If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
Nyumbani
|
Kusikiliza na kuzungumza;
Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi /p/ /b/
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi /t/ /d/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/p/ /b/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/p/ /b/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /p/ na /b/ |
Mwanafunzi atambue silabi za sauti /p/ na /b/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. |
Ni silabi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivokariri?
Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk.2-3
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 3-4 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 1 | 2 |
Nyumbani
|
Kusikiliza na kuzungumza;
Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi /k/ /g/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/k/ /g/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/k/ /g/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /k/ na /g/ |
Mwanafunzi atambue silabi za sauti /k/ na /g/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi |
Ni silabi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivokariri?
Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 4-5
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 1 | 3 |
Nyumbani
|
Kusikiliza na kuzungumza;
Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi /ch/ /j/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/ch/ /j/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/ch/ /j/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /ch/ na /j/ |
Mwanafunzi atambue silabi za sauti /ch/ na /j/
Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi |
Ni silabi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivokariri?
Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 5-6
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 1 | 4 |
Nyumbani
|
Kusoma; Ufahamu (Nyumbani kwa akina Akinyi)
Kusoma; Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu na kutambua msamiati uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu. Kuchora vifaa vya nyumbani (k.v meza, kochi, balbu, kinu, saa) Kufurahia kutoa mukhtasari wa kifungu hicho. |
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu na kutambua msamiati uliotumika katika kifungu kuimarisha ufahamu
Mwanafunzi aweze kuchora vifaa vya nyumbani (k.v meza, godoro, kochi, kinu,saa, balbu, neti, mafiga) |
Ni vifaa vipi vya nyumbani unavyojua?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 7-9
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 9-10 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 1 |
Nyumbani
|
Kuandika; Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. Kuandika insha ya wasifu kwa kufuata mtindo na muundo ufaao. Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha wasifu kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
Mwanafunzi aandae vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake. Mwanafunzi aweze kuandika insha ya wasifu kwa kufuata mtindo na muundo ufaao. |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya wasifu?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 10-12
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 2 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno: Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya nomino ili kutofautisha na aina nyingine za maneno. Kutambua nomino katika kundi la maneno au sentensi. Kuchangamkia matumizi ya nomino katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya nomino.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino katika kundi la maneno au sentensi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. |
Je, nomino ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 12-13
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 3 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno: Nomino
Sarufi; Aina za Maneno; Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia nomino kwa njia sahihi. Kuchora vifaa vifuatavyo; chungu, birika, uteo, sahani, mwiko, stuli, embe. Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutunga sentensi kutumia nomino kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kuchora vifaa vifuatavyo; chungu, birika, uteo, sahani, mwiko, stuli, embe |
Je, ni vitu gani tunavyoweza kupata nyumbani?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 14-15
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 15-16 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 4 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno; Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia vitenzi kwa njia sahihi. Kuigiza vitendo hivi; kupalilia mimea, kufyeka ua, kula muwa, kupika ugali, kuosha vyombo, kutandika kitanda Kufurahia kuiga vitendo mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vitenzi kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kuigiza vitendo hivi; kupalilia mimea, kufyeka ua, kula muwa, kupika ugali, kuosha vyombo, kutandika kitanda. |
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 16-17
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 1 |
Nyumbani
|
Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana ya vivumishi ili kutofautisha na aina nyingine za maneno. Kutambua vivumishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kivumishi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vivumishi katika kundi la maneno au sentensi |
Je, kivumishi ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 17-18
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 2 |
Nyumbani
Nidhamu mezani |
Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi
Kusikiliza na Kuzungumza; Maamkuzi na maagano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia vivumishi kwa njia ipasavyo. Kuandika aya fupi akitumia kivumishi kuelezea kitu, mtu, hali na mahali. Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vivumishi kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kuandika aya fupi akitumia kivumishi kuelezea kitu, mtu, hali na mahali. |
Ni sifa zipi unazoweza kutambua katika nomino mbalimbali?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 19-20
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 21-24 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 3 |
Nidhamu mezani
|
Kusoma;
Ufahamu: Matumizi ya kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kamusi na kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake. Kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati unaotafutiwa maana. Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kamusi na kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake.
