If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
NYUMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti p/b
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b katika maneno. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti p/b kwa usahihi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti p/b. - Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti p/b. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti p/b katika kuboresha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti p/b kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali. - Kusikiliza silabi za sauti p/b zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali. - Kutamka silabi za sauti p/b na vitanzandimi akiwa na wenzake. - Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti p/b vikikaririwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali. - Kuunda vitanzandimi vyepesi vinavyotokana na sauti p/b akiwa na wenzake. - Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha. |
Matamshi bora yana umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 2
Michoro Picha Kadi za maneno Kapu maneno Chati Vifaa vya kidijitali |
Kutambua silabi za sauti p/b katika maneno
Kutamka silabi kwa usahihi
Kutamka vitanzandimi kwa ufasaha
Kuunda vitanzandimi vyepesi
Tathmini ya wanafunzi wenyewe
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti t/d
Matamshi Bora: Sauti k/g |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti t/d katika maneno. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti t/d kwa usahihi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti t/d. - Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti t/d. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti t/d katika kuboresha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti t/d kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali. - Kusikiliza silabi za sauti t/d zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali. - Kutamka silabi za sauti t/d na vitanzandimi akiwa na wenzake. - Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti t/d vikikaririwa na mwalimu. - Kuunda vitanzandimi vyepesi vinavyotokana na sauti t/d akiwa na wenzake. - Kukaririana vitanzandimi walivyounda katika vikundi. |
Je, unawezaje kutofautisha sauti t na d katika matamshi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 3
Picha Kadi za maneno Chati Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 5 Kapu maneno |
Kutambua silabi za sauti t/d katika maneno
Kutamka silabi kwa usahihi
Kutamka vitanzandimi kwa ufasaha
Kuunda vitanzandimi vyepesi
Tathmini ya mwalimu
|
|
| 2 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora: Sauti ch/j
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti ch/j katika maneno. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti ch/j kwa usahihi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti ch/j. - Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti ch/j. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti ch/j katika kuboresha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti ch/j kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali. - Kusikiliza silabi za sauti ch/j zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali. - Kutamka silabi za sauti ch/j na vitanzandimi akiwa na wenzake. - Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti ch/j vikikaririwa na mwalimu. - Kuunda vitanzandimi vyepesi vinavyotokana na sauti ch/j akiwa na wenzake. - Kuwasomea wenzake vitanzandimi walivyounda kwa vitendo. |
Je, unazingatia nini katika kutamka sauti ch na j?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 7
Picha Michoro Vifaa vya kidijitali Mti maneno Chati Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 10 Kadi za msamiati |
Kutambua silabi za sauti ch/j katika maneno
Kutamka silabi kwa usahihi
Kutamka vitanzandimi kwa ufasaha
Kuunda vitanzandimi vyepesi
Tathmini ya matamshi ya wanafunzi
|
|
| 2 | 4 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Kuandika Insha ya Wasifu Kuandika Insha ya Wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungu cha hadithi. - Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi. - Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu cha hadithi. - Kujibu maswali ya ufahamu kutokana na kifungu alichosoma. - Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kujadili maana na matumizi ya msamiati lengwa katika sentensi. - Kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno mapya katika kifungu. - Kusoma kifungu tena na kujibu maswali yote ya ufahamu. - Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu alichokisoma. - Kumweleza mzazi au mlezi wake ujumbe wa kifungu alichokisoma. - Kujadiliana na wenzake kuhusu matumizi ya vitu vinavyopatikana nyumbani. |
Je, utatumiaje msamiati mpya wa nyumbani katika mawasiliano ya kila siku?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 11
