Home







MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA NNE
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
2 1
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu
Sifa za fasihi simulizi
Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya fasihi simulizi.
-Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili.
-Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi.
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuuliza maswali
Kuigiza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya fasihi simulizi
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
2 2
Sarufi
Upatanisho wa kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi.
-Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi.
-Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi.
Tajriba.
Maswali na majibu.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
2 3
Sarufi
Upatanisho wa kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi.
-Kutambua upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na viulizi.
-Kutunga sentensi sahihi kutumia viulizi.
Tajriba.
Maswali na majibu.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
2 4
Kusoma
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi.
-Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari.
-Kueleza dhamira ya riwaya teule.
Kusoma.
Kusikiliza.
Kuandika.
Kujadiliana.
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
2 5
Kusoma
Kusoma kwa mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma aina mbalimbali za maandishi yaliyoandikwa kwa miundo na mitindo mbalimbali.
-Kusoma kwa haraka bila kuzingatia maneno au vifungu vyote.
-Kusoma bila kutafuta maana za maneno kwenye kamusi.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 8
2 6
Kuandika
Barua ya kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana na muundo wa barua za kirafiki
-Kutaja sifa za barua za kirafiki
-Kueleza umuhimu wa barua za kirafiki
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 9
3 1
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi
Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana za fasihi simulizi na fasihi andishi
-Kueleza tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi.
-Kutoa mifano ya vipera vya fasihi simulizi katika jamii (yake)
Kueleza
Kusoma
Kuigiza
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 10-11
3 2
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza muktadha.
-Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
3 3
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Upatanisho wa kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza muktadha.
-Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
3 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Upatanisho wa kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi.
-Kutunga sentensi akizingatia upatanisho sahihi wa kisarufi.
-Kukamilisha jedwali kutumia kirejeshi amba- na ‘o’ rejeshi.
Tajriba.
Maswali na majibu.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
3 5
Kusoma kwa kina
Fasihi andishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza asili na maendeleo ya fasihi andishi.
-Kufafanua sifa zinazobainisha fasihi andishi.
-Kutaja tanzu za fasihi andishi.
Mjadala
Maswali na majibu.
Uvumbuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 17-19
3 6
Kuandika
Kusoma (fasihi)
Barua rasmi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza muundo wa barua rasmi.
-Kutaja sifa za barua rasmi.
-Kuandika barua rasmi kwa mfadhili.
Maelezo
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 19-20
4 1
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza mtiririko wa kisa
-Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
4 2
Kusikiliza na kuzungumza
Isimu jamii: Lugha ya itifaki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza mazingira ambamo lugha ya itifaki hutumiwa.
-Kufafanua sifa za lugha ya itifaki.
-Kueleza umuhimu wa lugha ya itifaki.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 21-22
4 3
Ufupisho
Sarufi na matumizi ya lugha
Muhtasari
Aina za maneno: Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya sarufi.
-Kueleza mambo muhimu ya kuzingatia katika ufupisho.
-Kuandika muhtasari wa taarifa kwa usahihi.
Kusoma
Majadiliano
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 22-23
4 4
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya.
-Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya.
Kusoma
Kujadili
Kusikiliza
kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
4 5
Kusoma (fasihi)
Kuandika
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Tahakiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya.
-Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya.
Kusoma
Kujadili
Kusikiliza
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
4 6
Kusikiliza na kuzungumza
Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya methali.
-Kufafanua matumizi ya methali.
-Kutumia methali katika mazungumzo.
Utafiti.
Mifano.
Uchunguzi.
Kazi mradi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 30-32
5 1
Kusikiliza na kuzungumza
Misemo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza umuhimu wa misemo.
-Kutoa mifano ya misemo.
-Kutumia katika misemo kimantiki na kisarufi.
Mashindano
Majadiliano
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 32-34
5 2
Ufahamu
Kusoma (fasihi)
Mfinyanzi hulia gaeni
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua maana ya methali ‘Mfinyanzi hulia gaeni’
-Kusoma kwa sauti na kimya.
-Kujibu maswali
Usomaji.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 34-36
5 3
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kubainisha aina za wahusika.
-Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika.
-Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kuigiza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
5 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Viwakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya viwakilishi.
-Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake.
-Kufafanua matumizi ya viwakilishi.
-Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi.
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Majadiliano
