If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo. Kusoma maneno yenye sauti lengwa k.v gunia,darasa. kufurahia kusoma maneno tofauti. |
Mwanafunzi:
aweza kutambua sauti /g/, /d/, /gu/, da katika maneno. Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa |
Je, ni sauti zipi unazojua kutamka?
|
|
Kutambua
Kuambatanisha maneno lengwa
Kazi mradi
|
|
| 2 | 2 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua salamu zinazotumiwa nyakati mbalimbali. Kuigiza salamu zinazotumiwa nyakati mbalimbali. Kuchangamkia matumizi ya salamu mbalimbali. |
Mwanafunzi:
-Kusikiliza salamu za nyakati mbalimbali katika kifaa cha kidijitali. -Wanafunzi kusikiliza maelezo ya salamu mbalimbali katika sentensi k.v. shikamoo?Marahaba |
Salamu aleikum?
|
|
Kutambua salamu.
Kuigiza salamu
Kujibu maswali.
Kazi mradi
|
|
| 2 | 3 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua msamiati wa shuleni. Kusoma vifungu vya maneno yenye msaniati wa shule. Kuchangamkia matumizi ya msamiati wa shule sahihi. |
Mwanafunzi:
-Kusoma vifungu vya maneno yenye msamiati wa shule. -Watambua misamiati mbalimbali katika vifungu vya maneno k.v. mwalimu mkuu,darasa,maktaba. |
Unajua kusoma herufi na maneno gani?
|
|
Kutambua maneno
Kusoma vifungu
Kujibu maswali
Kazi mradi
|
|
| 3 | 1 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusikiliza. Kusoma kifungu chenye herufi za sauti lengwa. Kutumia maneno katika mazungumzo mbalimbali. |
- Mwanafunzi aweza kutambua sauti /g/, /d/, /j/, na /r/ katika maneno katika vikundi.
-Mwanafunzi atambue sauti alizosoma katika maneno akiwa pekee yake. -Wasome vifungu vyenye herufi za sauti lengwa k.v. gwaride,gunia. |
Unajua kusoma herufi na maneno gani?
|
Vifungu vya maneno.
Kadi maneno. Chati. JKF Kiswahili Gredi 2 uk 7-8. |
Kutambua maneo.
Kusoma sauti za maneno
Kujibu maswali.
Kazi mradi.
|
|
| 3 | 2 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma msamiati wa tarakimu. Kuandika msamiati wa tarakimu mbalimbali. Kufuruhia matumizi ya msamiati wa tarakimu mbalimbali. |
#NAME?
|
Je, hii ni tarakimu gani?
|
|
Kutambua Msamiati.
Kusoma.
Kujibu maswali.
Kazi mradi.
|
|
| 3 | 3 |

| 4 | 1 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu cha shule yetu. Kujibu maswali ya kifungu cha shule yetu. Kuimarisha ustadi wa lugha kwa kusoma misamiati mbalimbali. |
Mwanafunzi:
-Kusoma kifungu cha shule yetu kwa vikundi au wakiwa wawili wawili. -Kujibu maswali ya kifungu cha shule yetu k.v. shule yenu inaitwa aje? |
Je, unatambua msamiati gani wa shule?
|
|
Kutambua msamiati
Kusoma msamiati
Kujibu maswali
Kazi mradi
|
|
| 4 | 2 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maneno yenye sauti lengwa/g/d. Kusoma maneno yeye sauti lengwa ya /g/d/. Kufurahia kusoma maneno yenye sauti lengwa/g/d/ |
Mwanafunzi:
-Kusoma sauti mbalimbali k.v. g/d/ |
Unajua kuandika herufi na maneno gani?
|
|
Kutambua maneno.
Kuaandika maneno
Kujadili maana ya maneno.
Kusoma maneno
|
|
| 4 | 3 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
|
#NAME?
|
Je, ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha kitu ni cha mwenzako?
|
|
Kutambua maneo
Kuambatanisha maneno lengwa
Kujibu maswali
Kazi mradi
|
|
| 5 | 1 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
|
#NAME?
|
Tunaamkuana vipi wakati wa asubuhi, mchana na jioni?
|
|
Kutambua maamkuzi
Kusoma maamkuzi
Kuigiza
Kazi mradi
|
|
| 5 | 2 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutamka sauti na majina yenye sauti/j/r/. Kusoma maneno yenye sauti /j/r. Kufurahia kutamka maneno yenye sauti/j/r. |
Mwanafunzi kutamka sauti /j/r/.