Kamusi Vifaa vya kidijitali Michoro ya vitu vya nyumbani Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 12 Vielelezo vya insha ya wasifu Chati Orodha hakiki ya vigezo vya insha nzuri |
Kutumia msamiati lengwa katika sentensi
Kujibu maswali kutokana na kifungu alichosoma
Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu
Kueleza msamiati wa nyumbani kwa kutumia mifano halisi
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya nomino ili kuitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua nomino katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia nomino kwa njia sahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya nomino. - Kutambua nomino katika matini mbalimbali. - Kushirikiana na wenzake kutoa mifano ya nomino. - Kuchagua nomino kwenye tarakilishi, kuziburura na kuzitia kapuni akiwa na wenzake. - Kutumia nomino kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia nomino kutunga sentensi kwenye daftari na mtandaoni ili wenzake wazisome na kuzisahihisha. |
Je, ni vitu gani unavyoweza kupata katika mazingira yako?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 15
Kadi za nomino Mti maneno Vifaa vya kidijitali Chati |
Kueleza maana ya nomino
Kutambua nomino katika matini
Kutumia nomino kujaza nafasi katika sentensi
Kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino
Kufanya tathmini ya wanafunzi wenyewe
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya nomino ili kuitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua nomino katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia nomino kwa njia sahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika kundi la maneno alilopewa. - Kupigia mstari nomino katika sentensi mbalimbali. - Kufanya zoezi la kutambua nomino katika kifungu. - Kutumia nomino kutunga sentensi kuhusu nyumbani. - Kutumia kifaa cha kidijitali kupiga chapa sentensi alizotunga. - Wanafunzi kutathimiana kazi zao kuhusu matumizi ya nomino. |
Ni nomino zipi zinazopatikana katika mazingira ya nyumbani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 16
Vifaa vya kidijitali Kadi za nomino |
Kupigia mstari nomino katika sentensi
Kutunga sentensi kwa kutumia nomino
Kutumia nomino kwenye maandishi
Kupiga chapa sentensi kwa kutumia kidijitali
Kufanya tathmini ya kazi za wenzao
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vitenzi ili kuvitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kwa amani kueleza maana ya vitenzi. - Kushirikiana na wenzake kutoa mifano ya vitenzi (k.v. soma, andika, keti, simama, cheka). - Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha au michoro. - Kuigiza vitenzi mbalimbali akishirikiana na wenzake. - Kutumia vitenzi kujaza nafasi kwenye sentensi na kifungu kifupi. - Kutumia vitenzi mbalimbali kutunga sentensi daftarini au mtandaoni. |
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 17
Picha Michoro Kadi za vitenzi Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya vitenzi
Kutambua vitenzi katika kundi la maneno
Kutumia vitenzi kujaza nafasi katika sentensi
Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi
Kuigiza vitenzi
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Vitenzi
Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vitenzi ili kuvitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi kwenye mraba wa maneno. - Kutoa vitenzi badala ya maelezo. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vitenzi. - Kukamilisha kifungu kwa kutumia vitenzi vifaavyo. - Kutunga sentensi akitumia vitenzi aliyojifunza. - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathmini. |
Kwa nini vitenzi ni muhimu katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 19
Mraba wa maneno Vifaa vya kidijitali Kapu maneno Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 20 Kadi za vivumishi |
Kutambua vitenzi kwenye mraba wa maneno
Kutumia vitenzi kujaza nafasi katika sentensi
Kukamilisha kifungu kwa kutumia vitenzi
Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi
Kufanya tathmini ya kazi za wanafunzi wengine
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kivumishi ili kukitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vivumishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vivumishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kupigia mstari vivumishi katika sentensi alizonakili. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vivumishi vifaavyo. - Kujaza nafasi katika kifungu kwa kutumia vivumishi alivyopewa. - Kupanga maneno kwenye jedwali: Nomino, Vivumishi na Vitenzi. - Kuwasomea au kuwasambazia wenzake kazi yake ili kuitolea maoni kwa heshima na upendo. - Kutumia kifaa cha kidijitali kuandika aya fupi akitumia vivumishi mbalimbali. |
Je, vivumishi husaidia vipi katika kuwasilisha mawazo kwa ufasaha?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 21
Vifaa vya kidijitali Jedwali la kupanga maneno |
Kupigia mstari vivumishi katika sentensi
Kujaza nafasi kwa kutumia vivumishi
