Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TANO
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

Reporting and revision

2 1
MAPISHI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano.
- Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh.
- Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukariri vitanzandimi vilivyoandaliwa na mwalimu au vilivyopatikana mtandaoni.
- Kufanya mashindano ya kukariri vitanzandimi darasani.
- Kuwakaririria wazazi au walezi wao vitanzandimi walivyojifunza ili wawape maoni.
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi kunasaidia kuboresha matamshi yako vipi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 5
Orodha ya vitanzandimi
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 9
Chati za msamiati
Kifungu cha hadithi kuhusu mapishi
Kukariri vitanzandimi kwa ufasaha Kutamka sauti zinazokaribiana kwa usahihi Kutofautisha sauti zinazokaribiana kimatamshi
2 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu
Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kuonyesha uelewa wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali.
- Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutoa muhtasari kuhusu kifungu alichosoma.
- Kujibu maswali kutokana na kifungu alichosoma.
- Kusoma vifungu mtandaoni kuhusu suala lengwa na kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe ulioyomo.
Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 11
Kifungu cha hadithi
Maswali ya ufahamu
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 13
Mifano ya insha za wasifu
Chati ya muundo wa insha ya wasifu
Kutoa muhtasari wa kifungu Kujibu maswali ya ufahamu Kujadili ujumbe wa kifungu
2 3
Kuandika
Sarufi
Insha ya wasifu
Nomino za Pekee
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri.
- Kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukishirikiana na wenzake katika vikundi ili kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa.
- Kuaandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 150 inayohusu mada lengwa (k.v. Mpishi nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi na kwa lugha ya kiubunifu.
- Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini.
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 16
Mifano ya insha za wasifu
Orodha hakiki ya sifa za insha ya wasifu
Vifaa vya kidijitali
Chati za nomino za pekee
Kadi maneno
Mti maneno
Kuandika insha ya wasifu Kuzingatia muundo wa insha ya wasifu Kusoma na kutathmini insha za wenzake
2 4
Sarufi
Nomino za Pekee
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi.
- Kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujaza nafasi kwenye sentensi au kifungu kwa kutumia nomino za pekee.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee akiwa na wenzake.
- Kuorodhesha nomino za pekee kulingana na aina zake.
Ni nomino zipi za pekee unazozijua?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 19
Chati za nomino za pekee
Kadi maneno
Orodha ya maswali ya zoezi
Kutumia nomino za pekee katika sentensi Kujaza pengo kwa nomino za pekee Kuorodhesha nomino za pekee kulingana na aina
3 1
Sarufi
Nomino za kawaida
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida ili kukuza matumizi sahihi ya lugha.
- Kufurahia kutumia nomino za kawaida katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za kawaida kwenye kadi au kapu la maneno (k.v.mtu, mtoto, darasa, ukuta, mwalimu, meza na kiti).
- Kutaja akiwa na wenzake nomino za kawaida.
- Kutambua nomino za kawaida katika sentensi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye tarakilishi.
Je, ni vitu gani vinavyopatikana katika mazingira yako?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 19
Kadi au kapu la maneno
Chati zenye nomino za kawaida
Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino za kawaida Kupigia mstari nomino za kawaida katika sentensi Kutaja nomino za kawaida
3 2
Sarufi
Nomino za kawaida
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida ili kukuza matumizi sahihi ya lugha.
- Kufurahia kutumia nomino za kawaida katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za kawaida kujaza nafasi kwenye sentensi.
- Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida akiwa peke yake wawiliwawili au kwenye vikundi.
- Kuorodhesha nomino za kawaida zinazopatikana mazingira yao.
Ni vitu gani vinavyotumiwa katika mapishi mbalimbali?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 21
