If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ushairi -Usafi
Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mabo yaliyozumngumziwa katika ushairi. Kutambua lengo la shairi hilo. Kujibu maswali kuhusu ushairi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk136-138) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 2 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Hadithi fupi
Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hadithi fupi. Kutaja na kujadili sifa za hadithi fupi. Kutaja mambo muhumu katika uandishi wa hadithi fupi.. Kuandika hadithi fupi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk143) |
|
3 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Fasihi simulizi-maigizo
Ushairi -mwanamke |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maigizo. Kutaja na kujadili aina tofauti za maigizo. Kujadili sifa za maigizo. Kueleza dhima ya maigizo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk145-147) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Viunganishi
Matumizi ya kamusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya viunganishi na kueleza manufaa yake katika sentensi. Kutaja mifano ya viunganishi . Kutumia viunganishi vyema katika sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk148-150) |
|
4 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Unadishi wa insha
Mjadala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua vipengee muhimu vya kuzingatiwa katikauandishi wa insha. Kuandika insha kuhusu mada aipendayo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk151-152) |
|
4 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Kusoma taarifa
Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwnafunzi. Kujadili taarifa kwa kina. Kutaja aina mbalimbali ya vyakula |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk155-157) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 1 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Mtambo wa ATM
Resipe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ATM Kusoma taarifa kuhusu ATM. Kueleza alichojifunza kuhusu ATM Kueleza jinsi ya kutumia ATM Kujibu maswali kutoka kwa taarifa ipasavyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk160-163) |
|
5 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Sauti tatanishi /f/ na /v/
Fasihi simulizi-Visasili
Tarakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua maneno yenye sauti tatanishi /f/ na /v/ Kutamka vitanza ndimi ipasavyo. Kueleza maana ya visasili. Kujadili dhima ya visasili Kusoma kisa mfano ya kisasili kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk166-170) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 1 |
Sarufi
|
Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vihisishi Kujadili matumizi ya vihisishi. Kutaja mifano ya vihisishi. Kutumia vihusishi katika sentensi ipasvyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk172-174) |
|
6 | 2 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Ufisadi
Risala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katikakitabu cha mwanafunzi. Kuipa kichwa mwafaka Makala hiyo. Kujadili mabo muhimu yaliyoangaziwa katika kifungu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk174-175) |
|
7 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Ushairi simulizi-nyimbo
Ushairi -Mrija |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili sifa za nyimbo. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya nyimbo. Kuimba wimbo wa harusi ipasavyo. Kueleza maana ya semi. Kueleza matumizi ya misemo Kutoa mifano ya misemo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk177-181) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Vinyume vya vitenzi
Jinsia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza vinyume vya vitenzi. Kutumia vinyume vya vitenzi ipasavyo katika sentensi Kujibu maswali kutokna na vinyume vya vitenzi ipasavyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk183-185) |
|
8-9 |
Midterm exam break |
|||||||
10 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa kisanii
Fasihi simulizi-methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua na kujadili aina ya mashairi. Kujadili sifa za shairi hizi. Kutaja vitu muhimu vya kuzingatiwa katika uundaji wa shairi hizi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 186) |
|
10 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ajira ya watoto
Nyakati-hali ya ukanushaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutabiri matukio katika ufahamu. Kusoma ufahamu katika kitabu cha mwanafunzi kuhusu ajira ya Watoto. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 190-192) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
11 | 1 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Kusoma maktabani
Barua rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili kusoma maktabani. Kufanya utafiti kuhusu mazingira |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 200) |
|
11 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Fasihi simulizi-Hekaya
Lubigisa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hekaya. Kusoma hekaya kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 205-206) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
12 | 1 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Sentensi ya kiswahili
Umoja wa kitaifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja na kujadili aina tofauti ya sentensi. Kutoa mifano ya aina mbali mbali ya sentensi. Kutunga sentensi tofauti kotaka kwa maneno waliyopewa. Kujibu maswali kuhusu aina ya sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk209-211) |
|
12 | 2 |
Kuandika
|
Uandishi wa kawaida-Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya muhtasari. Kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa muhtasari. Kuandika muhtasari ya kisa cha Lubigisa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk212) |
|
13-14 |
Endterm exam & break |
Your Name Comes Here