Home







MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA NNE
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1 3
Kusikiliza na kuzungumza
Sifa za fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya fasihi simulizi.
-Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili.
-Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi.
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuuliza maswali
Kuigiza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya fasihi simulizi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
1 4
Ufahamu
Sarufi
Ufahamu
Upatanisho wa kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma kwa sauti na kimya.
-Kujibu maswali.
-Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani.
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuuliza maswali
Kuigiza
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 2-3
1 5
Sarufi
Kusoma
Upatanisho wa kisarufi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi.
-Kutambua upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na viulizi.
-Kutunga sentensi sahihi kutumia viulizi.
Tajriba.
Maswali na majibu.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
1 6
Kusoma (fasihi)
Kusoma
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi.
-Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari.
-Kueleza dhamira ya riwaya teule.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
2 1
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Barua ya kirafiki
Fasihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana na muundo wa barua za kirafiki
-Kutaja sifa za barua za kirafiki
-Kueleza umuhimu wa barua za kirafiki
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 9
2 2
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi)
Ufahamu
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza sifa za shairi mwafaka.
-Kukariri shairi ‘Kutegea kazi’
-Kueleza muundo wa shairi hilo.
Maelezo
Ufafanuzi
Majadiliano.
Uchunguzi.
Kazi ya vikundi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 11-12
2 3
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Upatanisho wa kisarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza muktadha.
-Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
2 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina
Kuandika
Upatanisho wa kisarufi
Fasihi andishi
Barua rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi.
-Kutunga sentensi akizingatia upatanisho sahihi wa kisarufi.
-Kukamilisha jedwali kutumia kirejeshi amba- na ‘o’ rejeshi.
Tajriba.
Maswali na majibu.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
2 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza mtiririko wa kisa
-Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
2 6
Kusikiliza na kuzungumza
Ufupisho
Isimu jamii: Lugha ya itifaki
Muhtasari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza mazingira ambamo lugha ya itifaki hutumiwa.
-Kufafanua sifa za lugha ya itifaki.
-Kueleza umuhimu wa lugha ya itifaki.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 21-22
3 1
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina
Aina za maneno: Nomino
Maudhui katika fasihi andishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya nomino.
-Kuainisha makundi ya nomino na kutaja mifano.
-Kutumia nomino katika sentensi sahihi.
Kueleza
Kujadili
Kujibu maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 23-25
3 2
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya.
-Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya.
Kusoma
Kujadili
Kusikiliza
kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
3 3
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Tahakiki
Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya Tahakiki.
-Kuorodhesha mambo anayohitaji kuzingatia mhakiki anapoandika Tahakiki.
-Kuandika tahikiki ya maneno yasiyopungua 400 wala kuzidi 450.
Kueleza
Kujadili
Kujibu maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 27-29
3 4
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu
Misemo
Mfinyanzi hulia gaeni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza umuhimu wa misemo.
-Kutoa mifano ya misemo.
-Kutumia katika misemo kimantiki na kisarufi.
Mashindano
Majadiliano
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 32-34
3 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kubainisha aina za wahusika.
-Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika.
-Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kuigiza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
3 6
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina
Viwakilishi
Mashairi huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya viwakilishi.
-Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake.
-Kufafanua matumizi ya viwakilishi.
-Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi.
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Majadiliano
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
4 1
Kuandika
Kusoma (fasihi)
Insha ya methali
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua muundo wa insha ya methali.
-Kupambanua sifa za insha ya methali.
-Kuandika insha ya methali.
Masimulizi
Uchunguzi
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 45-46
4 2
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Isimu jamii: Sajili ya bunge
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali.
Kusoma
Kuadili
Kudodoso fani za lugha
Kuandika
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
4 3
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha
Ufahamu
Aina za maneno: Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma kwa sauti na kimya.
-Kujibu maswali.
-Kubainisha umuhimu wa usalama barabarani.
Usomaji.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 48-51
4 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi)
Aina za maneno: Vivumishi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuainisha vivumishi.
-Kutoa mifano ya vivumishi.
-Kutumia vivumishi katika sentensi.
Maelezo
Ufafanuzi.
Utafiti.
Kutoa mifano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
4 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutaja vipengele vya kutumia kupata maadili ya Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza maana ya anwani na umuhimu wake.
-Kufafanua wahusika na jinsi wanavyojenga maadili.
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
4 6
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi simulizi: Mafumbo
Fasihi simulizi: Misimu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutoa maana ya mafumbo.
-Kueleza sifa bainifu za mafumbo.
-Kupambanua dhima ya mafumbo.
-Kufumbua mafumbo.
Uvumbuzi wa mafumbo.
Uvumbuzi huria.
Michezo ya lugha.
Maelezo
Ufafanuzi.
Mifano.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-58
5 1
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi)
Lakabu
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya lakabu.
-Kufafanua sifa za lakabu.
-Kutoa mifano ya lakabu.
Usomaji.
Maelezo.
Utafiti.
Majadiliano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
5 2
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha
Unene wa kuhatarisha
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma taarifa kwa ufasaha.
-Kujibu maswali kwa usahihi.
-Kueleza maana ya maneno.
-Kuzingatia mafunzo.
Usomaji.
Utafiti.
Utatuzi wa mambo.
Uchunguzi kifani
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 62-64
5 3
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina
Vitenzi
Mashairi huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vitenzi.
-Kubainisha vitenzi katika sentensi.
-Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba.
Maelezo.
Mifano.
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
5 4
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
-Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
-Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
5 5
Kusikiliza kuzungumza
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru
Mahojiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua sifa za shairi huru.
-Kupambanua pingamizi dhidi ya mashairi huru.
-Kuandika shairi huru lisilopungua beti nne.
Mashairi
Maelezo
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
5 6
Kusikiliza kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Ufupisho
Vitenzi: Mzizi na viambishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma ufupisho.
-Kueleza kwa kutumia maneno yasiyozidi 50, vitambulisho vya ukubwa vya kale na sasa.
-Kwa maneno 35 kueleza kati ya vijana wa sasa na wa kale.
Maelezo.
Kuigiza.
Kuandika.
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 74-75
6 1
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi
-Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti (kazi ya ziada)
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
6 2
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Tamathali za usemi
Soga
Mnyambuliko wa vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza manufaa ya tamathali za usemi kwa uandishi wa fasihi.
-Kufafanua maana za tamathali za usemi.
-Kudondoa tamathali zozote kutoka kwenye riwaya teule.
Usomaji.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 79-83
6 3
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Uandishi wa tahariri
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya tahariri
-Kujadili jinsi ya kuandika tahariri.
-Kuandika tahariri.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kamusi ya fasihi simulizi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 95
6 4
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Ufahamu
Mnyambuliko vitenzi II
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma ufahamu.
Kutoa maelezo kuhusu jinsi Kiswahili kinavyotumika katika vyombo vya habari Duniani.
Kufafanua na kutunga sentensi semi na msamiati.
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuuliza maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 97-98
6 5
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi)
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja.
Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha.
Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika.
Tajriba.
Maswali na majibu.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
6 6
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kwanza
Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kwanza
Kujibu maswali
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
7-9