Kusoma maneno yenye sauti j//r k.v jembe,rula,randa n.k. |
Je, unaeza tamka majina yenye sauti/j/r?
|
|
Kujibu maswali
Kutambua k.m. kwenye orodha
Kuambatanisha maneno na majibu
Wanafunzi
kufanyiana tathmini
|
|
| 5 | 3 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma maneno na sentensi zinazojumuisha msamiati wa shuleni katika kuimarisha stadi ya kusoma. Kuandika maneno na sentensi fupi kuhusu shule ili kuimarisha stadi ya kuandika. Kufurahia kutumia msamiati wa shule katika mawasiliano ya kila siku. |
#NAME?
|
Taja vifaa mbalimbali vinavyopatikana shuleni na umuhimu wake.
|
|
Kusoma
Kutambua k.m. kwenye orodha
Kuandika.
|
|
| 6 | 1 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi la tunapenda kusoma. Kujibu maswali ya shairi la tunapenda kusoma. Kuchangamkia utunzi wa shairi. |
#NAME?
|
Je, unadhani hili shairi linahusu nini?
|
|
Kusoma
Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu.
Kazi mradi.
|
|
| 6 | 2 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutamka sauti na majina yenye sauti/j/r/. Kusoma maneno yenye sauti /j/r. Kufurahia kutamka maneno yenye sauti/j/r. |
Mwanafunzi kutamka sauti /j/r/.
Kusoma maneno yenye sauti j//r k.v jembe,rula,randa n.k. |
Je, unaeza tamka majina yenye sauti/j/r?
|
|
|
|
| 6 | 3 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutaja majina ya vitu vinavyopatikana shuleni ili kuimarisha stadi ya kuzungumza. kuelezea vitu vinavyopatikana shuleni ili kuimarisha stadi ya kusikiliza. kuthamini umuhimu wa vitu vinavyopatikana shuleni. |
#NAME?
|
Ni vifaa vipi vinavyopatikana shuleni?
|
|
Kusoma
Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu.
Kazi mradi.
|
|
| 7 | 1 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nambari 21-30 kwa maneno ili kuimarisha mawasiliano. kusoma nambari 21-30 kwa maneno ili kujenga stadi ya kusoma. kuchangamkia kutumia nambari 21- 30 kwa maneno katika mazungumzo yake. |
-Mwanafunzi asome majina ya nambari 21-30. Wanafunzi wasome kadi za nambari 21-30 na majina yake ili kuziambatanisha katika vikundi.
-Mwanafunzi aandike nambari 21-30. |
Unaeza andika nambari gani kati ya 21 hadi 30?
|
|
Kusoma
Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu.
Kazi mradi.
|
|
| 7 | 2 |

| 7 | 3 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusikiliza. kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma. kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku. |
#NAME?
|
Unajua kuandika herufi na maneno gani?
|
|
Kusoma
Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu.
Kazi mradi.
|
|
| 8-9 |
Midterm |
||||||||
| 9 | 2 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma sentensi zinazojumuisha |
-Mwanafunzi:
Kutambua na kusoma sentensi zinazojumuisha -ako,-enu katika sentensi kwa vikundi. -Mwanafunzi kujaza mapengo akitumia -ako,au enu katika sentensi akiwa pekee yake. |
Je, -ako inatumika kuonyesha nini?
|
Chati
|
Kusoma
Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu.
Kazi mradi.
|
|
| 9 | 3 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi la tunapenda kusoma. Kujibu maswali ya shairi la tunapenda kusoma. Kuchangamkia utunzi wa shairi. |
#NAME?
|
Shairi hili linahusu nini?
|
|
Kusoma
Kutambua Kuambatanisha maneno na majibu.
Kazi mradi.
|
|
| 10 | 1 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma. kuandika herufi zinazowakilishwa na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kuandika. kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku. |
#NAME?
|
Unajua kuandika herufi na maneno gani?
|
|
Kutambua k.m. kwenye orodha Kusoma maneno
Kuandika setntensi
Kazi mradi
|
|
| 10 | 2 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua nambari 31-50 kwa maneno ili kuimarisha mawasiliano. kuandika nambari 31-50 kwa maneno ili kujenga stadi ya kuandika. kuchangamkia kutumia nambari 31- 50 kwa maneno katika mazungumzo yake. |
-Mwanafunzi asome majina ya nambari 31-50.
-Wanafunzi wasome kadi za nambari 31-50 na majina yake ili kuziambatanisha katika vikundi. -Mwanafunzi aandike nambari 31-50 |
Taja 31-50 kwa Kiswahili?
|
|
Kutambua.
Kuandika nambari
Kujaza mapengo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 3 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma hadithi kuhusu shule ili kuimarisha stadi ya kusoma . kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa katika kupata mafunzo ya hadithi . kuchangamkia kusoma hadithi kuhusu shule |
#NAME?
|
Unaona nini katika picha?
|
|
Kutambua
Kusoma
Kujaza mapengo
Kujibu maswali
Kazi mradi
|
|
| 11 | 1 |
SHULENI
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo. kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika kujenga stadi ya kusikiliza. kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku. |
-Mwanafunzi aweza kutambua sauti /g/, /d/, /j/, na /r/ katika maneno.
-Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa. |
Je, unaeza tamka maneo yenye sauti/j/r?
|
|
Kusoma
Kujaza mapengo
Kutambua
Kazi mradi
|
|
| 11 | 2 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi aliyosoma au kusomewa ili kuimarisha ufahamu kusoma hadithi zinazohusu ndege wa nyumbani ili kujenga usomaji bora |
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi. Wanafunzi washiriki katika kusoma darasani, wakiwa wawili na baadaye asome peke yake. Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ya mwalimu au hadithi iliyorekodiwa. |
Ni nini unachokiona katika picha?
