If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
DIRA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Maneno ya Upole
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano - Kutumia maneno ya upole katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya maneno ya upole katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kueleza maana ya maneno ya upole (k.m. kwenda msalani, kwenda haja kubwa, kwenda haja ndogo, kuendesha na kujifungua) katika chati, mti maneno, kapu maneno, ubao, vyombo vya kidijitali - Kushiriki katika kujadili maneno ya upole akiwa na wenzake - Kutazama maigizo kuhusu matumizi ya maneno ya upole katika video na mitandaoni |
Kutumia maneno ya upole kuna umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 56
Chati maneno Kapu maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 57 Video za maigizo Kadi za maneno Picha |
Kutambua maneno ya upole
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno ya upole
Kuigiza mazungumzo yanayojumuisha maneno ya upole
|
|
2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama (k.m. kutowasiliana na watu asiowajua, kuwajibika anaposakura tovuti mbalimbali) kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao - Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga - Kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake |
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 60
Tarakilishi/vipakatalishi Projekta Chati za hatua za usalama mtandaoni |
Kutambua hatua za kiusalama za kuzingatia wakati wa kutumia mtandao
Kufungua na kufunga faili ipasavyo
Kusakura tovuti salama
|
|
2 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Mapana
Kuandika Barua ya Kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa - Kusoma matini lengwa ili kupata ujumbe - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao - Kutafuta maana za maneno kuhusu mada lengwa (k.m. kaskazini, kusini, magharibi, mashariki, kaskazini mashariki, kaskazini magharibi, kusini mashariki na kusini magharibi) kwenye kamusi au mtandaoni - Kusikiliza matamshi na maelezo kuhusu anachokisoma mtandaoni panapowezekana - Kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake |
Ni nini unazingatia unaposoma matini ya kidijitali?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 62
Kamusi Tarakilishi/vipakatalishi Tovuti salama zenye matini za kusoma Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 63 Vielelezo vya barua za kirafiki Chati kuhusu muundo wa barua |
Kusoma matini ya kidijitali
Kutoa muhtasari wa matini iliyosomwa
Kujibu maswali ya ufahamu
Kutambua msamiati mpya
|
|
2 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake - Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki katika mawasiliano - Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi wa barua ya kirafiki katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake - Kuandika barua ya kirafiki kwa rafiki, ndugu, mzazi, n.k. kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu - Kuwasomea wenzake barua yake ili waitathmini |
Barua za kirafiki zinashughulikia masuala gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 65
Kielelezo cha barua ya kirafiki Karatasi Kalamu na penseli |
Kuandika barua ya kirafiki
Kuzingatia muundo ufaao wa barua ya kirafiki
Kusahihisha barua ya kirafiki
|
|
3 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ngeli za nomino akiwa na wenzake - Kutaja mifano ya nomino akiwa na wenzake - Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA kwenye sentensi alizosoma |
Ni nini kinakuwezesha kutambua nomino za ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 66
Picha za viumbe Kadi za sentensi Mti maneno Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 68 Kikapu/boksi Orodha ya nomino za ngeli ya A-WA Tarakilishi/vipakatalishi |
Kutambua nomino za ngeli ya A-WA
Kutofautisha nomino za ngeli ya A-WA na za ngeli nyingine
Kujaza nafasi kwa viambishi vya ngeli ya A-WA
|
|
3 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini |
Ni kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa nomino za ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 69
Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli |
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya A-WA
Kuzingatia upatanisho wa kisarufi katika sentensi
Kufanyiana tathmini ya sentensi zilizotungwa
|
|
3 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za ngeli ya A-WA katika mazingira yake - Kutunga sentensi katika umoja na wingi akitumia nomino za ngeli ya A-WA - Kutathmini sentensi zilizotungwa kwa kuzingatia upatanisho sahihi wa kisarufi |
Nomino zipi katika mazingira yetu zimo katika ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 70
Picha za viumbe vya ngeli ya A-WA Kadi za nomino Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za ngeli ya A-WA katika mazingira
Geuza sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
Kutunga hadithi fupi ukitumia nomino za ngeli ya A-WA
|
|
3 | 4 |
USHAURI-NASAHA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofauti-tofauti - Kueleza maana za methali kuhusu malezi - Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano - Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua methali kuhusu malezi (k.v. mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto hutazama kisogo cha nina) kutoka kwa orodha ya methali, chati au mtandaoni - Kueleza maana za methali kuhusu malezi akiwa na wenzake - Kukamilisha methali kuhusu malezi |
