If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Sifa za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya fasihi simulizi. -Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili. -Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
|
|
2 | 4 |
Ufahamu
Sarufi |
Ufahamu
Upatanisho wa kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 2-3
|
|
2 | 5-6 |
Sarufi
Kusoma Kusoma (fasihi) Kusoma |
Upatanisho wa kisarufi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutambua upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na viulizi. -Kutunga sentensi sahihi kutumia viulizi. -Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi. -Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari. -Kueleza dhamira ya riwaya teule. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi |
|
2 | 7 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Barua ya kirafiki
Fasihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na muundo wa barua za kirafiki -Kutaja sifa za barua za kirafiki -Kueleza umuhimu wa barua za kirafiki |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 9
|
|
3 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) |
Ufahamu
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza sifa za shairi mwafaka. -Kukariri shairi ‘Kutegea kazi’ -Kueleza muundo wa shairi hilo. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 11-12
|
|
3 | 2 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Upatanisho wa kisarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
3 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Upatanisho wa kisarufi
Fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutunga sentensi akizingatia upatanisho sahihi wa kisarufi. -Kukamilisha jedwali kutumia kirejeshi amba- na ‘o’ rejeshi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
|
|
3 | 4 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Barua rasmi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza muundo wa barua rasmi. -Kutaja sifa za barua rasmi. -Kuandika barua rasmi kwa mfadhili. |
Maelezo
Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 19-20
|
|
3 | 5-6 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza Ufupisho Sarufi na matumizi ya lugha |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Isimu jamii: Lugha ya itifaki Muhtasari Aina za maneno: Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtiririko wa kisa -Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu -Kueleza maana ya sarufi. -Kueleza mambo muhimu ya kuzingatia katika ufupisho. -Kuandika muhtasari wa taarifa kwa usahihi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi Kusoma Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 22-23 |
|
3 | 7 |
Kusoma kwa kina
Kusoma (fasihi) |
Maudhui katika fasihi andishi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya maudhui na mafunzo. -Kufafanua maudhui ya fasihi andishi. -Kubainisha maudhui ya hadithi zozote katika mkusanyiko wa hadithi fupi. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 25-26
|
|
4 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Kuandika |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Tahakiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Methali
Misemo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya methali. -Kufafanua matumizi ya methali. -Kutumia methali katika mazungumzo. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 30-32
|
|
4 | 3 |
Ufahamu
Kusoma (fasihi) |
Mfinyanzi hulia gaeni
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maana ya methali ‘Mfinyanzi hulia gaeni’ -Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 34-36
|
|
4 | 4 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Viwakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kubainisha aina za wahusika. -Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika. -Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 5-6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina Kuandika Kusoma (fasihi) |
Viwakilishi
Mashairi huru Insha ya methali Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake. -Kufafanua matumizi ya viwakilishi. -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi. -Kufafanua muundo wa insha ya methali. -Kupambanua sifa za insha ya methali. -Kuandika insha ya methali. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi Masimulizi Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 45-46 |
|
4 | 7 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Isimu jamii: Sajili ya bunge |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 1 |
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu
Aina za maneno: Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na kimya. -Kujibu maswali. -Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 48-51
|
|
5 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Aina za maneno: Vivumishi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
|
|
5 | 3 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja vipengele vya kutumia kupata maadili ya Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza maana ya anwani na umuhimu wake. -Kufafanua wahusika na jinsi wanavyojenga maadili. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi: Mafumbo
Fasihi simulizi: Misimu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutoa maana ya mafumbo. -Kueleza sifa bainifu za mafumbo. -Kupambanua dhima ya mafumbo. -Kufumbua mafumbo. |
Uvumbuzi wa mafumbo.
Uvumbuzi huria. Michezo ya lugha. Maelezo Ufafanuzi. Mifano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-58
|
|
5 | 5-6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Ufahamu |
Lakabu
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Unene wa kuhatarisha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya lakabu. -Kufafanua sifa za lakabu. -Kutoa mifano ya lakabu. -Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa riwaya. -Kutaja maadili katika riwaya. -Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Usomaji.
