Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

Opening

2 1
DIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Maneno ya Upole
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano.
- Kutumia maneno ya upole katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya maneno ya upole katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kueleza maana ya maneno ya upole (k.m. kwenda msalani, kwenda haja kubwa, kwenda haja ndogo, kuendesha na kujifungua) katika chati, mti maneno, kapu maneno, ubao, vyombo vya kidijitali.
- Kushiriki katika kujadili maneno ya upole akiwa na wenzake.
- Kutazama maigizo kuhusu matumizi ya maneno ya upole katika video na mitandaoni.
Kutumia maneno ya upole kuna umuhimu gani katika mawasiliano?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 40
- Chati
- Mti maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Vifaa vya kidijitali
- Kapu maneno
- Kutambua maneno ya upole - Kueleza maana ya maneno ya upole - Kujadili maneno ya upole - Kutazama maigizo
2 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma.
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali.
- Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa.
- Kutumia vifaa vya kidijitali kwa urahisi kupata matini yanayolengwa.
- Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama (k.m. kutowasiliana na watu asiowajua, kuwajibika anaposakura tovuti mbalimbali) kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao.
- Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga.
- Kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake.
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 42
- Tarakilishi
- Chati
- Mtandao
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 43
- Mtandao
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua hatua za kiusalama - Kufungua na kufunga faili - Kutambua mitandao salama
2 3
Kuandika
Kuandika Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake.
- Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki katika mawasiliano.
- Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi wa barua ya kirafiki katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
- Kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua za kirafiki katika mawasiliano.
- Kujadili na wenzake mada ya barua ya kirafiki na vipengele vyake/ yale yanayofaa kujumuishwa.
- Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake.
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kirafiki?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 44
- Mifano ya barua za kirafiki
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 45
- Mifano ya barua za kirafiki
- Kutambua barua ya kirafiki - Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki - Kuandaa vidokezo vya kutunga barua
2 4
Sarufi
Ngeli ya A-WA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA.
- Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi.
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA kwenye sentensi alizosoma.
- Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya A-WA kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma.
Ni nini kinakuwezesha kutambua nomino za ngeli ya A-WA?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 46
- Kadi za sentensi
- Kikapu/boksi
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 47
- Kadi za maneno
- Mti maneno
- Kapu maneno
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa ngeli ya A-WA - Kuchopoa na kusoma kadi za sentensi - Kutambua nomino za ngeli ya A-WA
3 1
Sarufi
Ngeli ya A-WA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini.
Upatanisho wa kisarufi una umuhimu gani katika mawasiliano?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 48
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kadi za maneno
- Kutunga sentensi sahihi - Kuzingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga
3 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli ya A-WA
Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujibu maswali kwa kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi.
- Kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi kwenye daftari.
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kutoka wingi hadi umoja.
Ni kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi katika sentensi?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 49
- Chati
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 50
- Chati ya methali
- Kapu la methali
- Kadi zenye methali
- Kujibu maswali - Kuandika sentensi - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake - Kuzingatia upatanisho wa kisarufi
3 3
USHAURI-NASAHA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Methali
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofautitofauti.
- Kueleza maana za methali kuhusu malezi.
- Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano.
- Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako kifungu kifupi chenye methali za malezi.
- Mtajie mwenzako methali mbili zilizotumiwa katika kifungu.
- Tumia maneno yanayofaa kukamilisha methali zilizokatizwa.
- Tumia methali zinazofaa kutoka kwenye kadi kuelezea hali mbalimbali.
- Msimulie mwenzako kisa kifupi ukitumia methali ya malezi.
Kwa nini methali hutumiwa katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 51
- Vitabu vya hadithi
- Kadi za methali
- Chati zenye methali
- Vifaa vya kidijitali
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 52
- Nakala ya shairi
- Chati zenye mashairi
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi za mashairi
Kutoa maana za methali - Kujaza pengo kwa methali zinazofaa - Kuambatanisha methali na maana zake - Kutumia methali katika masimulizi
3 4
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha.
- Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
- Kutambua beti na mishororo katika shairi.
- Kutambua shairi kutokana na umbo lake.
- Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye shairi.
- Kusoma mashairi kwenye mitandao.
- Kujibu maswali yanayotokana na shairi alilolisoma.