Unafikiri ni nini kitakachotoke a katika hadithi?
|
Mwalimu asikilize wanafunzi wakieleza nini wanachokion a katika picha.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 117-118
|
|
| 11 | 3 |
Kusoma
:
|
Hadithi.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza hadithi zinazohusu ndege wa nyumbani zikisomwa ili kujenga usikivu kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa kuhusu ndege wanaofugwa ili kupata ujumbe Kuchangamkia kusoma hadithi ili kuendeleza ari ya kusoma zaidi. |
Wanafunzi waweza kusomeana hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi.
Wanafunzi waweza kusoma hadithi kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia k.v. tarakilishi na projekta. Mwanafunzi atunge sentensi akitumia msamiati uliotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi anakili majina na sentensi zinazojumuisha majina ndege wa nyumbani. Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kwa kutumia jitabu mbele ya darasa. |
Unakumbuka nini kutokana na hadithi uliyosoma?
Ni kwa nini unampenda ndege wako?
|
Mwalimu awasikilize wanafunzi wakisoma wakitumia vifaa vya teknolojia.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 118-119
|
|
| 12 | 1 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kutambua msamiati unaohusiana na shughuli za sokoni ili kuimarisha mawasiliano. Kusoma msamiati wa sokoni ili kujenga usomaji bora. |
Mwanafunzi asome maneno kuhusu soko kwenye kadi na chati. Mwanafunzi afafanue maana ya msamiati wa sokoni
k.v mkokoteni, vibanda, ratili, bidhaa, risiti, dalali, mnunuzi, muuzaji na mchuuzi). Mwanafunzi achore vitu vipatikanavyo sokoni |
Ni maneno yapi au msamiati upi unaotumika sokoni?
|
Mwalimu asikilize msamiati unaopatikana sokioni kuyoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 126-127
|
|
| 12 | 2 |

| 12 | 3 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kufahamu maana ya msamiati unaotumiwa sokoni ili kuwezesha mawasiliano kutunga sentensi akitumia msamiati wa sokoni ili kuimarisha mawasiliano |
Mwanafunzi aweza
kutazama picha au video za vitu vya sokoni zikiambatanishwa na sauti na maneno. Mwanafunzi aambatanishe majina na vitu vipatikanavyo sokoni. Mwanafunzi aweza kujaza nafasi katika sentensi kwa maneno yanayotumiwa sokoni. |
Ni maneno
yapi au msamiati upi unaotumika sokoni?
|
Mwalimu
asikilize maana ya msamiati kutoka kwa wanafunzi. |
Mwanafunzi
Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 128
|
|
| 13 | 1 |
Sokoni.
|
Msamiati.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, Kuandika maneno na sentensi akitumia msamiati wa sokoni ili kuimarisha stadi ya Kuandika. Kuthamini shughuli za sokoni. |
Mwanafunzi anakili msamiati kuhusu shughuli za sokoni.
Mwanafunzi atunge sentensi akitumia msamiati kuhusu shughuli za sokoni. |
Je, unaweza kuchora bidhaa gani zinazopatikan a sokoni?
|
Mwalimu atazame maneno na sentensi za wanafunzi kuhusu msamiati sokoni.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 129
|
|
| 13 | 2 |
Sarufi:
|
Matumizi ya ndani ya na nje ya.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha mawasiliano kutumia ndani ya na nje ya katika sentensi kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano kusoma sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi asome sentensi zinazodhihirisha matumizi ndani ya na nje ya.
Mwanafunzi atunge sentensi zinazorejelea vitu halisi darasani k.m. kitabu kimo ndani ya kabati; Mwanafunzi yupo nje ya darasa; katika vikundi. Mwanafunzi ashiriki katika kuigiza vitendo vinavyoonyesha ndani ya na nje ya. |
Je, ni nini kinyume cha ndani ya?
|
Mwalimu kusikiza matumizi ya ndani nan je kutoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 137
|
|
| 13 | 3 |
Sarufi:
|
Matumizi ya ndani ya na nje ya.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuandika sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya ili kuimarisha stadi ya kuandika kuchangamkia matumizi ya ndani ya na nje ya katika maawasiliano |
Mwanafunzi aweza kukamilisha sentensi zinazodhihirisha matumizi ya ndani ya na nje ya kwa kurejelea michoro tofauti tofauti akiwa peke yake au katika
kikundi. Mwanafunzi aweza kufanya mazoezi ya kutumia ndani ya na nje ya kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia. |
Je, ni nini kinyume cha ndani ya?
|
Mwalimu asikize majibu ya kinyume kutoka kwa wanafunzi.
|
Mwanafunzi Tarakilishi
Kiswahili Dadisi Gradi ya tatu uk, 138
|
|
Your Name Comes Here