If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 3 |
Usafi wa mazingira
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza na kujibu .
mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho mada ndogo : -Kutambua vipienegele vya kuzingatia katika kusikiliza na kuchangia mjadala -Kueleza vipgengee vya kuzingatia katika kskiliza na kuchangia mjadala -Kutazamana na kusikiliza mjadala lengwa katika vifaa vya kidigitali -Kuchngamkia kutambua vipengele muhimu katika mjadala |
katika makundi :
-KUtazama na kuskiliza mjadala kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kijitari -Atambue vipengele vya kuzingatia katika kuskiliza na kuchnagia mjadala -Ajadili vipengele alivyotambua kwenye daftari lake . -Ashiriki mjadala darasani na wenzake. |
Je unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala ?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 uk 1-3.
Vifao vya kidijitezi Chati kudi mane matini ya mwalimu |
-Kitambua
-Kuuliza na kujibu maswali .
-Orodha hakiki
-Kueleza
-Kushiriki mjadala .
|
|
1 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza na kujibu .
mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo katia kushiriki mjadala. -Achangamkie kushiriki katika mjadala ya miktadha mbalimbali. |
-kuteua mada au swala lengwa la kufanyiwa mjadala
-kushiriki mjadala kuhusu swala lengwa akizingatia vipengele |
Je unazingatia nini wakati wa kushiriki mjadala ?
|
Wanafunzi kiswahili ukwa wa 3 .
|
-Kushiriki mjadala .
-Matamshi bora ya maneno
|
|
2 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu
Kifungu cha simulizi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi -Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu simulizi -Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza kuelwa habari |
-kusoma kifunguu cha simulizi kwa zamu katika kifungo cha habari.
-Atambue habari mahususi katika kifungo cha simulizi kuhusu suala lengwa -Andondoe habari muhimu katika kifungu cha simulizi -Apange matkio yanavyofuatana katika kifungu -Ajibu maswali ya ufahamu. |
Je unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu simulizi ?
|
-Kiswahili sahili gredi ya 9 uk 4 - 6.
-Picha -Michoro vifaa vya kidijitali . |
-kusoma kutambua .
-Kujibu maswali .
-Kufanyia na tathmini .
|
|
2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu
Kifungu cha simulizi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kufanya ufasiri na utabiri kutokana na kifungu cha simulizi -kutambua na kueleza maana ya msamiati kama ulivytumika katika kifungu -Achangamkie kutumia msamiati alivyotumbua kwa usahihi katika utunzi wa sentensi. |
-kutabiri matukio katika kifungu kutkana na picha au matukio
-Afasiri habari kutokana na kifungu cha simulizi. -Atambue na kuorodhesha msamiati katika kifungu alichokioma -Aeleze maana aya msamiati kulingana na matumizi yake kimuktadha -Atunge sentensi akitumia msamiati huo kwa usahihi. |
Je utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu simulizi?
|
-Kiswahili gredi ya 9 uk wa 5 - 6
-Chati -Kamusi -Matin ya mwalimu . |
-Kutambua
-Kutunga sentensi .
-Wanafunzi kufanyia na tathmini .
|
|
2 | 3 |
Kuandika
|
Viakifishi
Alama ya koloni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua alama ya koloni katka amtini -kueleza matumizi ya koloni katka matini -kutumia alama ya koloni ipasavyo katka matini -Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya koloni katika matini mbalimbali |
-Atambue alama ya koloni katika sentensia au vifungu kwenye matani andishi au za kidijitali.
-Kutunga sentensi au fifungu kifupi kuhusu swala lengwa kwa kutumia alama ya koloni ipasavyo. |
Je alama koloni hutumiwa vipi katika maandishi ?
|
-Kiswahili sahil gredi ya 9 uk wa 7-8 .
-Matini ya mwalimu -Kifaa cha kiditali |
-Kutambua
-Kutunga sentensi .