Kupanga maneno katika jedwali: Nomino, Vivumishi na Vitenzi
Kuandika aya fupi akitumia vivumishi
Kuwasilisha na kutathmini kazi
|
|
| 4 | 2 |
NIDHAMU MEZANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano. - Kueleza maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali. - Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano. - Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maamkuzi (k.v. U mzima? U hali gani? Alamsiki, Lala unono, Siku njema) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali. - Kushiriki mjadala na mwenzake kuhusu maamkuzi na maagano yanayolengwa na matumizi yake. - Kushirikiana na wenzake kuigiza maamkuzi na maagano lengwa. - Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali. - Kuambatanisha maamkuzi na maagano na majibu sahihi daftarini au kwenye tarakilishi. |
Je, watu husalimiana na kuagana vipi katika jamii yako?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 24
Chati ya maamkuzi Kapu maneno Vifaa vya kidijitali Kadi za maamkuzi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 26 Chati za maagano Jedwali la maamkuzi na maagano Picha |
Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi
Kutambua aina mbalimbali za maagano
Kutumia maamkuzi na maagano ipasavyo
Kuigiza maamkuzi na maagano
Kuambatanisha maamkuzi na majibu sahihi
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Matumizi ya Kamusi
Insha ya Masimulizi Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kamusi ili kuitofautisha na vitabu vingine. - Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake. - Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana na matumizi ya kamusi. - Kujadiliana na wenzake kuhusu mpangilio wa maneno katika kamusi. - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa na wenzake. - Kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati anaotafutia maana. - Kutambua tofauti kati ya matini ya kawaida na matini ya kamusi. |
Unazingatia nini unapotafuta maneno katika kamusi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 29
Kamusi Vifaa vya kidijitali Matini tofauti Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 32 Vielelezo vya insha Chati Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 33 Vidokezo vya insha Picha kuhusu nidhamu mezani |
Kueleza maana ya kamusi
Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali
Kupanga maneno kufuata mpangilio wa kamusi
Kufanya tathmini ya kutumia kamusi
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kiwakilishi ili kukibainisha. - Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia viwakilishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya viwakilishi. - Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno aliyopewa. - Kuchagua viwakilishi kwenye tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viwakilishi mwafaka. - Kutumia viwakilishi kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa. |
Ni maneno gani yanayoweza kutumika badala ya nomino?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 35
Kapu maneno Vifaa vya kidijitali Kadi za viwakilishi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 36 Mifano ya sentensi zenye viwakilishi |
Kueleza maana ya kiwakilishi
Kutambua viwakilishi katika maneno
Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viwakilishi
Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi
Kufanya tathmini ya wanafunzi wenyewe
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kielezi ili kukibainisha. - Kutambua vielezi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vielezi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya vielezi (k.v. polepole, haraka, sana, vizuri, kisheria, jana, shuleni, uwanjani). - Kutambua vielezi katika kundi la maneno aliyopewa katika kadi za maneno, chati, mti maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k. - Kuchagua vielezi kutoka kwenye kundi la maneno kwa kutumia tarakilishi kwa kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake. - Kuigiza vielezi mbalimbali panapofaa akishirikiana na wenzake. |
Unafanyaje shughuli zako za kila siku?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 37
Kadi za maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali Kapu maneno |
Kueleza maana ya kielezi
Kutambua vielezi katika kundi la maneno
Kuchagua vielezi kutoka kwenye kundi la maneno
Kuigiza vielezi mbalimbali
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Vielezi
Matamshi Bora: Vitendawili Matamshi Bora: Vitendawili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kielezi ili kukibainisha. - Kutambua vielezi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vielezi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vielezi mwafaka kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia vielezi kutunga sentensi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. - Kuwasomea au kuwasambazia wenzake na mwalimu sentensi zake ili kuzitolea maoni. - Kutumia vielezi kueleza jinsi ya kuonyesha nidhamu mezani. |
