Home







MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA PILI
MWAKA WA 2025
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1

Opener exams

1 5
Kusikiliza na kuzungumza
Matamshi bora: sauti tatanishi /b/ na /mb/ Isimu jamii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutamka sauti /b/ na /mb/ vizuri
Kutunga senetensi kwa kutumia maneno yenye sauti hizi
kueleza maana ya isimu jamii
kuigiza mazungumzo yalivyotumika katika isimu jamii
kutaja mifano ya msamiati
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 1-3)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
1 6
Kusoma ufahamu
Kuandika
urafiki
Utungaji wa kisanii-mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
Kusoma ufahamu na kuelezeamtirirko wa matukio
Kujibu maswali kuhusu ufahamu
Kutambua na kueleza maana ya misamiati yaliyotumika katika ufahamu
kueleza maana ya urafiki na Madhumuni ya urafiki
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk3_5)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
2 1
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu
Matamshi bora
Magonjwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutamka matamshi tatanishi /la/, /na/ na /ra / sahihi
Kuigiza mazungumzo kati ya jopo na mtafuta kazi
Kutambua vitu muhimu vinavyozingatiwa katika mahojiano
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 14-15)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
2 2
Sarufi
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Aina za maneno-nomino
Utangaji wa kuamilifu
Matamshi bora-sauti tatanishi /g/ na /ng/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya nomino
Kutaja aina za nomino
Kutumia nomino katika mazungumzo na sentensi vyema
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 18-20)
2 3-4
fasihi simulizi
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Kuandika
vitendawili
Aina za maneno-vivumishi
Ilani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutaja vitendawili
Kutambua sifa na dhima za vitendawili
Kutambua matumizi ya vitendawili
Kueleza dhima, sifa na mifano ya chemsha bongo

somo ;
Kuelezea maana ya vivumishi
Kutambua aina ya vivumishi
Kutaja mifano ya vivumishi
Kutumia vivumishi katika sentesi na mazungumzo
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 24-26)
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 30-37)
2 5
Kusikiliza na na kuzungumza
Sarufi
Fasihi simulizi-hadithi
Tanakali za sauti
Vivumishi 2
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutambua aina za hadithi
Kutaja dhima na madhumuni ya hadithi za kale
Kueleza sifa za hadithi za kale
Kusoma aina ya hadithi katika kitabu cha wanafunzi
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu Cha Mashairi
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 43-49)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
2 6
Kusoma kwa kina
Kusikiliza na kuzungumza
Riwaya
Matamshi bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya ya riwaya
Kutaja aina za riwaya
Kutaja vipengele za riwaya
Kuandika hadithi fupi
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 69)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
3 1
Kusoma
Sarufi
Kajinga Acheza na Sensa
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma ufahamu na kueleza mtiririko wa matukio
Kujibu maswali kuhusu ufahamu
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 75-78)
3 2
Kusoma
Kuandika
Lugha, utamaduni na katiba
Uandishi wa insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma Makala katika kitabu cha mwanafunzi
Kutabiri matukio katika Makala kabla ya kusoma
Kutambua misamiati yaliyotumika katika Makala
Kujibu maswali kuhusu Makala
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Mazungumzo
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk82-84)
3 3-4
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa kina
Matamshi bora -vitate vya sauti /b/ na /p/
Isimu jamii
Ripoti kuhusu ukimwi
Aina za maneno-vitenzi vishirikishi
ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya vitate
Kutaja maneno yaliyo na vitate vya sauti /b/ na /p/

somo ;
Kueleza maana ya vitenzi vishirikishi
Kutaja aina ya vishirikishi
Kutumia vishirikishi katika mazungumzo na sentensi vyema
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mashairi
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(up 87-88)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 91-94)
3 5
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Utungaji wa kiuaminifu -barua simu
Matamshi bora; vitate /s/ na /sh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya barua simu
Kutaja mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa barua simu
Kuandika barua simu
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 97-98)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
3 6
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma
Kuandika
Isimu jamii
Kusoma kwa kina-shairi
Utungaji wa kiuamilifu-matangazo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza sifa za mazungumzo katika kituo cha polisi
Kuigiza mazungumzo katika kituo cha polisi
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 100-102)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
4 1
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Dayolojia
Vitate vya sauti /s/ na /z/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya dayolojia
Kuandika dayolojia
Kueleza mtindo wa dayolojia
Kusoma na kuigiza dayolojia
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 116-117)
4 2
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Kusoma dondoo
Viwakilishi
Janga la ukimwi
Ratiba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma dondoo katika kitabu cha mwanafunzi vyema.
Kueleza mtiririko wa mtukio katika dondoo.
Kutambua wahusika katika dondoo.
Kujiu maswali sahihi.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk120-122)
Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila)
4

End term exams


Your Name Comes Here


Download

Feedback