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
5 5
Kusoma kwa kina
Mashairi huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza chimbuko la mashairi ya huru
-Kueleza sifa za mashairi ya huru.
-Kujadili mtindo katika shairi hili, ‘Wasia’
Kudadisi
Uchunguzi
Ufafanuzi
Uhakiki
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 42-45
5 6
Kuandika
Insha ya methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua muundo wa insha ya methali.
-Kupambanua sifa za insha ya methali.
-Kuandika insha ya methali.
Masimulizi
Uchunguzi
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 45-46
6 1
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali.
Kusoma
Kuadili
Kudodoso fani za lugha
Kuandika
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
6 2
Kusikiliza na kuzungumza
Isimu jamii: Sajili ya bunge
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya sajili katika lugha.
-Kufafanua sifa za lugha ya sajili ya bunge.
-Kuigiza mazungumzo na kutoa idhibati kuwa ni lugha ya bungeni.
Kuandika
Kuuliza maswali
Kujibu maswali
Kuigiza
Majadiliano.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 47-48
6 3
Ufahamu
Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma kwa sauti na kimya.
-Kujibu maswali.
-Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani.
Usomaji.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 48-51
6 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Aina za maneno: Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuainisha vivumishi.
-Kutoa mifano ya vivumishi.
-Kutumia vivumishi katika sentensi.
Maelezo
Ufafanuzi.
Utafiti.
Kutoa mifano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
6 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutaja vipengele vya kutumia kupata maadili ya Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza maana ya anwani na umuhimu wake.
-Kufafanua wahusika na jinsi wanavyojenga maadili.
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
6 6
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutaja vipengele vya kutumia kupata maadili ya Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza maana ya anwani na umuhimu wake.
-Kufafanua wahusika na jinsi wanavyojenga maadili.
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
7 1
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi simulizi: Mafumbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutoa maana ya mafumbo.
-Kueleza sifa bainifu za mafumbo.
-Kupambanua dhima ya mafumbo.
-Kufumbua mafumbo.
Uvumbuzi wa mafumbo.
Uvumbuzi huria.
Michezo ya lugha.
Maelezo
Ufafanuzi.
Mifano.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-58
7 2
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi simulizi: Misimu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza misimu.
-Kueleza sababu ya misimu kuchipuka.
-Kufafanua sifa ya misimu.
-Kutoa mifano ya misimu.
Ufaraguzi
Utafiti
Maelezo
Ufanunuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-60
7 3
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi)
Lakabu
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya lakabu.
-Kufafanua sifa za lakabu.
-Kutoa mifano ya lakabu.
Usomaji.
Maelezo.
Utafiti.
Majadiliano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
7 4
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa riwaya.
-Kutaja maadili katika riwaya.
-Kuchambua vipengele tofauti za fasihi.
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
7 5
Ufahamu
Unene wa kuhatarisha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma taarifa kwa ufasaha.
-Kujibu maswali kwa usahihi.
-Kueleza maana ya maneno.
-Kuzingatia mafunzo.
Usomaji.
Utafiti.
Utatuzi wa mambo.
Uchunguzi kifani
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 62-64
7 6
Sarufi na matumizi ya lugha
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vitenzi.
-Kubainisha vitenzi katika sentensi.
-Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba
Maelezo.
Mifano.
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
8 1
Kusoma kwa kina
Mashairi huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua wakati na sababu za kuchipua kwa mashairi huru.
-Kueleza kuzuka kwa mtindo wa mashairi ya kisasa.
-Kutoa maoni kuhusu mgogoro wa mashairi ya jadi na huru.
Dayalojia
Maelezo
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
8 2
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
-Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
-Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
8 3
Kusikiliza kuzungumza
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua sifa za shairi huru.
-Kupambanua pingamizi dhidi ya mashairi huru.
-Kuandika shairi huru lisilopungua beti nne.
Mashairi
Maelezo
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
8 4
Kusikiliza kuzungumza
Mahojiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua muundo wa mahojiano.
-Kuandika insha ya mahojiano kwa ufasaha.
-Kuigiza mahojiano darasani.
Maelezo.
Kuigiza.
Kuandika.
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 71-74
8 5
Kusikiliza kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Ufupisho
Vitenzi: Mzizi na viambishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma ufupisho.
-Kueleza kwa kutumia maneno yasiyozidi 50, vitambulisho vya ukubwa vya kale na sasa.
-Kwa maneno 35 kueleza kati ya vijana wa sasa na wa kale.
Maelezo.
Kuigiza.
Kuandika.
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 74-75
8 6
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi
-Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti (kazi ya ziada)
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
9 1
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi
-Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti (kazi ya ziada)
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
9 2
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza
Tamathali za usemi
Soga
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza manufaa ya tamathali za usemi kwa uandishi wa fasihi.
-Kufafanua maana za tamathali za usemi.
-Kudondoa tamathali zozote kutoka kwenye riwaya teule.
Usomaji.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 79-83
9 3
Sarufi na matumizi ya lugha
Mnyambuliko wa vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza mnyambuliko wa vitenzi.
-Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi.
-Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali.
Ufafanuzi.
Maelezo.
Mifano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 89-93
9 4
Kuandika
Kusoma (fasihi)
Uandishi wa tahariri
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya tahariri
-Kujadili jinsi ya kuandika tahariri.
-Kuandika tahariri.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 95
9 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma kwa sauti na matamshi bora
-Kupambanua sifa za wahusika, maudhui, mtindo wa mwandishi
-Kujibu maswali.
Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kuzuru maktaba
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
9 6
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma kwa sauti na kimya.
Kujibu maswali.
Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuuliza maswali
Kuigiza
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya fasihi simulizi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
10 1
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Ufahamu
Mnyambuliko vitenzi II
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma ufahamu.
Kutoa maelezo kuhusu jinsi Kiswahili kinavyotumika katika vyombo vya habari Duniani.
Kufafanua na kutunga sentensi semi na msamiati.
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuuliza maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 97-98
10 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja.
Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha.
Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika.
Tajriba.
Maswali na majibu.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
10 3
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya kwanza ya hadithi fupi (Fadhili za punda)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kwanza.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kwanza.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
10 4
Kusoma kwa kina
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi.
Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi.
Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
10 5
Kuandika
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya neno ‘utafiti’
Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi.
Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani.
Kueleza
Kusoma
Kuigiza
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
10 6
Fasihi
Kusikiliza na kuzungumza
Ushairi
Miviga
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kukariri shairi.
Kuonyesha dhamira ya mshairi.
Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi.
Kueleza
Kusoma
Kuigiza
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 112-113
11 1
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya pili ya hadithi fupi (Fadhili za punda)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya pili.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya pili.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
11 2
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya pili.
Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya pili.
Kujibu maswali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
11 3
Ufupisho
Sarufi na matumizi ya lugha
Ufupisho
Aina za maneno; Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe
Kudondoa hoja muhimu
Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118
11 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Aina za maneno; Viunganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutaja aina za viunganishi.
Kueleza aina za viunganishi.
Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi.
Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123
11 5
Sarufi na matumizi ya lugha
Kuandika
Aina za maneno; Vihusishi
Memo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutaja aina za vihusishi.
Kueleza aina za vihusishi.
Kueleza dhima ya vihusishi katika sentensi.
Kutunga sentensi akitumia vihusishi.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 123-124
11 6
Kuandika
Baruameme
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutambua maana ya baruameme
Kueleza muundo wa baruameme.
Kuandika baruameme.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130
12 1
Kuandika
Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya hotuba.
Kutambua umuhimu wa hotuba.
Kufafanua muundo wa hotuba.
Kuandika hotuba.
Usomaji.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
12 2
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu
Isimujamii: Sajili ya viwandani
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya sajili ya viwandani.
Kufafanua sajili ya viwandani.
Kueleza jinsi uhusiano wa wahusika viwandani unavyodhibiti matumizi ya lugha viwandani.
Maelezo
Ufafanuzi.
Utafiti.
Kutoa mifano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 162
12 3
Kusikiliza na kuzungumza
Mawaidha katika fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi.
Kufafanua sifa za mawaidha.
Kutaja dhima ya mawaidha.
Usomaji.
Utafiti.
Utatuzi wa mambo.
Uchunguzi kifani
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
12 4
Ufahamu
Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua mawazo makuu katika kifungu
Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi
Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu
Maelezo.
Mifano.
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
12 5
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina
Uakifishaji
Idhini ya kishairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji.
Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu.
Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi.
Kuandika sentensi katika usemi taarifa.
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175
12 6
Kuandika
Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya wasifu
Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake.
Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi.
Maelezo
Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Majadiliano.
Tajriba
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
13

Mtihani wa kufunga shule

14

Kufunga shule


Your Name Comes Here


Download

Feedback