Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2025
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

Opening and revision

2 1
Usafi wa mazingira Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza na kujibu . mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho mada ndogo :
-Kutambua vipienegele vya kuzingatia katika kusikiliza na kuchangia mjadala
-Kueleza vipgengee vya kuzingatia katika kskiliza na kuchangia mjadala
-Kutazamana na kusikiliza mjadala lengwa katika vifaa vya kidigitali
-Kuchngamkia kutambua vipengele muhimu katika mjadala
katika makundi :
-KUtazama na kuskiliza mjadala kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kijitari
-Atambue vipengele vya kuzingatia katika kuskiliza na kuchnagia mjadala
-Ajadili vipengele alivyotambua kwenye daftari lake .
-Ashiriki mjadala darasani na wenzake.
Je unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala ?
Acess kiswahili gredi ya 9 uk 1-3.
Vifao vya kidijitezi
Chati kudi mane matini ya mwalimu
-Kitambua -Kuuliza na kujibu maswali . -Orodha hakiki -Kueleza -Kushiriki mjadala .
2 2
Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza na kujibu . mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo katia kushiriki mjadala.
-Achangamkie kushiriki katika mjadala ya miktadha mbalimbali.
-kuteua mada au swala lengwa la kufanyiwa mjadala
-kushiriki mjadala kuhusu swala lengwa akizingatia vipengele
Je unazingatia nini wakati wa kushiriki mjadala ?
Wanafunzi kiswahili ukwa wa 3 .
-Kushiriki mjadala . -Matamshi bora ya maneno
2 3
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha simulizi .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi
-Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu simulizi
-Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza kuelwa habari
-kusoma kifunguu cha simulizi kwa zamu katika kifungo cha habari.
-Atambue habari mahususi katika kifungo cha simulizi kuhusu suala lengwa
-Andondoe habari muhimu katika kifungu cha simulizi
-Apange matkio yanavyofuatana katika kifungu
-Ajibu maswali ya ufahamu.
Je unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu simulizi ?
-Kiswahili sahili gredi ya 9 uk 4 - 6.
-Picha
-Michoro vifaa vya kidijitali .
-kusoma kutambua . -Kujibu maswali . -Kufanyia na tathmini .
2 4