- Kutambua umbo la shairi alilolisoma kwa kutaja kichwa, idadi ya beti, idadi ya mishororo, silabi zinazorudiwa na idadi ya silabi.
- Kukariri kwa sauti ifaayo shairi alilolisoma.
Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 53
- Diwani ya mashairi
- Vitabu vya mashairi
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi za mashairi
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 54
- Mifano ya insha za maelezo
- Chati ya muundo wa insha
Kujadili ujumbe wa shairi - Kutambua umbo la shairi - Kukariri shairi kwa ufasaha - Kufanya tathmini ya ujumbe wa shairi
4 1
Kuandika
Sarufi
Insha ya Maelezo
Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vifungu vya maelezo katika matini.
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini.
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waisikilize na kuitathmini.
- Shirikiana na wenzako kuandaa vidokezo mtakavyotumia kuandika insha kuhusu: Umuhimu wa kuwa na Nidhamu.
- Andika insha ya maelezo kuhusu Umuhimu wa kuwa na Nidhamu ukitumia vidokezo mlivyojadili.
- Landike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa.
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 55-56
- Vifaa vya kidijitali
- Vidokezo vya insha
- Karatasi za kuandikia
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 57
- Chati ya ngeli
- Sentensi kwenye ubao
- Kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha inayozingatia anwani, mpangilio, hati nadhifu, tahajia na uakifishaji - Kutumia methali na nahau katika insha - Kutoa na kupokea maoni kuhusu insha
4 2
Sarufi
Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I.
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini.
- Chagua nomino za ngeli ya U-I katika sentensi zilizoandikwa.
- Jaza pengo kwa kutumia kiambishi cha ngeli u au i kwa usahihi.
- Tunga sentensi daftarini katika umoja na wingi ukitumia nomino ulizotambua.
Unazingatia nini ili kuweza kutumia nomino za ngeli ya U-I katika sentensi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 58-59
- Kadi za nomino
- Chati ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
- Boksi lenye kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
- Michoro ya vitu mbalimbali
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I - Kutambua viambishi sahihi vya ngeli - Kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano - Kubadiilisha sentensi katika umoja na wingi
4 3
Sarufi
Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I.
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Nakili sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I.
- Badilisha sentensi zilizo katika umoja ziwe katika wingi.
- Andika kwa wingi sentensi zilizo katika umoja.
- Tunga sentensi zako mwenyewe ukitumia nomino za ngeli ya U-I.
- Jadili na wenzako jinsi ya kutambua nomino za ngeli ya U-I.
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 59
- Orodha ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
- Kapu maneno
Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi - Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I - Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika sentensi - Kujaza pengo kwa kiambishi sahihi
4 4
BENDERA YA TAIFA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kujieleza kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
- Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi.
- Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano.
- Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake.
- Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tazama video ya bendera na usikilize shairi likikaririwa na mwalimu au kupitia kifaa cha kidijitali.
- Mkaririe mwenzako shairi lifuatalo kisha usikilize naye akikukariria.
- Eleza maana ya maneno yafuatayo yaliyotumiwa katika shairi ulilosoma: bendera, amani, uhuru, kuipandisha, kuishukisha.
- Tumia maneno uliyoeleza kutunga sentensi sahihi.
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 60
- Video ya bendera
- Nakala ya shairi
- Vifaa vya kidijitali
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi bora - Kueleza maana ya msamiati katika shairi - Kutumia msamiati katika sentensi - Kueleza ujumbe wa shairi
5 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kujieleza kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
- Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi.
- Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano.
- Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake.
- Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Shirikiana na mwenzako kueleza ujumbe wa shairi ulilolisoma kwa kujibu maswali yafuatayo: Bendera ya taifa ina rangi ngapi? Rangi nyeupe inamaanisha nini? Rangi inayowakilisha ukulima ni gani? Rangi nyeusi inasimamia nini?
- Chora daftarini jedwali kisha likamilishe kwa uaminifu kuonyesha mambo unayoweza kufanya.
- Imbeni wimbo wa Taifa la Kenya.
Kutumia ushairi kujieleza kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 61
- Nakala ya shairi
- Jedwali la tathmini
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi ya wimbo wa taifa
Kutambua ujumbe wa shairi - Kueleza maana za rangi za bendera - Kutaja sifa za bendera ya taifa - Kuimba wimbo wa taifa
5 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga.
- Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika.
- Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Mweleze mwenzako unaona nini katika picha hii. (picha za magazeti, vitabu na tovuti)
- Kwa nini ni muhimu kusoma magazeti na vitabu vya hadithi kwa undani?
- Chagua kitabu cha hadithi ili usome.
- Keti mahali pafaapo na namna ifaayo ili usome.
- Eleza ujumbe wa nakala au hadithi uliyosoma.
- Eleza wahusika waliotajwa kwenye kitabu ulichosoma.
Je, kusoma hadithi kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 62
- Vitabu vya hadithi
- Magazeti
- Vifaa vya kidijitali
- Shajara
Kueleza ujumbe kutoka makala - Kutambua wahusika katika makala - Kutafuta maana ya msamiati - Kueleza maoni kuhusu makala
5 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga.
- Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika.
- Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tumia kamusi kutafuta maana ya msamiati uliopata.
- Chora daftarini shajara kisha uikamilishe kwa kuweka rekodi ya kile ulichokisoma.
- Hifadhi shajara hii kwenye potifolio yako.
- Waeleze wenzako ujumbe wa hadithi uliyosoma utakufaa vipi.
- Jadili na wenzako makala au hadithi uliyosoma na umuhimu wake.
Kusoma kwa kina kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 63
- Shajara
- Kamusi
- Vitabu vya hadithi
- Vifaa vya kidijitali
Kujaza shajara ya usomaji - Kueleza umuhimu wa hadithi - Kutaja ujumbe wa hadithi - Kutafuta na kutoa maana ya msamiati
5 4
Kuandika
Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo.
- Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tambua insha ya wasifu kwa kusoma vidokezo na kielelezo kifuatacho.
- Shirikiana na mwenzako kujadili insha uliyoisoma kwa kuzingatia: kichwa, mpangilio wa aya, uakifishaji, tahajia, vivumishi vilivyotumiwa kumweleza mtu anayesifiwa, vielezi vilivyotumiwa kueleza vitendo katika insha hiyo.
- Jadili na mwenzako vidokezo vya insha ya wasifu kuhusu Mwalimu wangu.
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya wasifu?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 63-64
- Vifaa vya kidijitali
- Kielelezo cha insha ya wasifu
- Vidokezo vya insha
Kutambua sifa za insha ya wasifu - Kufafanua mpangilio wa insha ya wasifu - Kutaja vivumishi vinavyotumika - Kuandaa vidokezo vya insha
6 1
Kuandika
Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo.
- Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Andika insha ya wasifu kuhusu Mwalimu wangu ukizingatia: lugha sahihi, uakifishaji ufaao, hati safi, mpangilio mzuri wa mawazo, maelezo yenye vivumishi na vielezi.
- Wasomee wenzako insha uliyoiandika ili wakupe maoni.
- Landike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa na mwenzako.
- Iweke nakala safi ya insha yako kwenye potifolio na uiwasilishe kwa mwalimu ili akupe maoni yake.
Insha ya wasifu inahusu nini?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 65
- Vidokezo vya insha ya wasifu
- Karatasi za kuandikia
- Potifolio
- Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha ya wasifu - Kutoa na kupokea maoni - Kurekebisha insha kufuatia maoni - Kuweka nakala safi kwenye potifolio
6 2
Sarufi
Ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA.
- Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Je, unaona nini kwenye picha hizi?
- Mtajie mwenzako majina ya vitu hivyo katika umoja na wingi.
- Soma sentensi zifuatazo (sentensi zenye nomino za LI-YA).
- Andika daftarini sentensi ulizosoma.
- Tambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA kwenye sentensi ulizosoma kwa kuvipigia mstari.
Unazingatia nini ili kuweza kutambua na kutumia nomino katika ngeli ya LI-YA?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 66-67
- Picha za nomino za ngeli ya LI-YA
- Chati ya sentensi
- Kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua viambishi vya ngeli ya LI-YA - Kupiga mstari nomino za ngeli ya LI-YA - Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
6 3
Sarufi
Ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA.
- Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chagua nomino za ngeli ya LI-YA katika sentensi zifuatazo.
- Andika daftarini nomino ulizotambua.