Ni vielezi vipi vinaweza kutumika kuelezea tabia nzuri mezani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 38
Chati ya vielezi Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 41 Orodha ya vitendawili Kamusi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 42 Picha |
Kujaza nafasi kwa kutumia vielezi
Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi
Kutumia vielezi kuelezea nidhamu mezani
Kushirikishana maoni kuhusu matumizi ya vielezi
Kufanya tathmini ya kazi za wanafunzi
|
|
| 5 | 3 |
MAVAZI
Kusoma Kusoma |
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuambatanisha ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha. - Kusikiliza na kutazama mwalimu, mgeni mwalikwa, mwanafunzi mwenzake au video za watu wanaosoma makala kwa ufasaha. - Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha vilivyozingatiwa katika usomaji alioutazama. - Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. |
Unazingatia nini ili kuweza kusoma kifungu cha hadithi ipasavyo?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 43
Vifaa vya kidijitali Kifungu cha hadithi kuhusu mavazi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 44 Kadi za kuhesabia maneno Hadithi mbalimbali |
Kusoma kifungu kwa matamshi bora
Kusoma kifungu kwa kutumia kiwango kifaacho cha sauti
Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
Kutathmini usomaji wa kifungu
|
|
| 5 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika kwa kutumia tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa. - Kufungua na kufunga tarakilishi ili kuandika kazi na kuihifadhi. - Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi. - Kuhariri kazi yake kwa kuzingatia uakifishaji ufaao. - Kuhifadhi kazi aliyoiandika kwenye tarakilishi. - Kujenga mazoea ya kuandika kwa kutumia tarakilishi na kuhifadhi kazi yake ya maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sehemu za kimsingi za tarakilishi za kupigia chapa akiwa na wenzake (k.v. kiibodi, kipanya, kiwambo, kitufe na faili). - Kuzingatia hatua za kufungua na kufunga tarakilishi. - Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi akizingatia chapa koza, italiki na kupigia mistari panapofaa. - Kuandika aya kuhusu mavazi katika tarakilishi na kuihariri. |
Je, unazingatia nini unapoandika kwa kutumia tarakilishi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 45
Tarakilishi Kipakatalishi Picha za sehemu za tarakilishi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 46 Kielelezo cha kuandika kifungu kwenye tarakilishi |
Kutambua sehemu za tarakilishi
Kufungua na kufunga tarakilishi
Kuandika mada kwa kutumia tarakilishi
Kuhariri kazi ya maandishi kwenye tarakilishi
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Viunganishi
Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kiunganishi ili kukibainisha. - Kutambua viunganishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia viunganishi kwa njia sahihi katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya viunganishi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya viunganishi. - Kutambua viunganishi katika kundi la maneno aliyopewa (k.v. na, pia, kwa sababu, lakini). - Kutafiti vitabuni au mtandaoni ili kutoa mifano mbalimbali ya viunganishi. - Kutumia viunganishi kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia viunganishi kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. |
Je, kwa nini ni muhimu kutumia viunganishi katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 48
Kapu maneno Vifaa vya kidijitali Kadi maneno Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 50 Chati ya vihusishi |
Kueleza maana ya kiunganishi
Kutambua viunganishi katika kundi la maneno
Kutumia viunganishi kujaza nafasi katika sentensi
Kutunga sentensi kwa kutumia viunganishi
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kihisishi ili kukibainisha. - Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya vihisishi na kuvitolea mifano (k.m. Lo!, Ala!, Salalee!, Mama ee!, Oyee! na Aha!) akishirikiana na wenzake. - Kutambua vihisishi katika kundi la maneno. - Kutambua alama ya hisi (!) inayoambatanishwa na vihisishi. - Kutumia vihisishi kujaza nafasi katika sentensi. - Kutumia vihisishi kutunga sentensi kwenye daftari akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. |
Kutumia vihisishi katika mawasiliano kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 53
Kapu maneno Kadi maneno Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 4 uk. 54 Kifungu chenye vihisishi |
Kueleza maana ya kihisishi
Kutambua vihisishi katika kundi la maneno
Kutumia vihisishi kujaza nafasi katika sentensi
Kutunga sentensi kwa kutumia vihisishi
Kutumia vihisishi kuonyesha hisia mbalimbali
|
|
| 6 | 3 |
DIRA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Maneno ya Upole