3 1
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha simulizi .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kufanya ufasiri na utabiri kutokana na kifungu cha simulizi
-kutambua na kueleza maana ya msamiati kama ulivytumika katika kifungu
-Achangamkie kutumia msamiati alivyotumbua kwa usahihi katika utunzi wa sentensi.
-kutabiri matukio katika kifungu kutkana na picha au matukio
-Afasiri habari kutokana na kifungu cha simulizi.
-Atambue na kuorodhesha msamiati katika kifungu alichokioma
-Aeleze maana aya msamiati kulingana na matumizi yake kimuktadha
-Atunge sentensi akitumia msamiati huo kwa usahihi.
Je utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu simulizi?
-Kiswahili gredi ya 9 uk wa 5 - 6
-Chati
-Kamusi
-Matin ya mwalimu .
-Kutambua -Kutunga sentensi . -Wanafunzi kufanyia na tathmini .
3 2
Kuandika
Viakifishi Alama ya koloni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua alama ya koloni katka amtini
-kueleza matumizi ya koloni katka matini
-kutumia alama ya koloni ipasavyo katka matini
-Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya koloni katika matini mbalimbali
-Atambue alama ya koloni katika sentensia au vifungu kwenye matani andishi au za kidijitali.
-Kutunga sentensi au fifungu kifupi kuhusu swala lengwa kwa kutumia alama ya koloni ipasavyo.
Je alama koloni hutumiwa vipi katika maandishi ?
-Kiswahili sahil gredi ya 9 uk wa 7-8 .
-Matini ya mwalimu
-Kifaa cha kiditali
-Kutambua -Kutunga sentensi . -Orodha hakiki -Kujaza pengo
3 3
Kuandika
Viakifishai Semi koloni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua alama ya semi koloni ilivyo tumika katika matini .
-Kutumia alama ya semi koloni katika matani
-Kufurahia matumizi yafaayo katika matini
-Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya semi koloni katika matani mbali mbali?.
-kutambua alama ya semi koloni katika sentensi au matini andishi.
-kueleza matumizi ya semi koloni katika matini.
-Atunge sentensi au kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama ya semi koloni ipasavyo?
Je alama ya semi - kolonihutumiwa vipi katika maandishi?
-Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 9 - 10 .
-Matini ya mwalimu
-Kadi
-Maneno .
-Orodha hakiki -Kutunga sentensi
3 4
Sarufi
Vihsishi Vihusishi vya mahali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-aweze kueleza maana ya vihusishis
-Atambue vihusishi vya mahali katika matani
-Kuchamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali katka matni mbali mbali.
Katika makundi waili waili au peke yake aelekezwe:
-kueleza maana ya vihusishi vya mahali
-Atambue vihusishi vya mahali katika matani.
-Achangamkie kutumia vihusishi vya mhali katika matani mbali mbali
Je ni wakati gani tunatumia vihusishi vya mahali?
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 10 - 11 .
-Kadi maneno
-Matini ya mwalimu
-kujaza pengo -Kuuliza Maswal na majibu -Kutunga sentensi -Kufanyiana tathmini
4 1
Sarufi
Vihsishi Vihusishi vya wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya wakati katika matani
-Kutmia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini.
-kutambua vihusishi vya wakati kutka kwa kapu maneno chati au mti maneno
-kutambua vihusishi vya wakati kutoka kwa kapu maneno na chati
-kujaza nafasi kwa vihusishi vya wakati
-Kutunga sentensi akitumia vihusishi vya wakati ipasavyo akizingatia maswala tambulika.
Je vihusishis vya wakati vinatumika wakati gani ?
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 11 -12 .
-Chati mabango
-Vifaa vya kidigitali .
-kamusi
-kujaza pengo -maswali na majibu -Kutunga sentesnsi
4 2

4 3
Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza kwa kina . Sauti - b - na -mb -
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambka sauti
-kutambua sauti b na mb ipasavyo ili kuzitofautisha.
-Kusikiliza na kutamka sauti b na mb katika vitanza ndimi katika kifaa cha kidijitali .
-Kushirikiana na wenzake kubuni vitanza ndimivyepesi vinavyo husiana na sauti b na mb.
Je kutumia maneno yenye sauti -b - na - mb - yana umuhimu gani?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 14-15 .
-Mti maneno
-Matini ya mwalimu
Na mwanafunzi
-Kifaa cha kidijitari
-kutambua -Kutunga vitanzi ndimi -Oroha hakiki
4 4
kusoma
Kusoma kwa mapona
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuteuana kufafanua ujumbe wa matani aliyoyasoma
-kutambua msamiati ulotumika katika matani ya kujichagulia
-Kujenga mazoea ya kujisomea matani mbali mbali aliyojichagulia
- kuteua matini kuhusu suala linalo mvutia kisha some matani aliyojichagulia .
-kutambua msamiati muhimu atika matani aliyoteua
-Kufafanua ujumbe wa matani aliyoyasoma kwa ufupi.
-Kutambua na kuorodhesha msamiati uliotumika katika matani aliyojichagulia .
Je unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 15-16 .
-Matini mbali mbali za kujichagulia.
-kusoma -kutambua msamiati -kuorodhesha msamiti na maana yake.
5 1
Kuandika
Insha za kiuamilifu . Barua ya kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua ujumbe unaotumika katika kujibu barua ya kirafiki
-Kueleza lugha inytumika katika kujibu barua ya kirafiki
-Kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki.
-Kuchamkia kuchora muundo unaotuika katika kujibu barua ya kirafki .
-kutambua ujumbe unaoafiki anapojibu barua ya kirafki.
-kueleza lugha inayofaa kujibu barua ya kirafiki
-kuchora muundo wa kujibu barua ya kirafiki kitambuni
Je unazingatia nini unapojibu barua ay kirafiki?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 17-18 .
-Matini ya mwalimu .
-Michoro
-chati
-Kutambua -Kuchora -Kujibu maswali -Kueleza . -Kujadiliana na wenzake.
5 2