-Orodha hakiki
-Kujaza pengo
|
|
2 | 4 |
Kuandika
|
Viakifishai
Semi koloni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua alama ya semi koloni ilivyo tumika katika matini . -Kutumia alama ya semi koloni katika matani -Kufurahia matumizi yafaayo katika matini -Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya semi koloni katika matani mbali mbali?. |
-kutambua alama ya semi koloni katika sentensi au matini andishi.
-kueleza matumizi ya semi koloni katika matini. -Atunge sentensi au kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama ya semi koloni ipasavyo? |
Je alama ya semi - kolonihutumiwa vipi katika maandishi?
|
-Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 9 - 10 .
-Matini ya mwalimu -Kadi -Maneno . |
-Orodha hakiki
-Kutunga sentensi
|
|
3 | 1 |
Sarufi
|
Vihsishi
Vihusishi vya mahali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-aweze kueleza maana ya vihusishis -Atambue vihusishi vya mahali katika matani -Kuchamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali katka matni mbali mbali. |
Katika makundi waili waili au peke yake aelekezwe:
-kueleza maana ya vihusishi vya mahali -Atambue vihusishi vya mahali katika matani. -Achangamkie kutumia vihusishi vya mhali katika matani mbali mbali |
Je ni wakati gani tunatumia vihusishi vya mahali?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 10 - 11 .
-Kadi maneno -Matini ya mwalimu |
-kujaza pengo
-Kuuliza Maswal na majibu
-Kutunga sentensi
-Kufanyiana tathmini
|
|
3 | 2 |
Sarufi
|
Vihsishi
Vihusishi vya wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya wakati katika matani -Kutmia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini. |
-kutambua vihusishi vya wakati kutka kwa kapu maneno chati au mti maneno
-kutambua vihusishi vya wakati kutoka kwa kapu maneno na chati -kujaza nafasi kwa vihusishi vya wakati -Kutunga sentensi akitumia vihusishi vya wakati ipasavyo akizingatia maswala tambulika. |
Je vihusishis vya wakati vinatumika wakati gani ?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 11 -12 .
-Chati mabango -Vifaa vya kidigitali . -kamusi |
-kujaza pengo
-maswali na majibu
-Kutunga sentesnsi
|
|
3 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza kwa kina .
Sauti - b - na -mb -
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambka sauti |
-kutambua sauti b na mb ipasavyo ili kuzitofautisha.
-Kusikiliza na kutamka sauti b na mb katika vitanza ndimi katika kifaa cha kidijitali . -Kushirikiana na wenzake kubuni vitanza ndimivyepesi vinavyo husiana na sauti b na mb. |
Je kutumia maneno yenye sauti -b - na - mb - yana umuhimu gani?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 14-15 .
-Mti maneno -Matini ya mwalimu Na mwanafunzi -Kifaa cha kidijitari |
-kutambua
-Kutunga vitanzi ndimi
-Oroha hakiki
|
|
3 | 4 |
kusoma
|
Kusoma kwa mapona
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuteuana kufafanua ujumbe wa matani aliyoyasoma -kutambua msamiati ulotumika katika matani ya kujichagulia -Kujenga mazoea ya kujisomea matani mbali mbali aliyojichagulia |
- kuteua matini kuhusu suala linalo mvutia kisha some matani aliyojichagulia .
-kutambua msamiati muhimu atika matani aliyoteua -Kufafanua ujumbe wa matani aliyoyasoma kwa ufupi. -Kutambua na kuorodhesha msamiati uliotumika katika matani aliyojichagulia . |
Je unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 15-16 .
-Matini mbali mbali za kujichagulia. |
-kusoma
-kutambua msamiati
-kuorodhesha msamiti na maana yake.
|
|
4 | 1 |
Kuandika
|
Insha za kiuamilifu .
Barua ya kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua ujumbe unaotumika katika kujibu barua ya kirafiki -Kueleza lugha inytumika katika kujibu barua ya kirafiki -Kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki. -Kuchamkia kuchora muundo unaotuika katika kujibu barua ya kirafki . |
-kutambua ujumbe unaoafiki anapojibu barua ya kirafki.