Chati za nomino za kawaida
Maswali ya zoezi
Picha za vitu mbalimbali
Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida Kujaza pengo kwa nomino za kawaida Kuorodhesha nomino za kawaida katika mazingira
3 3
HUDUMA YA KWANZA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano.
- Kueleza maamkuzi yanayotumika katika miktadha mbalimbali ili kuyabainisha.
- Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maamkuzi (k.v. shikamoo, Habari za utokako? Habari za adhuhuri? Habari za jioni?) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha.
- Kushiriki kujadiliana na mwenzake au katika vikundi maamkuzi yanayolengwa na matumizi yake.
- Kuambatanisha maamkuzi na majibu sahihi.
Je, watu husalimiana vipi katika jamii?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 23
Picha zinazoonyesha watu wakiamkuana
Chati za maamkuzi na majibu yake
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 25
Picha zinazoonyesha watu wakiagana
Chati za maagano na majibu yake
Kutambua aina za maamkuzi Kutumia maamkuzi ipasavyo Kuambatanisha maamkuzi na majibu yake
3 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi.
- Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake.
- Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kupanga maneno aliyopewa kwenye chati, kapu maneno au mti maneno kialfabeti.
- Kuchague neno kutoka kapu maneno au mti maneno ili kulitafuta kwenye kamusi.
- Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi.
Maana ya maneno ya Kiswahili hupatikana wapi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 29
Kamusi
Kapu maneno
Mti maneno
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 31
Maswali ya zoezi
Kupanga maneno kialfabeti Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno Kuandika maana za maneno kutoka kamusi
4 1
Kuandika
Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo.
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
- Kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi.
- Kuandika insha isiyopungua maneno 150 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na huduma ya kwanza kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu.
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 32
Mifano ya insha za masimulizi
Chati ya muundo wa insha ya masimulizi
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 34
Orodha hakiki ya insha ya masimulizi
Kutambua muundo wa insha ya masimulizi Kujadili mada ya insha ya masimulizi Kuandika insha ya masimulizi
4 2
Sarufi
Nomino za Wingi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za wingi katika matini ili kuzibainisha.
- Kutumia nomino za wingi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za wingi (k.m chumvi, sukari, maji, uji, mafuta na manukato) kutoka kwenye kapu la maneno, chati, vitabu na vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi.
- Kutambua nomino za wingi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini.
- Kutumia nomino za wingi kujaza nafasi kwenye sentensi.
Unajua majina gani yanayohusu vitu vinavyopatikana katika wingi tu?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 34
Chati za nomino za wingi
Kadi maneno
Picha za vitu mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 37
Kutambua nomino za wingi Kupigia mstari nomino za wingi katika sentensi Kujaza pengo kwa nomino za wingi
4 3
Sarufi
Vitenzi-jina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za vitenzi-jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi.
- Kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzi-jina ili kukuza matumizi bora ya lugha.
- Kufurahia kutumia nomino za vitenzi-jina katika utungaji wa sentensi na kujaza nafasi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi-jina kutoka kwenye kapu la maneno, vyombo vya kijiditali (k.v. kusoma, kucheka, kula, kulia na kuandika).
- Kutambua vitenzi-jina akiwa na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k.
- Kutumia nomino za vitenzi-jina kwa kujaza nafasi kwenye sentensi.
Ni mambo gani wewe hufanya ukiwa nyumbani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 37
Chati za vitenzi-jina
Kadi maneno
Picha zinazoonyesha vitendo
Kutambua vitenzi-jina Kupigia mstari vitenzi-jina katika sentensi Kujaza pengo kwa vitenzi-jina
4 4
Sarufi
Vitenzi-jina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za vitenzi-jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi.
- Kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzi-jina ili kukuza matumizi bora ya lugha.
- Kufurahia kutumia nomino za vitenzi-jina katika utungaji wa sentensi na kujaza nafasi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi.
- Kuorodhesha vitenzi-jina mbalimbali vilivyotokana na vitendo vya kila siku.
- Kutofautisha vitenzi-jina na vitenzi vikuu.
Unapenda kufanya mambo gani darasani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 39
Chati za vitenzi-jina
Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye vitenzi-jina Kuorodhesha vitenzi-jina Kutofautisha vitenzi-jina na vitenzi vikuu
5 1
MAPAMBO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua vitendawili vya suala lengwa.
- Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora.
- Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitendawili vya mapambo katika chati, ubao au vifaa vya kidijitali (k.m Wafaa lakini wavaliwa bila matumizi maalum (Mtandio), Ananitazama, hasemi hasikii (Picha), Lapendeza rangi lakini halidumu (Ua). Dhahabu yangu ya thamani haisimami (Mkufu).
- Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili.
- Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali.
Je, ni vitendawili gani unavyovijua?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 40
Chati za vitendawili
Kadi za vitendawili
Vifaa vya kidijitali
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 42
Orodha ya vitendawili
Kutega na kutegua vitendawili Kutambua vitendawili vya mapambo Kutunga vitendawili vipya
5 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua msamiati wa mapambo uliotumiwa katika kifungu.
- Kuelezea maana za msamiati mbalimbali wa mapambo.
- Kusoma kifungu cha hadithi ili kupata ujumbe.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati wa mapambo (k.v vipuli, pete, bangili na ushanga) kwa kutazama picha na vifaa halisi.
- Kutumia tarakilishi kutafuta msamiati wa mapambo na maana yake mtandaoni.
- Kueleza mapambo na sehemu yanapovaliwa.
Kwa nini ni muhimu kusoma kifungu kwa ufasaha?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 43
Picha za mapambo
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 45
Kifungu cha hadithi
Saa ya kupimia muda
Maswali ya ufahamu
Kutambua msamiati wa mapambo Kueleza maana za msamiati wa mapambo Kusoma kifungu kwa ufasaha
5 3
Kuandika
Kuandika kwa Tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa.
- Kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali.
- Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi za kupigia chapa. (k.v. bodidota, kipanya na kiwambo/ mulishi).
- Kutumia tarakilishi kuandika maneno au sentensi zinazolenga msamiati wa mapambo (k.v. herini, vipuli, pete, kipini, bangili, shanga, taji, kugesi na hina).
- Kutumia tarakilishi kuandika kifungu kinachohusisha mapambo mbalimbali.
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazojua?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 46
Tarakilishi
Picha za sehemu za tarakilishi
Chati ya sehemu za tarakilishi
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47
Kutambua sehemu za tarakilishi Kuandika maneno na sentensi kwa kutumia tarakilishi Kuhifadhi maandishi kwenye faili ya tarakilishi
5 4
Sarufi
Nomino za Makundi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za makundi katika sentensi ili kuzibainisha.
- Kueleza nomino za makundi ili kuzitofautisha na nomino zingine.
- Kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za makundi (k. v mlolongo wa magari, tita la kuni, mkungu wa ndizi, safu ya siafu, koja la maua, bunda la noti) katika chati, kadi maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k.
- Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za makundi huko akitoa mifano.
- Kutumia nomino za makundi katika sentensi na kuziandika daftarini mwake.
Je, unajua maneno gani yanayotaja makundi ya watu na vitu?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47
Chati za nomino za makundi
Kadi maneno
Picha zinazoonyesha makundi ya vitu
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50
Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino za makundi Kueleza maana ya nomino za makundi Kutunga sentensi zenye nomino za makundi
6 1
Sarufi
Nomino Ambata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino.
- Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino ambata (k.v askarikanzu, mbwamwitu, mwanasiasa na mwananchi) kwa kutumia kadi maneno, kapu maneno, chati au vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi.
- Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino ambata huko akitoa mifano.
- Kutumia nomino ambata katika sentensi na kuziandika katika daftari lake.
Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50
Chati za nomino ambata
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino ambata Kueleza maana ya nomino ambata Kutunga sentensi zenye nomino ambata
6 2
Sarufi
Nomino Ambata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino.
- Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino ambata kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake.
- Kusakura mtandaoni ili kupata mifano zaidi ya nomino ambata na kuziandika katika daftari lake.
- Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino ambata.
Ni mifano gani ya nomino ambata unayojua?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye nomino ambata Kusakura mtandaoni mifano ya nomino ambata Kujaza pengo kwa nomino ambata
6 3
Sarufi
Nomino za dhahania
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali.
- Kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka.
- Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za dhahania (k.v upendo, uhodari, ukweli) kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya kidijitali.
- Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano.
- Kutumia nomino za dhahania katika sentensi na kuziandika sentensi hizo daftarini mwake.
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Chati za nomino za dhahania
Kadi maneno
Mti maneno
Kutambua nomino za dhahania Kueleza maana ya nomino za dhahania Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania
6 4
Sarufi
Nomino za dhahania
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali.
- Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za dhahania kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake.
- Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino za dhahania.
- Kuorodhesha nomino za dhahania zinazoelezea hisia na tabia za binadamu.
Ni nomino zipi za dhahania unazozitumia katika mawasiliano ya kila siku?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 54
Maswali ya zoezi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania Kujaza pengo kwa nomino za dhahania Kuorodhesha nomino za dhahania
7 1
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua herufi kubwa katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia herufi kubwa (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia herufi kubwa ifaavyo.
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 55
Chati za matumizi ya herufi kubwa
Vifaa vya kidijitali
Kutambua herufi kubwa katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia herufi kubwa Kuandika sentensi zenye herufi kubwa
7 2
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua alama ya koma katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia koma (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia koma ifaavyo.
Kwa nini tunahitaji alama ya koma katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 57
Chati za matumizi ya koma
Vifaa vya kidijitali
Kutambua alama ya koma katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia koma Kuandika sentensi zenye koma
7 3
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua kikomo katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kikomo (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia kikomo ifaavyo.
Ni wakati gani tunatumia kikomo katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 59
Chati za matumizi ya kikomo
Vifaa vya kidijitali
Kutambua kikomo katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia kikomo Kuandika sentensi zenye kikomo
7 4
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo,
- Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
- Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi.
- Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua kiulizi katika maandishi.
- Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa).
- Kuandika sentensi akitumia kiulizi ifaavyo.
- Kuandika sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali.
Unatumia alama ya kiulizi wakati gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 61
Chati za matumizi ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua kiulizi katika matini Kuakifisha sentensi kwa kutumia kiulizi Kuandika sentensi zenye kiulizi
8 1