Series 3, Midterm

10 1
Kuandika
Fasihi
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya neno ‘utafiti’
Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi.
Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani.
Kueleza
Kusoma
Kuigiza
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
10 2
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi)
Miviga
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua maana ya miviga katika jamii
Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii
Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita
Kueleza
Kusikiliza
Kujadili
Kusoma makala kitabuni kwa sauti
kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
10 3
Kusoma (fasihi)
Ufupisho
Sarufi na matumizi ya lugha
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Ufupisho
Aina za maneno; Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya pili.
Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya pili.
Kujibu maswali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi
Kitabu teule
10 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Aina za maneno; Viunganishi
Aina za maneno; Vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutaja aina za viunganishi.
Kueleza aina za viunganishi.
Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi.
Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123
10 5
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya nne na ya tano ya hadithi fupi (Haru na Sabina)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nne na ya tano.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nne na ya tano.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
10 6
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina
Aina za maneno; Vihisishi
Mashairi ya arudhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutaja aina za vihisishi.
Kueleza aina za vihisishi.
Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi.
Kutunga sentensi akitumia vihisishi.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125
11 1
Kuandika
Memo
Baruameme
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutambua maana ya memo.
Kueleza muundo wa memo.
Kuandika memo.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129
11 2
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya sita (Mzimu wa Kipwerere)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya sita.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya sita.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
11 3
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Ujumbe wa rununu
Ngano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza umuhimu wa rununu
Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu
Kuandika ujumbe wa rununu
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130
11 4
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Ngano
Uundaji wa maneno
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutaja aina za ngano
Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko.
Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao.
Kusoma
Majadiliano
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
11 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya saba (Kila Mchezea Wembe)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya saba.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya saba.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi
Kitabu teule
11 6
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Insha za masimulizi
Mighani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kujieleza kwa mtiririko ufaao
Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo
Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha
Kueleza
Kujadili
Kujibu maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
12

Series 4

13 1
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi)
Mwingiliano wa aina za maneno
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza jinsi aina za maneno hubadilika kutegemea utendaji kazi yake katika sentensi
Kufafanua jinsi aina za maneno huingiliana.
Kubainisha maneno yaliyopigwa mistari ni ya aina gani.
Kutunga sentensi akitumia msamiati ufaao
Mashindano
Majadiliano
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 146-148
13 2
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nane.
Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nane.
Kujibu maswali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi
Kitabu teule
13 3
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Kumbukumbu
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu
Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha
Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Majadiliano
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
13 4
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi)
Nyakati, hali na ukanushaji wake
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki-
Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo
Kukanusha sentensi hali hizo tatu
Masimulizi
Uchunguzi
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158
13 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Historia ya lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya tisa.
Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya tisa.
Kujibu maswali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi
Kitabu teule
13 6
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu
Hotuba
Isimujamii: Sajili ya viwandani
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya hotuba.
Kutambua umuhimu wa hotuba.
Kufafanua muundo wa hotuba.
Kuandika hotuba.
Usomaji.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
14 1
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya kumi (Toba ya Kalia)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
14 2
Sarufi
Kusoma kwa kina
Ukanushaji wa hali II
Kamliwaze
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli-
Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo
Kukanusha sentensi hali hizo tatu
Maelezo
Ufafanuzi.
Mifano.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167
14 3
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Insha ya mawazo
Mawaidha katika fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza muundo wa insha ya mawazo
Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo
Kuandika insha ya mawazo ifaavyo.
Kueleza
Kujadili
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
14 4
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya kumi na moja (Nipe nafasi)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na moja.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na moja.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
14 5
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha
Ufahamu
Uakifishaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua mawazo makuu katika kifungu
Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi
Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu
Maelezo.
Mifano.
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
14 6
Kusoma kwa kina
Kuandika
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi)
Idhini ya kishairi
Insha ya wasifu
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’
Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi.
Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi.
Maelezo.
Kuigiza.
Kuandika.
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176

Your Name Comes Here


Download

Feedback