-kueleza lugha inayofaa kujibu barua ya kirafiki -kuchora muundo wa kujibu barua ya kirafiki kitambuni |
Je unazingatia nini unapojibu barua ay kirafiki?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 17-18 .
-Matini ya mwalimu . -Michoro -chati |
-Kutambua
-Kuchora
-Kujibu maswali
-Kueleza .
-Kujadiliana na wenzake.
|
|
4 | 2 |
Kuandika
|
Insha za kiuamilifu
Barua ya kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujibu barua aya kirafiki akizingatia ujumbe ,lugha na muundo unaofaa -Kujenga mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku. |
-kuandika na kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe,lugha na muundo unaofaa
-Kuwasomea wenzake barua aliyoiandika ili waitolee maoni. |
Je unazingatia nini unapojibu barua ay kirafiki?
|
-acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 18-19 .
-Vifaa vya kidijitali . -Matini ya mwalimu. |
-Kuandika barua
-Kusomeana
-Kufanya tathmini .
|
|
4 | 3 |
sarufi
|
Vihusishi .
Vihusishi vya A - unganifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya a unganifu katika matani -kutumia vihusishi vya a unganifu ipasavyo kaika matini -Kuchngamkia matumizi ya a unganifuifaavyo kaytika mahusiano |
-kutambua vihusishi vya a unganifu katika kapu maneno chati au katika tarakilishi.
-Kutambua vihusishi vya a unganifu katika sentensi au vifungu kwenye vitabu -Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya a unganifu akizingatia maswala mtaambuko . |
Je vihusishi vya A- unganifu hutumika vipi ?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 19-20 .
-Vifaa vya kidigitali . -Matini ya mwalimu. |
-kutambua
-Kuulizana na kujibu maswali
-Kutunga sentensi
-Orodha hakiki
-Kufanya tathmini .
|
|
4 | 4 |
sarufi
|
Vihusishi vya sababu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya sababu katika matani -kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo katika matani. -Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika mawasiliano |
-kutambua vihusishi vya sababu kutoka kwa kapu la maneno au kadi maneno au tarakilishi
-kutambua vihusishi vya sababu katika sentensi kwa kuvipigia mstari -Kutunga sentensi na vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya sababu akizingatia masuno mtambuko |
Je vihusishi vya - A- unganifu na vya sababu hutofautiana vipi ?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 21-22.
-Vifaa vya kidijitali -Kapu na kadi amneno -Matini ya mwalimu |
-Kutambua
-Kutunga sentensi
-Tathmini ya mwanafunzi
-Orodha hakiki .
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Semi
Tashbihi sitiari na methali
Tashbihi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleze maana ya tashbihi -Kutabua tashbihi katika matani ya fasihi . -Kueleza matumizi ya tashbihi katika matani ya fasihi simlizi -Kuchangamkia kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo za fasihi simulizi . |
-kueleza maana ya tshbihi
-Atambue tashbhi katika matani ya fasihi -Aeleze matumizi ya tashbihi katik amatani ya fasihi simulizi. -Achangamkie kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo la fasihi. |
Je tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi ?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 23-24 .
Matini ya mwalimu Kapu la tashbihi chati |
-Kusoma
-Kutambua
-Kujadili
-Kielezo maana
-Kuchangamkia mazoezi .
|
|
5 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Semi .
(sitiari na methali )
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-aweze kutumia istiari katika uwasilishaji wa tungo la fasihi . -Kchangmkia matumizi ya istiari na methali katika tungo la fasihi simulizi. |
-kutumia istiari na methali katika uwasilishaji wa tung za fasihi simulizi
-Ashiriki katika uwasilishaji wa istiari na methali katika fasihi simulizi |
Je kwa nini tunatumia ishari na methalikuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 24 -26 .
Matini ya mwalimu Kapu la tashbihi chati |
-kufunga tathmini
-kusoma hadithi
-Kuwasilisha istiari
-methali
-mazoezi
|
|
5 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina .
Sifa za ushairi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya shairi ili kutofautisha na tungo nyingine -Kujadili sifa za ushairi kama utunzi wa fasihi andishi -kueleza sifa za ushairi katika shairi -Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasishi. |
-kutafiti maana ya ushairi vitambuni au mtandaoni ili kutofautisha na fungo nyingine.
-kutambua sifa za ushairi utunzi wa fasihi andishi -Kujadiliana sifa za ushairi kama ufunzo wa fasihi simulizi |
Je shairi uiowahi kulisoma lilikua linasimulia nini?
Je unafahamu sifa zipi za ushairi?
|
-Kiswahili acess gredi ya 9 ukurasa wa 29-30.
-Matini ya mwalimu -Kifaa cha kidigitari -mashairi |
-kutambua
-Kujadiliana na kutafiti
-maswali na majibu
-shairi
|
|
5 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina .
Sifa za ushairi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma mashairi katika diwani teule -kutambua sifa za shairi katika mashairi atakayosoma -Kuchngamkia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi. |
-kusoma mashairi katika diwani iliyoteuliwa na mwalimu
-Achambue mashairi atakayosoma kwa kutambua na kueleza sifa za ushairi katika mashairi hayo awasomee wenzake sifa laizotambua katika mashairi ili wamtolee maono. |
Je unavutiwa na nini unaposoma shairi?
|
-diwani teule
-Vifaa vya kidigitari -Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 31-32 |
-kusoma
-kuchambua
-kueleza sifa
-Orodha hakiki.
|
|
6 | 1 |
Kuandika
|
Insha za kubuni .
Masimulizi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengelee vya kufafaulia ujumbe wa insha ya simulizi -Kufafanua ujumbe wa insha ya simulizi kupitia kwa utanguliizi kiini na hitimisho . -Kuafanua ujumbe wa insha smulizi kupitia kwa wahusika -Kufurahia kufafanua ujumbe wa insha simulizi ili kufanikisha maelezo. |
-kutambua vipengele vya kufanunua ujumbe wa insha simulizi
-Kusoma kielelezo cha insha simulizi . -Kufafanua ujumbe kupitia kwa utangulizi,kiini na hitimisho -Asome kielelzo cha insha ya masimulizi na kufafafnua ujumbe kupitia wahusika. -Atoe amelezo yake darasani. |
Je unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi ?
|
Kiswahil gradi ya 9 ukurasa 32-33
Vifaa vya kiditali Matini ya mwalimu Kielelzo cha insha. |
-kusoma
-kuchambua
-Kijadilana
-Kuulizana na kujibu maswali.
|
|
6 | 2 |
Kuandika
|
Insha za kubuni
masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika insha ya masimuizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao -Kuandika insha simulizi kwa kuzingati aujumbe na muundo ufaao . |
-kuandika insha ya asimulizi daftarini mwake au kweny kifaa cha kidijitali akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi ,kiini,hitimisho na wahusika
-Awasomee wenzake ili waitolee maoni . |
Je unaff kuzingatia nini unapoa andika insha ya masimulizi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 33
-Matini ya mwalimu . -Vifaa vya kidigitari |
-kuandika insha
-Kufanyiana tathmini
-Kielelzo cha barua iliyoandikwa
|
|
6 | 3 |
Sarufi
|
Vuhusishi .
Vihusishi vilinganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vilinganishi katika matini . -Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini . -Kuchangamkia kutumia vihusishi vilinganishi katika mawasiliano ya kila siku . |
-kufafanua maan aya vihusishi vilinganishi .
-Kuchopoa vihusishi vilinganishi katika chati au tarakilishi . -Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu akizingatia masuala mtambuko . |
Je vihusishi vilinganishi ni nini?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati -Vifaa vya kiditajitari -Matii ya mwalimu . |
-Kitambua
-Kuulizana na kujibu maswali
-Kutunga sentensi
|
|
6 | 4 |
Sarufi
|
Vuhusishi .
Vihusishi vilinganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vilinganishi katika matini . -Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini . -Kuchangamkia kutumia vihusishi vilinganishi katika mawasiliano ya kila siku . |
-kufafanua maan aya vihusishi vilinganishi .