- Chagua nomino za ngeli ya LI-YA kwenye lori hili.
- Tumia maneno yafuatayo kutunga sentensi katika umoja na wingi.
- Andika sentensi zifuatazo katika wingi.
Ni maneno gani yanayoanza na LI au MA?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 67-68
- Orodha ya sentensi
- Kapu maneno
- Chati ya ngeli
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA - Kujaza pengo kwa viambishi sahihi - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi - Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
6 4
Sarufi
Ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA.
- Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Ukiwa na mwenzako, tafuta nomino zifuatazo katika jedwali na uzichoree mviringo, fuata mfano uliopewa.
- Tunga sentensi sahihi ukitumia nomino ulizotambua.
- Wasomee wenzako ili watoe maoni yao.
- Tafuta na usome maelezo zaidi kuhusu ngeli ya LI-YA kwenye mtandao salama.
Matumizi ya nomino za ngeli ya LI-YA yanachangia vipi katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 68-69
- Jedwali la kigambo
- Vifaa vya kidijitali
- Orodha ya nomino
- Mtandao salama
Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA - Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA - Kutumia viambishi sahihi vya ngeli - Kutafuta maelezo zaidi kuhusu ngeli
7 1
Sarufi
Ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA.
- Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia viambishi sahihi vya ngeli ya LI-YA.
- Badilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi.
- Tunga sentensi ukitumia nomino za ngeli ya LI-YA.
- Tambua sentensi zilizo na makosa ya kisarufi na kuzisahihisha.
- Toa mifano mingine ya nomino za ngeli ya LI-YA.
Ni nini hufanya nomino iwe katika ngeli ya LI-YA?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 69
- Orodha ya sentensi
- Kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua na kusahihisha makosa ya kisarufi - Kujaza pengo kwa viambishi sahihi - Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA - Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA
7 2
MATUNDA NA MIMEA

Kusikiliza na Kuzungumza
Nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nahau za maadili katika matini mbalimbali.
- Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili katika mazungumzo.
- Kutumia nahau za maadili katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya nahau za maadili katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako nahau zifuatazo na maana zake.
- Shirikiana na mwenzako kutambua nahau za maadili kati ya nahau zifuatazo.
- Waeleze wenzako maana ya nahau za maadili zifuatazo: timiza ahadi, toa salamu, pata radhi, enda pembeni, aga dunia.
- Tumia nahau za maadili zifuatazo kutunga sentensi: shika adabu, taka idhini, omba msamaha, pata ruhusa, enda msalani.
Je, nahau huchangia vipi katika kukuza maadili na uraia?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 70-71
- Chati ya nahau
- Kadi za nahau
- Mti maneno
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua nahau za maadili - Kueleza maana za nahau - Kutunga sentensi zenye nahau - Kutumia nahau za maadili
7 3

7 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nahau za uraia katika matini mbalimbali.
- Kutambua maana za nahau mbalimbali za uraia katika mazungumzo.
- Kutumia nahau za uraia katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya nahau za uraia katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako nahau zifuatazo na maana zake: lipa kodi, fukuza umaskini, changa bia, jenga umoja, fanya haki.
- Shirikiana na mwenzako kutambua nahau za uraia katika lori.
- Ukiwa na wenzako, eleza maana ya nahau za uraia zifuatazo: fukuza adui, tii sheria, hifadhi amani, piga kura.
- Tumia nahau za uraia zifuatazo kutunga sentensi: heshimu viongozi, jenga nchi, fuata sheria, heshimu bendera, lipa kodi.
- Shiriki na wenzako mchezo wa kutaja nahau za maadili na maana zake.
Matumizi ya nahau yana umuhimu gani katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 71-72
- Chati ya nahau za uraia
- Kadi za nahau
- Mti maneno
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua nahau za uraia - Kueleza maana za nahau za uraia - Kutunga sentensi zenye nahau za uraia - Kushiriki mchezo wa nahau
8 1
Kusoma
Kusoma kwa Mapana Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia.
- Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa.
- Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matini yanayomvutia maktabani na mtandaoni.
- Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa.
- Kuwasimulia wenzake kuhusu matini aliyosoma ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha.
- Kujadiliana na wenzake matini ambayo wamesoma.
- Unapenda kusoma habari kutoka wapi kulingana na picha zifuatazo?