SAA NA MAJIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Udugu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano
- Kutumia maneno ya heshima yanayohusiana na udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku
- Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maneno ya udugu kwenye ubao, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno
- Kueleza maana ya maneno lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu
- Kutunga sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi
- Kutazama maigizo ya watu wakitumia maneno ya udugu kwenye tarakilishi na video
- Kujadili matumizi ya maneno ya udugu akishirikiana na wenzake darasani
Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika mawasiliano?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 65
Picha
Chati ya maneno ya udugu
Vifaa vya kidijitali
Kadi za maneno
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 67
Kadi maneno
Chati ya maneno ya udugu na vyeo
Picha za familia
Kutambua maneno ya udugu Kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika sentensi Kujaza nafasi kwa kutumia maneno ya udugu Igizo la mazungumzo linalotumia maneno ya udugu ipasavyo
8 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini ya kidijitali
- Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye suala lengwa
- Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuzingatia hatua za kiusalama katika kutumia vifaa vya kidijitali k.v. kufungua mitandao ifaayo
- Kutambua mitandao salama yenye matini inayohusu suala lengwa (saa na majira) na inayoafiki kiwango chake
- Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao
- Kusoma matini kwa kutumia vifaa vya kidijitali yanayojumuisha msamiati wa saa na majira
Ni njia zipi unazoweza kupata matini za kusoma katika vifaa vya kidijitali?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 69
Tarakilishi/vipakatalishi
Picha
Mwongozo wa usalama mtandaoni
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71
Vifaa vya kidijitali
Kamusi ya mtandaoni
Chati ya msamiati wa majira ya siku
Kutambua hatua za kiusalama za kuzingatia mtandaoni Kutumia mitandao salama kusakura matini Kutoa muhtasari wa matini aliyosoma Kutumia msamiati wa saa na majira katika mawasiliano
8 3
Kuandika
Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake
- Kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo
- Kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua muundo wa baruapepe kwa kurejelea kielelezo chake kilichochapishwa au kwenye tarakilishi
- Kujadili sehemu mbalimbali za baruapepe kama vile anwanipepe ya mtumaji, anwanipepe ya mpokeaji, mada ya baruapepe, mtajo, mwili, hitimisho na jina la mwandishi/ mtumaji
- Kuandika baruapepe kwa rafiki, ndugu, au mzazi akishirikiana na wenzake darasani, kwa kutumia tarakilishi akizingatia muundo wa uandishi wa baruapepe
Unazingatia mambo gani unapoandika baruapepe?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71
Vielelezo vya baruapepe
Tarakilishi/vipakatalishi
Kielelezo cha muundo wa baruapepe
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 72
Vifaa vya kidijitali
Kielelezo cha baruapepe iliyokamilika
Mwongozo wa kuandika baruapepe
Kutambua sehemu mbalimbali za baruapepe Kuchora mchoro wa muundo wa baruapepe Kuandika baruapepe ifaayo kuzingatia muundo na vipengele muhimu Kutathmini baruapepe za wenzake
8 4
Sarufi
Ngeli I-ZI
Ngeli ya I-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine
- Kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi
- Kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-ZI
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v. nguo- nguo, ndizi- ndizi, ndoo-ndoo na nyumba-nyumba)
- Kuandika nomino katika ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
- Kusikiliza za usomaji wa nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
- Kuandika mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi
Je, unajua nomino zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 73
Kadi maneno
Tarakilishi/vifaa vya kidijitali
Chati ya ngeli ya I-ZI
Miti maneno
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 74
Vifaa vya kidijitali
Orodha ya nomino za ngeli ya I-ZI
Mifano ya sentensi zenye nomino za ngeli ya I-ZI
Kutambua nomino za ngeli ya I-ZI Kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi Kupigia mstari nomino za ngeli ya I-ZI katika vifungu Kufanya mazoezi ya kuandika mafungu ya maneno katika umoja na wingi
9