Mwanafunzi ajadiliane na wenzake kuhusu mpangilio wa maneno katika kamusi Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati unaotafutiwa maana. |
Kamusi ina umuhimu gani?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 24-26
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 4 |
Nidhamu mezani
|
Kuandika;
Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali. Kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada, ujumbe, mtindo na muundo ufaao. Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi inayozingatia mada, ujumbe, mtindo, na muundo ufaao. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya masimulizi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 27-29
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 1 |
Nidhamu mezani
|
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kiwakilishi ili kukibainisha. Kutambua kiwakilishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kiwakilishi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua viwakilishi katika kundi la maneno au sentensi |
Je, kiwakilishi ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 30
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 31 Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 2 |
Nidhamu mezani
|
Sarufi; Aina za maneno: Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kielezi ili kukibainisha. Kutambua kielezi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kielezi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vielezi katika kundi la maneno au sentensi |
Je, kielezi ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 32-33
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 3 |
Nidhamu mezani
|
Sarufi; Aina za maneno: Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutunga sentensi kutumia vielezi kwa njia ipasavyo. Kuigiza vielezi mbalimbali panapofaa (k.v Kunywa uji kistaarabu) Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vielezi kwa njia sahihi.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake katika vikundi vya watatuwatatu kuigiza vielezi mbalimbali (k.v Kunywa uji kistaarabu, kula samaki kwa makini, kuosha vyombo vizuri, kula wali taratibu) |
Je, unafanyaje shughuli zako za kila siku?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 34-35
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 4 |
Mavazi
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Matamshi bora: Vitendawili
Kusoma; Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitendawili na kutamka maneno yenye sauti radidi katika vitendawili lengwa Kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti radidi ili kujenga matamshi bora. Kuchangamkia matumizi ya vitendawili vyenye sauti radidi kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitendawili na kutamka maneno yenye sauti radidi katika vitendawili lengwa.
Mwanafunzi aweze kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti radidi wakiwa wawili wawili au katika vikundi |
Je, unajua kutega na kutegua vitendawili gani?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 36-38
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 39-41 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 1 |
Mavazi
|
Kusoma; Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi. Kutazama video ya vibonzo wakiwa na mavazi mbalimbali na kisha kujibu maswali kutokana na mavazi yao Kuchangamkia msamiati wa mavazi mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutazama video ya vibonzo wakiwa na mavazi mbalimbali kisha kujibu maswali kutokana na mavazi yao. |
Je, ni mambo gani mtu huzingatia anapochagua mavazi yake?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 41-43
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 2 |
Mavazi
|
Kuandika; Kuandika kutumia tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupiga chapa. Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi akizingatia chapa koza, italiki na kupiga mstari panapofaa. Kufurahia kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi kazi |
Mwanafunzi aweze kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi za kupiga chapa (Kiibodi, kipanya, kiwambo, faili, kitufe)
Mwanafunzi aweze kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi akizingatia chapa koza, italiki na kupiga mstari panapofaa. |
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazotumia kuandika?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 44-47
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 3 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kiunganishi ili kukibainisha. Kutambua kiunganishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya viunganishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kiunganishi.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua viunganishi katika kundi la maneno au sentensi (k.v na, pia, kwa, sababu, lakini) |
Je, kiunganishi ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 47-48
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 48-49 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 4 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kihusishi ili kukibainisha. Kutambua kihusishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kihusishi na kuvitolea mifano (k.v karibu na, mbali na, chini ya, nje ya, ndani ya Nk)
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vihusishi katika kundi la maneno au sentensi. |
Je, kihusishi ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 49-50
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 1 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vihusishi ipasavyo katika sentensi. Kutunga sentensi kutumia vihusishi kwenye tarakilishi kisha kumsambazia mwalimu kupitia mtandao wa intaneti kuzisahihisha. Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutambua vihusishi ipasavyo katika sentensi.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia vihusishi kwenye tarakilishi kisha kumsambazia mwalimu kupitia mtandao wa intaneti kuzisahihisha. |
Ni vihusishi gani unavyoweza kutumia katika sentensi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 50-51
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 2 |
Mavazi
|
Sarufi; Aina za maneno: Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kihisishi ili kukibainisha. Kutambua kihusishi katika kundi la maneno au sentensi. Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kueleza maana ya kihisishi na kuvitolea mifano (k.v Lo! Ala! Oyee! Naam!)
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kutambua vihisishi katika kundi la maneno au sentensi |
Je, kihisishi ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 52-53
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 53-54 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 3 |
Ushauri Nasaha
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Methali; Methali zinazohusu malezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya methali. Kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao. Kuchangamkia matumizi ya methali katika muktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya methali.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao. |
Je, unajua methali ni nini?
Methali hutumika kufanya nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 71-72
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 4 |
Ushauri Nasaha
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Methali; Methali zinazohusu malezi
Kusoma; Ujumbe na lugha katika ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua methali kuhusu malezi kutoka kwa kundi la methali alizopewa. Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi Kuchangamkia matumizi ya methali zinazohusu malezi katika muktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kutambua methali kuhusu malezi (k.v mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, mtoto wa nyoka ni nyoka) kutoka kundi la methali alizopewa.
Mwanafunzi aweze kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa peke yake, wawili wawili na katika vikundi |
Ni methali gani zinahusu malezi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 72-73
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 73-74 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 1 |
Ushauri Nasaha
|
Kusoma; Ujumbe na lugha katika ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua shairi kutokana na umbo lake. Kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe. Kufurahia kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe. |
Mwanafunzi aweze kutambua shairi kutokana na umbo lake.
Mwanafunzi aweze kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe. |
Unafahamu msamiati gani wa ushairi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 75-76
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 2 |
Ushauri Nasaha
|
Kuandika; Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo. Kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi. Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo.
Mwanafunzi aweze kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi. |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 76-77
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 3 |
Ushauri Nasaha
|
Kuandika; Insha ya maelezo
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi Kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi. Kufurahia kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi. |
Insha ya maelezo inahusu nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 77-78
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 79-81 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 4 |
Ushauri Nasaha
|
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi; Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I. Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I.