- Kwa nini unapenda kusoma habari kulingana na picha uliyochagua?
Kusoma matini mbalimbali kunachangia vipi ukuzaji wa lugha?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 72-73
- Vitabu
- Majarida
- Magazeti
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua na kuchagua matini ya kusoma - Kusimulia matini iliyosomwa - Kujadiliana kuhusu matini - Kueleza umuhimu wa matini
8 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia.
- Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa.
- Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jitayarishe kusoma kwa kutambua na kuchagua kitabu au gazeti la kusoma maktabani.
- Unaweza kuchagua makala mtandaoni pia.
- Keti mahali pafaapo ili usome.
- Soma habari uliyojichagulia.
- Eleza ujumbe uliopata kutokana na habari uliyoisoma.
- Andika daftarini maneno mapya uliyoyapata.
- Eleza maana za maneno hayo.
Kusoma matini mbalimbali kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 73-74
- Vitabu
- Magazeti
- Majarida
- Vifaa vya kidijitali
Kueleza ujumbe wa matini - Kutaja maneno mapya yaliyopatikana - Kueleza maana za maneno mapya - Kusimulia habari iliyosomwa
8 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia.
- Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa.
- Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Wasimulie wenzako kuhusu habari uliyoisoma ili wapate ujumbe wa habari hiyo.
- Waeleze maoni yako kuhusu habari uliyoisoma.
- Chora daftarini shajara kisha uikamilishe kwa kuweka rekodi ya kile ulichosoma.
- Hifadhi shajara hii kwenye potifolio yako.
- Tafuta habari kuhusu matunda na mimea kwenye mtandao salama kisha usome.
- Waeleze wenzako kwa kifupi kile ulichokisoma.
Kusoma habari za matunda na mimea kuna umuhimu gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 74
- Shajara
- Vitabu
- Vifaa vya kidijitali
- Mtandao salama
Kusimulia habari iliyosomwa - Kueleza maoni kuhusu habari - Kujaza shajara ya kusoma - Kutoa muhtasari wa habari
8 4
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya maelezo katika matini.
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Soma vidokezo na mfano wa insha ya maelezo.
- Ukiwa na wenzako, tambueni insha uliyosoma kwa kujadili mada na muundo wake.
- Andika insha kuhusu Tunda ninalolipenda. Zingatia majibu ya maswali kama vidokezo.
- Wasomee wenzako insha ya maelezo uliyoiandika. Waombe kutoa maoni yao kuhusu insha hiyo.
- Kwa kuzingatia maoni ya wenzako andika nakala safi utakayoihifadhi kwenye potifolio.
- Wasilisha potifolio kwa mwalimu ili aisahihishe insha yako.
Je, ni vitu gani vinavyoweza kuandikiwa insha ya maelezo?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 74-75
- Vifaa vya kidijitali
- Mfano wa insha ya maelezo
- Potifolio
- Karatasi za kuandikia
Kutambua sifa za insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo - Kusomea wenzake insha - Kuboresha insha kutokana na maoni
9 1
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya maelezo katika matini.
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jadili na mwenzako vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu Mmea kwa kujibu maswali yafuatayo: Unapenda mmea gani? Mmea huo una umbile gani? Una rangi gani? Una faida gani?
- Andika insha ya maelezo kuhusu Mmea, ukizingatia: anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na ubunifu.
- Wasilisha kazi yako kwa mwalimu ili akupe maoni yake.
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 75
- Vifaa vya kidijitali
- Vidokezo vya insha
- Karatasi za kuandikia
- Potifolio
Kuandaa vidokezo vya insha - Kuandika insha ya maelezo - Kutumia anwani, mpangilio, hati nadhifu - Kutumia tahajia na sarufi sahihi
9 2
Sarufi
Ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI.
- Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Soma sentensi zilizo kwenye jedwali.
- Andika daftarini sentensi ulizosoma.
- Tambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI kwenye sentensi ulizosoma kwa kuvipigia mstari.
- Andika daftarini sentensi zilizo kwenye jedwali.
- Tambua nomino katika ngeli ya KI-VI kwenye sentensi ulizonakili kwa kuzipigia mstari.
