If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 1 |
Usafi wa mazingira
Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza na kuzungumza Kusoma Kusoma Kuandika |
Kusikiliza na kujibu .
mjadala
Kusikiliza na kujibu . mjadala Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha simulizi . Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha simulizi . Viakifishi Alama ya koloni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho mada ndogo : -Kutambua vipienegele vya kuzingatia katika kusikiliza na kuchangia mjadala -Kueleza vipgengee vya kuzingatia katika kskiliza na kuchangia mjadala -Kutazamana na kusikiliza mjadala lengwa katika vifaa vya kidigitali -Kuchngamkia kutambua vipengele muhimu katika mjadala |
katika makundi :
-KUtazama na kuskiliza mjadala kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kijitari -Atambue vipengele vya kuzingatia katika kuskiliza na kuchnagia mjadala -Ajadili vipengele alivyotambua kwenye daftari lake . -Ashiriki mjadala darasani na wenzake. |
Je unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala ?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 uk 1-3.
Vifao vya kidijitezi Chati kudi mane matini ya mwalimu Wanafunzi kiswahili ukwa wa 3 . -Kiswahili sahili gredi ya 9 uk 4 - 6. -Picha -Michoro vifaa vya kidijitali . -Kiswahili gredi ya 9 uk wa 5 - 6 -Chati -Kamusi -Matin ya mwalimu . -Kiswahili sahil gredi ya 9 uk wa 7-8 . -Matini ya mwalimu -Kifaa cha kiditali |
-Kitambua
-Kuuliza na kujibu maswali .
-Orodha hakiki
-Kueleza
-Kushiriki mjadala .
|
|
1 | 2 |
Kuandika
Sarufi Sarufi Kusikiliza na kuzungumza kusoma Kuandika Kuandika sarufi sarufi Kusikiliza na kuzungumza |
Viakifishai
Semi koloni
Vihsishi Vihusishi vya mahali Vihsishi Vihusishi vya wakati Kusikiliza kwa kina . Sauti - b - na -mb - Kusoma kwa mapona Insha za kiuamilifu . Barua ya kirafiki Insha za kiuamilifu Barua ya kirafiki Vihusishi . Vihusishi vya A - unganifu Vihusishi vya sababu Semi Tashbihi sitiari na methali Tashbihi . |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua alama ya semi koloni ilivyo tumika katika matini . -Kutumia alama ya semi koloni katika matani -Kufurahia matumizi yafaayo katika matini -Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya semi koloni katika matani mbali mbali?. -aweze kueleza maana ya vihusishis -Atambue vihusishi vya mahali katika matani -Kuchamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali katka matni mbali mbali. -kutambua vihusishi vya wakati katika matani -Kutmia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini. -kutambka sauti -kuteuana kufafanua ujumbe wa matani aliyoyasoma -kutambua msamiati ulotumika katika matani ya kujichagulia -Kujenga mazoea ya kujisomea matani mbali mbaali aliyojichagulia -kutambua ujumbe unaotumika katika kujibu barua ya kirafiki -Kueleza lugha inytumika katika kujibu barua ya kirafiki -Kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki. -Kuchamkia kuchora muundo unaotuika katika kujibu barua ya kirafki . -kujibu barua aya kirafiki akizingatia ujumbe ,lugha na muundo unaofaa -Kujenga mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku. -kutambua vihusishi vya a unganifu katika matani -kutumia vihusishi vya a unganifu ipasavyo kaika matini -Kuchngamkia matumizi ya a unganifuifaavyo kaytika mahusiano -kutambua vihusishi vya sababu katika matani -kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo katika matani. -Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika mawasiliano -kueleze maana ya tashbihi -Kutabua tashbihi katika matani ya fasihi . -Kueleza matumizi ya tashbihi katika matani ya fasihi simlizi -Kuchangamkia kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo za fasihi simulizi . |
-kutambua alama ya semi koloni katika sentensi au matini andishi.
-kueleza matumizi ya semi koloni katika matini. -Atunge sentensi au kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama ya semi koloni ipasavyo? |
Je alama ya semi - kolonihutumiwa vipi katika maandishi?
|
-Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 9 - 10 .
-Matini ya mwalimu -Kadi -Maneno . -Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 10 - 11 . -Kadi maneno -Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 11 -12 . -Chati mabango -Vifaa vya kidigitali . -kamusi -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 14-15 . -Mti maneno Na mwanafunzi -Kifaa cha kidijitari -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 15-16 . -Matini mbali mbali za kujichagulia. -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 17-18 . -Matini ya mwalimu . -Michoro -chati -acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 18-19 . -Vifaa vya kidijitali . -Matini ya mwalimu. -Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 19-20 . -Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 21-22. -Vifaa vya kidijitali -Kapu na kadi amneno Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 23-24 . Matini ya mwalimu Kapu la tashbihi chati |
-Orodha hakiki
-Kutunga sentensi
|
|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi Kuskiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza Kusoma kwa ufasaha Kusoma kwa ufasaha |
Semi .