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maneno ya upole yanayotumiwa katika mawasiliano - Kutumia maneno ya upole katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya maneno ya upole katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kueleza maana ya maneno ya upole (k.m. kwenda msalani, kwenda haja kubwa, kwenda haja ndogo, kuendesha na kujifungua) katika chati, mti maneno, kapu maneno, ubao, vyombo vya kidijitali - Kushiriki katika kujadili maneno ya upole akiwa na wenzake - Kutazama maigizo kuhusu matumizi ya maneno ya upole katika video na mitandaoni |
Kutumia maneno ya upole kuna umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 56
Chati maneno Kapu maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 57 Video za maigizo Kadi za maneno Picha |
Kutambua maneno ya upole
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno ya upole
Kuigiza mazungumzo yanayojumuisha maneno ya upole
|
|
| 6 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama (k.m. kutowasiliana na watu asiowajua, kuwajibika anaposakura tovuti mbalimbali) kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao - Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga - Kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake |
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 60
Tarakilishi/vipakatalishi Projekta Chati za hatua za usalama mtandaoni Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 62 Kamusi Tovuti salama zenye matini za kusoma |
Kutambua hatua za kiusalama za kuzingatia wakati wa kutumia mtandao
Kufungua na kufunga faili ipasavyo
Kusakura tovuti salama
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Kuandika Barua ya Kirafiki
Ngeli ya A-WA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake - Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki katika mawasiliano - Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi wa barua ya kirafiki katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi - Kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua za kirafiki katika mawasiliano - Kujadili na wenzake mada ya barua ya kirafiki na vipengele vyake/yale yanayofaa kujumuishwa |
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kirafiki?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 63
Vielelezo vya barua za kirafiki Chati kuhusu muundo wa barua Tarakilishi/vipakatalishi Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 65 Kielelezo cha barua ya kirafiki Karatasi Kalamu na penseli Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 66 Picha za viumbe Kadi za sentensi Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki
Kufafanua muundo wa barua ya kirafiki
Kutaja umuhimu wa barua ya kirafiki katika mawasiliano
|
|
| 7-8 |
MID - TERM BREAK |
||||||||
| 8 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya A-WA kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma - Kutambua nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi katika matini - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya A-WA |
Unatumia viambishi gani kuonyesha upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 68
Kadi za sentensi Kikapu/boksi Orodha ya nomino za ngeli ya A-WA Tarakilishi/vipakatalishi Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 69 Daftari Kalamu/penseli |
Kutumia viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya A-WA
Jaza pengo kwa kutumia kiambishi sahihi cha ngeli ya A-WA
Kuunda sentensi sahihi kwa kutumia viambishi vya ngeli ya A-WA
|
|
| 8 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za ngeli ya A-WA katika mazingira yake - Kutunga sentensi katika umoja na wingi akitumia nomino za ngeli ya A-WA - Kutathmini sentensi zilizotungwa kwa kuzingatia upatanisho sahihi wa kisarufi |
Nomino zipi katika mazingira yetu zimo katika ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 70
Picha za viumbe vya ngeli ya A-WA Kadi za nomino Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za ngeli ya A-WA katika mazingira
Geuza sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
Kutunga hadithi fupi ukitumia nomino za ngeli ya A-WA
|
|
| 9 | 1 |
USHAURI-NASAHA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Methali
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofauti-tofauti - Kueleza maana za methali kuhusu malezi - Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano - Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua methali kuhusu malezi (k.v. mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto hutazama kisogo cha nina) kutoka kwa orodha ya methali, chati au mtandaoni - Kueleza maana za methali kuhusu malezi akiwa na wenzake - Kukamilisha methali kuhusu malezi |
Ni methali gani zinazohusu malezi?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 71
Chati zenye methali Vifaa vya kidijitali Orodha ya methali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 72 Video zenye methali Kadi za methali Maigizo Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 74 Matini za mashairi Chati za maana ya sifa za ushairi |
