If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi bora: sauti tatanishi /b/ na /mb/
Isimu jamii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutamka sauti /b/ na /mb/ vizuri Kutunga senetensi kwa kutumia maneno yenye sauti hizi kueleza maana ya isimu jamii kuigiza mazungumzo yalivyotumika katika isimu jamii kutaja mifano ya msamiati |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 1-3) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
1 | 2 |
Kusoma ufahamu
|
urafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo Kusoma ufahamu na kuelezeamtirirko wa matukio Kujibu maswali kuhusu ufahamu Kutambua na kueleza maana ya misamiati yaliyotumika katika ufahamu kueleza maana ya urafiki na Madhumuni ya urafiki |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk3_5) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
1 | 3 |
Sarufi
|
Mofimu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mofimu Kutaja aina ya mofimu Kuonyesha matumizi ya umoja na wingi katika ngeli |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 5-7) |
|
1 | 4 |

1 | 5 |
Sarufi
|
Viambishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya viambishi Kutambua aina za viambishi Kutumia viambishi vyema katika sentensi |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 7-9) |
|
2 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuelezea vipengele muhimu za fasihi Kuelezea maana ya tamthilia Kusoma tamthilia na kujibu maswali |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo |
Kitabu Cha Mashairi
|
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 9-12) |
|
2 | 2 |
Kuandika
|
Utungaji wa kisanii-mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja na kutambua vipengele muhimu katika mchezo wa kuigiza Kuandika mchezo wa kuigiza kuhusu jambo lolote |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 12) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutamka matamshi tatanishi /la/, /na/ na /ra / sahihi Kuigiza mazungumzo kati ya jopo na mtafuta kazi Kutambua vitu muhimu vinavyozingatiwa katika mahojiano |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 14-15) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 4 |

2 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Magonjwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutabiri matukio katika ufahamu Kutaja aina ya magonjwa Kusoma ufahamu na kutambua misamiati yaliyotumika na maana |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk16-17) |
|
3 | 1 |
Sarufi
|
Aina za maneno-nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya nomino Kutaja aina za nomino Kutumia nomino katika mazungumzo na sentensi vyema |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 18-20) |
|
3 | 2 |
Kusoma
|
Matumizi ya kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua sifa za kamusi Kutumia kamusi kutoa maelezo ya maneno fiche |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo |
Kitabu Cha Mashairi
|
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 20-21) |
|
3 | 3 |
Kuandika
|
Utangaji wa kuamilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua mtindo unaofwatwa katika uandishi wa mahojiano Kutambua vipengee muhimu yanayozingatiwa katika uandishi wa mahojiano |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 21-22) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi bora-sauti tatanishi /g/ na /ng/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutamka maneno yaliyo na sauti tatanishi /g/ na /ng/ Kutumia maneno yenye sauti hizi katika mazungumzo na sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 23) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 4-5 |

4 |
Cat one |
|||||||
5 | 1 |
fasihi simulizi
|
vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja vitendawili Kutambua sifa na dhima za vitendawili Kutambua matumizi ya vitendawili Kueleza dhima, sifa na mifano ya chemsha bongo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 24-26) |
|
5 | 2 |
Kusoma kwa ufahamu
|
vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma ufahamu na kujibu maswali Kuelezea mtiririko wa matukio katika taarifa |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 26-29) |
|
5 | 3 |
Sarufi
|
Aina za maneno-vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuelezea maana ya vivumishi Kutambua aina ya vivumishi Kutaja mifano ya vivumishi Kutumia vivumishi katika sentesi na mazungumzo |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo |
Kitabu Cha Mashairi
|
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 30-37) |
|
5 | 4 |
Kuandika
|
Ilani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana na umuhimu wa ilani Kutaja sifa za ilani na onyo Kutaja aina za ilani Kutengeneza ilani na onyo Kueleze tofauti za onyo na ilani |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 38-42) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 5 |

6 | 1 |
Kusikiliza na na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua aina za hadithi Kutaja dhima na madhumuni ya hadithi za kale Kueleza sifa za hadithi za kale Kusoma aina ya hadithi katika kitabu cha wanafunzi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 43-49) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 2 |
Kusikiliza na na kuzungumza
|
Tanakali za sauti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja mifano za tanakali za sauti Kueleza maana ya tanakali za sauti Kueleza matumizi ya tanakali za sauti |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 49-50) |
|
6 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi 2
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja aina za vivumishi Kutoa mifano ya aina yote ya vivumishi Kutumia vivumishi vyema katika sentensi |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo |
Kitabu Cha Mashairi
|
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 52-69) |
|
6 | 4 |
Kusoma kwa kina
|
Riwaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ya riwaya Kutaja aina za riwaya Kutaja vipengele za riwaya Kuandika hadithi fupi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 69) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua na kutamka maneno yaliyo na sauti tatanishi /ch/ na /sh/ Kueleza maana ya misemo Kutaja aina ya misemo Kutambua madhumuni ya misemo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 71-75) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 |
CAT TWO & MIDTERM |
|||||||
8 | 1 |
Kusoma
|
Kajinga Acheza na Sensa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma ufahamu na kueleza mtiririko wa matukio Kujibu maswali kuhusu ufahamu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 75-78) |
|
8 | 2 |