5 3
Kuandika
Insha za kiuamilifu Barua ya kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujibu barua aya kirafiki akizingatia ujumbe ,lugha na muundo unaofaa
-Kujenga mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku.
-kuandika na kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe,lugha na muundo unaofaa
-Kuwasomea wenzake barua aliyoiandika ili waitolee maoni.
Je unazingatia nini unapojibu barua ay kirafiki?
-acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 18-19 .
-Vifaa vya kidijitali .
-Matini ya mwalimu.
-Kuandika barua -Kusomeana -Kufanya tathmini .
5 4
sarufi
Vihusishi . Vihusishi vya A - unganifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya a unganifu katika matani
-kutumia vihusishi vya a unganifu ipasavyo kaika matini
-Kuchngamkia matumizi ya a unganifuifaavyo kaytika mahusiano
-kutambua vihusishi vya a unganifu katika kapu maneno chati au katika tarakilishi.
-Kutambua vihusishi vya a unganifu katika sentensi au vifungu kwenye vitabu
-Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya a unganifu akizingatia maswala mtaambuko .
Je vihusishi vya A- unganifu hutumika vipi ?
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 19-20 .
-Vifaa vya kidigitali .
-Matini ya mwalimu.
-kutambua -Kuulizana na kujibu maswali -Kutunga sentensi -Orodha hakiki -Kufanya tathmini .
6 1
sarufi
Vihusishi vya sababu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya sababu katika matani
-kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo katika matani.
-Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika mawasiliano
-kutambua vihusishi vya sababu kutoka kwa kapu la maneno au kadi maneno au tarakilishi
-kutambua vihusishi vya sababu katika sentensi kwa kuvipigia mstari
-Kutunga sentensi na vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya sababu akizingatia masuno mtambuko
Je vihusishi vya - A- unganifu na vya sababu hutofautiana vipi ?
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 21-22.
-Vifaa vya kidijitali
-Kapu na kadi amneno
-Matini ya mwalimu
-Kutambua -Kutunga sentensi -Tathmini ya mwanafunzi -Orodha hakiki .
6 2
Kusikiliza na kuzungumza
Semi Tashbihi sitiari na methali Tashbihi .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleze maana ya tashbihi
-Kutabua tashbihi katika matani ya fasihi .
-Kueleza matumizi ya tashbihi katika matani ya fasihi simlizi
-Kuchangamkia kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo za fasihi simulizi .
-kueleza maana ya tshbihi
-Atambue tashbhi katika matani ya fasihi
-Aeleze matumizi ya tashbihi katik amatani ya fasihi simulizi.
-Achangamkie kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo la fasihi.
Je tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi ?
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 23-24 .
Matini ya mwalimu
Kapu la tashbihi
chati
-Kusoma -Kutambua -Kujadili -Kielezo maana -Kuchangamkia mazoezi .
6 3
Kusikiliza na kuzungumza
Semi . (sitiari na methali )
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-aweze kutumia istiari katika uwasilishaji wa tungo la fasihi .
-Kchangmkia matumizi ya istiari na methali katika tungo la fasihi simulizi.
-kutumia istiari na methali katika uwasilishaji wa tung za fasihi simulizi
-Ashiriki katika uwasilishaji wa istiari na methali katika fasihi simulizi
Je kwa nini tunatumia ishari na methalikuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 24 -26 .
Matini ya mwalimu
Kapu la tashbihi
chati
-kufunga tathmini -kusoma hadithi -Kuwasilisha istiari -methali -mazoezi
6 4