Matumizi ya nomino za ngeli ya KI-VI yanachangia vipi katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 75-76
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya mifano ya sentensi
- Kadi zenye nomino za KI-VI
- Karatasi za kuandikia
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi - Kupiga mstari nomino za ngeli ya KI-VI - Kujaza pengo kwa kiambishi sahihi - Kutunga sentensi zenye nomino za KI-VI
9 3
Sarufi
Ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI.
- Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Nakili daftarini mafungu yafuatayo: Kioo_napendeza, Chandarua_lirekebishwa, Vilima sana_naonekana, Kiatu_tashonwa na fundi hodari, Vyuma_lipata kutu.
- Jaza nafasi katika mafungu hayo kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya KI-VI.
- Shirikiana na mwenzako kutunga sentensi daftarini ukitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi.
- Wasomee wenzako sentensi ulizotunga ili wakupe maoni yao kuhusu kutumia nomino za ngeli ya KI-VI.
Unazingatia nini ili kuweza kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 76-77
- Vifaa vya kidijitali
- Kapu maneno
- Kadi za nomino
- Orodha ya sentensi
Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi - Kutunga sentensi zenye nomino za KI-VI - Kuchagua nomino za KI-VI kutoka kwenye kundi - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
9 4
Sarufi
Ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI.
- Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Badilisha sentensi zifuatazo kutoka umoja hadi wingi.
- Tunga sentensi mwafaka ukitumia nomino za ngeli ya KI-VI.
- Tumia viambishi vya ngeli ya KI-VI kukamilisha sentensi.
- Tambua makosa ya upatanisho wa kisarufi katika sentensi na zisahihishe.
- Shirikiana na wenzako kutaja nomino za ngeli ya KI-VI.
Vitu gani vina majina yanayoanza na ki- au vi-?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 77
- Sentensi zenye nomino za KI-VI
- Boksi lenye kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi - Kutumia viambishi sahihi - Kusahihisha makosa ya upatanisho - Kutunga sentensi zenye nomino za KI-VI
10 1
Sarufi
Ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI.
- Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tumia viambishi vya ngeli ya KI-VI kukamilisha sentensi.
- Andika sentensi katika wingi.
- Tambua nomino za ngeli ya KI-VI katika kifungu cha habari.
- Tumia nomino za ngeli ya KI-VI katika sentensi zako.
- Shirikiana na wenzako katika mchezo wa kutambua nomino za ngeli ya KI-VI.
Nomino za ngeli ya KI-VI zina sifa gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 77-78
- Kadi za nomino
- Kifungu cha habari
- Chati ya nomino
- Vifaa vya kidijitali
Kukamilisha sentensi kwa viambishi sahihi - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi - Kutambua nomino za KI-VI katika kifungu - Kutumia nomino za KI-VI katika sentensi
10 2
Sarufi
Ngeli ya LI-LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI.
- Kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-LI katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Soma sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-LI.
- Andika daftarini sentensi ulizozisoma.
- Tambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI kwenye sentensi ulizozisoma kwa kuvipigia mstari.
- Andika daftarini sentensi hizi.
- Tambua nomino katika ngeli ya LI-LI kwenye sentensi ulizonakili kwa kuzipigia mstari.
- Nakili daftarini mafungu yafuatayo na ujaze nafasi kwa viambishi vya ngeli ya LI-LI.
Unazingatia nini ili kuweza kutambua na kutumia nomino katika ngeli ya LI-LI?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 78-79
- Chati ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
- Kadi za nomino
- Karatasi ya kuandikia
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi - Kupiga mstari nomino za ngeli ya LI-LI - Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi - Kutunga sentensi zenye nomino za LI-LI
10 3
WANYAMA WA PORINI

Kusikiliza na Kuzungumza
Visawe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha.
- Kutambua maneno mawili yenye maana sawa katika matini.
- Kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako majina mawili ya picha zifuatazo: Televisheni-Runinga, Kinyonga-Lumbwi, Tembo-Ndovu, Sofa-Kochi, Nyati-Mbogo, Ugali-Sima.
- Shirikiana na mwenzako kueleza maana ya visawe kutokana na majina uliyosoma.
- Tambua visawe katika maneno kwenye kapu maneno na boksi.
- Ziandike sentensi hizi upya ukitumia kisawe cha neno lililoangaziwa.