Kutambua methali zinazohusu malezi
Kueleza maana za methali kuhusu malezi
Kukamilisha methali kuhusu malezi
|
|
| 9 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha - Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe - Kutambua beti na mishororo katika shairi - Kutambua shairi kutokana na umbo lake - Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mashairi yanayokaririwa kwenye vifaa vya kidijitali - Kusoma au kukariri shairi kwa mahadhi mbalimbali akizingatia ujumbe - Kushiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye shairi - Kusoma mashairi kwenye mitandao |
Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 76
Nakala ya shairi Tarakilishi/vipakatalishi Rununu Projekta Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 78 Vielelezo vya insha ya maelezo Kielelezo cha muundo wa insha ya maelezo Vifaa vya kidijitali |
Kusoma shairi kwa ufasaha
Kukariri shairi kwa mahadhi mbalimbali
Kueleza ujumbe wa shairi
|
|
| 9 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Insha ya Maelezo
Ngeli ya U-I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mada lengwa (ushauri-nasaha) akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea - Kuandika insha ya maelezo akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu |
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 79
Kielelezo cha insha ya maelezo Karatasi Kalamu/penseli Tarakilishi/vipakatalishi Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 80 Picha za nomino za ngeli ya U-I Kadi za sentensi Kikapu/boksi Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha ya maelezo
Kuzingatia muundo ufaao wa insha ya maelezo
Kujitathimini na kufanya marekebisho
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya U-I |
Ni viambishi vipi hutumika katika upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 82
Kadi za nomino za ngeli ya U-I Mti maneno Kapu maneno Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 83 Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli Orodha ya nomino za ngeli ya U-I |
Kutumia viambishi vya ngeli ya U-I katika sentensi
Kujaza pengo kwa viambishi vya ngeli ya U-I
Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya U-I
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli ya U-I
Kujieleza kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi mbalimbali akitumia nomino za ngeli ya U-I kutoka kwa mazingira yake - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathimini - Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya U-I |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi unaofaa wa ngeli ya U-I?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 83
Picha za nomino za ngeli ya U-I Orodha ya nomino za ngeli ya U-I Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 84 Nakala ya shairi Picha ya bendera ya taifa Chati ya shairi |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya U-I
Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya U-I
Kufanyiana tathmini
|
|
| 10 | 2 |
BENDERA YA TAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kujieleza kwa Ufasaha
Kusoma kwa Kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano - Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kukariri au kuimba shairi kwa mahadhi mbalimbali - Kutambua msamiati uliotumika katika ushairi kuhusu maadili (k.v. uhuru, bendera, rangi za bendera, kupandisha na kushukisha bendera) na kuueleza akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake - Kushirikiana na wenzake kujadili ujumbe katika shairi - Kujibu maswali yanayotokana na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri |
Je, unazingatia nini unapokariri shairi?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 85
Vifaa vya kidijitali Nakala ya shairi Picha ya bendera ya taifa Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 89 Matini ya makala Vitabu Magazeti |
Kutumia msamiati wa shairi katika sentensi
Kueleza ujumbe wa shairi
Kujibu maswali kuhusu shairi
Kutambua msamiati wa bendera ya taifa
|
|
| 10 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Kina
Insha ya Wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga - Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia kamusi kupata maana za msamiati uliotumika katika makala - Kushiriki katika mchezo wa kuigiza kutoka kwenye makala aliyoisoma - Kujibu maswali kuhusu makala aliyoisoma |
Je, umejifunza nini kutokana na makala uliyosoma?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 90
Kamusi Makala Vifaa vya kidijitali Picha Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 92 Vielelezo vya insha ya wasifu Chati kuhusu muundo wa insha ya wasifu |
Kutumia kamusi kupata maana za maneno
Kuigiza maudhui ya makala
Kujibu maswali kuhusu makala
Kueleza ujumbe wa makala
|
|
| 10 | 4 |
Kuandika
Sarufi Sarufi |
Insha ya Wasifu