-Kuchopoa vihusishi vilinganishi katika chati au tarakilishi . -Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu akizingatia masuala mtambuko . |
Je vihusishi vilinganishi ni nini?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati -Vifaa vya kiditajitari -Matii ya mwalimu . |
-Kitambua
-Kuulizana na kujibu maswali
-Kutunga sentensi
|
|
7 | 1 |
Sarufi
|
Vihusishi .
Kihusishi na .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi na katika matini . -Kutumia kihusshi na ipasavyo katika matini . -Kuchangamkia kutumia kihusishi na katika amawasiliano ya kila siku . |
-Kutambua kihusishi na katika sentensi kwenye vifungo kwa kupigia mstari .
-Atunge sentensi na vifungu kwa kutumia kihusishi na akizingatia maswala lengwa na masuala mtambuko mbali mbali . |
Je kihusishi na kuchngia vipi katika mawasiliano?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati -Vifaa vya kidigitari -Matini ya mwalimu . |
-kutambua
-Kutunga sentensikufanya mazoezikutathmin
|
|
7 | 2 |
Kuskiliza na kuzungumza
|
Semi .
vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitendawili ili kuvipambanua . -Kutambua vitendawili ktika matini . -Kufafanua umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi . -Kuchangamkia uwasilishaji wa vitendawili katika fungo za fasihi . |
-Kueleza maana ya vitendawili .
-Kutambua vitendawili katika matini ya fasihi simulizi . -Kutafiti mtandaoni au vitabuni umuhimu wa vitendawili . -Kujadili vipengele vya uwasilishaji vitendawili . -Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili . |
Je vitendawili vina umhim upi katka fasihi simulizi?
Je unazingatia nini unapowasilisha vitendawili?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 37-38 .
-Matini ya mwalimu. -Chati -Michoro -Kifaa cha kidigitali . |
-kueleza
-Kitendawili
-kufafanua
-Kuwasilisha vitendawili
-Kutenga na kutengua.
|
|
7 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Semi .
Nahali .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maan ya nahu ili kupambanua . -Kutambua nahau katika matini -Kufafanua umuhimu wa nahu katika fasihi simulizi. -Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi . |
- kueleza maana ya nahau .
-Kutambua nahau mbali mbali katika matini ya fasihi simulizi na kueleza maan yake . -Kutafiti mtandaoni umuhimu wa nahau . -Atunge sentensi akitmia nahu ifaavyo -Ajaze nafasi katika sentensi kwa kutumia nahau mwafaka . |
Je nahau ni nini ?
|
-Acess kiswahil gradi ya 9 ukurasa wa 39-40.
-Matini ya mwalimu -Picha -Michoro -Vifaa vya kidijari. |
-kujaza nafasi
-Kutunga sentensis
-Kujadili
-Kutathmini.
|
|
7 | 4 |
Kusoma kwa ufasaha
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengele vya kuzingati katika kusoma kwa ufasaha . -Kusoma kifungu cha nathari akizingatia matamshi bora . ,kiwango kiffacho cha sauti na kasi ifaavyo . -Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasialiano . |
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
-Asome kifungu cha nathari akizingatia mtamshi bora . -Asome kifungu akizingatia kasi ufaavyo na kiwango cha sauti ifaavyo . |
Je unaposoma kifungu chochote unazingatia mambo gani?
|
kiswahli gredi ya 9 ukurasa 41-43
-Picha -Michoro -Vitabu -Matini ya mwalimu . |
-kusoma Kufanyiana tathmini
-kutamka ipasavyo.
|
|
8 | 1 |
Kusoma kwa ufasaha
|
Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kifungu akizingatia ishara za misili ziffazo . -Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufsaha ili kufanikisha mawasiliano . |
-Kusoma kifungu akizingatia ishara za mwili .
-Kisakuru kifungu cha nathari mtandaoni na kuwasome wenzake kwa ufasaha . |
Je unaposoma kifungu chochcote unazingatia mambo gani?
|
Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 43.
