ni vipengele vipi unazingatia wakati unapoandika barua ya kuomba msaada?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 138
-Kielelezo cha barua -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 139-140 -Kadi maneno -Mti maneno -Kapu maneno -Chati -Tarakilishi |
Uangalizi
-Barua iliyoandikwa
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Uwasilishaji wa barua
|
|
8 | 1 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua vinyume vya vielezi mbalimbali. -Kutumia vinyume vya vielezi kwa usahihi katika mawasiliano. -Kuthamini umuhimu wa vinyume vya vielezi katika kuendeleza lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo. -Kutunga sentensi au vifungu vifupi akitumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kukabiliana na hisia. -Kusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi. -Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vielezi. |
Je, unajua vinyume gani vya vielezi?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 141-143
-Kadi maneno -Mti maneno -Kapu maneno -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Zoezi la sentensi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
8 | 2 |
HAKI ZA WATOTO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja. -Kutambua miktadha katika jamii ambapo kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja hufanywa. -Kuchangamkia kushiriki katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja. -Kujadili na wenzake umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja. -Kutambua miktadha katika jamii yake ambamo anahitaji kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja. -Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja. |
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Kadi za maelezo -Chati -Kanuni za darasa |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Orodha hakiki
|
|
8 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kuteua matini ifaayo ya kujisomea. -Kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia. -Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuteua matini ifaayo ya kujisomea. -Kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyoisoma. -Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. -Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua. -Kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu. |
1. Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia?
-2. Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Vitabu vya kusoma -Rasilimali za mtandaoni -Vitabu vya marejeleo |
Kumbukumbu za usomaji
-Vigezo vya tathmini
-Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
|
|
8 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia. -Kutumia msamiati unaotokana na matini aliyosoma. -Kuthamini umuhimu wa kusoma makala mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma. -Kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome. -Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni. |
1. Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia?
-2. Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Vitabu vya kusoma -Rasilimali za mtandaoni -Vitabu vya marejeleo Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151 -Mifano ya insha za maelezo -Chati -Vifaa vya kuandikia |
Kumbukumbu za usomaji
-Vigezo vya tathmini
-Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
|
|
9 |
Mid term |
||||||||
10 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatia vipengele vyake muhimu. -Kutumia lugha ifaayo katika kuandika insha ya maelezo. -Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni. -Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo. |
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia -Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Insha zilizoandikwa
-Tathmini ya wenza
-Tathmini-binafsi
-Orodha hakiki
-Vigezo vya tathmini
|
|
10 | 2 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo katika matini. -Kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda. -Kuthamini matumizi ya kauli mbalimbali za vitenzi ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo. -Kutunga sentensi au vifungu vifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la haki za watoto. |
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
10 | 3 |
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kueleza habari katika matini ya kusikiliza. -Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza. -Kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza matini kutoka kifaa cha kidijitali au mwalimu wake. -Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake. -Kueleza hoja muhimu aliyotambua kutoka matini aliyosikiliza. -Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza. |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 157
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Kadi za maneno -Chati -Kanuni za darasa |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
10 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuvibainisha. -Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora. -Kufurahia usomaji wa kifungu kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha (matamshi bora, kasi ifaayo, sauti ifaayo, ishara zifaazo). -Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala (k.v. hotuba, taarifa ya habari). -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora. -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 105 kwa dakika). |
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Vitabu vya kusoma -Video za mifano ya usomaji -Maelezo ya kifungu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Tathmini-binafsi
-Vigezo vya tathmini
|
|
11 | 1 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo. -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo. -Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo). -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono). -Kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni. |
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Vitabu vya kusoma -Video za mifano ya usomaji -Maelezo ya kifungu Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160 -Mifano ya hotuba za ufafanuzi -Chati -Vifaa vya kuandikia |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Tathmini-binafsi
-Vigezo vya tathmini
|
|
11 | 2 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Aina za Sentensi: Sentensi changamano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kujadili ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kutoa ufafanuzi. -Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kwa kuzingatia vipengele vyake. -Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kutoa ufafanuzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu suala lengwa akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao kisha awasambazie wenzake mtandaoni au kuwasomea darasani ili waitolee maoni. -Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu suala linaloathiri jamii yao kisha amsomee mzazi au mlezi ili aitolee maoni. |
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160
-Mifano ya hotuba za ufafanuzi -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163 -Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
11 | 3 |
Sarufi
|
Aina za Sentensi: Sentensi changamano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutumia sentensi changamano ipasavyo katika matini. -Kutunga sentensi changamano sahihi. -Kuonea fahari matumizi ya sentensi changamano katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi changamano ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yasiyoambukizwa. -Kuwawasilishia wenzake darasani sentensi changamano alizotunga ili wazitathmini. -Kumtungia mzazi au mlezi sentensi changamano zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani. |
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163
-Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Maswali ya maandishi
|
|
11 | 4 |
HESHIMA KWA TAMADUNI ZA WENGINE
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Hadithi: Wahusika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutambua wahusika katika hadithi. -Kuchambua sifa za wahusika katika hadithi. -Kuona umuhimu wa wahusika katika hadithi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua washiriki katika hadithi inayosimuliwa (k.v. fanani, hadhira). -Kutambua wahusika katika hadithi inayosimuliwa. -Kutambua sifa za wahusika katika hadithi aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali. -Kuchambua wahusika katika hadithi aliyosikiliza. |
Je, hadithi uliyowahi kusimuliwa ilikuwa na wahusika gani?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 166
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Hadithi za kusoma -Chati -Vifaa vya kuandikia |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenza
-Orodha hakiki
|
|
12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutambua mbinu za lugha katika tamthilia. -Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia. -Kuthamini matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mbinu za lugha kwenye tamthilia. -Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu. -Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu mbinu za lugha katika tamthilia na kuutolea maoni. |
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha?
-2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Vifaa vya kidijitali -Tamthilia iliyoteuliwa -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Maswali ya maandishi
|
|
12 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kulinganisha mbinu za lugha mbalimbali katika tamthilia. -Kutumia mbinu za lugha aliozijifunza katika masimulizi yake. -Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia. -Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia aliyosoma. |
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha?
-2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Vifaa vya kidijitali -Tamthilia iliyoteuliwa -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170 -Mifano ya insha za maelezo |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Maswali ya maandishi
|
|
12 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mahali. -Kutumia lugha inayojenga picha dhahiri ya mahali. -Kuonea fahari utoaji wa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali akizingatia muundo ufaao na inayohusisha suala lengwa kisha awasomee wenzake darasani. -Kubuni insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali kisha awasambazie wenzake mtandaoni ili waitolee maoni. -Kutolea insha za wenzake maoni kwa upendo. -Kumsomea mzazi au mlezi insha ya kubuni aliyoandika ili aitolee maoni. |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172 -Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Tathmini-binafsi
-Vigezo vya tathmini
|
|
12 | 4 |
Sarufi
|
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kukanusha sentensi kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu. -Kutunga sentensi zilizokanushwa kwa usahihi. -Kuchangamkia kukanusha sentensi katika hali ya mazoea na timilifu ili kukuza mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la heshima kwa tamaduni za wengine. -Kukanusha sentensi au vifungu alivyotunga kisha awatumie wenzake kupitia vifaa vya kidijitali au kuwasomea darasani ili wazitolee maoni. |
1. Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini?
-2. Je, ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu hutofautianaje?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172
-Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Maswali ya maandishi
|
Your Name Comes Here