Ngeli ya LI-YA Ngeli ya LI-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha inayoeleza sifa za mtu kama vile mzazi au mlezi, rafiki, mwalimu au kiongozi yeyote kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa ubunifu - Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitathmini |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya wasifu?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 93
Vifaa vya kidijitali Daftari Kalamu/penseli Kielelezo cha insha ya wasifu Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 92 Picha za nomino za ngeli ya LI-YA Kadi za sentensi Kikapu/boksi Kadi za nomino za ngeli ya LI-YA Mti maneno Chati |
Kuandika insha ya wasifu
Kuzingatia vipengele vya insha ya wasifu
Kusomeana insha zilizotungwa na kupeana maoni
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katina ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini |
Nomino za ngeli ya LI-YA huwakilisha vitu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 94
Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli Orodha ya nomino za ngeli ya LI-YA |
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
Kugeuza sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
Kutunga kifungu kifupi kinachozingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli ya LI-YA
Nahau |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katina ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi mbalimbali akitumia nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwa mazingira yake - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathimini - Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi unaofaa wa ngeli ya LI-YA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 94
Picha za nomino za ngeli ya LI-YA Orodha ya nomino za ngeli ya LI-YA Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 96 Chati zenye nahau Kapu maneno Mti maneno |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA
Kuandika insha fupi inayotumia nomino za ngeli ya LI-YA
Kufanyiana tathmini
|
|
| 11 | 3 |
MATUNDA NA MIMEA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma |
Nahau
Kusoma kwa Mapana Matini Kusoma kwa Mapana Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali - Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo - Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nahau za maadili na uraia kutunga sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake - Kutazama vibonzo vikijibizana kuhusu nahau na maana zake - Kushirikiana na wenzake kuteua nahau za maadili na uraia kutoka kwenye kundi la nahau |
Kutumia nahau za maadili na uraia kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 97
Vibonzo vya nahau Kadi za nahau Vifaa vya kidijitali Michoro Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 99 Vitabu vya hadithi Majarida Magazeti Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 100 Matini mbalimbali Kamusi Karatasi na kalamu |
Kutunga sentensi zenye nahau za maadili na uraia
Kutambua nahau za maadili na uraia katika mazungumzo
Kueleza maana za nahau za maadili na uraia
|
|
| 11 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Mapana Matini
Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa - Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchukua muhtasari wa ujumbe wa matini aliyoisoma - Kuwasilisha ujumbe wa matini aliyoisoma kwa njia ya igizo au masimulizi - Kujadiliana na wenzake umuhimu wa matini hizo |
Unatumia vigezo gani kuchagua matini ya kusoma?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 102
Matini mbalimbali Daftari na kalamu Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 103 Vielelezo vya insha ya maelezo Kielelezo cha muundo wa insha ya maelezo |
Kuandika muhtasari wa ujumbe wa matini
Kuigiza ujumbe wa matini
Kujadili umuhimu wa matini iliyosomwa
|
|
| 12 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Insha ya Maelezo
Ngeli ya KI-VI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mada lengwa (matunda na mimea) akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea - Kuandika insha ya maelezo akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu inayojumuisha methali na nahau alizojifunza awali |
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 104
Kielelezo cha insha ya maelezo Karatasi Kalamu/penseli Tarakilishi/vipakatalishi Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 105 Picha za nomino za ngeli ya KI-VI Kadi za sentensi Kikapu/boksi Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha ya maelezo
Kuzingatia muundo ufaao wa insha ya maelezo
Kujitathimini na kufanya marekebisho
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya KI-VI |
Ni viambishi vipi hutumika katika upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 106
Kadi za nomino za ngeli ya KI-VI Mti maneno Kapu maneno Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 107 Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli Orodha ya nomino za ngeli ya KI-VI |
Kutumia viambishi vya ngeli ya KI-VI katika sentensi