Matini ya mwalimu? |
-kusoma
-Kufanyiana tathmini.
|
|
8 |
Midterm Break |
||||||||
9 | 1 |
Kuandika
|
Insha za kubuni
masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya lugha ya kitamli,matendo ya wahusika na mandhari ili kubainisha . -Kujadili lugha za kitamathari,matendo ya wahusika na mathari katika insha ya masimulizi . -Kuchangamkia kufafanua lugha ya kitamathdali ,matendo ya wahusika na mandhari katika insha ya masimulizi . |
-Kutambua vipengele vya lugha ya kitamathali ,matendo ya wahusika na mandhari katika masimulizi kwenye matini andishi .
-Kueleza maan ya lugha ya kitamthlia ,matendo ya wahusika na madhari . -Kusoma vielelezo vya insha za kubni kwenye matini za maandishi na kulainisha lugha ya kita mathali ,matendo ya wahusika na mandhari . |
Je unazingatia vipengee vipi unapo andika insha ya masimulizi?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 44 - 45.
-Matini ya mwalimu -Picha -Kifaa cha kidijitari. |
-kusoma
-Kufanyiana tathmini
|
|
9 | 2 |
Kuandika
|
Insha za kubuni
masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika insha ya masimuliizi akizingatia lugha ya kitamadhali ,matendo ya wahusika na mandhari -Kufurahia kuandika insha za masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali ,matendo ya wahusika,uchoraji wa mandhari ufaao ili kufanikisha mawasiliano . |
- kuandika insha ya amasimulizi kuhusu suala lengwa akitumia vipengele vifaavyo vya lugha ya kitamadhari ili kujenga taswira zifaazo .
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika kuhusu suala lengwwa ili wachanganue lugha ya kitamadharli,matendo ya wahusika na madhari . |
Je unazingatia vipengee vipi unapoandika insha ya masimuizi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 46?
-Matini ya mwalimu. -Michoro -vitabu |
-kuandika tathmini
-Orodha hakiki
-Kusomea wengine.
|
|
9 | 3 |
Sarufi
|
Nyakati na hali .
Ki- ya masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kufafanua amatumizi ya ki ya masharti -Kutambua ki ya masharti katika matini . -Kutumia ki ya masharti ipasavyo katika matini . -Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo ki ya ya masharti ili kufanikisha mawasiliano . |
-kutambua ki ya mashrati katika matini mbali mbali .
-Kuchanganua sentensi zilizi ashiria matumizi ya ki ya masharti kutokana ana mchanganyiko wa sentensi kwenye vitabu au tarakiishi . -Atunge sentensi akitumia ki ya masharti . |
Je ki-ya masharti hutumika wakati gani katika sentensi?
|
1,kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 47-48
-Matini ya mwalimu . -Vitabu -Picha -michoro |
-kutambua
-Mifano
-Maelezo
-mazoezi
-Kutunga sentensi
-Kuandika.
|
|
9 | 4 |
Sarufi
|
Nyakati na hali .
Hali ya kufuata na kwa vitendo .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini . -Kutumia ka ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini . -Kujenga mazoea ya matumizi ya ka ya kufuatana kwa vitendo ili kufanikisha mawasiliano . |
-kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini mbalimbali
-Atambue sentensi zinazoashiria matumizi ya kufuatana kwa vitendo kutokana na mchnganyiko wa sentensi kwenye vitabu au tarakilishi . |
Je -ka ya kufuatana kwa vitendo hutumika wakati gani katika senstensi.?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 48 - 49 .
-Matini ya mwalimu -Vifaa vya kidigitali -Picha michoro |
-kueleza Mifano
-mazoezi
-Kutunga sentensi
-Kutathmini
|
|
10 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kuskiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza . -Kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza -Jadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza . -Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa kufahamu ili kukuza stadi za kusikiliza . |
-Kueleza maan ya ufahamu wa kusikiliza .
-Kutaja na kujadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza . -Kujadili vipengele vya kusikiliza . |
Je kuskiliza kwa ufahamu kuna faida gani?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 51 -52 .