Maelezo. Utafiti. Majadiliano Kusoma Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi |
|
5 | 7 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
6 | 1 |
Kusoma kwa kina
Kusoma (fasihi) |
Mashairi huru
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua wakati na sababu za kuchipua kwa mashairi huru. -Kueleza kuzuka kwa mtindo wa mashairi ya kisasa. -Kutoa maoni kuhusu mgogoro wa mashairi ya jadi na huru. |
Dayalojia
Maelezo Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
|
|
6 | 2 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza kuzungumza |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 3 |
Kusikiliza kuzungumza
|
Mahojiano
Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa mahojiano. -Kuandika insha ya mahojiano kwa ufasaha. -Kuigiza mahojiano darasani. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 71-74
|
|
6 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Vitenzi: Mzizi na viambishi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza dhana ya mzizi na viambishi katika vitenzi. -Kubainisha mzizi wa viambishi awali na tamati katika vitenzi. -Kuonyesha viambishi vya kauli za Mnyambuliko katika vitenzi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 76-79
|
|
6 | 5-6 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma Kusikiliza na kuzungumza Sarufi na matumizi ya lugha Kuandika |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Tamathali za usemi Soga Mnyambuliko wa vitenzi Uandishi wa tahariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi -Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui. -Kueleza maana ya soga. -Kufafanua sifa za soga. -Kubainisha mafunzo katika soga. -Kutoa mfano wa soga |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti (kazi ya ziada) Maelezo Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 84-86 |
|
6 | 7 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
|
7 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi II
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
|
|
7 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kwanza ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kwanza. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kwanza. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
7 | 3 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
|
|
7 | 4 |
Fasihi
Kusikiliza na kuzungumza |
Ushairi
Miviga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kukariri shairi. Kuonyesha dhamira ya mshairi. Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 112-113
|
|
7 | 5-6 |
Kusoma (fasihi)
Ufupisho Sarufi na matumizi ya lugha |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Ufupisho Aina za maneno; Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya pili ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya pili. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya pili. somo, ; Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe Kudondoa hoja muhimu Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118 |
|
7 | 7 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Viunganishi
Aina za maneno; Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
|
8 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nne na ya tano ya hadithi fupi (Haru na Sabina) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nne na ya tano. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nne na ya tano. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
8 | 2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Aina za maneno; Vihisishi
Mashairi ya arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
|
8 | 3 |
Kuandika
|
Memo
Baruameme |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya memo. Kueleza muundo wa memo. Kuandika memo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129 |
|
8 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya sita (Mzimu wa Kipwerere) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya sita. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya sita. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
8 | 5-6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza Sarufi na matumizi ya lugha |
Ujumbe wa rununu
Ngano Ngano Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi Kusoma Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134 |
|
8 | 7 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya saba (Kila Mchezea Wembe) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya saba. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya saba. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
9 |
Midterm |
|||||||
10 | 1 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
Insha za masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141
|
|
10 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Mighani
Mwingiliano wa aina za maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144
|
|
10 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nane (Kifo cha Suluhu) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nane. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nane. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
10 | 4 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
Kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
|
10 | 5-6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) |
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
Nyakati, hali na ukanushaji wake Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya lugha katika hotuba. Kufafanua sifa za lugha ya hotuba. Kutambua umuhimu wa Utoaji hotuba somo, ; Kusoma sura ya tisa (Ahadi ni Deni) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya tisa. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya tisa. |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 153
Kitabu teule |
|
10 | 7 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Historia ya lugha
Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa ‘Historia ya lugha’ Kueleza mikakati iliyojadiliwa katika taarifa ya kukiimarisha Kiswahili. Kutambua hali ya Kiswahili nchini Kenya huku akirejelea taarifa aliyoisoma. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 158-160
|
|
11 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu |
Isimujamii: Sajili ya viwandani
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya sajili ya viwandani. Kufafanua sajili ya viwandani. Kueleza jinsi uhusiano wa wahusika viwandani unavyodhibiti matumizi ya lugha viwandani. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 162
|
|
11 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi (Toba ya Kalia) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
11 | 3 |
Sarufi
Kusoma kwa kina |
Ukanushaji wa hali II
Kamliwaze |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Maelezo
Ufafanuzi. Mifano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167
|
|
11 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Insha ya mawazo
Mawaidha katika fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
|
11 | 5-6 |
Kusoma (fasihi)
Ufahamu Sarufi na matumizi ya lugha |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Ufahamu Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi na moja (Nipe nafasi) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na moja. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na moja. somo, ; Kufafanua mawazo makuu katika kifungu Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Maelezo. Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172 |
|
11 | 7 |
Kusoma kwa kina
Kuandika Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) |
Idhini ya kishairi
Insha ya wasifu Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’ Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi. Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176
|
Your Name Comes Here