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi kwenye kinasasauti. |
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 81-83
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 1 |
Bendera ya Taifa
|
Kusikiliza na Kuzungumza;
Kujieleza kwa ufasaha: Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali. Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aweze kukariri au kuimba shairi kuhusu mada lengwa (Bendera ya taifa) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. |
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 84-86
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 2 |
Bendera ya Taifa
|
Kusoma; Kusoma kwa kina: Makala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) Kuigiza mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) Kufurahia kushiriki katika mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)
Mwanafunzi aweze kuigiza mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) wakiwa wawili wawili. |
Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 86-88
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 88-89 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 |
Midterm |
||||||||
| 9 | 1 |
Bendera ya Taifa
|
Kuandika; Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu. Kuandika insha kwenye tarakilishi kisha kuisambaza kupitia mtandao ili mwalimu na wanafunzi wengine waweze kuisoma. Kuchangamkia utunzi mzuri wa kuandika insha ya wasifu ili kukuza ubunifu. |
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu.
Mwanafunzi aweze kuandika insha kwenye tarakilishi kisha kuisambaza kupitia mtandao ili mwalimu na wanafunzi wengine waweze kuisoma. |
Insha ya wasifu inahusu nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 89-91
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 2 |
Bendera ya Taifa
|
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi. Kufurahia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA.
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi kwenye kinasasauti. |
Je, nomino zinazorejelea matunda ni zipi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 91-94
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 3 |
Bendera ya Taifa
|
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya KI-VI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA. Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi kisha kuzisoma. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi kisha kuzisoma. |
Nomino zilizo katika ngeli ya LI-YA ni zipi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 94-97
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 97-99 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 4 |
Bendera ya Taifa
|
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kupiga chapa sentensi katika ngeli ya KI-VIKusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kupiga chapa sentensi katika ngeli ya KI-VI.
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi |
Ni nomino gani za ngeli ya KI-VI unazozijua?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 111-112
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 1 |
Matunda na mimea
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo. Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano. Kutathmini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua maana mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo.
Mwanafunzi aweze kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano. |
Je, nahau ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 100-102
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 2 |
Matunda na mimea
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
Kusoma kwa Mapana; Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali. Kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha mpachike chati hizo ukutani. Kufurahia kutunga na kuandika sentensi sahihi kutumia nahau za maadili. |
Mwanafunzi aweze kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha kuzipachika ukutani. |
Je, ni nahau zipi zinazohusu maadili?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 103-104
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 104-106 Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 3 |
Matunda na mimea
|
Kusoma kwa Mapana; Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali Kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi. Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini. |
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.
Mwanafunzi aweze kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi. |
Ni nini kinachokuvutia unaposoma hadithi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 106-108
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 4 |
Matunda na mimea
|
Kusoma kwa Mapana; Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida. Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu. Kufurahia kukariri shairi lenye mada lengwa; matunda yana faida. |
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida.
Mwanafunzi aweze Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu. |
Je, matunda yana faida gani katika mwili wa binadamu?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 109-110
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 1 |
Matunda na mimea
|
Kuandika; Insha ya maelezo
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-LI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo katika matini. Kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu. |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo katika matini.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea. |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 110
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 111-112 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 2 |
Matunda na mimea
|
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI. Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi. Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI
Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi kwenye kinasasauti. |
Je, umegundua nini kuhusu wingi wa maneno katika ngeli ya LI-LI?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 113-114
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 3 |
Wanyama wa Porini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha. Kutumia visawe vya kiwango chake ifaavyo katika mawasiliano. Kufurahia kutumia visawe katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya neno kisawe akiwa peke yake au kwa kujadiliana na wenzake.
Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia visawe vya maneno mawili vya kiwango chake kwa kurejelea kapu maneno, kadi za maneno na mti maneno katika mawasiliano. |
Je, kisawe ni nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 116-117
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 4 |
Wanyama wa Porini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
Kusoma; Mchezo wa kuigiza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno. Kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo) Kutathmini matumizi ya visawe katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno.
Mwanafunzi aweze kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo) |
Unajua maneno gani ya kiswahili yaliyo na maana sawa?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 118-119
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 1 |
Wanyama wa Porini
|
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum. Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo. Kufurahia kusoma michezo na kuigiza. |
Mwanafunzi aweze kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo. |
Je, unapata vipi ujumbe katika mchezo wa kuigiza?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120-123
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 2 |
Wanyama wa Porini
|
Kuandika; Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo. Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. Kuchangamkia utunzi nzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake |
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 122-125
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 3 |
Wanyama wa Porini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kauli ya kutenda
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutenda. Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutenda |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutenda.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana. |
Je, kauli ya kutenda huonyesha nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 125-126
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 127-128 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 4 |
Wanyama wa Porini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendwa. Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendwa. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendwa.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana |
Je, kauli ya kutendwa huonyesha nini?
|
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 129-130
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Kinasasauti Rununu Tarakilishi Mtandao Intaneti |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
Your Name Comes Here