-Matini ya mwalimu -Vifaa vya kidigitali -Picha -michoro |
-kusikilza na kujibu maswali .
|
|
10 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kuskiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza akizingatia vipengele vyake . -Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikilza . |
-Kusikiliza ufahamu kuhuzu suala lengwa ktoka kwa mwalimu na pia kwenye chombo cha kidijitali .
-Kushirikiana na wenzake kujibu maswali kutoka kwa ufahamu walioshirikiza . |
Je kusikiliza kwa ufahamu kuna faida zipi?
|
-Vifaa vya kidijitari
-Kiswahili gredi 9 ukurasa wa 51-52 -Matini ya mwalimu na mwanafunzi . |
-Kusoma
-Kusikiliza
-Kuuliza maswali .
-Kujibu maswali
|
|
10 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi kutoka kifungu cha ufahamu . -Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu . -Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza kuelewa habari . |
-Kusoma kifungu cha ufahamu .
-Kudondoa habari mahususis katika kifungu cha ufahamu . -Kueleza habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi na ufasiri kutokana na kifungu cha ufaham u . |
Je kwa nini tunasoma kifungu cha ufahamau?
|
-vifaa vya kidigitali
-Kiswahli gredi ya 9 ukurasa wa 52-54 -Matini ya mwalimu -Picha |
-kusoma na Kuulizana maswali
-Kudondoakielelzo
-kutabiri
-michoro
|
|
10 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua msamiati kutoka kwa kifungu cha ufahamu . -Kueleza maan aya msamiati kulingana na kifungu cha ufahamu . -Kuchangamkia matumizi ya msamiati aliotambua katika sentensi na vifungu . |
-Kuchopoa msamiati wa suala lengwa kwenye kitabu
-Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa matumizi katika matini . -Kutumia msamiati huo kutunga sentensi sahihi kisha amsomomee mwenzake ili kutoleana maana . |
Je ni mambo gani tunayozingatia tunaposoma kifungu cha ufahamu?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 54-55
-Chati -Matini ya mwalimu -Picha -michoro |
-kusoma
-Kudondoa msamiati
-Kutunga sentensi
|
|
11 | 1 |
Kuandika
|
Insha za kiuamilifu .
Shajara .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maan ya shajara . -Kujadili vipengele vya shajara . -Kuandika shajara akizingatia vipengele vyake . -Kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku . |
-Kueleza maana ya shajara .
-Kujadili na mwenzake shajara alivyoisoma . -Kutambua na kujadili vipengele vya shajara kwa kurejelea kielelezo cha shajara . -Kuandika shajara akizingatia vipengele vya vyake . |
Je muundo na mtindo wa shajara ni upi?
Je kwa nini watu utumia shajara?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukrasa wa 55-57.
-Kielelewzo cha shajara -Matani ya mwalimu |
-Kitambua
-Kuuliza na kujibu.
-Kujadili
|
|
11 | 2 |
sarufi
|
Hali yza masharti .
-nge-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maan ya hali ya masharti . -Kutambua matumizi ya hali ya masharti nge katika matini -Kutumia hali ya masharti nge ipasavyo katika matini . -Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti nge ili kukuza ufasaha wa lugha . |
-Kutafiti maana halisi ya hali ya masharti nge .
-Atambue na kueleza hali halisi ya hali ya masharti nge . katika sentensi na vifungu . -Achanganue sentensi zinashoashiria matumizi ya hali ya masharti nge kutokana na mchnganyiko wa sentensi kutoka kwenye vitabu . -Atunge sentensi kuonyesha matumizi ya nge akizingatia mtaambuko mbali mbali . |
Je hali ya masharti ya nge hutumika vipi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 58
-Matani ya mwalimu -Chati -Picha -Michoro -Vifaa vya kidigitali |
-Mifano
-Maelezo
-Kutunga sentensi
-Orodha hakiki
-kutambua
|
|
11 | 3 |
sarufi
|
Hali ya masharti .
-ngali)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti ngali katika matini . -Kutumia hali ya masharti ngali ipasavyo . -Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti ngali ili kukuza ufasaha wa lugha . |
-Kutafiti mtandaoni au vitabuni matumizi ya hali ya masharti ya ngali .