Kujaza pengo kwa viambishi vya ngeli ya KI-VI
Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya KI-VI
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi mbalimbali akitumia nomino za ngeli ya KI-VI kutoka kwa mazingira yake - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathimini - Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi unaofaa wa ngeli ya KI-VI?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 108
Picha za nomino za ngeli ya KI-VI Orodha ya nomino za ngeli ya KI-VI Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI
Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI
Kufanyiana tathmini
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-LI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI ili kuzitofautisha na nomino katina ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-LI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI kwenye sentensi alizosoma - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-LI kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI (k.m jua-jua, giza-giza) kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-LI |
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 108
Picha za nomino za ngeli ya LI-LI Kadi za nomino Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-LI
Kutofautisha kati ya ngeli ya LI-LI na ngeli nyingine
|
|
| 13 | 1 |
WANYAMA WA PORINI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Visawe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha - Kutambua maneno mawili yenye maana sawa katika matini - Kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua visawe katika matini mbalimbali - Kushiriki mijadala kuhusu matumizi ya visawe - Kuambatanisha maneno na visawe vyake - Kutumia visawe katika sentensi - Kubadilisha maneno katika sentensi kwa visawe vyake |
Maneno yenye maana sawa yanasaidia vipi katika mawasiliano?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 111
- Kadi maneno - Kapu maneno - Chati Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 112 - Picha za wanyama - Vifaa vya kidijitali - Mchoro wa wanyama |
Kutaja visawe
- Kuambatanisha visawe
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
|
|
| 13 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza - Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini - Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo wa kuigiza - Kuchangamkia kusoma michezo ya kuigiza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha inayohusiana na mchezo wa kuigiza - Kusoma vielelezo viwili vya matini na kutambua mchezo wa kuigiza - Kusoma matini mbalimbali na kutambua zile zenye mchezo wa kuigiza - Kutazama video za mchezo wa kuigiza - Kutaja wahusika katika mchezo wa kuigiza aliotazama |
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 113
- Matini mbalimbali - Video za mchezo wa kuigiza - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 114-115 - Picha za wanyama - Michoro ya hifadhi za wanyama - Matini ya mchezo wa kuigiza Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 116 - Vitabu vyenye michezo ya kuigiza |
Kutambua mchezo wa kuigiza
- Kusoma matini na kutambua wahusika
- Kueleza maelekezo yaliyotumika
|
|
| 13 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo - Kujadili muundo wa insha ya masimulizi - Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi - Kutambua insha ya masimulizi kwa kujadili muundo wake - Kueleza sifa za insha ya masimulizi - Kujadili ujumbe katika insha ya masimulizi - Kutaja sifa za insha ya masimulizi |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 117-118
- Mfano wa insha ya masimulizi - Picha - Vifaa vya kidijitali Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 119 - Picha za mbuga ya wanyama - Vidokezo vya uandishi wa insha - Matini ya mwalimu |
Kutambua insha ya masimulizi
- Kujibu maswali kuhusu insha ya masimulizi
- Kueleza sifa za insha ya masimulizi
|
|
| 13 | 4 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutenda
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendea Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi - Kutambua kauli ya kutenda katika vitenzi - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda - Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakifanya vitendo - Kujadili maana ya mnyambuliko wa vitenzi - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda - Kusoma kifungu na kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutenda |
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 121-123
- Picha za watu wakifanya vitendo - Kadi za maneno - Matini yenye vitenzi katika kauli ya kutenda Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 124-125 - Picha - Majedwali ya vitenzi Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 126-127 - Chati za vitenzi - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda kutunga sentensi
- Kubadilisha vitenzi kutoka kauli moja hadi nyingine
|
|
Your Name Comes Here