Ni methali gani zinazohusu malezi?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 71
Chati zenye methali Vifaa vya kidijitali Orodha ya methali |
Kutambua methali zinazohusu malezi
Kueleza maana za methali kuhusu malezi
Kukamilisha methali kuhusu malezi
|
|
4 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Methali
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofauti-tofauti - Kueleza maana za methali kuhusu malezi - Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano - Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa na wenzake - Kushirikiana na mzazi au mlezi wake kutambua methali kuhusu malezi katika jamii yao |
Methali hutumiwa kufanya nini?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 72
Video zenye methali Kadi za methali Maigizo Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 74 Matini za mashairi Chati za maana ya sifa za ushairi Vifaa vya kidijitali |
Kutumia methali katika masimulizi
Kutega na kutegua methali
Kueleza maana za methali
|
|
4 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha - Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe - Kutambua beti na mishororo katika shairi - Kutambua shairi kutokana na umbo lake - Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mashairi yanayokaririwa kwenye vifaa vya kidijitali - Kusoma au kukariri shairi kwa mahadhi mbalimbali akizingatia ujumbe - Kushiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye shairi - Kusoma mashairi kwenye mitandao |
Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 76
Nakala ya shairi Tarakilishi/vipakatalishi Rununu Projekta |
Kusoma shairi kwa ufasaha
Kukariri shairi kwa mahadhi mbalimbali
Kueleza ujumbe wa shairi
|
|
4 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi - Kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo - Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake |
Insha ya maelezo inahusu nini?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 78
Vielelezo vya insha ya maelezo Kielelezo cha muundo wa insha ya maelezo Vifaa vya kidijitali |
Kutambua insha ya maelezo
Kutambua muundo wa insha ya maelezo
Kufafanua ujumbe wa insha ya maelezo
|
|
4 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Insha ya Maelezo
Ngeli ya U-I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mada lengwa (ushauri-nasaha) akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea - Kuandika insha ya maelezo akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu |
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 79
Kielelezo cha insha ya maelezo Karatasi Kalamu/penseli Tarakilishi/vipakatalishi Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 80 Picha za nomino za ngeli ya U-I Kadi za sentensi Kikapu/boksi Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha ya maelezo
Kuzingatia muundo ufaao wa insha ya maelezo
Kujitathimini na kufanya marekebisho
|
|
5 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya U-I |
Ni viambishi vipi hutumika katika upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 82
Kadi za nomino za ngeli ya U-I Mti maneno Kapu maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutumia viambishi vya ngeli ya U-I katika sentensi
Kujaza pengo kwa viambishi vya ngeli ya U-I
Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya U-I
|
|
5 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini |
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 83
Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli Orodha ya nomino za ngeli ya U-I |
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I
Kugeuza sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
Kufanyiana tathmini
|
|
5 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi mbalimbali akitumia nomino za ngeli ya U-I kutoka kwa mazingira yake - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathimini - Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya U-I |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi unaofaa wa ngeli ya U-I?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 83
Picha za nomino za ngeli ya U-I Orodha ya nomino za ngeli ya U-I Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya U-I
Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya U-I
Kufanyiana tathmini
|
|
5 | 4 |
BENDERA YA TAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano - Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikilize shairi kuhusu suala lengwa (bendera ya taifa) likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni mwalikwa (mghani) au kupitia vifaa vya kidijitali - Kukariri shairi kuhusu mada lengwa (bendera ya taifa) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali |
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 84
Nakala ya shairi Vifaa vya kidijitali Picha ya bendera ya taifa Chati ya shairi Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 85 |
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi bora
Kuimba shairi kwa kuzingatia mahadhi mbalimbali
Kusikiliza wengine wakikariri shairi
|
|