-Kutambua matumizi sahihi ya ngali katika sentensi au vifungu . -Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya ngali kutokana na mchanganyiko wa sentensi kwenye vitabu ,tarakiishi na kuvipigia mstari -Kutunga sentensi kuonyesha matumizi ya ngali akizingatia maswala mtaambuko . |
Je hali ya masharti nge hutumika vipi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 59-60
-Matani ya mwalimu |
-Kutunga sentensi
-Kuuliza maswali
-kujaza pengo
-Kutathmini.
|
|
11 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza na kufasiri .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya a kufasiri kwa kusikiliza ili kubainisha . -Kueeza misimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini ya kusikiliza . -Kujenga mazoea ya kutambua misimamo na mielekeo katika matini mbali mbali ili kupata amaana ya ujumbe . |
-kutafiti maan ya kusikiliza kwa ufasiri kutoka mtandaoni au maktaba na awasilishe matokeo ya utafiti .
-Kueleza msismamo na mielekeo kuhusu ujumbe katika matini mbali mbali anayosikiliza kuhusu suala lengwa . -Kusikiliza habari kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijiari . -Kuchambua msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe. |
Je ni misimamo ipi iliyopo katika matini ulizowahi kuskiliza?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 61-62
-Matani ya mwalimu -Vifaa vya kidigitali -Matani ya mwanafunzi |
-kuskiliza na Kuuliza
-kueleza
-kuchambua
-kuandika na kujibu maswali.
|
|
12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina .
Ushairi .
(Maudhui) .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
|
|
Je maudhui ni nini katika kazi ya fasihi?
|
Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 63-64
Mitani ya mwalimu Vifaa vya kidigitari Picha za michoro |
-Kielezo
-Kujadili
-kuchambua
-kusoma shairi.
|
|
12 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina .
(dhamira)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
|
|
Je dhamira ni nini katika kazi ya fasihi andishi?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 64-65
-Matani ya mwalmu -Vifaa vya kidigitari |
-kutafiti
-kueleza
-Kutaja Mifano
-Kujadili
-kuandika
-picha
|
|
12 | 3 |
Kuandika
|
Insha za kubuni .
(methali)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya insha ya methali -Kujadili vipengele muhimu katika uandishi wa insha ya methali -Asome kielelzo cha insha ya methali Na kuandika vindokezo atakavyotumia ili kuandika insha ya methali . -Andika insha ya methali kizingatia vipengele muhimu vya uanishi . |
-Kuelewe na kueleza maan ya insha ya methali
-Kujadili vipengele muhimu akizingatia ujumbe,mundo na lugha sahihi . -Asome kielelezo cha insha ya methali ili kuandaa vidokezo vitakavyo idhimisha kuandika insha ya methali . -Kuchngamkia uandishi wa insha ya methali huku akizingatia suala lengwa . |
Je insha ya methali inahusu nini?
Unazingatia nii kuandka insha ya methali?
|
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 66-68
-Matini ya mwalimu |
-Kueleza
-Kusoma kielelzo
-Kuandika insha .
|
|
12 | 4 |
sarufi
|
Vielezi vya namna
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vielezi vya namna -Kujaza mifano ya vielezi vya namna . -Kutambua vielezi vya nana katika matini mbalimbali kwa kupigia mistari . -Achangamkie matumizi ya vielezi vya namna katika kutunga sentensi na kujaza pengo . |
-Kueleza maana ya vielezi vya namna
-Kutaja mifano ya vielezi vya namna -Kutambua vielezi vya namna katika matini mbali mbali kwa kuupigia mstari . -Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna katika vifungu vya sentensi na kjaza vihasho katika daftari . |
Je vielezi vya namna hutumika vipi katika miktadha mbali mbali?
|
Kiswahili ukurasa wa 68-69
Matini ya mwalmu Picha . Michoro . Kadi maneno |
-kutoa mfano
-kufanya mazoezi
|
|
13 |
End Term And School Closure |
Your Name Comes Here