Maneno yenye maana sawa yanasaidia vipi katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 80-81
- Picha za vitu
- Kapu maneno
- Kadi za visawe
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua visawe - Kueleza maana ya kisawe - Kuchagua visawe - Kutunga sentensi zenye visawe
10 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Visawe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha.
- Kutambua maneno mawili yenye maana sawa katika matini.
- Kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tumia visawe vya maneno yaliyokolezwa rangi kuandika kifungu hiki upya.
- Taja vitu vitatu katika mazingira yako ambavyo vina visawe vya majina.
- Sakura kwenye mtandao visawe vitano.
- Wasambazie wenzako visawe hivyo ili wakupe maoni yao.
- Nakili daftarini shajara ifuatayo kisha uweke alama ✓ panapofaa ili kupima uwezo wako wa kutumia visawe katika mawasiliano.
Kutumia visawe kuna umuhimu gani katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 81
- Kifungu cha habari
- Shajara ya tathmini
- Vifaa vya kidijitali
- Mtandao salama
Kutumia visawe katika kifungu - Kutaja visawe vya vitu katika mazingira - Kutafuta visawe mtandaoni - Kujitathimini katika kutumia visawe
11 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza ili kuipambanua na tungo zingine.
- Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini.
- Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo mfupi wa kuigiza.
- Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
- Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
- Kufurahia kusoma michezo na kuiigiza.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Ukiwa na mwenzako, someni mchezo wa kuigiza ufuatao.
- Eleza maana ya mchezo wa kuigiza ukizingatia mfano uliousoma.
- Taja wahusika katika mchezo wa kuigiza uliousoma.
- Mweleze mwenzako maneno yanayoonyesha vitendo vya wahusika.
- Tambua mchezo wa kuigiza kati ya vifungu vitatu vifuatavyo.
- Mweleze mwenzako kwa nini kifungu hicho ulichochagua ni mchezo wa kuigiza.
Je, wahusika huchangia nini katika mchezo wa kuigiza?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 82-84
- Nakala ya mchezo wa kuigiza
- Mifano ya vifungu
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua mchezo wa kuigiza - Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza - Kutaja wahusika - Kutambua maelekezo ya wahusika
11 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza ili kuipambanua na tungo zingine.
- Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini.
- Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo mfupi wa kuigiza.
- Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
- Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
- Kufurahia kusoma michezo na kuiigiza.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Ukishirikiana na wenzako, igizeni mchezo wa kuigiza katika Shughuli ya 2.
- Tambua wahusika katika mchezo mliouigiza.
- Ni maneno gani yaliyowaelekeza mtakavyocheza mchezo huo?
- Soma mchezo wa kuigiza wa Tamaa ya Fisi katika Shughuli ya 1.
- Jadili na wenzako kuhusu ujumbe uliojitokeza katika mchezo huo wa kuigiza.
Mchezo wa kuigiza hutofautiana vipi na hadithi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 84
- Nakala ya mchezo
- Vifaa vya kidijitali
- Vitambulisho vya wahusika
Kuigiza mchezo - Kutambua wahusika - Kueleza maelekezo - Kusoma kwa kuzingatia wahusika
11 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza ili kuipambanua na tungo zingine.
- Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini.
- Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo mfupi wa kuigiza.
- Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
- Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
- Kufurahia kusoma michezo na kuiigiza.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jibu maswali yafuatayo yanayotokana na mchezo uliousoma: Mchezo wa kuigiza uliousoma unahusu nini? Taja majina ya wahusika katika mchezo uliousoma. Taja matendo ya wahusika katika mchezo huo. Ni mnyama yupi aliyekuwa na tamaa? Umejifunza nini kutokana na mchezo huo?
- Ukiwa na wenzako, sikilizeni maigizo ya mchezo wa Tamaa ya Fisi yaliyorekodiwa.
- Ukiwa na mwenzako, igiza mchezo wa Tamaa ya Fisi.
Je, mchezo wa kuigiza unatupa ujumbe gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 85
- Nakala ya mchezo
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi ya mchezo
- Vitambulisho vya wahusika
Kujibu maswali kuhusu mchezo - Kusikiliza maigizo - Kuigiza mchezo - Kueleza ujumbe wa mchezo
11 4
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Rejelea kwenye potifolio yako utafute insha ya masimulizi uliyoiandika hapo awali.