6 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga - Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma makala ya aina mbalimbali (k.m. hadithi fupi, michezo mifupi, mashairi mafupi) akizingatia vipengele kama vile tahajia, sarufi, wahusika na ujumbe kutoka kwa kitabu, gazeti au blogi - Kujadiliana na wenzake kuhusu makala aliyoyasoma na umuhimu wake |
Kusoma hadithi kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 89
Matini ya makala Vitabu Magazeti Vifaa vya kidijitali |
Kusoma makala kwa ufasaha
Kutambua vipengele vya makala
Kueleza ujumbe wa makala
Kusoma hadithi fupi
|
|
6 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Kina
Insha ya Wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga - Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia kamusi kupata maana za msamiati uliotumika katika makala - Kushiriki katika mchezo wa kuigiza kutoka kwenye makala aliyoisoma - Kujibu maswali kuhusu makala aliyoisoma |
Je, umejifunza nini kutokana na makala uliyosoma?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 90
Kamusi Makala Vifaa vya kidijitali Picha Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 92 Vielelezo vya insha ya wasifu Chati kuhusu muundo wa insha ya wasifu |
Kutumia kamusi kupata maana za maneno
Kuigiza maudhui ya makala
Kujibu maswali kuhusu makala
Kueleza ujumbe wa makala
|
|
6 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha inayoeleza sifa za mtu kama vile mzazi au mlezi, rafiki, mwalimu au kiongozi yeyote kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa ubunifu - Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitathmini |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya wasifu?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 93
Vifaa vya kidijitali Daftari Kalamu/penseli Kielelezo cha insha ya wasifu |
Kuandika insha ya wasifu
Kuzingatia vipengele vya insha ya wasifu
Kusomeana insha zilizotungwa na kupeana maoni
|
|
6 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA kwenye sentensi alizosoma - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma |
Unazingatia nini ili kuweza kutambua na kutumia nomino katika ngeli ya LI-YA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 92
Picha za nomino za ngeli ya LI-YA Kadi za sentensi Kikapu/boksi Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 93 Kadi za nomino za ngeli ya LI-YA Mti maneno Chati |
Kutambua viambishi vya ngeli ya LI-YA
Kupigia mstari nomino za ngeli ya LI-YA katika kifungu
Kuchopoa kadi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
|
|
7 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katina ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini |
Nomino za ngeli ya LI-YA huwakilisha vitu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 94
Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli Orodha ya nomino za ngeli ya LI-YA |
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
Kugeuza sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
Kutunga kifungu kifupi kinachozingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA
|
|
7 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katina ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi mbalimbali akitumia nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwa mazingira yake - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathimini - Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi unaofaa wa ngeli ya LI-YA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 94
Picha za nomino za ngeli ya LI-YA Orodha ya nomino za ngeli ya LI-YA Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA
Kuandika insha fupi inayotumia nomino za ngeli ya LI-YA
Kufanyiana tathmini
|
|
7 | 3 |
MATUNDA NA MIMEA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Nahau
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali - Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo - Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nahau za maadili na uraia (k.v. fanya haki, omba kibali, omba ruhusa, piga hodi na taka idhini) katika chati, michoro, picha, kapu maneno, mti maneno, chati na katika vyombo vya kidijitali - Kushiriki katika kujadili na wenzake maana za nahau za maadili na uraia |
Je, nahau huchangia vipi katika kukuza maadili na uraia?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 96
Chati zenye nahau Kapu maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nahau za maadili na uraia
Kueleza maana za nahau za maadili na uraia
Kuambatanisha nahau na maana zake
|
|
7 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Nahau
Kusoma kwa Mapana Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali - Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo - Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nahau za maadili na uraia kutunga sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake - Kutazama vibonzo vikijibizana kuhusu nahau na maana zake - Kushirikiana na wenzake kuteua nahau za maadili na uraia kutoka kwenye kundi la nahau |
Kutumia nahau za maadili na uraia kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 97
Vibonzo vya nahau Kadi za nahau Vifaa vya kidijitali Michoro Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 99 Vitabu vya hadithi Majarida Magazeti |
Kutunga sentensi zenye nahau za maadili na uraia
Kutambua nahau za maadili na uraia katika mazungumzo
Kueleza maana za nahau za maadili na uraia
|
|