7 1
Kusoma
Kusoma kwa kina . Sifa za ushairi .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya shairi ili kutofautisha na tungo nyingine
-Kujadili sifa za ushairi kama utunzi wa fasihi andishi
-kueleza sifa za ushairi katika shairi
-Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasishi.
-kutafiti maana ya ushairi vitambuni au mtandaoni ili kutofautisha na fungo nyingine.
-kutambua sifa za ushairi utunzi wa fasihi andishi
-Kujadiliana sifa za ushairi kama ufunzo wa fasihi simulizi
Je shairi uiowahi kulisoma lilikua linasimulia nini? Je unafahamu sifa zipi za ushairi?
-Kiswahili acess gredi ya 9 ukurasa wa 29-30.
-Matini ya mwalimu
-Kifaa cha kidigitari
-mashairi
-kutambua -Kujadiliana na kutafiti -maswali na majibu -shairi
7 2
Kusoma
Kusoma kwa kina . Sifa za ushairi .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma mashairi katika diwani teule
-kutambua sifa za shairi katika mashairi atakayosoma
-Kuchngamkia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi.
-kusoma mashairi katika diwani iliyoteuliwa na mwalimu
-Achambue mashairi atakayosoma kwa kutambua na kueleza sifa za ushairi katika mashairi hayo
awasomee wenzake sifa laizotambua katika mashairi ili wamtolee maono.
Je unavutiwa na nini unaposoma shairi?
-diwani teule
-Vifaa vya kidigitari
-Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 31-32
-kusoma -kuchambua -kueleza sifa -Orodha hakiki.
7 3
Kuandika
Insha za kubuni . Masimulizi .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengelee vya kufafaulia ujumbe wa insha ya simulizi
-Kufafanua ujumbe wa insha ya simulizi kupitia kwa utanguliizi kiini na hitimisho .
-Kuafanua ujumbe wa insha smulizi kupitia kwa wahusika
-Kufurahia kufafanua ujumbe wa insha simulizi ili kufanikisha maelezo.
-kutambua vipengele vya kufanunua ujumbe wa insha simulizi
-Kusoma kielelezo cha insha simulizi .
-Kufafanua ujumbe kupitia kwa utangulizi,kiini na hitimisho
-Asome kielelzo cha insha ya masimulizi na kufafafnua ujumbe kupitia wahusika.
-Atoe amelezo yake darasani.
Je unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi ?
Kiswahil gradi ya 9 ukurasa 32-33
Vifaa vya kiditali
Matini ya mwalimu
Kielelzo cha insha.
-kusoma -kuchambua -Kijadilana -Kuulizana na kujibu maswali.
7 4
Kuandika
Insha za kubuni masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika insha ya masimuizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao
-Kuandika insha simulizi kwa kuzingati aujumbe na muundo ufaao .
-kuandika insha ya asimulizi daftarini mwake au kweny kifaa cha kidijitali akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi ,kiini,hitimisho na wahusika
-Awasomee wenzake ili waitolee maoni .
Je unaff kuzingatia nini unapoa andika insha ya masimulizi?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 33
-Matini ya mwalimu .
-Vifaa vya kidigitari
-kuandika insha -Kufanyiana tathmini -Kielelzo cha barua iliyoandikwa
8

Mid term break

9

Mid term exam

10 1
Sarufi
Vuhusishi . Vihusishi vilinganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vilinganishi katika matini .
-Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini .
-Kuchangamkia kutumia vihusishi vilinganishi katika mawasiliano ya kila siku .
-kufafanua maan aya vihusishi vilinganishi .
-Kuchopoa vihusishi vilinganishi katika chati au tarakilishi .
-Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu akizingatia masuala mtambuko .
Je vihusishi vilinganishi ni nini?
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati
-Vifaa vya kiditajitari
-Matii ya mwalimu .
-Kitambua -Kuulizana na kujibu maswali -Kutunga sentensi
10 2

