If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1-2 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
ushairi
Utungaji wa kiuaminifu -barua simu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ushairi Kukariri ushairi somo ; Kueleza maana ya barua simu Kutaja mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa barua simu Kuandika barua simu |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo Majadiliano Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 95-96) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 97-98) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
1 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi bora; vitate /s/ na /sh/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutamka maneno kwa ufasaha Kutumia vitate vyema katika sentensi Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo ch polisi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 97-100) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
1 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo cha polisi Kuigiza mazungumzo katika kituo cha polisi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 100-102) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
1 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo cha polisi Kuigiza mazungumzo katika kituo cha polisi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 100-102) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
1 | 6 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina-shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuchambua shairi kutoka kwa diwani Kutaja vipengele vinavyounda shairi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 110) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 1-2 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuamilifu-matangazo
Dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua madhumini ya matangazo Kuandika matangazo Kutaja mambo muhimu ya kuzingaitiwa katika uandishi wa matangazo Kutaja njia za kupitisha matangazo somo ; Kueleza maana ya dayolojia Kuandika dayolojia Kueleza mtindo wa dayolojia Kusoma na kuigiza dayolojia |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 111-115) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 116-117) |
|
2 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Vitate vya sauti /s/ na /z/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua vitate vya sauti /s/ na /z/ na kuvitumia vyema katika sentensi. Kueleza maana ya vitanza ndimi. Kutambua na kutamka vitanza ndimi vyema. Kujibu maswali kutoka kwa Makala ya haki za Watoto kikamilifu |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk118-120) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 4 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Kusoma dondoo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma dondoo katika kitabu cha mwanafunzi vyema. Kueleza mtiririko wa mtukio katika dondoo. Kutambua wahusika katika dondoo. Kujiu maswali sahihi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk120-122) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 5 |
Sarufi
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza kazi ya viwakilishi. Kutambua aina ya viwakilishi. Kujadili aina za viwakilishi na kutaja mifano. Kutumia viwakilishi vyema katika sentensi na mazungumzo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk122-129) |
|
2 | 6 |
Kusoma kwa mapana
|
Janga la ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma kifungu lenye mada Janga la ukimwi. Kujadili matukio katika kifunguu kicho. Kujibu maswali kuhusu kifungu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk130-132) |
|
3 | 1-2 |
Kuandika
|
Ratiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ratiba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika ratiba. Kuandika ratiba . Kueleza maana ya hotuba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa rotuba |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk132-134) |
|
3 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Ushairi -Usafi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mabo yaliyozumngumziwa katika ushairi. Kutambua lengo la shairi hilo. Kujibu maswali kuhusu ushairi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk136-138) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 4 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vielezi. Kutaja na kujadili aina tofauti za vielezi. Kutoa mifano ya aina tofauti za vielezi. Kutumia vielezi vyema kwa kuunda sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk138-142) |
|
3 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Hadithi fupi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hadithi fupi. Kutaja na kujadili sifa za hadithi fupi. Kutaja mambo muhumu katika uandishi wa hadithi fupi.. Kuandika hadithi fupi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk143) |
|
3 | 6 |
Kuandika
|
Taarifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya taarifa. Kutaja na kujadili sifa za taarifa. Kuandika taarifa kuhusu hali ya ukame. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk144) |
|
4 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Fasihi simulizi-maigizo
Ushairi -mwanamke |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maigizo. Kutaja na kujadili aina tofauti za maigizo. Kujadili sifa za maigizo. Kueleza dhima ya maigizo somo ; Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mtindo uliotumika katika uandishi wa shairi hilo. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk145-147) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk147-148) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 3 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Ushairi -mwanamke
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mtindo uliotumika katika uandishi wa shairi hilo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk147-148) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 4 |
Sarufi
|
Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya viunganishi na kueleza manufaa yake katika sentensi. Kutaja mifano ya viunganishi . Kutumia viunganishi vyema katika sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk148-150) |
|
4 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Matumizi ya kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja na kujadili matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati ya bunge. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk150-151) |
|
4 | 6 |
Kuandika
|
Unadishi wa insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua vipengee muhimu vya kuzingatiwa katikauandishi wa insha. Kuandika insha kuhusu mada aipendayo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk151-152) |
|
5 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Mjadala
Kusoma taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mjadala. Kutaja wahusika katika mjadala. Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kujibu zoezi kikamilifu somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwnafunzi. Kujadili taarifa kwa kina. Kutaja aina mbalimbali ya vyakula |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk153-154) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk155-157) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 3 |
Sarufi
|
Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vihusishi. Kujadili matumizi ya vihusishi. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya vihusishi. Kutumia vihusishi vyema katika sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk157-159) |
|
5 | 4 |
Kusoma kwa mapana
|
Mtambo wa ATM
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ATM Kusoma taarifa kuhusu ATM. Kueleza alichojifunza kuhusu ATM Kueleza jinsi ya kutumia ATM Kujibu maswali kutoka kwa taarifa ipasavyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk160-163) |