- Ni nini ulichofanya vizuri katika insha hiyo?
- Ni nini ambacho unahitaji kuboresha?
- Ni maendeleo gani unayoweza kutambua kuhusu waandishi wako wa insha?
- Tambua insha ya masimulizi kwa kusoma vidokezo na kielelezo kifuatacho.
- Shirikiana na mwenzako kujadili insha ya masimulizi mliyoisoma.
Insha ya masimulizi inahusu nini?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 85-86
- Potifolio
- Mfano wa insha ya masimulizi
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua sifa za insha ya masimulizi - Kutathmini insha ya masimulizi - Kujitathimini katika uandishi - Kujadili insha ya masimulizi
12 1
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jadili na mwenzako vidokezo vya insha ya masimulizi kuhusu wanyama wa porini: Wanyama hawa ni gani? Aliwaona wapi? Kisa kilitokea lini? Kisa hicho kilifanyika vipi? Alijifunza nini?
- Andika insha ya masimulizi inayohusu Safari mbugani ukizingatia vidokezo ulivyoandika, hati safi, mpangilio mzuri wa mawazo na kanuni za sarufi.
- Wasomee wenzako insha uliyoiandika ili waisikilize na kutoa maoni yao.
- Nakili daftarini shajara inayofuata na ujitathimini.
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 86-87
- Vifaa vya kidijitali
- Vidokezo vya insha
- Shajara ya tathmini
- Karatasi za kuandikia
Kuandaa vidokezo vya insha - Kuandika insha ya masimulizi - Kuisomea wenzake - Kujitathimini
12 2
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha.
- Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha.
- Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini.
- Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana.
- Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Muulize mwenzako angependa umfanyie nini ili afurahi?
- Tazama picha ifuatayo kisha usome kifungu kifuatacho.
- Shirikiana na mwenzako kusoma kifungu tena ukizingatia maneno anika, anikia, anikwa.
- Eleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi kutokana na jinsi maneno hayo yanavyobadilika.
- Ukiwa pamoja na mwenzako, someni sentensi zifuatazo.
- Shirikiana na mwenzako kueleza maana ya kila sentensi.
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 87-88
- Picha
- Kifungu cha habari
- Orodha ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua mnyambuliko wa vitenzi - Kueleza maana ya kauli mbalimbali - Kutambua vitenzi katika kauli mbalimbali - Kueleza maana ya sentensi
12 3
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha.
- Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha.
- Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini.
- Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana.
- Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutokana na sentensi ulizozisoma, mweleze mwenzako maana ya kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa.
- Tambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutenda katika jedwali.
- Tambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendwa katika jedwali.
- Tambua kwa kupigia mstari vitenzi vya hali ya kutendea katika sentensi zifuatazo.
- Andika daftarini vitenzi vilivyo katika hali ya kutendwa katika sentensi zifuatazo.
Vitenzi vya kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa hutumiwa vipi katika sentensi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 88-89
- Jedwali la vitenzi
- Orodha ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua vitenzi vya kauli mbalimbali - Kupigia mstari vitenzi vya hali ya kutendea - Kuorodhesha vitenzi vya hali ya kutendwa - Kueleza maana ya kauli mbalimbali
12 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha.
- Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha.
- Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini.
- Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana.
- Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Shirikiana na mwenzako kujaza mapengo katika jedwali la kauli za vitenzi.
- Shirikiana na mwenzako kujaza mapengo katika sentensi zifuatazo kwa kutumia vitenzi sahihi.
- Shirikiana na mwenzako kuandika upya sentensi zifuatazo katika kauli ya kutendea.
- Tunga sentensi kwa kutumia vitenzi vifuatavyo: jazwa, shika, torokea, nyesha, bebwa.
Kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa zinatofautiana vipi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 89-90
- Jedwali la vitenzi
- Orodha ya vitenzi
- Sentensi zenye nafasi za kujaza
- Vifaa vya kidijitali
Kujaza mapengo katika jedwali - Kujaza vitenzi sahihi katika sentensi - Kubadilisha sentensi kutoka kauli moja hadi nyingine - Kutunga sentensi zenye vitenzi mbalimbali
13

Exams

Your Name Comes Here

Download

Feedback