(sitiari na methali )
Kusoma kwa kina . Sifa za ushairi . Kusoma kwa kina . Sifa za ushairi . Insha za kubuni . Masimulizi . Insha za kubuni masimulizi Vuhusishi . Vihusishi vilinganishi Vihusishi . Kihusishi na . Semi . vitendawili Semi . Nahali . Kusoma kwa ufasaha Kusoma kwa ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-aweze kutumia istiari katika uwasilishaji wa tungo la fasihi . -Kchangmkia matumizi ya istiari na methali katika tungo la fasihi simulizi. |
-kutumia istiari na methali katika uwasilishaji wa tung za fasihi simulizi
-Ashiriki katika uwasilishaji wa istiari na methali katika fasihi simulizi |
Je kwa nini tunatumia ishari na methalikuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 24 -26 .
Matini ya mwalimu Kapu la tashbihi chati -Kiswahili acess gredi ya 9 ukurasa wa 29-30. -Matini ya mwalimu -Kifaa cha kidigitari -mashairi -diwani teule -Vifaa vya kidigitari -Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 31-32 Kiswahil gradi ya 9 ukurasa 32-33 Vifaa vya kiditali Kielelzo cha insha. -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 33 -Matini ya mwalimu . -Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34. -Chati -Vifaa vya kiditajitari -Matii ya mwalimu . -Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 37-38 . -Matini ya mwalimu. -Michoro -Kifaa cha kidigitali . -Acess kiswahil gradi ya 9 ukurasa wa 39-40. -Picha -Vifaa vya kidijari. kiswahli gredi ya 9 ukurasa 41-43 -Vitabu Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 43. Matini ya mwalimu? |
-kufunga tathmini
-kusoma hadithi
-Kuwasilisha istiari
-methali
-mazoezi
|
|
2 | 2 |
Kuandika
Sarufi Sarufi Kusikiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza Kusoma Kusoma Kuandika sarufi sarufi Kusikiliza na kuzungumza Kusoma Kusoma Kuandika sarufi |
Insha za kubuni
masimulizi
Nyakati na hali . Ki- ya masharti Nyakati na hali . Hali ya kufuata na kwa vitendo . Ufahamu wa kuskiliza Ufahamu wa kuskiliza Kusoma kwa ufahamu . Kusoma kwa ufahamu . Insha za kiuamilifu . Shajara . Hali yza masharti . -nge- Hali ya masharti . -ngali) Kusikiliza na kufasiri . Kusoma kwa kina . Ushairi . (Maudhui) . Kusoma kwa kina . (dhamira) Insha za kubuni . (methali) Vielezi vya namna |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya lugha ya kitamli,matendo ya wahusika na mandhari ili kubainisha . -Kujadili lugha za kitamathari,matendo ya wahusika na mathari katika insha ya masimulizi . -Kuchangamkia kufafanua lugha ya kitamathdali ,matendo ya wahusika na mandhari katika insha ya masimulizi . |
-Kutambua vipengele vya lugha ya kitamathali ,matendo ya wahusika na mandhari katika masimulizi kwenye matini andishi .
-Kueleza maan ya lugha ya kitamthlia ,matendo ya wahusika na madhari . -Kusoma vielelezo vya insha za kubni kwenye matini za maandishi na kulainisha lugha ya kita mathali ,matendo ya wahusika na mandhari . |
Je unazingatia vipengee vipi unapo andika insha ya masimulizi?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 44 - 45.
-Matini ya mwalimu -Picha -Kifaa cha kidijitari. -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 46? -Matini ya mwalimu. -Michoro -vitabu 1,kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 47-48 -Matini ya mwalimu . -michoro -Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 48 - 49 . -Vifaa vya kidigitali -Picha michoro -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 51 -52 . -Picha -Vifaa vya kidijitari -Kiswahili gredi 9 ukurasa wa 51-52 -Matini ya mwalimu na mwanafunzi . -Kiswahli gredi ya 9 ukurasa wa 52-54 -Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 54-55 -Chati -kiswahili gredi ya 9 ukrasa wa 55-57. -Kielelewzo cha shajara -Matani ya mwalimu -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 58 -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 59-60 -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 61-62 -Matani ya mwanafunzi Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 63-64 Mitani ya mwalimu Vifaa vya kidigitari Picha za michoro -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 64-65 -Matani ya mwalmu -Vifaa vya kidigitari -kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 66-68 Kiswahili ukurasa wa 68-69 Matini ya mwalmu Picha . Michoro . Kadi maneno |
-kusoma
-Kufanyiana tathmini
|
Your Name Comes Here