8 | 3 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitenzi Kutaja aina za vitenzi Kutumia vitenzi katika mazungumzo na sentensi |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 78-82) |
|
8 | 4 |
Kusoma
|
Lugha, utamaduni na katiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katika kitabu cha mwanafunzi Kutabiri matukio katika Makala kabla ya kusoma Kutambua misamiati yaliyotumika katika Makala Kujibu maswali kuhusu Makala |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo |
Kitabu Cha Mashairi
|
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk82-84) |
|
8 | 5 |
Kuandika
|
Uandishi wa insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua muundo unaozingatiwa katika uandishi wa insha Kueleza mambo muhimu yakuzingatiwa katika uandishi wa insha Kuandika insha |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 84-86) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
9 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi bora -vitate vya sauti /b/ na /p/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitate Kutaja maneno yaliyo na vitate vya sauti /b/ na /p/ |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(up 87-88) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
9 | 2 |

9 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuigiza mazungumzo kati ya deti na mhudumu Dondoa misamiati ya heshima yaliyotumika katika mazungumzo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 88-89) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
9 | 4 |
Kusoma
|
Ripoti kuhusu ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ripoti Kufafanua ripoti Kutambua vipengele muhimu katika uandishi wa ripoti |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 89-91) |
|
9 | 5 |
Sarufi
|
Aina za maneno-vitenzi vishirikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitenzi vishirikishi Kutaja aina ya vishirikishi Kutumia vishirikishi katika mazungumzo na sentensi vyema |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 91-94) |
|
10 | 1 |
Kusoma kwa kina
|
ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ushairi Kukariri ushairi |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo |
Kitabu Cha Mashairi
|
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 95-96) |
|
10 | 2 |

10 | 3 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuaminifu -barua simu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya barua simu Kutaja mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa barua simu Kuandika barua simu |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 97-98) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
10 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi bora; vitate /s/ na /sh/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutamka maneno kwa ufasaha Kutumia vitate vyema katika sentensi Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo ch polisi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 97-100) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
10 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo cha polisi Kuigiza mazungumzo katika kituo cha polisi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 100-102) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
11 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina-shairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kuchambua shairi kutoka kwa diwani Kutaja vipengele vinavyounda shairi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 110) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
11 | 2 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuamilifu-matangazo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua madhumini ya matangazo Kuandika matangazo Kutaja mambo muhimu ya kuzingaitiwa katika uandishi wa matangazo Kutaja njia za kupitisha matangazo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 111-115) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
11 | 3 |

11 | 4 |
Kuandika
|
Dayolojia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya dayolojia Kuandika dayolojia Kueleza mtindo wa dayolojia Kusoma na kuigiza dayolojia |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 116-117) |
|
11 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Vitate vya sauti /s/ na /z/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua vitate vya sauti /s/ na /z/ na kuvitumia vyema katika sentensi. Kueleza maana ya vitanza ndimi. Kutambua na kutamka vitanza ndimi vyema. Kujibu maswali kutoka kwa Makala ya haki za Watoto kikamilifu |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk118-120) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
12 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Kusoma dondoo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma dondoo katika kitabu cha mwanafunzi vyema. Kueleza mtiririko wa mtukio katika dondoo. Kutambua wahusika katika dondoo. Kujiu maswali sahihi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk120-122) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
12 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza kazi ya viwakilishi. Kutambua aina ya viwakilishi. Kujadili aina za viwakilishi na kutaja mifano. Kutumia viwakilishi vyema katika sentensi na mazungumzo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk122-129) |
|
12 | 3 |

12 | 4 |
Kusoma kwa mapana
|
Janga la ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma kifungu lenye mada Janga la ukimwi. Kujadili matukio katika kifunguu kicho. Kujibu maswali kuhusu kifungu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk130-132) |
|
12 | 5 |
Kuandika
|
Ratiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ratiba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika ratiba. Kuandika ratiba . Kueleza maana ya hotuba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa rotuba |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk132-134) |
|
13-14 |
End term exam |
Your Name Comes Here