Half term break

10

Mid term assessment

11 1
KUKABILIANA NA UMASKINI

Kusikiliza na Kuzungumza
Methali: Methali Zinazohusu Bidii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua methali zinazohusu bidii ili kuzitofautisha na aina zingine za methali
- Kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii
- Kutumia methali zinazohusu bidii katika mawasiliano
- Kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua methali zinazohusu bidii (k.v. mchagua jembe si mkulima, mgagaa na upwa hali wali mkavu, atafutaye hupata, anayejitahidi hufaidi, ukiona vyaelea vimeundwa) katika chati, ubao, vyombo vya kidijitali
- Kujadiliana kuhusu maana na matumizi ya methali zinazohusu bidii na wenzake darasani
- Kutoa mifano ya methali zinazohusu bidii
- Kusikiliza methali zinazohusu bidii zikitumiwa kupitia vyombo vya kidijitali
Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 78
Chati ya methali
Vifaa vya kidijitali
Orodha ya methali zinazohusu bidii
Kutambua methali zinazohusu bidii Kueleza maana na matumizi ya methali zinazohusu bidii Kukamilisha methali zinazohusu bidii Kufanyiana tathmini ya matumizi ya methali
11 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Methali: Methali Zinazohusu Bidii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua methali zinazohusu bidii ili kuzitofautisha na aina zingine za methali
- Kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii
- Kutumia methali zinazohusu bidii katika mawasiliano
- Kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake katika kukamilisha methali zinazohusu bidii
- Kusakura mtandaoni kwa kusaidiwa na mzazi au mlezi wake ili kupata methali zaidi zinazohusu bidii na matumizi ya methali hizo
- Kutunga sentensi akitumia methali zinazohusu bidii
- Kutumia kamusi ya methali kueleza maana za methali mbalimbali zinazohusu bidii
Kutumia methali zinazohusu bidii kuna umuhimu gani?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 80
Kamusi ya methali
Vifaa vya kidijitali
Chati ya methali na maana zake
Kueleza maana za methali zinazohusu bidii Kutunga sentensi zenye methali zinazohusu bidii Kutumia methali kukamilisha kifungu Kuandika kifungu kifupi ukitumia methali za bidii
11 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mizani na vina katika shairi ili kuvibainisha
- Kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu
- Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vina na mizani katika shairi lililochapisha au la mtandaoni
- Kujadili vina na mizani katika shairi akiwa na mwenzake au katika kikundi
- Kushirikiana na mwenzake kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe
- Kusikiliza shairi likisomwa kwa mahadhi kwenye vifaa vya kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina, mizani na ujumbe wake
Je, ni nini kinachotofautisha mashairi na maandishi mengine?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 82
Mashairi mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Chati yenye mifano ya vina na mizani
Kutambua vina na mizani katika shairi Kusoma shairi kwa kuzingatia vina na mizani Kupigia mistari vina vya kati na vya mwisho Kueleza idadi ya mizani katika shairi
11 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mizani na vina katika shairi ili kuvibainisha
- Kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu
- Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kutafuta mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo
- Kusoma shairi "Tumeshinda Uchochole" akizingatia vina, mizani na ujumbe
- Kuandika ujumbe unaojitokeza katika shairi "Tumeshinda Uchochole"
- Kujibu maswali kuhusu vina, mizani na ujumbe wa shairi
Ujumbe gani unaweza kutolewa kupitia ushairi?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 84
Shairi la "Tumeshinda Uchochole"
Vifaa vya kidijitali
Mashairi mbalimbali
Kusoma shairi kwa kuzingatia vina na mizani Kujibu maswali kuhusu shairi Kueleza ujumbe unaojitokeza katika shairi Kufanya tathmini ya idadi ya mizani katika beti
12 1
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
- Kushirikiana na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya maelezo
- Kujadiliana na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha
- Kutambua mada ya insha mliyosoma
- Kujadili muundo wa insha hiyo
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 85
Vielelezo vya insha za maelezo
Vifaa vya kidijitali
Kielelezo cha muundo wa insha
Kutambua vipengele vya insha ya maelezo Kueleza sifa za insha ya maelezo Kuorodhesha mambo muhimu ya kuzingatia katika insha ya maelezo Kutofautisha insha ya maelezo na aina nyingine za insha
12 2
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali
- Kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili kuitolea maoni
Ni mambo gani unazingatia ili kuandika insha ya maelezo ya kuvutia?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 86
Vifaa vya kidijitali
Orodha hakiki ya mambo ya kuzingatia katika insha ya maelezo
Kuandika insha ya maelezo ifaayo Kutumia methali na nahau katika insha Kusahihisha makosa katika insha Kutathmini insha za wenzake
12 3
Sarufi
Ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI ili kuzibainisha
- Kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
- Kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya U-ZI
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.m. uzi- nyuzi, ukuta-kuta, uta- nyuta, ubavu- mbavu, wakati-nyakati, ukucha-kucha na ufunguo-funguo, wimbo-nyimbo)
- Kuandika nomino katika ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kuandika mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 87
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Chati ya nomino za ngeli ya U-ZI
Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI Kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi Kupigia mstari nomino za ngeli ya U-ZI katika kifungu Kuorodhesha mifano ya nomino za ngeli ya U-ZI
12 4
Sarufi
Ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI katika sentensi
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
- Kufurahia matumizi ya ngeli ya U-ZI katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua viambishi vya ngeli ya U-ZI katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini mwake au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
- Kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
- Kuunda sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya U-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake
- Kujaza nafasi kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U-ZI
Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi gani katika sentensi?
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 91
Vifaa vya kidijitali
Chati ya viambishi vya ngeli ya U-ZI
Kadi za sentensi
Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya U-ZI Kutunga sentensi zenye viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-ZI Kufanyiana tathmini ya sentensi
13

End term assessment

14

Marking assessment and closig


Your Name Comes Here


Download

Feedback