|
5 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Mtambo wa ATM
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ATM Kusoma taarifa kuhusu ATM. Kueleza alichojifunza kuhusu ATM Kueleza jinsi ya kutumia ATM Kujibu maswali kutoka kwa taarifa ipasavyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk160-163) |
|
5 | 6 |
Kuandika
|
Resipe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya resipe. Kujadili matumizi ya resipe. Kueleza mambo ya kuzingatiwa katika uundaji wa resipe. Kuunda resipe |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk164-165) |
|
6 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Sauti tatanishi /f/ na /v/
Fasihi simulizi-Visasili
Tarakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua maneno yenye sauti tatanishi /f/ na /v/ Kutamka vitanza ndimi ipasavyo. Kueleza maana ya visasili. Kujadili dhima ya visasili Kusoma kisa mfano ya kisasili kwenye kitabu cha mwanafunzi somo ; Kueleza maana ya tarakilishi. Kutambua mifano ya tarakilishi. Kusoma Makala kuhusu tarakilishi. Kujibu maswali kuhusu Makala hiyo sahihi. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk166-170) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk170-172) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 3 |
Sarufi
|
Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vihisishi Kujadili matumizi ya vihisishi. Kutaja mifano ya vihisishi. Kutumia vihusishi katika sentensi ipasvyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk172-174) |
|
6 | 4 |
Kusoma kwa mapana
|
Ufisadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katikakitabu cha mwanafunzi. Kuipa kichwa mwafaka Makala hiyo. Kujadili mabo muhimu yaliyoangaziwa katika kifungu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk174-175) |
|
6 | 5 |
Kuandika
|
Risala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuleza maana ya risala. kujadili matumizi ya risala kutambua mifano ya risala. Kuandika risala |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk175-176) |
|
6 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ushairi simulizi-nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili sifa za nyimbo. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya nyimbo. Kuimba wimbo wa harusi ipasavyo. Kueleza maana ya semi. Kueleza matumizi ya misemo Kutoa mifano ya misemo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk177-181) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 1-2 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Ushairi -Mrija
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mrija. Kujadili muundo wa shairi Kukariri shairi lenye mada mrija |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk182-183) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 3 |
Sarufi
|
Vinyume vya vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza vinyume vya vitenzi. Kutumia vinyume vya vitenzi ipasavyo katika sentensi Kujibu maswali kutokna na vinyume vya vitenzi ipasavyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk183-185) |
|
7 | 4 |
Kusoma kwa mapana
|
Jinsia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya jinsia Kusoma Makala yeyote kuhusu jinsia. Kutaja vitu muhimu yaliyojadiliwa kuhusu jinsia |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk185) |
|
7 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa kisanii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua na kujadili aina ya mashairi. Kujadili sifa za shairi hizi. Kutaja vitu muhimu vya kuzingatiwa katika uundaji wa shairi hizi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 186) |
|
7 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya methali. Kueleza sifa za methali. Kutaja mifano ya methali kuu. Kujadili dhima ya methali |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 187-190) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
8 | 1-2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Ajira ya watoto
Nyakati-hali ya ukanushaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutabiri matukio katika ufahamu. Kusoma ufahamu katika kitabu cha mwanafunzi kuhusu ajira ya Watoto. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. somo ; Kueleza maana ya ukanushaji. Kutambua viambishi vinavyoonyesha wakati Kutumia ukanushaji ipasavyo katika sentensi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 190-192) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 192-200) |
|
8 | 3 |
Sarufi
|
Nyakati-hali ya ukanushaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ukanushaji. Kutambua viambishi vinavyoonyesha wakati Kutumia ukanushaji ipasavyo katika sentensi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 192-200) |
|
8 | 4 |
Kusoma kwa mapana
|
Kusoma maktabani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili kusoma maktabani. Kufanya utafiti kuhusu mazingira |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 200) |
|
8 | 5 |
Kuandika
|
Barua rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya barua rasmi. Taja sehemu tofauti za barua rasmi. Kutambua na kueleza miundo tofauti za barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia miundo tofauti |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 200-204) |
|
8 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-Hekaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hekaya. Kusoma hekaya kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 205-206) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
9 | 1-2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Lubigisa
Sentensi ya kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Lubigisa Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. somo ; Kutaja na kujadili aina tofauti ya sentensi. Kutoa mifano ya aina mbali mbali ya sentensi. Kutunga sentensi tofauti kotaka kwa maneno waliyopewa. Kujibu maswali kuhusu aina ya sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk206-208) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk209-211) |
|
9 | 3 |
Kusoma kwa mapana
|
Umoja wa kitaifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutafuta ujumbe kuhusu umoja wa kitaifa Kutaja manufaa ya umoja wa kimataifa. Kueleza jinsi ambavyo umoja wa kitaifa inaweza kufanikishwa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk212) |
|
9 | 4 |
Kuandika
|
Uandishi wa kawaida-Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya muhtasari. Kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa muhtasari. Kuandika muhtasari ya kisa cha Lubigisa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk212) |
|
9 | 5 |
Kuandika
|
Uandishi wa kawaida-Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya muhtasari. Kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa muhtasari. Kuandika muhtasari ya kisa cha Lubigisa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk212) |
|
9 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ushairi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya shairi simulizi. Kukariri shairi kwenye kitabu cha mwanafunzi wimbo wa uchumba. Kutafsiri maana ya wimbo huo. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk213) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
10 | 1-2 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Taarifa
Mnyambuliko wa vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma tarifa kwenye kitabu cha mwanafunzi Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. somo ; Taja njia mbalimbali jinsi vitenzi vinanyambuliwa. Nyambua vitenzi ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 214-215) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 215-217) |
Your Name Comes Here