8 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa - Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake matini ambayo wamesoma - Kutambua msamiati mpya na kuutafutia maana kwenye kamusi - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya alioujifunza |
Je, unavutiwa na nini unaposoma matini ya kujichagulia?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 100
Matini mbalimbali Kamusi Vifaa vya kidijitali Karatasi na kalamu |
Kutambua msamiati mpya kutoka kwenye matini
Kutafuta maana ya msamiati kwenye kamusi
Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya
|
|
8 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Mapana Matini
Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa - Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchukua muhtasari wa ujumbe wa matini aliyoisoma - Kuwasilisha ujumbe wa matini aliyoisoma kwa njia ya igizo au masimulizi - Kujadiliana na wenzake umuhimu wa matini hizo |
Unatumia vigezo gani kuchagua matini ya kusoma?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 102
Matini mbalimbali Daftari na kalamu Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 103 Vielelezo vya insha ya maelezo Kielelezo cha muundo wa insha ya maelezo |
Kuandika muhtasari wa ujumbe wa matini
Kuigiza ujumbe wa matini
Kujadili umuhimu wa matini iliyosomwa
|
|
8 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mada lengwa (matunda na mimea) akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea - Kuandika insha ya maelezo akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu inayojumuisha methali na nahau alizojifunza awali |
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 104
Kielelezo cha insha ya maelezo Karatasi Kalamu/penseli Tarakilishi/vipakatalishi |
Kuandika insha ya maelezo
Kuzingatia muundo ufaao wa insha ya maelezo
Kujitathimini na kufanya marekebisho
|
|
8 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI kwenye sentensi alizosoma - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya KI-VI kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma |
Unazingatia nini ili kuweza kutambua na kutumia nomino katika ngeli ya KI-VI?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 105
Picha za nomino za ngeli ya KI-VI Kadi za sentensi Kikapu/boksi Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 106 Kadi za nomino za ngeli ya KI-VI Mti maneno Kapu maneno |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI
Kupigia mstari nomino za ngeli ya KI-VI katika kifungu
Kutofautisha kati ya nomino za ngeli ya KI-VI na za ngeli nyingine
|
|
9 |
HALF TERM |
||||||||
10 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini |
Nomino za ngeli ya KI-VI huwakilisha vitu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 107
Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli Orodha ya nomino za ngeli ya KI-VI |
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya KI-VI
Kugeuza sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
Kufanyiana tathmini
|
|
10 | 2 |

10 | 3 |

- Kutunga sentensi mbalimbali akitumia nomino za ngeli ya KI-VI kutoka kwa mazingira yake - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathimini - Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi unaofaa wa ngeli ya KI-VI?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 108
Picha za nomino za ngeli ya KI-VI Orodha ya nomino za ngeli ya KI-VI Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI
Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI
Kufanyiana tathmini
|
|
10 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-LI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI ili kuzitofautisha na nomino katina ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-LI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI kwenye sentensi alizosoma - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-LI kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI (k.m jua-jua, giza-giza) kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-LI |
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 108
Picha za nomino za ngeli ya LI-LI Kadi za nomino Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-LI
Kutofautisha kati ya ngeli ya LI-LI na ngeli nyingine
|
|
11 | 1 |
WANYAMA WA PORINI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Visawe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha - Kutambua maneno mawili yenye maana sawa katika matini - Kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua visawe katika matini mbalimbali - Kushiriki mijadala kuhusu matumizi ya visawe - Kuambatanisha maneno na visawe vyake - Kutumia visawe katika sentensi - Kubadilisha maneno katika sentensi kwa visawe vyake |
Maneno yenye maana sawa yanasaidia vipi katika mawasiliano?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 111
- Kadi maneno - Kapu maneno - Chati |
Kutaja visawe
- Kuambatanisha visawe
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
|
|
11 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Visawe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua visawe vya maneno katika kifungu - Kutumia visawe mwafaka kubadilisha maneno katika sentensi - Kutunga sentensi kwa kutumia visawe vya majina ya wanyama - Kuchangamkia matumizi ya visawe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kifupi - Kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari kwa visawe vyake - Kukamilisha kifungu kwa kutumia visawe vya maneno yaliyotolewa - Kutunga sentensi kwa kutumia majina tofauti ya wanyama |