10 3
Sarufi
Vihusishi . Kihusishi na .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi na katika matini .
-Kutumia kihusshi na ipasavyo katika matini .
-Kuchangamkia kutumia kihusishi na katika amawasiliano ya kila siku .
-Kutambua kihusishi na katika sentensi kwenye vifungo kwa kupigia mstari .
-Atunge sentensi na vifungu kwa kutumia kihusishi na akizingatia maswala lengwa na masuala mtambuko mbali mbali .
Je kihusishi na kuchngia vipi katika mawasiliano?
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati
-Vifaa vya kidigitari
-Matini ya mwalimu .
-kutambua -Kutunga sentensikufanya mazoezikutathmin
10 4
Kuskiliza na kuzungumza
Semi . vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitendawili ili kuvipambanua .
-Kutambua vitendawili ktika matini .
-Kufafanua umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi .
-Kuchangamkia uwasilishaji wa vitendawili katika fungo za fasihi .
-Kueleza maana ya vitendawili .
-Kutambua vitendawili katika matini ya fasihi simulizi .
-Kutafiti mtandaoni au vitabuni umuhimu wa vitendawili .
-Kujadili vipengele vya uwasilishaji vitendawili .
-Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili .
Je vitendawili vina umhim upi katka fasihi simulizi? Je unazingatia nini unapowasilisha vitendawili?
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 37-38 .
-Matini ya mwalimu.
-Chati
-Michoro
-Kifaa cha kidigitali .
-kueleza -Kitendawili -kufafanua -Kuwasilisha vitendawili -Kutenga na kutengua.
11 1
Kusikiliza na kuzungumza
Semi . Nahali .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maan ya nahu ili kupambanua .
-Kutambua nahau katika matini
-Kufafanua umuhimu wa nahu katika fasihi simulizi.
-Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi .
- kueleza maana ya nahau .
-Kutambua nahau mbali mbali katika matini ya fasihi simulizi na kueleza maan yake .
-Kutafiti mtandaoni umuhimu wa nahau .
-Atunge sentensi akitmia nahu ifaavyo
-Ajaze nafasi katika sentensi kwa kutumia nahau mwafaka .
Je nahau ni nini ?
-Acess kiswahil gradi ya 9 ukurasa wa 39-40.
-Matini ya mwalimu
-Picha
-Michoro
-Vifaa vya kidijari.
-kujaza nafasi -Kutunga sentensis -Kujadili -Kutathmini.
11 2

11 3
Kusoma kwa ufasaha
Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengele vya kuzingati katika kusoma kwa ufasaha .
-Kusoma kifungu cha nathari akizingatia matamshi bora .
,kiwango kiffacho cha sauti na kasi ifaavyo .
-Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasialiano .
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
-Asome kifungu cha nathari akizingatia mtamshi bora .
-Asome kifungu akizingatia kasi ufaavyo na kiwango cha sauti ifaavyo .
Je unaposoma kifungu chochote unazingatia mambo gani?
kiswahli gredi ya 9 ukurasa 41-43
-Picha
-Michoro
-Vitabu
-Matini ya mwalimu .
-kusoma Kufanyiana tathmini -kutamka ipasavyo.
11 4
Kusoma kwa ufasaha
Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kifungu akizingatia ishara za misili ziffazo .
-Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufsaha ili kufanikisha mawasiliano .
-Kusoma kifungu akizingatia ishara za mwili .
-Kisakuru kifungu cha nathari mtandaoni na kuwasome wenzake kwa ufasaha .
Je unaposoma kifungu chochcote unazingatia mambo gani?
Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 43.
Matini ya mwalimu?
-kusoma -Kufanyiana tathmini.
12

End term exam

13

Marking and closing

Your Name Comes Here

Download

Feedback