Unawezaje kutumia visawe kuboresha mawasiliano yako?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 112
- Picha za wanyama - Vifaa vya kidijitali - Mchoro wa wanyama |
Kukamilisha kifungu kwa kuandika visawe
- Kutunga sentensi zenye visawe
- Kutaja visawe vya maneno
|
|
11 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza - Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini - Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo wa kuigiza - Kuchangamkia kusoma michezo ya kuigiza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha inayohusiana na mchezo wa kuigiza - Kusoma vielelezo viwili vya matini na kutambua mchezo wa kuigiza - Kusoma matini mbalimbali na kutambua zile zenye mchezo wa kuigiza - Kutazama video za mchezo wa kuigiza - Kutaja wahusika katika mchezo wa kuigiza aliotazama |
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 113
- Matini mbalimbali - Video za mchezo wa kuigiza - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 114-115 - Picha za wanyama - Michoro ya hifadhi za wanyama - Matini ya mchezo wa kuigiza |
Kutambua mchezo wa kuigiza
- Kusoma matini na kutambua wahusika
- Kueleza maelekezo yaliyotumika
|
|
11 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuigiza mchezo wa kuigiza - Kuonyesha ubunifu katika kuigiza mchezo - Kuchangamkia michezo ya kuigiza kama chanzo cha burudani na mafunzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafuta mchezo wa kuigiza kutoka vitabuni au mtandaoni - Kusoma mchezo alioutafuta - Kujadili mchezo huo na wenzake - Kuigiza mchezo huo wakiwa katika vikundi |
Ni aina gani za wanyama wa porini unaozijua?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 116
- Vitabu vyenye michezo ya kuigiza - Vifaa vya kidijitali |
Kuigiza mchezo wa kuigiza
- Kusoma mchezo wa kuigiza kwa ufasaha
- Kutaja wahusika
- Kujibu maswali
|
|
12 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo - Kujadili muundo wa insha ya masimulizi - Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi - Kutambua insha ya masimulizi kwa kujadili muundo wake - Kueleza sifa za insha ya masimulizi - Kujadili ujumbe katika insha ya masimulizi - Kutaja sifa za insha ya masimulizi |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 117-118
- Mfano wa insha ya masimulizi - Picha - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 119 - Picha za mbuga ya wanyama - Vidokezo vya uandishi wa insha - Matini ya mwalimu |
Kutambua insha ya masimulizi
- Kujibu maswali kuhusu insha ya masimulizi
- Kueleza sifa za insha ya masimulizi
|
|
12 | 2 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutenda
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi - Kutambua kauli ya kutenda katika vitenzi - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda - Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakifanya vitendo - Kujadili maana ya mnyambuliko wa vitenzi - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda - Kusoma kifungu na kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutenda |
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 121-123
- Picha za watu wakifanya vitendo - Kadi za maneno - Matini yenye vitenzi katika kauli ya kutenda |
Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda kutunga sentensi
- Kubadilisha vitenzi kutoka kauli moja hadi nyingine
|
|
12 | 3 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendea
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kauli ya kutendea - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendea - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutendea - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli ya kutendea |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakitendea wengine vitendo - Kueleza maana ya kauli ya kutendea - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendea - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutendea |
Tutendeanaje vitendo mema?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 124-125
- Picha - Kadi za maneno - Majedwali ya vitenzi |
Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendea
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika kauli ya kutendea
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendea
|
|
12 | 4 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kauli ya kutendwa - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendwa - Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli ya kutendwa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za vitendo vinavyofanyiwa vitu au watu - Kueleza maana ya kauli ya kutendwa - Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendwa - Kugeuza vitenzi kutoka kauli ya kutenda hadi kauli ya kutendwa - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutendwa |
Ni mambo gani ambayo hufanywa kila siku?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 126-127
- Picha - Chati za vitenzi - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendwa
- Kugeuza vitenzi kutoka kauli moja hadi nyingine
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendwa
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika kauli ya kutendwa
|
|
13 |
END TERM EXAMS |
||||||||
14 |
CLOSING |
Your Name Comes Here